ALIYEKUWA MGOMBEA UBUNGE CHADEMA NA WENZAKE 6 WAACHIWA HURU "HALI YANGU SIO NZURI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 70

  • @fruitfulmpanduji2494
    @fruitfulmpanduji2494 3 роки тому +2

    Amina Mungu awalinde pamoja na familia zenu. Mtangulizeni Mungu Kwa kila Jambo . Na kuomba hekima iwatangulie katika kulijenga taifa badala ya lugha zisizofaa Kati jamii ,na Mungu atakuwa pamoja nanyi

  • @leahmgunda5055
    @leahmgunda5055 3 роки тому +11

    Mungu mkumbuke Mama Samia hapa duniani na hata baada ya maisha haya.

  • @franklwakatarevideos
    @franklwakatarevideos 3 роки тому +4

    Hongereni sana Makamanda. Hongera sana Chief.

  • @shabanadam2100
    @shabanadam2100 3 роки тому +1

    Mungu mjaalie Mama yetu 👏👏

  • @cleophacephelician6739
    @cleophacephelician6739 3 роки тому

    Hongera Mama Samia rahisi wa wanyonge

  • @ramadhanimahongole8764
    @ramadhanimahongole8764 3 роки тому +1

    kazi ya samia suluhu hiyo mpenda haki bila rais wetu hawa watu wangeendelea kubaki magelezani tumpongeze sana mama etu na rais wetu samia suluhu

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 3 роки тому

    Mungu akubark mama samia mm kiukwel ninaiman mno na ww yaan

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 3 роки тому +1

    Ni uonevu tu,kazi iendeee chadema hoyeee.

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 3 роки тому

    Kwel mama samia ni mkomboz wetu ila yule aliepita mh htr sana

  • @reginaldtemu6305
    @reginaldtemu6305 3 роки тому

    Mwenyezi Mungu atatenda msihofu

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 3 роки тому +4

    Mungu atalipahapa duniani mpaka aghea jaman chadema mmeonewa Sana lakin malipo yanaonekana inshaalahh

  • @fayeezomary6563
    @fayeezomary6563 3 роки тому +1

    Inshaaallah kwa uwez wa hakimu wa milele utakuw hur kw kil bay

  • @nurumushi2226
    @nurumushi2226 3 роки тому +1

    Mungu Akulinde kamanda

  • @mariamsuma3003
    @mariamsuma3003 3 роки тому +3

    Mungu ni mwema kwa kila jambo

  • @meshackngujati2905
    @meshackngujati2905 3 роки тому +1

    Daah Mungu mkubwa acha watu wajifanye wao ni Mungu

  • @shaibuluyaya8810
    @shaibuluyaya8810 3 роки тому +3

    Free nation

  • @denismvile6402
    @denismvile6402 3 роки тому

    Mungu akutie nguvu

  • @texastexas2545
    @texastexas2545 3 роки тому +9

    Katika mapungufu ya mzee wangu mpendwa hili n mojawapo, Japo yapo mengi alofanya mazuri tusameheane ili kazi iendelee.

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 3 роки тому

      Asantee KWA kuelewa hili

    • @emanuelgavile3856
      @emanuelgavile3856 3 роки тому +1

      Mkundu wako

    • @amosmoses7800
      @amosmoses7800 3 роки тому

      HaKunA waTu maZeZeTa nA maTaHiLa kaMa waLivyo waBonGo. UYu DiCteTa waLiaNzA kumTukuZa nA kumuoGoPa kAmA mungu mTu. ALiwaBaNa kiLa maeNeo. HaKunA LuhuSa kumkosoA .waLa kumHoJi .waLa kumSemA. ALifaNyA ALiLoLiTaKa HaKunA waKuMkemEa .ALijenGa Airport cHaTo. HaKunA aLieSemA " nyoko"!!
      ALihaMishA iKuLu cHaTo. HaKunA AliesemA " nyoko".
      ALiFanyA diLi yA ununuZi wA bombardier biLa yA kuizinishA nA bunge waLa gaVanA.hakunA aLieSemA "nyoko" .
      ALiteuA waTu wake nA jaMaa zaKe wA kandA. HaKunA AliesemA "nyoko" .
      ALikuWa aKitumBuA mawaZiLi .hadi ma DC .hadi waLimu waKuu wA shuLe . Ubabe nA jeULi nA kujiFanYa mungu. Je haMkumBuKi aliVomfokeA yuLe mKuu wA maGeLeZa nA kumuaibishA kaMa kaToto kaDoGo. NA yuLe mama DC wA SonGeA ALivoMtuKaNa mBeLe zA ummA. Ni LaiSi ASieHeshimU haKi WaLa kujALi naFaSi ZA wanaNchi.
      AmeUa waPinZani.weNginE kupigWa LisaSi. ALiwaTeKA waFaNyAbiashaLa nA weNginE kuwaFukuZa inchiNi. ALihaMishA heLa zaO nA kuinGiZa kweNye account ZaKe nA account ZA waTu wake.
      ALiunDa mTaNdAo wA kuziBiTi kiLa kiTu.aLipiGa maLuFuKu VYomBo vA hABaLi. NA kukaNdaMiZa deMokLasiA inchiNi. ALihazkikishA WaBunGE nA maDiwaNi Ni waLe AnaowaTakA yeYe nA sio chaGuo La wanaNchi.
      LiliLikuwA DiCteTa La kupigiWa mFaNo duniAni. ALikaTaa kuwePo nA coLonA waKaTi maMiA yA waTanZaNiA waLikuFa kWa saBaBu yA uzemBe waKe eTi waTu wasivaE baLakoA.
      ALiibA haZinA yA seLikaLi triLLIONI 2 .4 HaKunA aLieSemA " nYoKo".
      ALiAndAa mikAKaTi yA kuJiweKA maDaLaKaNi haDi miLeLe .LaKiNi MunGu Mkuu ALimuonA . ALiDai kuZiBiTi maDini KumBe NDio ALiehaMishA RwaNdA nA UgaNdA. ALichAFuA chaGuZi zoTe Za 2020 .KuhAkikishA waPinZaNi paMojA nA winGi wAo waMeKoSa hATA viTi vA uDiWani kaTikA maJimBo yeNye waFuAsi weNgi. NEC ALioiTeuA iLikuWa ni GeNge LaKe La KimaFiA LiLioiBA KuLa mchAnA kweUpe. WaaNdishi wA haBaLi waKaTishWa nA kupiGwA . WaPinZaNi waKapaNdikiZiWa miKesi yS aJaBu .nA MaLi zAo kuTeKWa. VyomBo voTe vA usaLaMa vimeKuWa vikiFaTa maaGiZo yaKe baDaLa yA kuheshiMu kaTiBa yA inchi. ALimuuA mZee MkaPA aLieonekaNa kikwaZo .ALitAkA kummaLiZa nA mZee KikweTe . ALiFaNikiWa kuMuuA maaLim seFu aLipomuuA kWa suMu huKo chaTo ALipoonAnA naE. ALimTumBuA CAG -Mzee AssaDi kWa viLe ALioneKaNa ni kikwAzo kwaKe. ALiwaTumBuA waTu waLe waLiokuwA waNaMkosoA ki uteNdaJi nA kuKiukA maaDiLi.
      KweNye chaMa .ALiwaFuKuZa aKinA mZeE kinaNa nA maKaMbA nA Nape kwa viLe hawaKukubaLianA nAe nA maaZimio nA seLa zA chaMa .
      ivi HuYu mungu wA waTanZaNia .Mungu Mkuu AnaKujA kumZaLiliShA daKikA Za mwiSho .AKaTeMbezWa incHi nZimA iLi waTu waELeWa munGu waO sio munGu wA kweLi ni munGu FeKi.Asie wa kuDuMu. AKaaNZa kunukA kweNye sanDuKu puA KikaVimBa .nA maCho yaKaTokA juu kAmA maMbA . MwILi ukAvimBA kAmA chaTu .
      Mungu Mkuu ALiTaKa kuwaOneshA waTanZaNiA. munGu wAo haNa uhAi teNa.
      WaLioseMa ni MteTeZi wA waNyonGe nDio waLioisHi maiShA DuNi kuLiko awaMu zoTe .heLa ikaPoTea kiLa mTanZaniA aNaTeMbeA kAmA kiChAa .
      Mungu wA kweLi AmeweZa kuMuhuKumu kWa daMu zA waTeTeZi wA haKi ziLio miKononi mWaKe.
      ALaFu maMa SaMiA. TuNaJuA wEwe ni MchA MunGu. TuMeKuWa tuKiFaTiLiA hoTuBA zaKo. HauNaGa maJunGu wALa chuKi. UnaHeshiMu HAKI nA USawa. ALieKuTanGuLia ALiwaOnA waPinZaNi ni MaSokWe. HawaFai kuwePo inChini wALa kuishi. Ndio SaBaBu ALiwauA. TunAkuomBa uwaLuhuSu waPinZani kuLudi inchini. WaChaNgie mawaZo yAo. NinA imaNi uTaLeTa umoJa wA waTanZaniA uLiopoTea. YaweZeKaNa saNa waPinZani waKaunGaNa nA weWe nA kuLuDi ccm iWapo uonGoZi waKo utaJaLi HAKI.USAwa nA kuLinDa DemokLasiA iLiominYwA .
      HAo waNaokukWazA ni UDINI unAoWaSumBuA . Sio kWaMbA waNaTeteA LeGacy yA dicteTa JPM .ni hao hAo waLiokaNdaMiZwa nA huYo huYo waNaomsiFiA Leo hii. WaMetaFuTa pRe teXt yA kuKupaKa maTopE kuTokAnA nA imaNi yAko .waNaChuKiA kuOnA uiSLaMu waKo.. unGeKuWa MKATOLIKI .hATa kaMa ni MwaNaMke waNgeKusiFiA nA kukUponGeZa KweNye MiTanDao yAo yA JAMII FORUMS. TANFARICA. GILLY BONNY. MUBASHaRa. AYo ..meDia zoTe hiZo zinaZokuchaFuA ni Za kaNisA KaToLiki . MboNA tuPo weNgi tuNao ku SuppoRt . WaaChE waPaSuKA . WaLiTuAmbiE eTi tuhAme inchi kAmA tunAmKosoA JPM .saSa nA wAo waHaMe inchi kAmA hawaKuTaKi.
      BWANA YESU ASIFIWE
      HALLELUJJAH
      AMOS Moses
      22.4.21.
      MbAmBA Bay..

    • @mursallusinde9189
      @mursallusinde9189 3 роки тому +2

      @@amosmoses7800 punguza chuki naa visasi kwa aliye tangulia mbele ya haki unatumia nguvu kubwa kutuaminisha ulicho kua unakiamini wew sio vzr.. Sis zote ni wa tz tusimame pamoja tuijenge nchi yetu tusitumie nguvu kubwa kufukua makuburi wakati ki uhalisia haitusaidii kitu chchte.. Unaandika makala ndefu kiasi kwamba unasoma ukifika mwisho yale ya mwanzo yote umesahau kifupi umeandika gazeti la majira.. Kwa maoni yangu mi naona JPM aliamua kuwanyamazisha wapinzani ili afanye kazi yake ya kuwaletea maendleo wananchi iwe nyepesi coz wapinzani wao kila kitu walikua wanapinga.. Wapinzani hao hao ndo walitoka bungeni na kwenda kuji lock down kuishinikiza serikali ifungie watu ndani je isinge kua ni msimamo wake imara leo tungekua wap.? Juzi mbowe kaibuka na lingine anataka maza aagize chanjo halafu anasema yye try amesha pata.. Kwani kma ye kapata kuna ulazima gani anataka na ss tuchome..? Tusiende mbali tuitazame kenya tu baada ya kuanza kuchanja watu angalia madhara yaliyo jitokeza.. La mwisho upinzani mngetulia tu tujenge nchi mambo ya ushauri kwa rais wapo washauri wake watamshauri tu.. Mchezo ulisha isha tukutane 2025 tukiwa hai inshaalah

    • @givasmwananzumi5941
      @givasmwananzumi5941 3 роки тому

      @@amosmoses7800 kiongoz nimekuelewa saaaana umejitahid Sana kung'amua tawala hizi2 jpm vs samia ukweli ubabe wa jpm ulipitiliza japo kwasasa licha ya mabadiliko baadhi ya viongoz bado wana umagufulication ambao wanapend ubabe na upumbav uendelee,,,,,,,mungu mtangulie mama samia

  • @eliyatango8432
    @eliyatango8432 3 роки тому +5

    Ccm na uongozi nikama risasi ninamaanisha matakwa ya sheria hakuna mama ni jembe

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 3 роки тому

    M,mungu yupo

  • @mohamedhashimu9923
    @mohamedhashimu9923 3 роки тому +2

    Kiukweli haki ni kitu muhimu sana

  • @abelianraphili5150
    @abelianraphili5150 3 роки тому

    Dah... So pain.. na ndugui na kule Bungeni kaongea utumbo kuhusu Chadema

  • @erickzephania1030
    @erickzephania1030 3 роки тому +1

    Hii dunia tunapita, Kila kitu tutakiacha hapa hapa Duniani. Sheria dunian Haki mbinguni

  • @samwelsengati1369
    @samwelsengati1369 3 роки тому

    Sio ushahid hamna, mama amekataa kubambikiziwa kessi

  • @hassangasaba4565
    @hassangasaba4565 3 роки тому +4

    Huo ndio u dicteta walitakatu uchaguzi uishe.

  • @abdallahyasin6829
    @abdallahyasin6829 3 роки тому +3

    Tumetoka kwenye utawala wakishetan sasa tupo utawala wa hofu ya M.mungu

    • @abelianraphili5150
      @abelianraphili5150 3 роки тому

      😂😂😂 bongo sihami raha sana mpaka Marehemu anakosolewa

    • @emanuelgavile3856
      @emanuelgavile3856 3 роки тому +1

      Kumamako usimguse magu

    • @abdallahyasin6829
      @abdallahyasin6829 3 роки тому +2

      @@emanuelgavile3856 bora wewe mama yako hana. Mtoto ulie zaliwa kwa mgalala

    • @abdallahyasin6829
      @abdallahyasin6829 3 роки тому

      @@emanuelgavile3856 kama asiguswe mpe mama yako mbwa wewe ulikuwa unaona raha walitulivyo kuwa tunaishi na ukome mbwa wewe M.mungu ni mjuzi wa kila jambo

    • @emanuelgavile3856
      @emanuelgavile3856 3 роки тому

      @@abdallahyasin6829 we kuma kama kuma nyingine unafilwa walah..

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 3 роки тому +2

    Mahakama zaserikali yaccm hawataki kulawote wabinafsi tenawababaishaji ndoomaana wanawaweka hofu kuwawekandani ushenzi wakupindukia!!!!

  • @loylaizer1668
    @loylaizer1668 3 роки тому

    Haki hucheleweshwa tuuuuu Lakin ipo cku....... Wameteseka ila wapo hi, wew si haupo ata....

  • @witneskilinda5034
    @witneskilinda5034 3 роки тому

    chifu wana bukoba wanakukubali 100% km wale jamaa wasingechakachua ungekuwa bingeni

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 3 роки тому +3

    Wakwanza

  • @mathayowilson1525
    @mathayowilson1525 3 роки тому +1

    YANGU OKITOBA POLENI SANA...INGEKUWA ENZI ZILE MNGEACHIWA HURU?

  • @bibletv9818
    @bibletv9818 3 роки тому

    Demokrasia, uchawi wa wazungu unaochezwa Kama mchezo wa drafti ili kuzivuruga nchi za kiafrika. Tutapambana wenyewe kwa wenyewe huku wao wakijenga uchumi wa nchi zao. Wakiona hatupambani lazima watafute mbinu za kutugombanisha. Sasa ikiwa kwa Mungu hakuna demokrasia, itapatikana hapa duniani?

  • @minmaxc485
    @minmaxc485 3 роки тому

    hii okyitoba ni mwezi gan

  • @marymayeye7947
    @marymayeye7947 3 роки тому

    Free People

    • @emanuelgavile3856
      @emanuelgavile3856 3 роки тому

      Free mkundu

    • @emanuelgavile3856
      @emanuelgavile3856 3 роки тому

      @@adenwarsame7357 kafilwe kule kumamako

    • @boyfromtansania7788
      @boyfromtansania7788 3 роки тому

      @@emanuelgavile3856 we dogo mbona kila sehemu nakuona unatukana ovyo vipi umechoka kukaa nyumbani tukulete huku au unadhani hatuwezi kukupata.km hunahoja ni vema ukae ukimya

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 3 роки тому

    PEOPLES POWE

  • @kasimually5137
    @kasimually5137 3 роки тому

    Mungu mkubwa kweke yote nimepes

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 3 роки тому

    okitoba....hahhahaha

  • @japhetsanga1641
    @japhetsanga1641 3 роки тому +2

    Mludie tena ujinga wenu

    • @hanafrajabu5129
      @hanafrajabu5129 3 роки тому

      Samia hataki uonevu lazima vyombo vya shelia navyo vitende haki

  • @angesmpendwa1312
    @angesmpendwa1312 3 роки тому

    HUYU SIYO IDAMIN DADA KAFUFUKA KWELI 😜Msiba Mkaliwa KESHO Mseme Hamjui

  • @winnesakara6957
    @winnesakara6957 3 роки тому +1

    Mungu akutie nguvu