Erico you are a truly kenyan citizen may the almighty God protect you corver you with the blood of Jesus for christ for fighting for the poorest in kenya bravo bravo
All kenyans must wake up and NO to finance bill.Wiliam ruto aondolewe madarakani amefanya wakenya wameumia zaidi.Bette Uhuru kenyatta mara mia moja than ruto .Ruto regime is a scam
Hii shinda tuliletewa na watu ya mulima na our "pastors" who took bribes to mislead their 'kondoo' ...coz kondoo ni kondoo tu na lazima wamsikize mchungaji
Well said ,,,, actually they know very well the media will focus on the fake fighting and Kenyans will talk over forgetting the real issues of finance Bill
Well said ,,,, actually they know very well the media will focus on the fake fighting and Kenyans will talk over forgetting the real issues of finance Bill
Eric Omondi ame inherit hii tabia kutoka kwa Baba yake Okia Omutatah akiendelea hivi next mtasikia ni MP ama Senator.polisi ambao Wana mhangaisha ndio watampigia salute wakimfungulia mlango wagari wakimuita muheshimiwa.😅😅😅
Haki Erick umepigania Kenya miaka mingi wewe ni shujaa wetu 2027 ingia tu state house bila votes zetu na sio tafadhali,wakenya wote muungane aanzeni sai kujenga chama ya Erick omondi tumupitishe democracy ,we love you Erick omondi all Kenyans 😂😂😂😂😂😂hata mki mu arrest he will definitely come out huyu ni Jomo Kenyatta late anapigania wanainchi wapate maisha mema from this colonial period Iko Kenya 😢😢😢😢😢😢😢
I PRAY FOR ERIC ASIJE AKAUMIZWA HE HAS A VERY YOUNG FAMILY. GOOD JOB CREATING AWARENESS BUT BE CAREFUL... THESE POLITICIANS WILL STOP AT NOTHING TO DESTROY HIM
Hawa police wanafaa kujua pia wao na familia zao wako kenya na familia zao , wanatetewa pia nawahaoni😢 civil unrest loading coz of our gluttonous politicians 😢
Those policemen/women mishandling Omondi would one day suffer in one way or another. I am aware they are taking orders yes, but be cival when handling the demonstrators. You are affected directly or indirectly and must admit.
I love this guy's spirit.Heart of a lion..keep it up Erico
True wangetupiga ma tiagass nonsense cops
Erico you are a truly kenyan citizen may the almighty God protect you corver you with the blood of Jesus for christ for fighting for the poorest in kenya bravo bravo
Ericko is so sarcastic
He's entering National assembly in disguise😂😂 I just wish him good luck in his endevours
bana
He is doing the right thing that many cowards should follow to bring young generation revolution in the country and all over Africa.
Hes campaigning
He's right, they're distracting us from the real issues
Eric omondi you have my vote walai mungu moja,ukitaka ugavana nai heri ni badilishe kula yangu sababu yako bro,long live omosh
All kenyans must wake up and NO to finance bill.Wiliam ruto aondolewe madarakani amefanya wakenya wameumia zaidi.Bette Uhuru kenyatta mara mia moja than ruto .Ruto regime is a scam
This guy atakuja kuwa mtu mkubwa ii kenya
😂😂😂😂 we need more bold and brave people like him
KENYANS NEED CIVIC EDUCATION TO KNOW THEIR RIGHTS, WHY THEY SHOULD ELECT GOOD LEADERS NOT POLITICIANS. GOOD LEADERSHIP GIVES NATION PEACE.
Nobody Electing MOST Leaders Computer Does 🖥️
Kama raila ni wa computer 🖥️ bna shetani
Well said
True ,,that's very true
We need more courageous Wateezi wa mnyonge kama Eric.may God protect him.
kwani ww ni coward
Jalas alikuwa ivo aliigia uliskia akiogea wapi...this man was doing comedy
Why can't you also join him?
We have our first human right fighter Boniface mwangi
Eric is so courageous keep it up
Always I love huyu mtu sana anasemanga ukweli🫡🫡🫡🫡🫡
Huyu jamaa ni shujaa wa kesho nampenda sana. Keep it up bro wakenya wako nyuma yako
Ericko spirit ya Rao imekuingia,,, keep it up bro
Eric you my guy.... anything for you brother,I am so glâd that we have someone who understands the plight of kenyans
Omos may God bless your familly.💯💯💯Ilove you for freeeee Erick
Congratulations Eric
😂😂😂 I love the Luo spirit 😂😂😂
Ni mjanja angekam na vijana wangechapwa Sasa heri wamama
This looks like a choreographed performance. However, it has a strong message. Eric Omondi is more effective and practical than most politicians.
We should all demonstrate
If we can get 10 strong people in kenya who have sprit like this of Eric omondi kenya would be among the richest countries in Africa
Why can't you be the second
Ericko mungu akulinde
Erico is a comedian,aende afanye Uganda hivo aone mambo.
Eric sio mganda ..he is a Kenyan!
Kenya inataka watu kama Eric omondi
Erico is that one guy
Imagine a poor police akikamata erico?
It is a democratic country and educated people, may God protect us
O's like trouble he thinks by doing this he will elected langata MP still s small boy
Ameen
Hii democracy imesaida watu kweli?
May God be with you , Yrs hi our righteousness, Ruto your days are number , keep watch
This would work well if the whole country is demonstrating.
It is my wish but we reason on tribal lines, we can't show solidarity. So sad indeed 😭😭
True....
Erick Omondi for Rais!!
Ndo maana Leo sijapata greens ,😢😢kumbe mlipeleka kutupatupa Tao 😢😢
😂😂😂😂imgn
Hii shinda tuliletewa na watu ya mulima na our "pastors" who took bribes to mislead their 'kondoo' ...coz kondoo ni kondoo tu na lazima wamsikize mchungaji
Kimani John, wewe unajihesabuu wapi?coz sio wote walimuchaguwa hi shinda yote iletwaa ni Makanisa
@@lucymwai7645 Mimi I was for Baba-man coz I knew the team was lying...I so.much campaigned against them
True....... "Pastor's" wa bahasha ndio walituletea hii shida yote. Personally I vote Baba in the name of my president "Uhuru" 😘
True bro
@@carolinekara7603pastors wanaingilia wapi kama ulipigia baba?
the one and only Erico🎉🎉
Eric is right
Eric good work brother keep up
Eti , "Wamama Rudi"...."wamama Rudi"..saa iyo ako kwa mikono ya hao mau mbwa😂😂😂😂😂. Erico on tops👊
Guy I really like this guy Eric Ako na roho
Jamaniii 😢 twaenda wapi? Sijawahiona watu wanaweza kujiweka kianzi bure😂😂😂😂 hao wakina Mama wawili wanadanganywaaaaaa na Wanaume wawiliiiiiiiii 😊😊😊
Polisi Kenya ni wazuri uki linganisha na nchi zingine the lady pretended to faint the cop left her
😅😅😅😂😂😂😂Kenyans wamechoka na life ngumu walai sai they can do anything 😂😂😂😂😂
Congrat Mr Eric kwa hii Kenya hatutawahi piganishwa n wanasiasa,..next tym leta wamama wakitaka kuwashika watoe nguo
erick omondi can be a Good pastor
Erick is a good representation of what comics should be about... Talk about what normal citizens are afraid to speak out consciously
omondi ni mambo bad😆😆😆😆😆😆
Najuwa hata hawa askari ni vile tu ni kazi,but wange mjoin erico😂😂😂
Someone gossip to the policeman arresting Eric (though he's doing his job under duress) he will one day be Eric's bodyguard,..
UDA INTERNAL FIGHT IS A DISTRACTION FROM THE FINANCE BILL.
distraction
EXACTLY!!
True
Well said ,,,, actually they know very well the media will focus on the fake fighting and Kenyans will talk over forgetting the real issues of finance Bill
Well said ,,,, actually they know very well the media will focus on the fake fighting and Kenyans will talk over forgetting the real issues of finance Bill
justice for Erico
Next Raila for this Nation.
keep us up to date
Napenda mziki inachezwa background ☺️☺️
The next governor of nairobi
Wa mama eeeeeeh💙💙💙💙
Wamama hawawezi pigwa watongeleshwa 😂😂😂 but ingekuwa vijana ile viboko ingekuwa hapa
Hizi Jaluo zirudi kisumu zitoke Nairobi thru don’t even pay any taxes
Eric Omondi ame inherit hii tabia kutoka kwa Baba yake Okia Omutatah akiendelea hivi next mtasikia ni MP ama Senator.polisi ambao Wana mhangaisha ndio watampigia salute wakimfungulia mlango wagari wakimuita muheshimiwa.😅😅😅
Ata police wako njaa Waja Eric awasaidie
Uko juu men
Quite loose upstairs 😮😮😮😮
Wamama rudiii🤣🤣😂🤣🌞😭🌞🌞
chakula, mboga na watu wako njaa munamwaga surely mbona hivi Munguu awaone😢😢😢
Wewe waona Leo tuh,iyo finance bill ikipita ndio utajuwa hujui
Kenyans are tired of taxes zenye hawajui zinaenda wapi,hadi ruto anatoa insurance ya watoto shule,u will never know peace 😭😭😭
Ako na bahati ingekua wakati wa Timothy njoya angeona😂😂
This man is too bold.
Kenya inakua nchi ya pressure nyingi
😂😂😂😂😂😂😂 hii Kenya
💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙💙 serikali ya mashetani 😈
Mie 2027 kura yangu kwa Erick
Eric: wamama Rudi,,,,,
Them : Uliskia wapi ?
😂😂😂
😂😂😂😂,,,💯
Kichana utaumia usipochunga!!
Mpenda sifa
ERIC OMONDI FOR LIFE😂😂😂😂❤
Haya habari doiyo😂😂😂
Hawo wamama ROHO kwa matako Jameni 😂😂😂
Mama mboga wamekutoka😂
Na vile mboga adi soko hazipatikani
Eee ona sasa. 😆
😂😂😂 congratulations omondi
"Wamama rudi"😂😂😂😂😂😂.
Haki Erick umepigania Kenya miaka mingi wewe ni shujaa wetu 2027 ingia tu state house bila votes zetu na sio tafadhali,wakenya wote muungane aanzeni sai kujenga chama ya Erick omondi tumupitishe democracy ,we love you Erick omondi all Kenyans 😂😂😂😂😂😂hata mki mu arrest he will definitely come out huyu ni Jomo Kenyatta late anapigania wanainchi wapate maisha mema from this colonial period Iko Kenya 😢😢😢😢😢😢😢
I PRAY FOR ERIC ASIJE AKAUMIZWA HE HAS A VERY YOUNG FAMILY. GOOD JOB CREATING AWARENESS BUT BE CAREFUL... THESE POLITICIANS WILL STOP AT NOTHING TO DESTROY HIM
Until the day all humanity will accept guidance from GOD, peace will prevail.Wordly governments can never better our lives.
Isn't Kenya a " godly nation with a godly president " Such a sarcastic statement. Kenyans should rise up against oppression that came na " maombi"
Hiyo ni kali😂😂😂
Eric apigwe sawa sawa hi ni upuzi
Ataachiliwa msikuwe na wasiwasi
Na vile mboga imepanda bei .
Mimi ata nauliza tu kanjo wanipee nafasi niwachukulie hiyo uchafu.
Hawa police wanafaa kujua pia wao na familia zao wako kenya na familia zao , wanatetewa pia nawahaoni😢 civil unrest loading coz of our gluttonous politicians 😢
🤣🤣it takes courage
Moja kwisha
I heard said am goin inside parliament 😂 so is fine
Huyu boi ako na comedy sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bunge imechafuliwa na sukuma wiki nabado wafinye kabisa
Finya hii njinga kabisa Mbona anaita wamama after kushikwa 🤣Shenzi Eric utapigwa risasi na life itaendelea.Ask bonnie why he don’t do the shit u do.
Hawa wamelipwa
😂wafuasi wake 😁 nkaa wa yesu wa tangoren
Utamu wa democracy
Hoyeee
What medicine did u used for hypogimentation on Ur lips
This is the Way Forward!!! KK Regime Must Fall...
#Hata wamshike bill ni yao kujisaidia
Hio bill mama mboga wamepangiwa how much?
💯