MIMI MARS ndiye MUIGIZAJI bora wa kike, ashinda TUZO hiyo na kuwaburuza kina JENNIFER KANUMBA, DORAH

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Unaipenda kazi yetu na ungependa kutuunga mkono? Sasa unaweza kutuchangia kiasi chochote kuanzia shilingi 500. Fuata link hii hiveticket.web...
    Tunashukuru kwa kuwa Mwana SnS unayejali

КОМЕНТАРІ • 54

  • @salhamrishoi4943
    @salhamrishoi4943 Рік тому +10

    Ni halali yake anaweza saaaana uyu dada mwana kondoo anajua kuigiza

  • @piranha5105
    @piranha5105 Рік тому +10

    Toka nianze kuona tuzo za bongo Leo ndio nimeona tuzo ya haki

  • @bahatisunga1642
    @bahatisunga1642 Рік тому +13

    Ni haki yake maana anaigiza bila Mek up

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 Рік тому +14

    Nihaki kwa maria mwanakondoo tunaujua moto wake jua kali

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Рік тому +1

    Ni sawa kabisaa love you ❤️❤️

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 Рік тому +4

    Hongera mwanakondooo

  • @user-kh4fx3cn8u
    @user-kh4fx3cn8u 8 місяців тому

    Hapo mmeenda kiuhalali

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +4

    Ila Maria ana juw sana

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 Рік тому +3

    Hongera 😍😍💪

  • @michaeljgruppiii7257
    @michaeljgruppiii7257 Рік тому +2

    Hapo Hakuna wasi wasi hii ilikuwa lazima itoke jua kali femi ao Maria hao Hakuna tatizo wala kuonga

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Рік тому

    Hongera sana Mariana.

  • @hellydalton2678
    @hellydalton2678 Рік тому +3

    Achen apate tu Dada yuko vzur mno mno duh

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 Рік тому +4

    Mimi mars💟👌she deserves 👏

  • @fridhausmeju-gi6po
    @fridhausmeju-gi6po Рік тому +2

    Maria anajua sio siri

  • @miriamdastan5863
    @miriamdastan5863 Рік тому +2

    Anastahili kwakweli

  • @yusrambarouk3884
    @yusrambarouk3884 Рік тому +1

    Nilijuwa tu atapata tuzo kwani ana ekti vizur sans maria😊

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Рік тому +2

    Maria Moto wake unajulikana😆😆

  • @czechzyamwaga1021
    @czechzyamwaga1021 Рік тому

    Mariaaaaaaaaaa

  • @jacklineikoki6653
    @jacklineikoki6653 Рік тому +2

    Anastahili jaman 🤣🤣🤣

  • @bossman4364
    @bossman4364 Рік тому +1

    mbona kizaaa sanaaa 😂

  • @safiahassan6121
    @safiahassan6121 Рік тому +1

    Angepew dora jaman sema tu watu wanampenda

    • @neemakingu4134
      @neemakingu4134 Рік тому

      Dorah anacheza Scene ngumu sana alafu unavaa husika haswa yaan km kweli vile. She is Good

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому +2

    Kumbe kuna tunzo uwiii sijui nipo wapi

  • @mwajumsleman9070
    @mwajumsleman9070 Рік тому

    Haki yake kupewa tunzo jmn

  • @nilastephen8265
    @nilastephen8265 Рік тому +1

    Ukweli wa mungu ana jitaidi.ila story ya series yao ina husu mapenzi sana kuliko maisha halisi ya mtanzani. Halafu vitu vingine wana ingiza siyo mira na desturi ya kiafrika. Baba na mtoto wana tembe na mwanamke moja au mama na mtoto wakike hivyo hivyo. Kaka dada. Haja staili kupewa hii tunzo kuna watu wana igiza vizuri

    • @neemakingu4134
      @neemakingu4134 Рік тому

      Hayo maisha yapo ndugu wako wengi wanafanya mambo then matokeo mabaya yanatokea mbelen which is laana ktk familia. So hawajakosea. Makosa km yaliyopo ktk familia ya Prof na gloria yapo. Na side effects sio lazima iwe kwenye mapenzi tuu mama kushindwa kulea familia yake vyema inaweza kuwa sababu ya baba kuchepuka au watoto kuwa gat na lebian au chochote tuu. Ila hayo maisha yapo

  • @nancembaga43
    @nancembaga43 Рік тому

    Wote mnaosema maria hakustali mnadandia tren kwen mbele nunuen vig, amuzi mbwa nyie 🤣🤣 pumbavu zangu mimi hongera maria umeupiga mwingi

  • @roqayaro9439
    @roqayaro9439 Рік тому

    MALIA KWENYE UPANDE WA KULIA HAUKO VZR UNA HISIA ZA KUT9A MACHOZI

  • @tiffanyakramJr822
    @tiffanyakramJr822 Рік тому +2

    Tuzo za Tanzania zinashushwa hadhi na jopo fulani ivi, sema nini niishie hapa 🤔

  • @annemoureen6676
    @annemoureen6676 Рік тому +1

    Sjajua wamezngatia nn🤐🤐

  • @josephinelwamlema7331
    @josephinelwamlema7331 Рік тому +1

    Mmependelea bwana

    • @neemakingu4134
      @neemakingu4134 Рік тому

      Sijajua wameangalia vigezo gani ila kwa hao waliotajwa mie ningempendekeza Dorah. Scene na script zake ni ngumu lkn anatendea haki as if ni kwel kumbe maigizo. Mfano kwenye jua kali anaigiza scene yake ni ngumu sana ila anafanya vzuri mno

    • @priscarshirima3081
      @priscarshirima3081 Рік тому +1

      Nunua dstv mama acha kuongea 🤣

    • @neemakingu4134
      @neemakingu4134 Рік тому

      @@priscarshirima3081 mpaka nimesema means c naangali jmn🤭🤭🤭

  • @yusuphkilua3649
    @yusuphkilua3649 Рік тому +1

    Mbona kuna wakongwe wengi ambao wanafanya vizuri kwa sasa lakin akuna ata ambaye amekua nominated..? za mchongo izi

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 Рік тому +1

    Kwa maigizo gan? sijui hizi tuzo zinazingatia vigezo gan

  • @star4chan677
    @star4chan677 Рік тому +2

    Tuzo za mchongo 😂😂 kwa character gani apewe uyo clouds wote wamepewa tuzo all from Arusha tuzo za ukoo 😉😉