MAPOKEZI YA LISSU KATIKA KAMPENI ZA CHADEMA SHINYANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 15

  • @Tanzaniawildcats
    @Tanzaniawildcats 4 роки тому

    Twende Kazi

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 роки тому +1

    Subilin chuma afike

  • @shinjekasanga4058
    @shinjekasanga4058 4 роки тому

    Dash!

  • @felistamaembe4895
    @felistamaembe4895 4 роки тому +5

    Watanzania tunataka mabadiliko hizi boda boda zikichakaa tutafanya kazi gani. Tumchagueni Tundu Lissu afufue viwanda alivyojenga Mwalimu Nyerere CCM wakaviua. Lissu atatujengea mashule ya kutosha watoto wasome. Leo hii watoto waliofaulu kidacho cha 4 kwenda kidato cha 5 wamekwama hakuna mashule wanarudi majumbani. Wafanyakazi wanakaa miaka 5 hakuna kuongezwa mishahara ili zinunuliwe ndege za kuanika juani.Tumechoka kuona inanunua ndege huku wanatukana Wazungu wenye viwanja vya kutua ndege ulaya na Marekani kwa kuwaita MABEBERU/MASHOGA. Hivi ni akili kutukana mzungu anaekutumia Watalii kwenye nchi yako. Mzungu anakuletea madawa hosipitalini unamuita BEBERU/SHOGA mimi nadhani CCM wamechanganyikiwa. Binadamu mwenzako unamuita SHOGA mimi naomba Mungu usiku na mchana wasisikie haya matusi. Hivi haya matusi ni kwa ajili ya kodi za CHADEMA, ACT, CUF, TLP, NCCR, CHAUMA na wengineo tunazolipa Serekali kuletea nchi maendeleo CCM irudi itambe na kutukana kuwa kila kitu wamefanya wao. Siku tukikosa kodi kabisa au tukipata janga itakuwaje na sisi tunaishi kwa kutukana. Majirani wametuchoka kwa ajili ya matusi ya CCM wakiwa majukwaani. CCM wachome vifaranga, na kupiga risasi ngombe za majirani tunawangalia tu tutakuwa wageni wa nani tukikosana na majirani. "SASA BASI""

    • @drdd774
      @drdd774 4 роки тому

      Felista maembe, mbona maisha mazuri, yapo ww sema ile mirija ulikuwa unaitumia kupiga,ss haipo, umebaki kulaumu.

  • @drdd774
    @drdd774 4 роки тому +1

    Ngoja mwanaume aingie, mh,Rais magufuli.

  • @mangobase
    @mangobase 4 роки тому

    ua-cam.com/video/YgXHgJZkiIk/v-deo.html
    Kazi ipo
    Katiba ya chadema

  • @ramadhanhaji55
    @ramadhanhaji55 4 роки тому +1

    Kumbe mnatumia mziki kuita watu sio wasanii kupanda jukwaani

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 4 роки тому +1

    Hiki chama kinakaa kama majambazi jambazi hivi!!!

  • @charlesmwilima5548
    @charlesmwilima5548 4 роки тому +1

    Hakuna kitu

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 роки тому

      Kitu kipo kwa mamako

    • @cosmasdaud9088
      @cosmasdaud9088 4 роки тому

      Hakuna kitu hapo Kama huamini fatilia kesho chuma akiwa anahutubia hapo

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 роки тому

    Kuna jamaa jinga kweli eti linamzuia Polisi asipite😀😀

  • @georgenyalulu4550
    @georgenyalulu4550 4 роки тому

    Hakuna kitu hawa jamaa wanatafuta kiki ya kuja kusema wameibiwa kura watanzania inatakiwa tumnyooshe vizuri kwenye kupiga kura october tu! Naona leo kuna mjinga mmoja kaongea wa BBC Washington DC akisema eti polisi wamezuia maelfu ya watu tinde waliokuwa kwenye msafara wa lissu,, inasikitisha sana watanzania tuwapige vita wabeba agenda za wazungu tutaiweka nchi yetu ktk matatizo alafu yy huyooo ubelgiji