Jambo la Muhimu sana kulikumbuka unapo uanza Mwezi Februari 2025 | Pastor Grace Josephat Gwajima
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Dr Josephat Gwajima is the Senior Pastor of a Largest Church in Tanzania. He is also the Arch-Bishop and founder of Ufufuo na Uzima Churches worldwide. God is using him to raise the dead, heal the sick and performing of signs and wonders in the name of Jesus. Follow his Facebook page jgwajima Instagram bishopgwajima
Join our Live Online Services every sunday at 1030 East Africa Time
Mungu awabariki sana sana. Kumfahamu Bishop Gwajima imeinua imani yangu.
Ashukuriwe Mungu aliyemwita Bishop Gwajima. Naona kama nilichelewa na kucheleweshwa sana. Injili anayoihubiri Bishop Gwajima ina uvuvio wa aina yake.
Mungu awakumbuke (G & J Gwajima) hata vizazi. Amen
Zaburi 29:3b inasema: Bwana wa utukufu alipiga radi. Which means radi ni salaha ya Mungu.
Kwa mujibu Yeremia 51:20, mimi niliyeokoka ni radi. Kwenye timu yetu ya maombi nilisema: kama wachawi wanaweza kujigeuza kitu kingine nasi wana wa Mungu tujigeuze radi kwa jina la Yesu kisha tuwashambulie wachawi. Walipigwaje. Glory to God!
@@omuze1290 hallelujah Hallelujah
Amennnnn
Ameen Mama yetu kipenzi Mungu akutunze na familia yako. Namshukuru Mungu kumleta bishop JG duniani na akampa msaidizi mwema ambayw ni wewe. Mungu azidi kuwatumia kwa ajili ya kusudi lake❤
Somo zuri sana Mtumishi, tumebarikiwa Mungu azidi kukutumia.Amen.
Amen glory to lord JESUS...FROM MOZAMBIQUE
Amina mama tunakupenda sana
❤ Asante sana mama yetu tunakupenda Mungu mwenyezi akutunze.
Mama kama mama na Hekima zake MUNGU akutunze mama ❤
Amen Mama🙏 Asante Kwa kutukumbusha Mungu akutunze,songa mbele Mama
BWANA YESU ASIFIWE MAMA BISHOP GRACE🥰🌹
Amen mama yangu kwa hekima zako na unyenyekevu wako
Amen mama mungu akutunze ❤❤❤❤
Mama wa maelfu elfu tunakupenda sana❤❤❤❤
Barikiwa sana mama yetu,
Huu ni ukweli usiopingika MUNGU ameiweka ufufuko na umzima katika mikono yako,,Yani wewe ukizinguatu akàkuwazia ww , Basi tena,, yesu akulipe kwakadri ya moyo wako
Asante mama kwa kutukumbusha Tena kwa habari ya kurithi pamoja na Bwana ubarikiwe
Amen ❤nimekuelewa Pastor
Amen mama barikiwa sana
Glory to God wewe ni mtumishi mkubwa wa Mungu kua na mume kama Askofu Gwajima na kumtuza sio rahisi hivyo hongera Grace hope Mungu atakufunulia kuhusu mapambo
Amen Mama yangu
Wewe ni ishara kuu sana ya upendo wa MUNGU BABA katika Maisha yangu
Ameni ameni Mama
Mama kama Mama❤❤❤
Tunawaombea Mimi na familia yangu.Gwajima ni hazina ya Tz amen
Majeshi majeshi
Amen❤️
AHSANTE SANA MAMA,
UTUKUFU MAJESHI... LIKE NYINGI NYINGI WANA WA MUNGU ✊✊
Mama❤❤
Aminaa.maama wetu.
Asubuhi yangu imekuwa nzuri Sana Kwa hili neno Nakupenda mama angu Grace
Amina mama askofu. Nabarikiwa toka Mozambique.
Amina mama, Mimi ni mrithi
Mungu akubariki mama nawapenda sana by pastor erick jmi
GLORY TO GOD
Amina Mama
Barikiwa sana mama yetu
Amina mtumishi, Sasa mabambo yanini mama mtumishi ni chukizo Kwa bwana, Soma mwanzo 35:1_5. Amen
Amina mama etu kipezi
Amina Mama angu nimebarikiwa sana🙏
Amina 🙏🏼
Amen Amen Mama. 🙏
Mama mnyrnyekevu uyu kwa mara ya kwanza kuonana nae tulisafiri kwa ndege moja kwenda kwa trump. Mungu akubariki mtumishi
AMEN MAMA.
Ameni Mungu ni mwema
Amina; Mama yangu, Mimi ni mrithi wa Mungu 🙏
It's my portion in Jesus mighty name
U barikiwe sana kwa ujumbe mzuri nikija Tanzania nitakuja ufufuo na uzima natamani nikusikia face to face
Ameen
Amen mama
Amina mama🙏🙏
Amen mami we mrembo ila usikubali mnvi nabadowekijana ebu mufurahishe baba kidogo (hekima ya mwanamke)
Mama nimebarikiwa Sana na mafundisho kujikubali mwonekano was nywele zako
Amina mama,,Mimi ni Mrithi pamoja na kristo 🙏🙏
Love you Mom.
Ameen mama
Amen mamy🙏🙏
Ameen sana mama yangu nakupenda sana
Barikiwa Mama
Amen🙏 mama angu kipenzi ❤
Nabarikiwa na huduma naomba namba nahitaji huduma ya uponyaji
Ameeen
Amen amen 🙏 Mama yetu
❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen mama I'm Mozambican but nakusihi mama uko sahii lakini toa izo ereni ni machukizo mbele ya Mungu
Wapi imeandikwa...to@ neno?
Sio kweli
Jamani mbona mvizimwmwahi kama mimi
Pastor grace shkamoo mama! Nakusihi Utoe hizo hereni ni machukizo makuu machoni pa Bwana pamoja na rangi za kicha kama Unapakaga
Weweni pasitor gani usiyekuwa na akili chungasana mwache mama yetu kwani nn kinakuuma
Lete ushahidi wa maandiko tujue ukweli au ulifundishwa mafundisho manyonge?
Pia nashauri kwenye mambo yote imani huja kwa kusikia yasikie yasemwayo ukianza kuangalia mavazi basi hata Yohana mbatizaji asingepata mtu wa kumwendea
Soma biblia upate akili yake isaya 3:16-26 sisi
Hatujakataliwa na Mungu hata tuondolewe uzuri na mapambo
Kwanza ww una mamlaka gani ya kusema maneno kama hayo. Funga mdomo wako.usihukumu na ww usije hukumiwa.yakwako yamekushinda bado unahukumu wenzio
@@BenjaminKabebo 1 Petro 3:3 Kujipamba kwenu, *kusiwe kujipamba kwa nje,* yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi
hapa petro anaonyesha kujipamba kusiwe kwa nje, kwa kuwa wanawake wana kila namna ya kujipamba kwa nje ikiwemo rasta, wanja, hereni , rangi za nywele mawigi, vidonge vya kuwa weupe yaani kujichubua, kuongeza shape, na mengineyo haya hufanywa kwa msukumo wa tamaa ya macho na mwanamke yeyote anayefanya hivi hujisikia mzuri zaidi afanyapo haya.
hatujaitwa kushikamana au kuambatana na uzuri wa jambo lolote katika dunia hii ila fahari yetu iwe kumcha Mungu sio tulivyoumbwa, tunavyovaa, akili zetu, fedha, mali, au chochote kilichopo duniani chenye kutamanisha
mwanamke anapoambiwa asijipambe kwa kuvalia mavazi hapa ina maana asivae vazi lolote linalomfanya ajihisi mzuri au mkuu au bora ila avae mavazi ya kuusitiri mwili akiwa na usafi
1 Timotheo 2:9 9 Kadhalika, nataka wanawake wajipambe kwa heshima na kwa busara. Mavazi yao yawe nadhifu, si kwa kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu, lulu na mavazi ya gharama kubwa,
Hivyomwanamke akijikagua anapaswa ajihesabie unadhifu tuu na sio uzuri utokanao na muonekano wa nje
KUMBUKA
KILA MWANAMKE ANAYEJIPAMBA KWA NJE HUJIONA MZURI ZAIDI YA ASILI ALIYONAYO.
AGANO JIPYA LINAHITAJI
1 UNADHIFU
2 KUJISITIRI
BARIKIWA
Christo ni mkokombozi .
Mrembo ila mama mbona wrwe hukata nywele zako,,,ni ishara ya kumulikiws kicjeanibsababu ya makaika
Majeshi majeshi
Ameen Mama
Ameen
Amina mama tunabalikiwa sana❤❤❤❤
Amen
Amen 🙏
❤❤❤❤❤❤❤
Amen mamam
Amina mama
Amina mama ❤❤❤
Amen
Ameen mama
Amen 🙏
Ameeen mama
Amina Mama
Amina
Amen mama
Amen mama
Amen