Eeh mwenyez Mungu zirehemu na uzilaze roho za marehemu wote mahala pema peponi Amin,,,, pia majeruhi wote uwape afya na uzima tena kama walokuwa nao awali ili tulijenge taifa hili kwapamoja.....
Serikali chukuweni hatuwa kuhusu wamiliki wa magari yote ya abiria na mizigo,madereva wapewe mikataba iliyo rasmi yenye kiwango rasmi cha mshahara kulingana na gari husika,haya mambo ya kukimbia hovyo kuwai mizigo ama abiria yatakwisha kabisa na tutayasahau,wanaotumaliza sio madereva bali ni serikali yetu inawachukulia madereva ni kama watu waliofeli maisha hivyo haitaki kusaidia madereva kabisa japo wanawadanganya kwa vikao vya kila siku.
Poleni wafiwa wote mungu hazilaze roho maali pema peponi mungu waponye na wagonjwa wote wote safari ni moja ndugu zangu
Eeh mwenyez Mungu zirehemu na uzilaze roho za marehemu wote mahala pema peponi Amin,,,, pia majeruhi wote uwape afya na uzima tena kama walokuwa nao awali ili tulijenge taifa hili kwapamoja.....
😭😭😭😭😭Eeh Mungu Majeruhi wote waponye, wafiwa wote wape faraja.
Eee mwenyezi Mungu watie nguvu wafiwa na waponye wagonjwa hao.
Dah! Noma sana
Da hatari sana
Poleni
Tanzania toeni elimu ya kutosha kwa madreva jamani ndugu zetu wanapoteza maisha hizi ni changamoto za utoaji ajira forging paspo kusoma kiuhalali
Mbona zimezid