Hatuwezi kuijenga Pemba Sawa na Unguja, hao Wapemba wenyewe wengi wapo Unguja

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 жов 2024
  • Mwakilishi Nadir akizungumzia ujenzi wa maendeleo kisiwani Pemba.

КОМЕНТАРІ • 35

  • @omarmohammed5157
    @omarmohammed5157 3 місяці тому +3

    Ndio maaan wazungu wanatuona wafrica kama manyani

  • @MasoudJamal-fw2fc
    @MasoudJamal-fw2fc 3 місяці тому +2

    Huna haja ya kusema ndugu zetu wapemba hakuna ndugu zako kule, sema tu wapemba. Maongezi yako ya ovyo yanaashiria ubaguzi na chuki zilizokujaa dhidi ya wapemba. Lkn kumbuka duniani tunapita tu hii. Cheo kisikupe kibri.

  • @ztagertali4814
    @ztagertali4814 3 місяці тому +3

    Huyu hafai hata kuwa kiongoz

  • @akaumbo9433
    @akaumbo9433 3 місяці тому +2

    Huyu sku zote anaongea utumbo tu

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 3 місяці тому +2

    Kumbe huyu hamna kitu ovyoo hamna kitu

  • @khamisjuma7616
    @khamisjuma7616 3 місяці тому +1

    anajielewa ?kwani barara zinajengwa kwa idadi ya watu au kulingana na ukubwa wa eneo husika ? mimi naona kama hajielewi

  • @HalimaSalym-jl2ui
    @HalimaSalym-jl2ui 3 місяці тому +2

    "Mwacheni muheshmiwa azungumze"
    Nauliza swali
    Mwakilishi na mwenyekiti lao ni Moja?
    Ivi kweli Pemba itapata maendeleo Kwa mfumo huu?
    Alhamdulillah
    Yaa Allah tujaalie waja wako dhalili sisi wapemba, tunyime Raha na starehe za duniani, tujaalie maisha mazuri huko akhera. Ammyna

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 місяці тому

    Huyu hasa sijui yupoje! Hapo ukiangalia ndio sawa unaipa mdomo serikali ya Muungano kusema bara ipate asilimia kubwa kuliko Zanzibar kwa sababu ya population. Ndio mfano anaoleta huyu jamaa.

  • @MattarMohammed-f5v
    @MattarMohammed-f5v 2 місяці тому

    Ana kichaa, sababu ya Watu Pemba kuhama kwasababu hamupeleki maendeleo

  • @SazafKiba
    @SazafKiba 3 місяці тому

    Kwan upemba na unguja si uvunjeke bora nyinyi wanyamwez mubak na unguja yenu

  • @musr931
    @musr931 3 місяці тому +1

    The product of what happened in 2020 election 😂

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 3 місяці тому

    MHESHIMIWA TUSITIRI. ASTE ASTE BABA UTAWAAMSHA WALIOLALA

  • @Muhairy
    @Muhairy 3 місяці тому

    Hovyo kabisaa tena na hawo wanakaa wanapija makoci wajinga kwel

  • @Mahirwazanzibar
    @Mahirwazanzibar 3 місяці тому +1

    Hii kuhusu unguja na pemba itakuja kuleta mtafaruki, na migogoro mikubwa baina ya watu wa kutokea pemba na unguja.

  • @Onlyforfun1992tube
    @Onlyforfun1992tube 3 місяці тому +1

    Uyu jamaa unaweza kumpiga kofi kubwa,

  • @SazafKiba
    @SazafKiba 3 місяці тому

    Ccm kuna viongoz wajinga sana

  • @jamalhaidar4317
    @jamalhaidar4317 3 місяці тому +1

    Mwisho wa maji ni tope

  • @FahmatFarmat
    @FahmatFarmat 3 місяці тому +1

    Huyu jamaa choko anaongeya nn haileweki

  • @SuleimanHaroubMohd
    @SuleimanHaroubMohd 3 місяці тому

    Kipind Cha sheni Hawa kuku poni alikua hawapo..lkn kwa limwinyi limezid kuleta upemba na uunguja..wallah subiri ifike 2025 hakupas kuonesha uungja ingawa ni waziri

  • @MbaroukFaki-pr5mp
    @MbaroukFaki-pr5mp 3 місяці тому

    Basi tugaweni tuwachieni pemba yetu

  • @omarabdallah9576
    @omarabdallah9576 3 місяці тому

    Huyu sijawahi kumsikia kuzungumza kitu chenye mantiki si barazani wala kwenye nikutano jamaa ovyo sana

  • @SuleimanAli-di3kk
    @SuleimanAli-di3kk 3 місяці тому

    Duh!! Jamaa waajabusana anaeza kumtapisha mtu maongezi yake

  • @iskitogo
    @iskitogo 3 місяці тому

    Kuna wakati nilikuwa ninaongea na vijana wanaotarajia kuhitimu shahada zao Tunguu...vijana hao walikuja Unguja kutoka Pemba kwa ajili ya kusoma...niliwauliza endapo watarudi Pemba pindi wakimaliza masomo....walinijibu la hasha...wao wameshatoka Pemba kwanini warudi huko....na waaendelea kusema na siku wakivuka maji kwenda Bongo (Bara) ndiyo hawarudi tena

    • @AbdallahSalim-is3db
      @AbdallahSalim-is3db 3 місяці тому

      Ikiwa pemba wahukumiana kwa sharia basi yafaa kurudi ila ikiwa ni kanuni hakuna ulazima wa kurudi... mingine mtajazia nyinyi..

    • @ZanzibarKamiliTV
      @ZanzibarKamiliTV  3 місяці тому

      Msiba huo kaka

  • @wakwetu2444
    @wakwetu2444 3 місяці тому

    Ni kweli wengi tupo unguja Lakini mnaiba Kura zetu.

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 місяці тому

    Utumbo mtupu.. akili za kitumwa

  • @shaibujape4446
    @shaibujape4446 3 місяці тому

    Ha

  • @ZANAMBER
    @ZANAMBER 3 місяці тому

    Jinga

  • @ommymehmed8880
    @ommymehmed8880 3 місяці тому +1

    Mwambieni ,kuwa kaka yetu marehem Raza alikuwa ni ccm lkn hakuwahi kuongea huu ujinga ....
    Na kwa upuuzi huu maisha watatumwa na watanganyika kujimaliza wenyewe...Allah atujaalie kutuondoshea viongozi wa aina hii.

  • @feisalmwinyi2429
    @feisalmwinyi2429 3 місяці тому +1

    Mh leo kanenaa tutake tusitakeee Wapembaa tuko Unguja wingi amii zanguni na😂tukifanya nzahaa kisiwa tutakicha na vizee tu kuleee.. kwa hiyoo waheshimiwa wakilishi wetuu kutoka pemba tumewashtukia mnataka kututia chaka kiwaona mnaipigania pemba kumbe waongo Mh Nadiri kanawavua nguo kweupee 😅😅

    • @omaryjumas6327
      @omaryjumas6327 3 місяці тому +2

      Sawa, ila zile boti zinazoshusha malaya kutoka bara hamzioni kwasababu ni ndugu zenu wa damu.
      Hivi sasa ukipiga hesabu wahamuaji wanaoingia Zanzibar kutoka bara ni wengi kuliko watoto wanaozaliwa Zanzibar.
      Tatizo lenu mnasumbuliwa na ujinga na hasadi, waja wa laana nyie mtakwenda kujibu mbele ya Mwenyezi Mungu kwa kuufisidi Uislamu Zanzibar kwa tamaa za nafsi zenu.

    • @nailamohd-wn6sb
      @nailamohd-wn6sb 3 місяці тому

      ​@@omaryjumas6327 hao laki 7 anaosema wapo Unguja laki 2 nzima kutoka bara kwann hasemi wabara walokua sio kwao wanaingia kila siku na vitambulisho wanawapa hasbiyallah mahasidi wa nchi yetu.

    • @saidyussuf2291
      @saidyussuf2291 3 місяці тому

      ​@@omaryjumas6327 subhanallah mpk ww unatukana ivoo

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 3 місяці тому

      Allah yupo muda utaongea