VIJANA WA KIISLAMU NI WAAMINIFU KULIKO VIJANA WA KIKRISTO: MCHUNGAJI ELIONA KIMARO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 118

  • @davidremson2964
    @davidremson2964 Рік тому +9

    Nibaaadhi siyo kila kijana jamniiiiii Mungu atusaidie tumefananishwa na samaki sasa

  • @jeromemwenda2702
    @jeromemwenda2702 Рік тому +15

    Nimeshuhudia hii hata kwa wafanyabiashara wakubwa hasa waarabu. Ni waadilifu katika makubaliano ya thamani yoyote mliyofanya. Lipa pesa ondoka safiri, mzigo wako utaupokea vile vile....

  • @zebedayodiganyeck2046
    @zebedayodiganyeck2046 Рік тому +7

    Yupo sahihi kama haupo kweny kundi alilosema haun Cha kuumia

  • @mmbando
    @mmbando Рік тому +7

    Huu ni ukweli, duniani kote waslam dhuluma kwao kwenye imani, imewaingia zaidi kuliko wakristo.. mnafundishwa mbadilike.. mnakasirika

    • @Esthermushi5804
      @Esthermushi5804 Рік тому +1

      Kbs huwezi fanya biashara na mkristo ikaja sawa bila conflict tuache vitu vidogo vidogo vya hapa na pale tunaongea real deals business tupoje sijui mafundisho ya hekima busara na uaminifu hayapo kbs in Christians homes khaa

  • @pastorymasanja8838
    @pastorymasanja8838 Рік тому +15

    Huo ndo ukweli waislamu waaminifu kuliko sisi wakristo wenzetu wana hofu sana na wepesi kuridhika hata kwa kidogo,hata wake zao hawana mbwembwe sn

    • @rajabuchumbi6098
      @rajabuchumbi6098 Рік тому

      Inaonekana umefanya reseach rakini uwo ndiyo ukweli

    • @ahmadbadawi9664
      @ahmadbadawi9664 Рік тому

      Pastory masanja nimeipenda comment yako shukran sana

    • @user-fu2gz2lq1j
      @user-fu2gz2lq1j 9 місяців тому

      Yaaani hatawake zao hawana mbwembwe kama wawa kristo nikweli kabisa

  • @mwassamwassa7264
    @mwassamwassa7264 Рік тому +5

    Umesema kweli mchungaji,haiwezekani wapagani ndiyo wawe waaminifu kuliko watoto wa Mungu

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 Рік тому

      😂😂😂 mkristo na muislam nani mpagani. Unahuzunisha kwa kua hujitambui ww ni nani

  • @Esthermushi5804
    @Esthermushi5804 Рік тому +4

    Kuna kitu Mungu atafamya tu kwa huyu mchungaji plz let's pray for him and pray for church of Christ in ths nation 🙏

    • @jerusalempceachoir5444
      @jerusalempceachoir5444 Рік тому

      Nikweli lkn mm naamini kila aliekoka bs ana history kubwa huko nyuma iliyembadirisha, kwahyo nivema pia tukasngalia kauli, Yesu mwenyw alikili hakuna binaadamu mkamilifu isipokuwa Mungu tu, na yy akajiweka katika hali hiyo.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому +1

      Ni vema kumuombea Dua njema na si Dua baya ('Dua la Kuku halimpaati Mwewe"), msema Ukweli ni Mpenzi wa Mungu na Mungu anahimiza tuihubiri Kweli na Haki na tutende Haki/' Mpende Jirani Yako kama unavyoipenda Nafsi Yako" ukiona jema pongeza/sifu na ukiona Ovu ondosha Kwa Mkono wako, kemea, chukia na kuichukia ni lmaan dhaifu. Hivyo Mchungaji anakemea Uovu.

    • @alhadajjmohammedsmith9042
      @alhadajjmohammedsmith9042 Рік тому

      @@jerusalempceachoir5444 lnshaallah Allah am'badilishe afuwate Dini ya Kweli na Haki (Uislamu) asilimu awe Muumini wa Kiislamu, anyenyekee Kwa Muumba asinyenyekee Kwa Viumbe.
      Wapo wengi mashaallah wanaoukubali Uislamu👇
      https:/ua-cam.com/video/L03cUZ5SsY/v-deo.html

  • @raymondprosper7790
    @raymondprosper7790 Рік тому +3

    Mchungaji kaongea ukweli ila najua Kuna watu bado wataendelea kumkosoa tu, ndo nature ya binadamu tu

  • @eliasifelixnyenyembe1325
    @eliasifelixnyenyembe1325 Рік тому +3

    Nawaasa KKKT K/nyama wawaache Viongozi wafanye kazi zao. Mchungaji si wa sehemu moja. Mchungaji anaweza kupelekwa popote kuhubiri Injili. Na wanayomamlaka hata kumvua uchungaji. Mmetukanwa halafu mnamtetea. Her ninyi ni sehemu ya hao Wakristo wasio waaminifu. Wenzenu

  • @saimonijonas4356
    @saimonijonas4356 Рік тому +1

    Wakristo ni wengi kuliko Waislam,Hivyo kwa wingi wao na wasio waaminifu uonekana ni wengi na Uchache wa waislamu hufanya uonekana wasio waminigu ni wachache.Basi yaishe tu haya mambo jamani sisi ni wamoja.Kama nikweli Wakristo tujitekebishe kama sio kweli tumuache Mungu mwenyewe aseme.

  • @patrickmathiasnsalanga3401
    @patrickmathiasnsalanga3401 Рік тому +3

    Pastor you are the hero, I love you, and I need to preach like you. May the lord our God protect you. Ameeen

    • @hosianabuuta3624
      @hosianabuuta3624 Рік тому +1

      Mcgj sema sema tupone Ukweli huwa unauma usiache kusema kweli thawabu yako ipo kwa Mungu❤

  • @jackobgalish5742
    @jackobgalish5742 Рік тому +6

    Ukimsikiliza Huyu Mchungaji Ni Kama Kuna vijana wahuni flani wa mlengo anaouzungumzia walimwibia kwenye miradi yake. Akaondoa Kbs Imani na upande husika, na ndio maana anaongea kwa hasira Sana. Kwa hili alisemalo Kuna Kaukweli kidogo japo kwa mbali, Ila ametumia hitimisho jumuishi na lenye ukakasi Sana.

    • @josephezekielmasolwa8283
      @josephezekielmasolwa8283 Рік тому

      Umebaini vyema, Jambo analozungumzia Lina uhalisia Ila amelisema akiwa na Uchungu wa kibinadamu ambao kwa Mujibu wa Biblia huwa hauleti matokeo mazuri.

    • @josephezekielmasolwa8283
      @josephezekielmasolwa8283 Рік тому

      Warumi 12:8
      [8]mwenye kuonya, katika kuonya kwake; mwenye kukirimu, kwa moyo mweupe; mwenye kusimamia kwa bidii mwenye kurehemu, kwa furaha.

    • @saralusinde53
      @saralusinde53 Рік тому

      kama kweli vile

  • @walawioutreach4055
    @walawioutreach4055 Рік тому +3

    kweli itatawala dunia,mkishaifahamu hiyo kweli itawaweka huru.AMEN.huo ndio ukweli.thats real and true.TUNAIBA HELA HALAFU TUNAENDA KUTOA KANISANI,tena kwa masifa,kumbuka mjane wa sarepta na alichotoa yule mjane,

  • @happybenjamin7520
    @happybenjamin7520 Рік тому +2

    Uko sana baba watch wakuchukie ila mungu atawajibu hapa hapa coz sioni kosa lako wewe ni mchungaji lazima uwe muwazi ukemee mabaya,,

  • @jonathanmnyone4003
    @jonathanmnyone4003 Рік тому +2

    Mimi nilitarajia ufanyike mjadala kuhusu haya matamshi ambayo Kwa kiasi kikubwa yana ukweli ili kujua nini kinasababisha. Mimi naamini Biblia ambalo ni neno la Mungu haina mapungufu yeyote bali mafundisho yanayofundishwa Kwa jamii ya kikristo toka utotoni Yawezekana kabisa kukawa na udhaifu katika mafundisho yetu. Tunafanya mkazo kwenye Jambo gani. Mimi naamini hata jumuia ya wapagani ikiwa na mafundisho ya aina fulani + na adhabu kwa wakosaji inaweza kuwa na uadilifu. Kuna nchi zimefanikiwa kukomesha Kwa kiasi kikubwa rushwa na zingine haziamini katika Mungu aliye hai.

    • @issamaduka1066
      @issamaduka1066 Рік тому

      Nikweli Kaka katika ufundishaji wa biblia ni Yanamakosa sana,unasema mafundisho lakini kitabu hausomi unakuja kusomewa Tena ukiwa mtu mzima,na Tena unapangiwa Kwa kusoma mwezi huu SoMo la Tano mathayo 2 adi mstari wa 6mwezi unao kuja Marko ivyo ivyo,mkisomewa unahanzia kuhubiriwa,ndio maana Leo hili ukuti muislamu akisema nafungus msikiti wangu Mimi hapa ni mtume au na bii,,karibu ktk uislamu,kweri itabaki kuwa kweri,Mzee wa upako alisema yesu ajaingia kanisa I na kipindi Cha yesu akukuwa na kanisa,ipo sku makanisa yatakuwa misikiti takbirii

    • @humbemusa3480
      @humbemusa3480 Рік тому

      @@issamaduka1066 hapo hata kwa dawa siku makanisa yawe msikiti,

  • @ussiussi3413
    @ussiussi3413 Рік тому +1

    Wise knowledge.

  • @Esthermushi5804
    @Esthermushi5804 Рік тому +5

    Mchungaji anajitahidi kuweka msg ieleweke kwamba any Christian must do better to reflect Christ Holliness ila imekuwa opposite sijui kama watu wanajua ukristo ni nini ??huwezi kuwa mkristo alafu unaishi maisha tofauti ndio maana anasema waislam wengi wapo waaminifu especially kwenye dhamana ya Mali na vitu sijui wapi haeleweki hapa jamani xx any bad influence for a good Christian shouldn't b seen be4 society we must b examples to the public lkn haipo hivyo xx

  • @zubedarichard2311
    @zubedarichard2311 Рік тому

    hatA sisi mabinti wa kiislamu wengi Wetu tunaridhika na kusema maashallah hatA harusi Zetu hazina gharama kubwa huku Arusha mabinti wa kikristo wanashindana kweny weeding Zao Htr mwishoe madeni turidhike

  • @abdulbari5573
    @abdulbari5573 Рік тому

    MashaALLAH

  • @richardsilvanus8927
    @richardsilvanus8927 Рік тому +3

    Napenda watumishi mama wewe ukweli mtupu ndio maana leo Hamna makofi neno Ni nyundo,Ni Moto ulao ,Ni upanga mkali Tena linasafisha mchungaji hata watu wakikutupa nje bwana YESU yu nawe

  • @lovenesswalter6650
    @lovenesswalter6650 Рік тому +3

    Kweli

  • @omarmakame3027
    @omarmakame3027 Рік тому

    Karibuni KATIKA UISLAM Kwa amani kabisa ili mupate mafunzo mazuri na kujifunza uaminifu na kuridhika na kukinai Mungu alichokupa

  • @ErickChrispin
    @ErickChrispin Рік тому +3

    Kumbe alizingua ndiyo maana

  • @hakieliya7507
    @hakieliya7507 Рік тому +3

    Hamia uisilamu liache kanisa na vijana wa kikiristo waache, wewe mwenyewe unakula sadaka wanazoto ungeenda kupewa na waisilamu. Udhalilisha ukiristo.

  • @anithamlay7327
    @anithamlay7327 Рік тому +1

    Vibaka na wapigaji watawaka,ila ndio maana akasema wajitunze ubinafsi wa mioyo yao,na wanaosimama madhabahuni ina maana wanaoimba kwaya na wengine,hakumaanisha wainjilisti au wachungaji,au maaskofu,na wakuu wa majimbo,kama kuna lililomuuma sana ana sababu yake

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 Рік тому +1

    Kinywa

  • @samsonmwaipaja5231
    @samsonmwaipaja5231 Рік тому +2

    Nawapenda viongoz w kkkt wana maamuzi ya kiroho hawamwamudu mtu kwa umaarufu wake

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 Рік тому

    Sio kweli vijana ni vijana tu awe muislam.awe bahaula.awe nani kaangalie ripoti ya wahalifu kituo Cha kati.pia tafuta wachawi vijana uhesabu kila mmoja na dini yake uone wapi zaidi.tena wewe ndio unabagua vijana hakuna kijiwe Cha wahuni wa dini Moja Wala danguro la watu wa dini Moja .uaminifu unaanzia ktk kumhofu Mungu si kuogopa watu

  • @mwankuga
    @mwankuga Рік тому

    wisest one, real Islamic youth are kinder than.

  • @seiflugendo7141
    @seiflugendo7141 Рік тому

    Wakristo hawapendi sana kuambiwa ukweli huyu mchungaji wamempa msukosuko sana baada ya kutamka haya.

  • @zachariamakamillo1965
    @zachariamakamillo1965 Рік тому +2

    Sijaona alichokikosea mchungaji kimaro.

  • @longinusbankyanule191
    @longinusbankyanule191 Рік тому +5

    Binadamu wooote Duniani tukiwa waaminifu kwa kila jambo . Dunia itakuwa mahali pazuri mno .

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 Рік тому +1

    Mara unawaamini waroman ko ulikuwa Kwa papa huko nje ya nchi ndo kakulisha tindikali Ooooh nawaamini Islamic si uhamie Sasa kahudumu huko nenda wewe usifanye uchafuzi tuachie Imani yetu usichafue utajichafua halafu utashindwa kujipangusa baada ya hayo Bado kunamaisha mengine tubu please tubu

  • @ahmadsalim4417
    @ahmadsalim4417 Рік тому

    Siku zote haki itachelewa tuyh lkn lazima itafika

  • @adventsumari5776
    @adventsumari5776 Рік тому +2

    Siyo wakrsto wote mchungaji. hapo umekosea. Hata hawo waislam wapo ambao siyo waminifu. Mimi ni mkristo mbona ni mwaminifu

  • @getuswai8109
    @getuswai8109 Рік тому

    Sema baba ukweli vijana tupone na usisite kusema ukweli popote ulipo baba Mungu akubariki sana

  • @davidremson2964
    @davidremson2964 Рік тому +4

    Siyo wote watapele hapana

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 Рік тому +1

    Ukweli mchungu

  • @mkanulamajid500
    @mkanulamajid500 Рік тому +1

    Ukiwa na upeo mfupi unaweza ukachukia ila Mara nyingi ukweli unakujaga hivyo moja kwa moja msema kweli mpenzi wa mungu ila co mpenz wa wanaadamu kikubwa hapo ni kushika neno Anza kuwa muaminifu mungu bariki Sana

  • @shungumwaisanila7193
    @shungumwaisanila7193 Рік тому +1

    Ee Mungu muone huyu mtumishi wako na kumlinda, Amen

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu Рік тому

    Hata Serikali za kikoloni waliajiri sana vijana wa kiislam umenena kweli mtumishi

  • @gapserminja5215
    @gapserminja5215 Рік тому +1

    Ukweli mtupu🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 Рік тому +2

    Ndio sbb umetumbuliwa

  • @getuswai8109
    @getuswai8109 Рік тому

    Nilichogundua sisi wa kristo tunapenda tusifiwe hata Kwa vitu tusivyo navyo tukipata mkombozi wa kutufumbua macho tuone atutaki tunataka tuliite giza nuru tukiambiwa hili ni giza na ndio kweli atutaki tunakasirika Hata Yesu alipoona nyumba ya baba yake imegeuka kua pango la wanyanganyi alipita na kumwanga mwaga vile vilivyokua vikiuzwa mule Kwan kusema ukweli inakua tatiz

  • @luganojimmymwakalinga5392
    @luganojimmymwakalinga5392 Рік тому

    Neno la Mungu li hai tena lina nguvu tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili,tena lijepesi kuzigawanya nafsi na roho tena lijepesi kuyatambua makusudi ya moyo

  • @elibarikmafie7490
    @elibarikmafie7490 Рік тому +2

    Mchungaji unawaita watu majangili kweli,Mimi nakataaa hata wakristo Kuna waliofundishwa pia maadali mema na pia hao waislam una uhakika gani kwamba ni waamifu wote,Ina maana hata wachungaji wenzako unawaita matapeli

  • @happinessmwanguo8200
    @happinessmwanguo8200 Рік тому +2

    Umefanya nini kuwasaidia vijana wa kiktisto wawe waaminifu?kutangaza hivyo ndio kuwasaidia,wewe kama mchungaji ulitakiwa uwe na mzigo wa kuliombea hilo na sio kuwasimanga madhabahuni

  • @wilsonsikahanga1761
    @wilsonsikahanga1761 Рік тому +4

    🤔🤔 tupime kwanza uzalendo na kazi za Marais waislamu na wakristo walio wahi kuongoza nchi yetu

    • @adventsumari5776
      @adventsumari5776 Рік тому

      Kaka umemaliza. Wa din gani aliyekua na hofu ya mungu

    • @abdulabdul6370
      @abdulabdul6370 Рік тому

      @@adventsumari5776 hofu ya Mungu sio matangazo, hauhitaji kuonyesha watu kuwa una hofu ya Mungu. its between you and your God. huwezi kukuta watu wametupwa kwenye magunia kipindi cha uongozi wa hao unaowaona hawana hofu ya MUNGU. TAKE IT EASY, PRACTICE WHAT HE PREACH.

    • @magwaza8904
      @magwaza8904 Рік тому

      Nenda kawachunge Waislamu kumbe na wewe ni tapeli maana unasimama Madhabahuni pia

  • @mathayopapiasi8872
    @mathayopapiasi8872 Рік тому +2

    Siyo wote wapigaji acha uongo kwahiyo na wewe ni mpigaji?

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Рік тому +3

    Nenda tanga ukaone hao vijana unaosema jinsi walivyo wezi,vibaka hadi ndala.

  • @samwelimwanja4105
    @samwelimwanja4105 Рік тому +3

    Huyu mchungaji atakuwa alikuwa amelewa

  • @ramadhanmambo7300
    @ramadhanmambo7300 Рік тому

    Utafika muda watu wataingia ktk uislam makundi kwa makundi

  • @eliasifelixnyenyembe1325
    @eliasifelixnyenyembe1325 Рік тому +2

    Huyu Mchungaji ni hatari sana bora alivyotumbuliwa. Alistahili. Kuiba au kutokuwa mwaminifu si Dini ni tabia ya mtu.

  • @SaidSaid-rb3jw
    @SaidSaid-rb3jw Рік тому

    Hilo liko 50kwa 50 ila kinacho tuogopesha cc waislam ni Dua ya mtu aliyedhulumiwa .... Wandugu ukiiba mali ya mtu ni umemdhulumu na akinyanyua mikono akaomba
    Dua yake Huwa Haina pazia inakwenda direct ndomana tunaogopa sana wizi na dhulma

  • @rayisadesigns2646
    @rayisadesigns2646 Рік тому +2

    JE MCHUNGAJI KIMARO KAKURUPUKA?!
    AMANI IWE NAWE,
    KWA AKILI YA KAWAIDA KAMA WEWE UMENUSURIKA NA MAMBO HAYA YALIYOZUNGUMZWA NA MCHUNGAJI KIMARO NI NGUMU KUAMINI HIKI ANACHOKISEMA, LAKINI UKITULIZA AKILI KIDOGO TU UTAUONA UHALISIA. NENDA KWENYE MAOFISI MENGI WALIOPEWA AJIRA KAMA DHAMANA YA KUITUMIKIA JAMII JE WALIO WENGI NI VIJANA GANI? WANAOWABANIA WENZAO WASIPATE AJIRA KWA ROHO MBAYA TU HATA KAMA WOTE NI WA IMANI MOJA NI KINA NANI?! TENA UKANDA UKABILA VIMETAMALAKI KWENYE ROHO ZAO, LEO IMEFIKIA MAHALA SI AJABU KUKUTA KTK OFISI FULANI ALIYEKUWA JUU KAMA ANATOKA BUKOBA BASI WOTE WA CHINI WATAKUWA KWA IDADI KUBWA NI WA BUKOBA, NA KAMA AKIWA WA KASKAZINI WALIOCHINI KWA KIASI KIKUBWA WATAKUWA WA KASKAZINI, SIKUWALENGA HAWA NILIYOWATAJA ILA HII NI MIFANO TU YENYE KUONESHA HALI ILIVYO KWA WATU WA AINA MBALIMBALI NAMNA WANAVYOBANIANA KTK AJIRA WAO KWA WAO KISA UKANDA NA USHIKAJI.
    WANAFANYA HIVI KWA UBINAFSI TU HUKU WAKIWAACHA NJE YA AJIRA WENYE TAALUMA ISIYOKUWA NA MAGUMASHI WALA MAKANDOKANDO NA KUWAPENYEZA JAMAA NA WASHIKAJI ZAO KISA TU SIO WATU WAO WA KARIBU, JE HAWA WANAOFANYA HIVI NI KINA NANI?! UTAKUTA KIJANA KATOKA KIJIJINI KAFIKIA KWA BRO WAKE, KAMPELEKA CHUO LAKINI BAADA YA KUMALIZA TU DEGREE TAYARI KASHAMFANYIA CONNECTION NA YEYE KAPATA AJIRA HUKU AKIWAACHA WENZIE WAKISOTA, VIJANA JIRANI ALIOWAKUTA MAHALA ALIPOFIKIA AU WASHIKAJI ZAKE WA ZAMANI AU HATA ALIOKUWA NAO CHUONI TAYARI ANAANZA KUWADHARAU HUKU AKIWAITA MAJINA YA HOVYO KWA KUYAHARIBU MAJINA MAZURI, MARA WANAUME WA DAR HAO, MARA UTASIKIA ANASEMA “ACHA USUKUMA”, “ACHA USWAHILISWAHILI” AU “WE MNYASA NINI?!, NA WEWE MZARAMO NINI?!” YANI WANADHALILISHA MAKABILA YA WENZAO BILA YA HATA SABABU.
    MBAYA ZAIDI KTK AJIRA HIZO ZA KIPIGAJI SIKU MBILI TAYARI ANA GARI, ANA NYUMBA KIGAMBONI, MADEM KIBAO TENA BAA ZOTE ZAKE, VIWANJA NDIYO USISEME, UKITATHMINI MSHAHARA WAKE NA YOTE HAYO ANAYOYAFANYA NI VITU VIWILI TOFAUTI YANI MSHAHARA MDOGO MATUMIZI MAKUBWA, UKIJIULIZA AU KUNA BIASHARA NYENGINE ANAYOFANYA KINYUME NA KAZI YAKE JIBU HAKUNA!! HAPO NDIPO KWENYE UKAKASI, HAKOSOLEWI HUYO AKIAMBIWA KIDOGO TU "ULICHOFANYA SIO SAHIHI AU NDUGU MBONA UMENIKOSEA" UTASIKIA ANASEMA "UNANIJUA MIMI NI NANI?!
    TUKIRUDI NYUMA WAKATI WA AWAMU YA TUMBUA TUMBUA, HIVI TULISHAWAHI KUFANYA TATHMINI YA WALE WALIOKUWA WAKITUMBULIWA KWA UFISADI HATARI HASA KWA IDADI KUBWA WALIKUWA NI KINA NANI?! ANGALIA KWENYE MAJI PALE NA PALE PENYE MSHIKO WALIOJAZANA WAKAWA WANATUMBUKA HOVYO NA HAWAKOMI KWA KIASI KIKUBWA WALIKUWA KINA NANI?! TUKIANGAZIA KWENYE MAADILI WANAOONGOZA KUVAA NGUO ZA HOVYO (NUSU UCHI) WANAOUTAKA UZUNGU WAKIUKATAA UAFARIKA NA MAADAILI YA DINI, TENA WANAOBADILISHA BADILISHA NYUMBA ZA KUABUDU KWA KUUDHIKA BAADA YA KUAMBIWA UKWELI NA VIONGOZI WAO WA KIROHO WAACHE TABIA HIZO JE ULISHAWAHI KUJIULIZA NA HAWA PIA NAO NI KINA NANI?!
    KINACHONISIKITISHA HATA KWENYE MISIBA WADADA HAWA KANGA WANAZIKUJA NA KUZIVAA VIMINI NUSU MAPAJA NJE HUKUWAKIJIPITISHA PITISHA MBELE YA WANAUME BILA YA HAYA WALA UONGA, HIVI ULISHAWAHI KUJIULIZA HAWA NAO NI KINA NANI?!, WALE WANAOVIZIA MADEMU KWENYE NYUMBA ZA IBADA HASA WAKATI WA MIKESHA ULISHAWAHI KUJIULIZA PIA NI KINA NANI?! VIPI UPANDE WA PILI KWENYE NYUMBA ZAO ZA IBADA ULISHAWAHI KUSIKIA VIJANA WAO WANAPOENDA KWENYE NYUMBA HIZO WANAVIZIA MADEMU?! TENA HILI LA MAADILI SIKWAMBII WAMAMA WATU WAZIMA WALE WENYE VIJISENTI KIDOGO NAMNA WANAVYOVAA VIBUKTA NA VISKINTAITI VINAZOWABANA KWENYE VINENA HUKU MAPAJA NJE MBELE ZA WATOTO WAO WA KIUME, JE HAWA NAO NI KINA NANI?! WAMAMA WA UPANDE WA PILI ULISHAWAHI KUONA WANAVAA HIVYO ZAIDI YA KUJITANDA KAKA MBILI HATA KAMA WANA VIJISENTI?!
    KWARESMA INAWEZA KUINGIA BILA YA HATA KUJUA KAMA HUU NI MWEZI WA KWARESMA UMEINGIA, TENA IKAISHA BILA YA KUONA ATHARI ZOZOTE ZA KIROHO KUTOKA KWA VIJANA. BADALA YA KUTUBU NA KUWA KARIBU NA MUNGU YALE YOTE YALIOKATAZWA WAO NDIYO KWANZA WANAYAFANYA. BAA ZINAJAA KAMA KAWA, MADADA POA USISEME NA MAJANGA KIBAO VIJANA WANAFANYA. LAKINI TUANGALIE UPANDE WA PILI KWENYE MFUNGO WAO UKIINGIA TU JAMII NZIMA INAJUA, VIMINI VINAPOTEA, MACHANGU WANAONA NOMA KWENDA KUUZA, WALEVI WOTE WANABAKI MAJUMBANI MWAO WAKIJISIKIA AIBU KULEWA HADHARANI, BAA NA BENDI ZA MUZIKI ZINASIMAMISHA HUDUMA KWA MUDA MPAKA MFUNGO UISHE KWA KUKOSA WATEJA. VIJANA HAWA HAWA TUNAOWASEMA KWENYE KWARESMA HAWAJALI CHOCHOTE, MADHAMBI KAMA KAWA LAKINI KWENYE ULE MFUNGO WA WENZAO UTAKUTA WANAJIDHIBITI KUFANYA UPUUZI HADHARANI, KILA BINTI UNAYEMUONA MTAANI AU AKIENDA OFISINI KAVAA KIMAADILI KAMA MFUNGO HUO UNAMUHUSU LAKINI KWENYE KWARESMA VIMINI KAMA KAWAIDA, HAWAHESHIMU NA WALA HAWAONEKANI KUHOFU CHOCHOTE KAMA VILE KWARESMA HAIWAHUSU, JE HILI NALO INAMAANA HATULIONI?!
    CHA KUSIKITISHAZAIDI WANAOVAA NGUO ZENYE KUONESHA SEHEMU ZA MIILI YAO ZISIZO RASMI KUONEKANA HADAHARANI HUKU WAKIWA WAMESHIKA KITABU KITAKATIFU NA KWENDA KUABUDU NI KINA NANI?! HIVI ULISHAWAHI KUONA BINTI KAVAA KIMINI KAINGIA KWENYE NYUMBA ZA IBADA ZA ULE UPANDE WA PILI AU KAVAA NUSU UCHI HALAFU KASHIKA KTABU CHAO KITAKATIFU?! JE WANAONING’INIZA MISALABA YA ROZALI ZAO HUKU WAKICHEZA NUSU UCHI KTK MIZIKI YAO YA KIDUNIA NI KINA NANI?! JE ULISHAWAHI KUYAONA HAYA KWA VIJANA WA UPANDE WA PILI WAKIZIFANYIA UPUUZI HUU TASBIHI ZAO?! WATU KAMA KINA ZUMARIDI NA WENGINEO AMBAO WANAOONGOZA KUANZISHA NYUMBA FEKI ZA IBADA ZILIZOKUWA ZA KIPIGAJI TENA KTK MADHABAHU ZAO WAKINENA KINYUME KABISA NA MAANDIKO HUKU WAKIKUSANYA MAMILIONI YA SADAKA KWA MIUJIZA YA KUMAGUMASHI HU WAKIJITAJIRISHA, JE HAWA NI KINANI?!
    NDUGU ZANGU KIUKWELI HALI NI MBAYA SANA, TENA HAPO HATUJAGUSA KUONA NI KINA NANI WANAOONGOZA KWA KUMILIKI MABIASHARA MACHAFU MACHAFU YA MABAA NA MAGESTI YANAYOTUMIAKA KUMOMONYOA IMANI KADHALIKA NA MAADILI YA JAMII, HATUJAMULIKA USHETANI WA UFUNGISHWAJI WA NDOA ZA JINSIA MOJA NA MENGI MENGINEYO. KWA MAZINGIRA HAYA LAZIMA ZIFANYIKE JITIHADA ZA MAKUSUDI KUDHIBITI HALI HII KWA MASLAHI MAPANA YA KIROHO NA KIJAMII, NDUGU KWA MIFANO HII TULIZA AKILI JIULIZE NA JIFIKIRISHE WEWE MWENYEWE BINAFSI KWA KUIREJEA MIFANO HAI HII NA UKIPATA JIBU NAAMINI UTAKUJA KUJUA MCHUNGAJI KIMARO ANACHOSEMA YUPO SAHIHI AU LA!!
    Timotheo 3:16-17
    Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.

  • @editrudesmbonde9051
    @editrudesmbonde9051 Рік тому

    Vijana wa kiislam hawana lolote,usijichanganye.
    Wakristo ni waaminifu sana kuliko waislam.

  • @omarmakame3027
    @omarmakame3027 Рік тому

    Ukweli sikuzote haujifichi
    Na haki lazima ije juu

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Рік тому +4

    Sema baadh bwana.kwani ww uko upande gani mch?

    • @adventsumari5776
      @adventsumari5776 Рік тому +1

      Na yeye atakua cyo mwaminifu. Apo angetakiwa kufudisha watu waepukane na wizi

  • @ibnayub2374
    @ibnayub2374 Рік тому

    Awamu hii tutaona mengi, Allah ajaalie muingie kwenye DINI ya kweli uaminifu na uadilifu ndio msingi wa DINI yetu, na ndio maana Allah akawaita waislam: Enye mlio amini, kwa kumuamini Allah n lazima tuamini aliye tukataza.

    • @jackfruit409
      @jackfruit409 Рік тому

      waingie makundi kwa makundi..suratu nasr

  • @martinsimon7689
    @martinsimon7689 Рік тому

    Aibu aibu kwako Mch na hao wanaokusapoti,hivi al kaida,al shaabab nk ni vijana wa kikristo.Una elimu ya dunia finyu sana.Panua wigo wako utajua mengi.

  • @juliethnnko3700
    @juliethnnko3700 Рік тому

    Jamanii wachungaji embu wekeni akiba ya maneno khaaaa

  • @musokedios8162
    @musokedios8162 Рік тому +1

    Limewachoma kwani linaukweli,

  • @gracebrenda1199
    @gracebrenda1199 Рік тому

    Baba ungeongelea hili kqenye semina ya vijana.

  • @YoungQasaf-rw8my
    @YoungQasaf-rw8my Рік тому

    U Kovizuri

  • @raymondmunis3553
    @raymondmunis3553 Рік тому

    Baba umerudishwa lakini ukweli ndio huo

  • @masanjaek6719
    @masanjaek6719 Рік тому

    Amekose mno yeye angesema wauumini wa kanisa hilo ndio wezi na sio wakristo wote.kama ameona hilo si awe mwislam

  • @calvinkapinga8341
    @calvinkapinga8341 Рік тому

    Alichokiongea n ukweli mtupu na ndio mafundisho yatufaayo ili tuwe na hofu ya Mungu

  • @oneswilliam4954
    @oneswilliam4954 Рік тому

    Simba s club

  • @kundakornel7707
    @kundakornel7707 Рік тому +3

    Hapa nahisi kuna mahali theolojia imewekwa pembeni, mchungaji anajua jamii anayoishi nayo, yeye ndio kazi yake kuiombea ibadilike sasa akiwa wa kwanza kulaumu ameweka pembeni uchungaji wake.

    • @rehemamkamba9027
      @rehemamkamba9027 Рік тому +1

      Kuombea pekee Bila malezi majumbani kwao ni bure. Mlee mtoto njia impasayo nae hata iacha hata atakapokuwa mzee

    • @mathossecuritycompanyltd6306
      @mathossecuritycompanyltd6306 Рік тому

      mch hapo umeteleza huwezi kuwaambia wote no wezi

  • @gideongerald2846
    @gideongerald2846 Рік тому

    Hapo pastor umekosea mbona tunafanya kazi na waislamu na ni wapigaji wakubwa sana hizo takwimu zako ni kwa mazingira uliyopo nenda kwa mazingira mengine wanapiga vibaya mno

  • @albertmtui2480
    @albertmtui2480 Рік тому +4

    hii shida ya uaminifu sio kwa vijana wkristo tuu ni vijana wote wa dunia ya leo ni tatizo la kimaadili na mfumo wa maisha

    • @analeynsangalufu2399
      @analeynsangalufu2399 Рік тому +2

      Mchungaji hapa kapuyanga, labda kama alikua na kitu moyoni kuhusu vijana wa kanisa lake.

    • @ahmedmpimbi9684
      @ahmedmpimbi9684 Рік тому +1

      Nafikiri mfuatilie vzr kuna kaukweli ndani yake, kwenye uislamu kuna maonyo mengi sana juu ya kuiba mfano mdg ni hv ukiiba wastahili kukatwa mkono, sasa ukichukua hii na maonyo mengine inatengeneza hofu moyoni na kupunguza speed ya wizi

    • @expert5898
      @expert5898 Рік тому +1

      @@ahmedmpimbi9684 mimi ni mkristo, nakukubalia unachosema ahmed... japo sio wote waaminifu ila waislam wanajitahidi sana kuliko wakristo... mkristo anakutapeli waziwazi kabisa kweupeee

    • @easthall
      @easthall Рік тому

      @@analeynsangalufu2399 Mchungaji kakosa ni zamu. Haihaibisha kanisa lake. Eti hata humu...

    • @easthall
      @easthall Рік тому

      @@ahmedmpimbi9684 Uwizi hauendani na dini bali ni tabia ya mtu. Mchungaji kavuka mipaka kwamba vijana wa kristo sio waminifu....Hii kahuli imeni kwanza saaana. Lazima asimamiswe kazi huyu akapewe nizamu.

  • @loycenicolao7488
    @loycenicolao7488 Рік тому +1

    ongea baba,watu wabadilike tu!!!!!

  • @sulemanmadahatv1691
    @sulemanmadahatv1691 Рік тому +2

    Suala la wizi halihusiani na dini ni roho chafu ya shetani

  • @kennedyngusa8890
    @kennedyngusa8890 Рік тому

    Sijakuelewa kabisa

  • @agnessgoodluck
    @agnessgoodluck Рік тому

    Kwenye hili umepuyanga mtumishi tena umekurupuka uaminifu sio dini bali ni tabia ya mtu
    Pia unaonyesha udhaifu kwa Kristo unaye muhubiri huku ukitukuza wengine Mungu akusaidie upone

    • @adventsumari5776
      @adventsumari5776 Рік тому

      Agnesi nakuunga mkono kwa ilo. Ajui pale mazabauni kasimama kwa ajili ya haohao wakristo

  • @hamissnjumba302
    @hamissnjumba302 Рік тому

    Enhee hewalla umesema kweli na mtindo wa kuibiana nyie umeanzaa kwa wachungaji sikuzote kuwadanganya waumini wao miujiza ya uronho kwa kudimandi pesa na ilihali waumini wanaona matumizi ya pesa hizo NA hata wewe hapo ulipo ni shauri ya pesa tu laasivyo come to Islam tunyenyekee tumuabudu Allah

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 Рік тому

    We ni mkweli hta wakisema nn ww ni mkwel

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 Рік тому +1

    HUYU NIMTUMISHI WA MUNGU KWELIKWELI

  • @c-4839
    @c-4839 Рік тому

    JATU, ...

  • @amosmwita323
    @amosmwita323 Рік тому +1

    Kumbe mwafatilia

  • @zachariasamweli175
    @zachariasamweli175 Рік тому

    Niwe mwisiram nini?

  • @dannypeter4951
    @dannypeter4951 Рік тому +1

    Popote utakapokuwa ntakufata