CECAFA KAGAME CUP 2018: FULL HIGHLIGHTS: AZAM FC 2-1 SIMBA SC(13/7/2018)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 64

  • @restadiusdaniel6238
    @restadiusdaniel6238 6 років тому +4

    Baraka, Super kwa utangazaji mzuri sana!

  • @hanaalfarsi2578
    @hanaalfarsi2578 6 років тому +2

    safi sana Azam mmenipa furaha hatari

  • @rehemaahmed5808
    @rehemaahmed5808 6 років тому

    👏👏👏 Azam

  • @salmahamisi6848
    @salmahamisi6848 6 років тому

    nimefurahi sana azam walivyowanyoosha simba mdomo wote fyuuuuu.mtaani kimya.azam oyeeee.

  • @frederickoguttu1244
    @frederickoguttu1244 6 років тому

    ...how comes the stadium was half empty?...

  • @ibrahimkikarasa1758
    @ibrahimkikarasa1758 6 років тому +1

    kimyaaaa mtaani... Asant azam

  • @bennychawala88
    @bennychawala88 6 років тому

    Safi sana azam,chilunda wee soo

  • @joasalfred4503
    @joasalfred4503 6 років тому +7

    Asanteeeeeeee........Azam mmeifanya cku yangu kuwa muruaaaaa😁😁😁😁👏👏👏👏

    • @allyfaki5118
      @allyfaki5118 6 років тому +1

      Joas Alfred wewe chura lazima ufurah kunyesha mvua lkn ujue kuwa hicho sio kikosi cha maangamiz kuna wabaya wenu 10 wamepumzishwa wanakusubirin ligi kuu

    • @augustinpeter8007
      @augustinpeter8007 6 років тому +1

      Hahaa azam bhana

    • @zumbelugunda5815
      @zumbelugunda5815 6 років тому

      chura utamjua tu, anacheka mtt wa mwenzie kufeli mtihani, wakat wa kwake hata shule yenyewe hajampekeka😀😀😀😀

    • @achichinjenga9100
      @achichinjenga9100 6 років тому

      pole ni san simbaaaaaaaaaaa

    • @aminakingwande8557
      @aminakingwande8557 6 років тому

      Piga hao Azam ni nimaaaaaaaa

  • @jahcure1932
    @jahcure1932 6 років тому

    Asanteni..azam

  • @olestonyampunyi5199
    @olestonyampunyi5199 6 років тому +1

    Yes

  • @muhsinyusuph6967
    @muhsinyusuph6967 6 років тому +1

    Baraka mpenja 😀😀😀aiyayaaa

  • @cosmasmkemwa6778
    @cosmasmkemwa6778 6 років тому +1

    simba mdebwedo

  • @aishaaisha705
    @aishaaisha705 6 років тому

    Mjini kimya wametulia safi azam pale Katikati sure NA domayo hatari

  • @ericobino1430
    @ericobino1430 6 років тому

    Msaidizi refa alikosea pale 16.20 maanake pasi ilitolewa mshambulizi akiwa katika upande wake wa uwanja kwa hivyo hakuotea.

  • @rehemaahmed5808
    @rehemaahmed5808 6 років тому +1

    😂😂😂 Tumepumua Mjini, wapi Haji Manara?

  • @edwinaloyce8704
    @edwinaloyce8704 6 років тому

    Baraka mpenja sauti ya radi

  • @bashigwaagustino5172
    @bashigwaagustino5172 6 років тому

    yes hiy do tim

  • @raji3432
    @raji3432 6 років тому

    Kagere gere mzeee pumbavu zake

  • @paulomosson9412
    @paulomosson9412 6 років тому

    yesssss fisi kmy

  • @hanaalfarsi2578
    @hanaalfarsi2578 6 років тому

    wangetupa shida sana mtaani bora mmewanyang'any a tonge mdomoni iko poa sana hiyo

  • @issaomary9520
    @issaomary9520 6 років тому

    Azam oyee.eti simba simba kitu gani lazima ajue ICRM ina ladha gani tamu au laha,

  • @jonathanessau1947
    @jonathanessau1947 6 років тому

    ahsante sana

  • @charlowmathew9762
    @charlowmathew9762 6 років тому

    kumaanina zenu washabiki wote wa simba

  • @abdallahramadhani8651
    @abdallahramadhani8651 6 років тому +3

    Ndiyo maana sion kelele town 😂😂😂

  • @davdjakob3124
    @davdjakob3124 6 років тому

    bora mmepigwa

  • @kingzetrust6861
    @kingzetrust6861 6 років тому +2

    Bora mmewanyoosha hawa wanakelele sana

    • @Mbugita
      @Mbugita 6 років тому

      Hahaha hahaha Simba hoyeeeeee

    • @kassimchamba413
      @kassimchamba413 6 років тому

      Kelele zitakuwepo tu timu yenye wachezaji wageni na kikosi B wanapiga mpira wa maana sana, si hatuangalii matokeo tu lkn lengo la timu limetimia. Nendeni mkaendelee kumlamba matako muuza madawa ya kulevya awatengenezee timu, msimu mpya unakuja mtakimbia mjini hapa ligi ikianza

    • @jicksonmtafya6433
      @jicksonmtafya6433 6 років тому

      Chura

  • @saadnahoda707
    @saadnahoda707 4 роки тому

    Mikiya fc mupo

  • @rosemichele763
    @rosemichele763 6 років тому

    ww chilunda mungu anakuona ujue jaman mweeee,yule mzungu mweu wao xaxa jamaniii

  • @azamdungwa9720
    @azamdungwa9720 6 років тому

    Huyu mtoto hakustahili kwenda Tenerife Spain kwa mkopo hapo ndipo tunakosea ilitakiwa asajiliwe alau kwenye timu ya ligi kuu pale hata celta Vigo ingekuwa poa saaaaana!!! Chilunda Nouma sana

    • @sultanikawambwa4118
      @sultanikawambwa4118 6 років тому

      Azam Dungwa @ kuna michezo michafu inafanywa na viongozi wa soka kwetu na vilabu vya nje ambao wanapenda kuvinyonyaa vikabu vya africa kwa kuchukua wachezaji kwa njia ya mkopo

    • @azamdungwa9720
      @azamdungwa9720 6 років тому

      Sultani Kawambwa I support you br!!!!!

    • @pattymzee1
      @pattymzee1 6 років тому

      Ni kweli kabisa yupo vizuri sana. alihitaji muda kidogo tu kujiweka sana. Sioni tofauti kubwa sana na wachezaji wa Afrika Magharibi wanaopata usajili moja kwa moja kwenye vilabu vya Spain. Nadhani mfumo wetu bado hauwasaidii vijana hawa

  • @kappeykassim7330
    @kappeykassim7330 6 років тому

    uwanja mweupe

  • @shadiyahamisi8371
    @shadiyahamisi8371 6 років тому

    tumewaona vilaza ,wenyewe wanasema tutapata shida sana,kumbe kinyume ,WANAPATA SHIDA SANA

  • @lusekelomwandimila9334
    @lusekelomwandimila9334 6 років тому

    Mi ni Yanga damu.Ila Azamu mmenikosha ile mbaya.maana pasingekalika ,mtaani.

  • @emmanuelmkeba7901
    @emmanuelmkeba7901 6 років тому +1

    Tatizo ni huyo kipa jamani huyu mlomtoa wapi aliyekuwa akifungwa na wakina kichuya magori ya ajabu ajabu jamani hata kama no hela hapana

  • @charidofaraja4210
    @charidofaraja4210 6 років тому

    Dida kapigwa Kanzu taaaamu!!

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 6 років тому

    Simba mnasikitisha mmesajili wazee kwa hela nyinyi alafu utumbo mtupu

  • @kasongolugina6907
    @kasongolugina6907 6 років тому

    Huleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @KijaNkinda-yp7sm
    @KijaNkinda-yp7sm Рік тому

    Hapa mtu ali pigwa kama mbuzi

  • @venancekavishe9823
    @venancekavishe9823 6 років тому

    Tundu FC 😁

  • @obedymichu7255
    @obedymichu7255 6 років тому

    This is thimbwaaaa #mikia fc

  • @omarymussa4815
    @omarymussa4815 6 років тому +1

    Chilunda

  • @geoffsk9917
    @geoffsk9917 6 років тому +1

    Muwe mnaweka video fupi basi...

    • @charlowmathew9762
      @charlowmathew9762 6 років тому

      kwani we ndio unawapa
      Ngima waweke video fupi?
      kuma ww
      jipange kaa hauna pesa

    • @geoffsk9917
      @geoffsk9917 6 років тому

      Wew ndezi vipi...?? Hacha maswala ya kutiwa vidole basi.. kwani walishindwa nini kuweka potential highlights.... mbona fifa wanaweka clip ya 2minutes na inakua na crucial contents zote.... kwanza youtube view inahesabika baada ya 30seconds.. sas kuweka 21minutes ndo nini.... alafu hacha mambo ya kushoboka mm nilowatumia ujumbe wameupata wakipenda wataufanyia kazi au la. Sas ww kundu la nyani umetoka wapi..

    • @AntosuperMWEU
      @AntosuperMWEU 6 років тому

      Nmesupport waweke video fupi. Ninayo wifi but hyo time ya kutafuta magoli wakati yalifungwa kwa video refu sina.

  • @erickkihulya248
    @erickkihulya248 6 років тому

    N

  • @ezapesambili2902
    @ezapesambili2902 6 років тому +1

    Chilunda chilunda hukamatiki

  • @elizabethlucas4983
    @elizabethlucas4983 6 років тому

    Ha ha haaaaaa,cmba hua hawaonagi mpira ucku,ha ha haaaaa,vipofu fc

  • @hamisiyambi9127
    @hamisiyambi9127 6 років тому +1

    pumbavu xana

  • @abdallahramadhani8651
    @abdallahramadhani8651 6 років тому +1

    Asee kipa mmepata simbwaaaaa 😂😂

  • @gidionmwakila777
    @gidionmwakila777 6 років тому

    Wabovu tu hawa

    • @allyfaki5118
      @allyfaki5118 6 років тому

      Gidion Mwakila hawa ni wabovu lakin haijambo wamefika final katika yote mashindano mawili sportpesa na Kagame sio kama vyura waliotolewa katika sportpesa na Kagame wakajitoa ili wasijekuaibika.Na hicho sio kikosi kilichoipa ubingwa Simba wenyewe wamepumzishwa