JIFUNZE KUWA MWANAMITINDO MBOBEVU TANZANIA NA CHUO CHA TURNBULL TECHNICAL COLLEGE MKOANI IRINGA
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- Chuo cha Ufundi Stadi Turnbull Tech ni chuo ambacho kinampa ujuzi mwanachuo ujuzi ambao ataishi nao nyakati zote katika mahali popote atakapokuwepo lakini vilevile kinamjengea uwezo mwanachuo wa kuja kuwa mwanamitindo mbobevu kwa kuwa tunampa ujuzi ambao ni zaidi ya ushonaji; kwa kulizingatia hilo tumekuwa tukishiriki matukio makubwa nchini yanayofanyika kila mwaka hapa nchini Tanzania kama vile SWAHILI FASHION WEEK jijini Dar es Salaam. Karibu sana kwa kupata kile unachokusudia kukipata kazi yetu ni moja tu ni kwamba ni kukupa ujuzi wneyewe.
+255 765696076 WhatsApp number, Kwa mawasiliano zaidi.
Kwa dar esalaam mnapatikan maeneo gn
Tunashukuru sana kwanza ila sisi tunapatikana mkoani Iringa pekee. Karibu sana. 0765696076
Mnapatikan wap
Tunapatikana Mkoani Iringa, Iringa mjini kabisa karibu sana. 0765696076