RADD| MWENGE UMETAJWA KATIKA QUR'AAN NA HADITHI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @ilhamhaji8650
    @ilhamhaji8650 5 годин тому

    Allah awalipe khery kwa Bayana hii na atuzidishie uongofu katika Haq

  • @idrisamara6510
    @idrisamara6510 8 годин тому +1

    Usufi ni umauti

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 10 годин тому

    Hiyo ndo shida ya njaa ikitoka tumboni na kuhamia kichwani.

  • @kilengammbaga7125
    @kilengammbaga7125 9 годин тому

    Ndugu waislamu chukueni tahadhari na mashekh waganga njaa, ni aibu kwa shekh wa mkoa kutoa visa dhwaifu kwenye hadhara. Mashekh someni na muwe makini .

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy 10 годин тому

    Kwahiyo hapo kuna hadhira wametulia kumskiliza sheikh?: hivi Waislamu hamtumii hata akili kutambua hawa watu ni wajinga😁😁😁

  • @MUHAMMADIBNSIIRINOnlineTV
    @MUHAMMADIBNSIIRINOnlineTV 12 годин тому +1

    Sheikh wa bakwata bn, usufi ni hatari!! Haya twambie hiyo tafsiri umeipata wapi