Alichokifanya SHILOLE Baada ya KUULIZWA UCHEBE Hajambo - "MIMI ni MAMA KIJACHO"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024
  • Alichokifanya SHILOLE Baada ya KUULIZWA UCHEBE Hajambo - "MIMI ni MAMA KIJACHO"
    MWANAMUZIKI wa Bongo fleva, Shilole, ni miongoni mwa mastaa waliohudhuria katika usiku wa 'Baby Shower' ya mama vijacho wote ulioandaliwa na muigizaji Aunt Ezekiel, ambaye nae ni mama kijacho...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 31

  • @aishahussein3879
    @aishahussein3879 3 роки тому +3

    Kweli ukisoma unaelimika halina adabu hata ya kuvalia nguo ona linavoropoka ovyo mbele ya watu anataka kumdhalilisha dada wa watu kama alivomdhalilisha Snurah mbele ya alayki kweli Uchebe alivumilia mengi hadi kulibonda hongera sana kaka kwa kujivua kwa ilo gumegume😏

    • @jeyshillyjack4470
      @jeyshillyjack4470 3 роки тому

      🤣🤣🤣🤣🤣dar

    • @anethamos7429
      @anethamos7429 3 роки тому

      Ukimtukana mwenzio na ww jiangalie kama mnalingana maana ww Sura nzito kama uji wa muhogo imekukomaa Kam gimbi maji

    • @mahmoudayed6272
      @mahmoudayed6272 3 роки тому

      Kumbuk kama Shishi sio saizi yako 😄😄😄😄Tena Uyo ni msani anapashwa kubadilika kila mdaa😄Shishi fanya yako

    • @arafaambari4105
      @arafaambari4105 3 роки тому

      Dhaaaa Binadamu tukoje... Tupendane.. Chuki azijengi

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 3 роки тому

    I love shishi babyyyyy

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 3 роки тому +1

    Ilove u shishi

  • @sakinamarjebi2206
    @sakinamarjebi2206 3 роки тому

    Hongera mamy😍

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 3 роки тому

    wawoo mung akujarie

  • @winfridamwamban1078
    @winfridamwamban1078 3 роки тому

    Mmmm

  • @fatumaseleman1579
    @fatumaseleman1579 3 роки тому +6

    Shilole kam kweli mama kijacho bac wewe nyota yako ya kulea watoto mwenyew 😀😀😀pole jilani yang 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack4470 3 роки тому +1

    Dar,shishi kaachwa kwanza kuvaa high hill😏

  • @rahmssalum3163
    @rahmssalum3163 3 роки тому

    Chefu

  • @pillkassimwakike2474
    @pillkassimwakike2474 3 роки тому

    shishi siku hizi mavazi yake km mahana hv cjui kawaje siku hizi mwili wote uwo unavaa nguo km chizi

  • @mariamsuleiman1638
    @mariamsuleiman1638 3 роки тому

    Umezoea kulea mimba zisizo baba hongera ya kwanza umebakwa yakwenye ndoa uliibania ulipoachika mimba ndwiiii hata hupendezi

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 3 роки тому +1

    Umekaa na uchebe huku mpa kijacho miguu na viatu

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 роки тому

    Uchebe atampaje mimba huyu nawakati yupo na nuu mziwanda wake😂😂😂

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому

    Heheee shishi kweli usingle inamabo.

  • @josephatmaimu5383
    @josephatmaimu5383 3 роки тому

    Ila shishi upo kama pipa walah, mbele huelewek, nyuma huelewek 😂😂

  • @itslayla1506
    @itslayla1506 3 роки тому

    nibora uvaye vyimini

  • @luciennedukuze2213
    @luciennedukuze2213 3 роки тому

    Akipendezi Uchebe akutaki wewe

  • @janethhenry1557
    @janethhenry1557 3 роки тому +3

    Simpendi huyu tangu amkashifu mumewe