Nahisi kunakitu Tonya anatamani usivikumbuke kumuuliza kabisa ila mwambie napenda nyimbo zake tatu 1. Dunia mapito nilikuwa kwenye mapito pia 2. Anitha ni jamaa 3. Vaileth hizi nyimbo niutatamtupuu tonya niliandika sana dedication nyimbo zako
Ile ngoma yake ya SIAMINI aifanyie promotion upya maana mashairi yake na beats zake bado zina mvuto sana, ni biashara nzuri ambayo haijulikani kwa wengi tkt enzi izi
Yaani mwanzo mpaka mwisho Tonya time katulia sana kwenye interview utadhani alijipanga... I love him
Moja ya wasanii wakubwa Tanzania, nyimbo zake zinaishi sana🙏🙏💪💪💪👍👍👍
Yaani amenikosha kusema naiogapa kesho sijui nikifa nakwenda wapi .. yaani matonya anajielewa sana mungu akupe umri mrefu
Best song siamini macho yangu
Safi
A very good Interview nice one
Tambwee ipo siku watakuelewa inshaallah
Yuko vizuri sanaaaa ndo first time nimemskiliza ila yupo vizuri sanaaa
Nahisi kunakitu Tonya anatamani usivikumbuke kumuuliza kabisa ila mwambie napenda nyimbo zake tatu
1. Dunia mapito nilikuwa kwenye mapito pia
2. Anitha ni jamaa
3. Vaileth hizi nyimbo niutatamtupuu tonya niliandika sana dedication nyimbo zako
Good brother matonya
Ile ngoma yake ya SIAMINI aifanyie promotion upya maana mashairi yake na beats zake bado zina mvuto sana, ni biashara nzuri ambayo haijulikani kwa wengi tkt enzi izi
Mziki zamani bana walikuwa wanatunga wanaumiza vichwa syo sahv watu wanaimba matusi tu
nimemkubari sana anajua kujielezea
Haroun Tambwe ushakua Host mkubwa ebu sasa tafuta Studio kubwa kaka
Tonya sauti anayo aisee
umesema unahogopa kesho ata mimi na hogopa kesho
🎉🎉🎉🎉
Hio ngoma ya #SIAMINI kuna jina la mwanamke kalitaja na kamuimbia mwanamke lipo iloo mie nalijuaa hilo vip wenzangu mna lisikiaga hilo jina.
#Zuhura
Interview poa sana !
Nimefurahi ulipo sema the best dunia mapito niliandika zangu kali #1 dunia mapito
Dunia Mapito nyinmbo pendua kueto🇲🇿
ishu ya tundaman na father p kumwandikia matonya ni kweli walikuwa wanahusika?
kujibu maswali nayo ni changamoto