Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
Hakulagi hana hajakubwa,ila anatowa ushuzi.hakunywagi hana hajandogo,ila nyege zipo.sasa asiye tumika na asile,asipo kula atakufa.huyu tangu alipo acha kula.zinaendaga wapi pesa ambazo angetumiya kwakununuwa chakula chake.inamaanisha nitajiri.
Matapeli wengine tena ???kawauluze wafuasi kwenye kanisa moja huko Kenya wakambiwe wafunge bila kula ili wakamuone yesu haijafika mwezi watu 70 zaidi wamekufa pamoja na watoto huko huko kanisani
Semeni anapika anaonja huko jikoni mezani anapelekea familia msitushikie akili bwana , Kama ndiyo hivyo wale watu kule Shakahola mbona walikufa hadi leo idadi kamili hatuna😂
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
HAIWEZEKANI 📌📌📌
Mmmmh siwezi kuamini mpaka niwe nae zaidi ya wiki Zina mguu wake mguu wangu angalau 😊😊😊😊
Wew ! Labda nyama tu ndo Hali.
Uyu ndio mzuri
Du Wala siamini
Hakulagi hana hajakubwa,ila anatowa ushuzi.hakunywagi hana hajandogo,ila nyege zipo.sasa asiye tumika na asile,asipo kula atakufa.huyu tangu alipo acha kula.zinaendaga wapi pesa ambazo angetumiya kwakununuwa chakula chake.inamaanisha nitajiri.
Matapeli wengine tena ???kawauluze wafuasi kwenye kanisa moja huko Kenya wakambiwe wafunge bila kula ili wakamuone yesu haijafika mwezi watu 70 zaidi wamekufa pamoja na watoto huko huko kanisani
Mmmmmh siwezi amini uongo huo
Munazingua wajua
Hakuna maajabu hapo😏😏😏
Wacha kwanza ncheke 😂😂😂😂😂😂😂
Na mbona ana kitambi kama hali😂😂
Kashaolewa kama bado mm mume nipo 😂😂😂
😂😂😂 ili usifanyeje
A😂😂😂😂😂 anakimbia makujuku yake
Nikifkiria niliwahi funga tatu kavu nikashindwa siku ya pili daah achana na kitu kinachoitwa nja
Labda ana mapepo
Mimi mbona na miaka 16 sijawahi kulana na mwanamke na sina hamu kabisa yoyote.
Ako na majini ndani yake
Hadithi hizo.....
Semeni anapika anaonja huko jikoni mezani anapelekea familia msitushikie akili bwana ,
Kama ndiyo hivyo wale watu kule Shakahola mbona walikufa hadi leo idadi kamili hatuna😂
Au ni Samanta mweusi??
Na nyie unaamin ajala kweli miaka 16😂😂😂
Kwan kma hana hamu ya kula ndo usile au akila andhulika?
Acha niitwe tomaso tu au tomato 🍅 siwe kubali ujinga huo
Ila mnatuonaje lkn 🤣🤣
Nyinyi hamna akili pamoja nauyo mnomuhoji
Kaeni nae siku 4 t mnampoteza uongo huo au ni jin labda
Kweli ni kiki tu
Wacha tu nixheke
Nisimalize mb zangu
Muongo huyooooo
Iga ufe😂
Uongo
Anakula usiku wa manane huyo
Anakula usiku ndotoni 😂
Huo ni uongo
Anakulaga usiku nawachawi
Anamapepo
Mnatupasua vichwa nyie
Analishwa na mizimu huyu hatupo nae kimwili
Kweli mimi mpaka sasa naumwa kichwa
Muongo