GIGY Apanda Kumtunza Mama Mjamzito, Asahau Yaliyotokea Na Mo Jay, Kweli Kipenzi Cha Watu....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Ahsante kwa kuwa mwana familia, kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ili usipitwe na habari zetu.

КОМЕНТАРІ • 8

  • @lovegodmunisi1006
    @lovegodmunisi1006 Рік тому +3

    Mm huyu mwanamke nampenda balaa. Akianza fujo hua natamani angekua wangu, tungezinguana balaa ila kimtindo ila nisingemwacha. I love her much.

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Рік тому +3

    Thanks Giggy hujawahi niangusha 💪💪🥰🥰

  • @lightnesscharlse2281
    @lightnesscharlse2281 Рік тому +1

    Gig jamani nakupendaga tu Fujo zako woii

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Рік тому

    Atafutiwe menej tu gigi mzur na ni brand nzuri ila watu wakuongoza ndo hana

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 Рік тому

    Ametunza watu wakaja wengi kutunza barikiwa mno G

  • @nuuringoogle4104
    @nuuringoogle4104 Рік тому +1

    🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️❤️