Mi mwenyewe nimekua najiuliza sana, mbona Bibilia inakataza , wengine ni WATUMISHI kabisa, Huwa hawaoni au nikwenda nawakati au Mimi ndo nipo nyuma ya wakati, aisee Mungu atusaidie Sana .
yani mimi nawashauri watu MBs zao au bando lao la internet wawewanalimalizia kuangalia mambo kama haya maana haya ni bora kuliko kuangalia mpira na vichekesho na video ambazo hazieleweki NAOMBA YESU ATUSAIFIE SANA KWA JINA LA YESU KRISTO WANAZARETI ALIE HAI JEHOVA ELISHADAI
Amina mtmishi :mungu atusaidie tfike alipoksudia
Amen 🙏 lm blessed 😢 Jesus remember me
Amen amen🙏
Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻💯yeye pamoja nasi tukimusikiliza nakutuzaziya hekima .na utulivu mshungaji 🙏🏻✊
Napenda neno la mungu mtumishi ubarikiwe
Eee BWANA YESU NIKUMBUKE NAMI SAA HII KIBALI CHAKO KIAMBATANE NAMI KATIKA JINA LA YESU KRISTO AMEN!
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu,,, uzidi kuinuliwa sana
🎉 Amen
Remember me God 🙏❤️and God blessed you pastor nabarikiw nanyimbo zako ninapokua nashind nafarijik nanyimbo zako❤
Asante mch NENO lako limenipa Imani kubwa barikiwa sana by zakayo ubaruku
Amena
Mungu akubariki mtumishi
Ubarikiwe kwa neno mungu ainuriwe
Amen, 🙏🙏 mtumishi wa MUNGU
God bless you 🙏 ❤️ 🙌 ♥️ Rv paster. Tunawapenda🎉
Amen 🙌🏻🙌🏻
Mtumishi ukihubiri Mimi ni kulia tu ee MUNGU mwenye nguvu nirehemu na unifanye chombo chako nikupe nafasi ya Kwanza maishani mwangu.
Barikiwa sana mtumishi wa BWANA
Amina Baba tunashukuru kwa neno la kweli
Amen amen baba abiudi
Asante baba Mungu akutuze
Amen Amen
Mchungaji mbarikiwe na Mungu nabarikiwa sana kwa mafundisho ya Mungu na Mahubiri mnayo fundisha
Aminaaaa.
Pastor mm natoka Kenya naitaji maombi sana nisaidie afathali
Mungu wa mbinguni akubariki sana pastor
Mm naitaji maombi sana pastor natoka kenya
Amina Mungu awabariki kwa neno
Asante kwa unyenye kevu Baba
Ubarikiwe sana Baba Mchungaji.
Ubarikiwe mtumishi
Amen
Nashukuru kwa fuzo
Amina Mtumishi wa Bwana
Ubarikiwe sana baba
Amina
Mungu awabariki sana
Aminaaa
Mungu nifikishe kule ulikokusudia nifike 🙏
wooooooooooooow
❤
MUNGU azidi kuku baliki
Amen hakika mimi niwaga najisikiya faraway nakubarikiwa namafundisho yaMutumishi please ninaitaji number yako Mutumishi waMungu
Kanisa lipo sehem gan?
Ili uendelee kulihubili neno la BWANA
Wa maman wote vichwawazi mbinguni ya nani wataingiya na hayomapambo?mchungaji waambie haowamama hawasomi biblia?
Mi mwenyewe nimekua najiuliza sana, mbona Bibilia inakataza , wengine ni WATUMISHI kabisa, Huwa hawaoni au nikwenda nawakati au Mimi ndo nipo nyuma ya wakati, aisee Mungu atusaidie Sana .
yani mimi nawashauri watu MBs zao au bando lao la internet wawewanalimalizia kuangalia mambo kama haya maana haya ni bora kuliko kuangalia mpira na vichekesho na video ambazo hazieleweki NAOMBA YESU ATUSAIFIE SANA KWA JINA LA YESU KRISTO WANAZARETI ALIE HAI JEHOVA ELISHADAI
Nimejaribu kukutafuta sana kwanumber ambayo mumuwek kwenye account yenu ya youtube but hamupatikan kabisa ninaitaji number tafadhali
Amen amen🙏
Amen
Mungu akubariki na akutunze
Amen
Amen
Amen