Siamini kama ni bahati MBA ya hata kidogo. Alafu ukimwi akafa ndani ya mwaka mmoja?? Na teknolojia na mazingira yote mazuri usa. Nadhani waliona atakuja kuwa mtu maarafu Sana. Ila endeleeni
Kuna HIV na AIDS, HIV ukiingundua haraka unazuia isiende kwenye AIDS.... Ndicho kinachofanyika sasa. Kupambana kinga ya mwili isishuke kwenda AIDS... Hata sasa unapata HIV hujaigundua inadevelop fasta kwenda AIDS, Kinga inaporomoka unaanza kupata TB, kansa, homa, kuharisha,kutapika, nk utakua mtu kweli? Tupime kujua afya zetu mapema
Kwenye Predator alipewa scene moja inayo mwonyesha sura yako niile scene yakwenye helcopter wakati kina Arnodi wanaenda mstuni pale alicheza Kama pilot wa Ile helcopter na sura yake ilionekana
Much love niliangalia jan ntaangalia leo kesho wala siichoki maisha good job for sure 🔥
Nitaarifa nzuri kweli Nimara ya kwanza kuskia Asante
Kwenye DAMU pia walimuingizia Aiseee ni noma
Wazungu sio watu waziri,,, wwlifanya makusudi bhn, ko walishindwa kupima hiyo damu 😥😥😥😥😥😥😥😥🤦🏻🤦🏻🤦🏻🤦🏻
Bonge la movie Predator!👍🏻❤
Kuna watu wanabishana humu kuwa eti alipewa scene ya kuonekana huyu jamaa sasa mimi sitaki ubishi narudi kuiangalia tena ikisha nitarudi kutoa majibu
Kweli ile pati ya mwisho ndiye pailoti waile helkopta iliyokuja kumchukua anodi ndiye huyo jamaa
Hyo alitakiwa acheze vandam. Akacma yeye havai hyo helment. Akalipga teke likavunjika. Lilipa dola elfu 22. Kununua hyo helment.dairekta wa anorld.akamfukuza.
So sad story 😢
Wakati naangalia filamu hihi sikuwahi kujua kama huyo kaka ni mzuri hivyo, nilimuogopa mno, Mungu amlaze pema
Mi nilijua nafasi hiyo ni jean cloud van Damme
good job from Congo drc 🇨🇩🇨🇩
Asante from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💪💪 in Cape Town 🇿🇦🇿🇦🇿🇦
Nakubal sana kaka wewe unatuletea news ambao hatujui ndotuweze kujuw ak thx so much the ❤️❤️💪🙏
Ndio maana Vandame aligoma 😂😂
Justin tunaomba utuletee ya arafa abdilah yule alokua anaimba qaswida hatumuoni je yupo tupe history yake
kweli
🤐🤐🤐🤐kweli damu yenye virusi😢😥😥😥 nchi kama hiyo
Kwamba walikumbuka kupima group la damu na kila kitu wakasahau kupima usalama wa damu?
Siamini kama ni bahati MBA ya hata kidogo. Alafu ukimwi akafa ndani ya mwaka mmoja?? Na teknolojia na mazingira yote mazuri usa. Nadhani waliona atakuja kuwa mtu maarafu Sana. Ila endeleeni
Kuna HIV na AIDS, HIV ukiingundua haraka unazuia isiende kwenye AIDS.... Ndicho kinachofanyika sasa. Kupambana kinga ya mwili isishuke kwenda AIDS... Hata sasa unapata HIV hujaigundua inadevelop fasta kwenda AIDS, Kinga inaporomoka unaanza kupata TB, kansa, homa, kuharisha,kutapika, nk utakua mtu kweli? Tupime kujua afya zetu mapema
Pia miaka ya mwishi ya 87,88 hakujawa na udhibiti mzuri wa mzuri, lakini pia na kinga ya mtu inachangia kupata athari kubwa au ndogo
jamani nashukuru sn nilikua sijui km aliye higiza sehemu iyo alikua mtu mwehusi nili zani ni mzungu
Sad 😔 jamaa hawakujali kupima damu salama wao walimdunga yayo tu
Yaaan Wana dhambi kweli jamanii 🥲
Walifanya makusudi kabisa kumuambukiza
Kwann alipoongezewa dam augue ukimwi!? Alipewa ukimwi makusudi
C mlisema alikuwa van Damme, anyway niko na nyimbo kali kujeni kwa channel yangu mnifikishe 4K subscribers
Walifanya kusudi kumuwekea damu yenye virusi binadamu sio watu wazuri
Sema wazungu
Jamaa angu film ya predator inanikumbusha mbali
Walimuua kama jamaa wa black panther
Kwenye Predator alipewa scene moja inayo mwonyesha sura yako niile scene yakwenye helcopter wakati kina Arnodi wanaenda mstuni pale alicheza Kama pilot wa Ile helcopter na sura yake ilionekana
Sio kweli
Kweli
Dah! So sad kwakweli
Huyo aliye muwekea DAMU yenye virusi vya UKIMWI.ina maana kipindi HICHO walikuwa na technogy ndogo juu ya Afya? Hapo sija elewa..
Miaka ya 80 huko ilkuwa bado
Kumbe ni handsome hivy me skujua.ila Kaz nzur kaka
Aya ushamjua mfate
@@mdalamgir-gu9hu una kechi sana mtt wa kiume ulitaka ufatwe ww?
Hayo ni Yale Yale waliyomfanyia Brandon Lee
Nikusudi tu hawataki nyota wa filamu awe mtu mweusi lol
Huyu ukifatilia sana huyu aliuwawa virusi tuu Mwaka vikuondoe
Mbona anaonekana ni mu afrika tena kama Mtanzania
Asante sana kwa mafunzo
Asant kk kwa tarfa nzuri km hz
Bongo Fastaaa🙏
Nakupa Leo alieigiza kama predotor kwenye hii movie ni jean cloud van damme Fanya resach
we nawe
Collection mkuu mission haikua Vietnam Bali ilikua KATIKA msitu wa Amazon
Masahihiho pia kwako, ni correction na sio collection.
@@shabanihamisi115 nawewe sio masahihiho ni masahihisho
Wehu wote nyie....yani nmecheka km chizi
Dah Sasa dam hawakuipima au ndio fitna zenyewe
Nakubali kaka
mtaala tuletee ufafanuzi kuhusu astral projection/kutoka nje ya mwili.
Ndugu hii ki2 hata tukiletewa usijaribu
Ndugu hii ki2 hata tukiletewa usijaribu
Mind Awake, Body Asleep . Uchawi haupo, iyo nikujitengenezea tu imagination nakuwa affected, ni sawa na Sleep Walking
Ningependa ufanye video ya Facebook wanawezaje kujuwa kuwa watu hawa unawajua kivip yani. 🙏🙏
una maana gani
Ndy Ina maana gani mbona unaongea pumba
Daaaaaah ila ww jamaa bhn , ovyoo kbs ndio nn Sasa hiii
Hajaweka vizuri swali lake ila ana point
Mimi nimekuelewa yaani Facebook wanajuaje kama mtu flani unamfaham maana unakuta Huwa wanalete maoni ya watu unaowafahamu ....
Wana2danganya hawa wa2 sisi 2naerem
Dah sasa ataongezewaje damu mtu bila iyo damu kupimwa
Kunyw maji msimuliziiiii
Thanks
SASA TWENDE KAZIIIIII
Dah inaskitish sana.
Mmmmh sio pw asee
Mbona walisemaga Van Damme ndio aliyevalishwa kile kinyago sa hivi mnasema mtu mwingine kabisa
Van Dame hakucheza hiyo movie alitolewa baada ya kutaka aonekane
Kama na wewe ulikuwa unaipenda hi muvi kipindi kiiiile nipe tano bro
Kwenye suala la movies me namkubali Tony Jaa
Wazungu niwatu wabaya xana jaman
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️.
❣️❣️❣️❣️
Acha bhanaaa aliyeigiza kama predator katika hiyo picha ni Jean Claud Vandame sasa wewe mbona unatuletea makala ya uongo bhanaaa....!!! 👎👎😂😂😂
Du!
P
mmmh