Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
MashaAllah asante kk maan wtu tunateseka sana na majini
Waleykum msalam warahmatullah wabarakatuh shukuran shehe wetu mungu akubarki kwakutupa nass neema aliyo kupa Allah tumekuwa mengi sana
Mashallah
Mashaallah
Yasalaaam shekhe hio hali nko nayo sanaaa.....nkilala nahisi room yangu kunamtu lkn simuoni naona kiwiliwili
Mashallh
❤❤
Sh.ngapi hyo dawa
Shekhe duwa napitia mtihani nipo nje kikazi
Mi Niko Kenya sheikh nitaipate iyo dawa
Shilingi ngapi dawahiyo?
Sheikh uyo ndo Yule unaota usku unafanya nae mapenzi.mimi nahisi Niko nae lkn naswali rakaa 5 kila siku.
Ndio huyo dear uko na hali kma yangu
Mungu tusaidie jamani ata mahusiano hayadumu Kwa sababu yake
@@awaahassan936 usiseme Allah atuepushie yarabby mm nasumbuka ktk ndoa sana sina raha
@@fatmayusuf1656 Mimi nishawai pata kisomo lkn wapi bado ataki kutoka
@@awaahassan936 mm hasidi wa maisha yangu na ndoa sina raha napata visomo na dawa but sijambo sikama lkn bdo anisukasuka
😢😢
Jmn Mimi binti wa miaka 23 huyo jinn ashq ananisumbua miaka sasa Jmn nmelichoka
Dawa pesa ngapi..
Huyo jinn ashiq ndio jinn mahaba?
Tutaipta wp iyo dawa