Kuna muda maisha yetu yamezungukwa na mateso ya adui kwa vifungo ambavyo vmekuwa ni zaidi ya mateso kwetu na wakati mwingine tumeona kanakwamba ni hali ya kawaida kwa sababu tumefungwa.. Ni shauku yetu kuptia wimbo huu mungu akuhudumie na akutoe kwenye hali ya mateso na afanyike faraja kwako na akutoe kwenye hali ya mateso uliyonayo #tunaamini utahudumiwa kupitia wimbo huu Asante na mungu akusaidiee
mmetisha sna mungu awasimamie🙌🙌
Ameen barikiwa sanaaaa
Nyumbo nzuri sana na inatia moyo 🥹🙏❤️
Ubarikiweee
GGC SANGAMBI, kweli Mungu azidi kuwapa kibari ktk kila mfanyalo. Mmehubiri na mkasikika.
Mama GGC tunashukuru sana mama yetu asante kwa mungu kutupatia ww tunajivuniaa sana wewe mama yetu
Ameni kazi nzuri🙏🙏🙏
@@RonaldoHassan-f4u ubarikiwee sanaaa
👍
Amen. This song make me feel strong and keep moving.
@@EdinaMwamboneke-c8b Ameen ubarikiwee sana mama GGC
Video yenye uzuni imeniliza sana 😭😭😭be blessed
@@RehemaWandaty ubarikiwe sana tuna tumaini umehudumiwa piaaa
Ameen
Ameen father
🙏🏾🙏🏾👏🏼👏🏼
Barikiwaaa
❤❤❤❤❤❤
🙏
Sana🎉🎉
@@Makosa20 ameen
Kuna muda maisha yetu yamezungukwa na mateso ya adui kwa vifungo ambavyo vmekuwa ni zaidi ya mateso kwetu na wakati mwingine tumeona kanakwamba ni hali ya kawaida kwa sababu tumefungwa.. Ni shauku yetu kuptia wimbo huu mungu akuhudumie na akutoe kwenye hali ya mateso na afanyike faraja kwako na akutoe kwenye hali ya mateso uliyonayo #tunaamini utahudumiwa kupitia wimbo huu Asante na mungu akusaidiee
Mungu awe pamoja nanyi❤❤
MUNGU ndiyo ngao yetu, hata kama maumivu yawe makali sana
#gospel
#gospel video
#neema gospel
#essence of worship
#christopher mwahangangila
#shusho
#mirad ayo
#wasafi tv
❤❤❤
@@EzraTechtz ameen