SNAKE BOY | ep 26 | SEASON TWO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    www.facebook.c...
    #Clamvevo #Vevowood #Nollywood #Bongomuvi

КОМЕНТАРІ • 2,7 тис.

  • @PaulMrema-z1e
    @PaulMrema-z1e 3 місяці тому +39

    Sitaki like ya mtu mimi naangalia tu😂😂😂❤

  • @yahyamohamed7218
    @yahyamohamed7218 3 місяці тому +511

    Dakika 6 tu kuna watu zaidi ya 30 wanaomba likes badala ya kutoa maoni kuboresha na kusupport kazi nzuri 🤣🤣

    • @OfficialKajenga
      @OfficialKajenga 3 місяці тому +14

      Ata wew mwenyewe uliosema hiv ili ujue umepokelewa vizur lazima uangalie like

    • @salvatakiseo3359
      @salvatakiseo3359 3 місяці тому +8

      Wabongo vichwa vibovu Ndio maana tuko mbele kwenye ujinga kuliko vitu vya maana

    • @user-ic7felix
      @user-ic7felix 3 місяці тому +8

      Kweli kabsa cijui huwa wanapeleka wapy 😂😂😂😂

    • @DadeMussa-n8k
      @DadeMussa-n8k 3 місяці тому +2

    • @ibrahjokes5055
      @ibrahjokes5055 3 місяці тому +4

      Hatuwez kusuport Zaid ya kuangalia tu 😢😢

  • @IsayaNassary
    @IsayaNassary 3 місяці тому +57

    Big up sana kwa huyu dada alieigiza kama kakoso, anafny kazi sana na kwa ujasiri kiukweli mimi ananifurahisha, tupewe majina ya social media zake tumfollow

  • @leonialeopord5343
    @leonialeopord5343 3 місяці тому +14

    Jamani kazi nzuri sana, but mnachelewa kutoa episode,, hadi watu tunasahau kama kuna snakeboy

  • @RamadhanHamadiFaki_2006
    @RamadhanHamadiFaki_2006 2 місяці тому +3

    Dah! imeniuma sana mtukufu alivyo mezwa na chief

  • @qaseemayoub6758
    @qaseemayoub6758 3 місяці тому +121

    Utasikia kenya na burundi tujuane hapa halaf wenye nchi wapo kimya...
    Haya leo Watz🇹🇿 tujuane hapa kwa like😊

  • @goldenboy1521
    @goldenboy1521 3 місяці тому +57

    Naombeni like zangu hap 😂

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 3 місяці тому +161

    Mm kwenye Snake boy sijawahi pewa like hebu leo mnipeni hata 10 nienjoy

  • @ronzevannyboychui1661
    @ronzevannyboychui1661 3 місяці тому +15

    IIa sija chelewa sana nipo kabisa namie naomba like zangu 15 hapo ila clam Nampa mauwa yake clam vevo ❤❤kitu kizuri kabisa 🎉 hongela sanaaa

  • @hassaniselemani997
    @hassaniselemani997 3 місяці тому +14

    tumewachoka mnaopenda kuomba like

  • @kingcicero1708
    @kingcicero1708 3 місяці тому +179

    Ntanzi ajamezwa hii ni ndoto tu, kama utakubaliana na mimi like hapo chini 😂😂😂

    • @liliy-u3n
      @liliy-u3n 3 місяці тому +1

      😢 sure

    • @jesusiscoming237
      @jesusiscoming237 3 місяці тому +1

      Afu ukute kweliii

    • @jesusiscoming237
      @jesusiscoming237 3 місяці тому +5

      Sema wakisoma comment wataweza wakabadilisha scene

    • @Zenabeby
      @Zenabeby 3 місяці тому +3

      Kama kwel vile 😂😂😂

    • @annaki318
      @annaki318 3 місяці тому

      ​@@jesusiscoming237hahahahaaaaa

  • @ZuwenaLandism-ft1lb
    @ZuwenaLandism-ft1lb 3 місяці тому +35

    Dah sa itakuaje faras kamezwa

  • @rajabumuhamed477
    @rajabumuhamed477 3 місяці тому +134

    😂😂😂 yaani mamtu yamekazana naomba like wa kwanza
    Badala ya kusifia au kueleza mapungufu yalijitokeza katika hiki kipande

  • @AnnsoilaTanni
    @AnnsoilaTanni 3 місяці тому +62

    Kma Unakubali clam kwa kazi zuri anayo faya like zunu jamani Alafu muombe dua azidi kufaya kazi zuri ❤❤❤❤❤

  • @NajmaAmir-j9x
    @NajmaAmir-j9x 3 місяці тому +12

    Hii movie mnataka fanya kama series za kihind limekwisha hili mnareta jingine

  • @JaguarEscobar
    @JaguarEscobar 3 місяці тому +24

    Pumbavuuuuu yani notification inanifikia asaiv kumbe watu washa moment mda tu na tangia morning Niko online

  • @mbwanaOmar-vw4gh
    @mbwanaOmar-vw4gh 3 місяці тому +40

    Wapili nipen like

  • @Mnyaturu980
    @Mnyaturu980 3 місяці тому +136

    Kila siku naulizaga swali hili hizo like mnazo ziomba huaga mna zifanyia nn na mm nianze kuziomba. ila hakuna mtu alie nijibu zaidi ya kuanza kunipa like pia na wakati sijaziomba sababu sijui kazi zake😂😂😂😂

  • @AlfredChai-lv8zr
    @AlfredChai-lv8zr 3 місяці тому +46

    Nimekuwa wakumi kutoka Kenya naomba like zenu

    • @KENYABASKETBALL_TV
      @KENYABASKETBALL_TV 3 місяці тому +2

      Oyaa budaa acha ufala una angusha wakenya.unaomba likes zikusaidie na nini makinika unatuangusha msenge

  • @kassimabussa6583
    @kassimabussa6583 3 місяці тому +13

    Ambao wanaufatilia snake boy tokea season ya Kwanza mpaka Leo tujuane hacheni kuomba like fatilien movie nzuri yenye ubunifu mkubwa

  • @sadamuall8249
    @sadamuall8249 3 місяці тому +35

    Jamani nimewah 😂😂 tunae ipenda snek boy tujuane kwa like

  • @kelvinfficial
    @kelvinfficial 3 місяці тому +488

    Please leo wakwanza naomba muni gongeye like 15 tu 😢
    Naomba mutowe likes zenu zote muniachie zangu kumi natano basi 😅😅😅😅😅😅😅😅😅

    • @AshrafWahid-dr2qn
      @AshrafWahid-dr2qn 3 місяці тому +12

      Vipi una kuwa kwanza

    • @kazungualii5368
      @kazungualii5368 3 місяці тому +9

      Nenda ukaombe mola acha kuomba like wewe kengee kwani clam vevo

    • @kazungualii5368
      @kazungualii5368 3 місяці тому +3

      Lichupa hilooo

    • @AshrafWahid-dr2qn
      @AshrafWahid-dr2qn 3 місяці тому

      @@kazungualii5368 lakini sija uliza kwa ubaya

    • @Suma001
      @Suma001 3 місяці тому +4

      Watanzania acheni ujinga izo like zikusaidie nni wew toa maoni yako kuusu wasanii wetu ili sanaa yetu ifike mbali sasa ukishaomba like unapata nini😢

  • @FazilimariamMariam
    @FazilimariamMariam 3 місяці тому +40

    Wangapi mnamkubali mwasi nakupenda sana natoka burundi nawapenda nyote

  • @Dutch218
    @Dutch218 3 місяці тому +8

    Mwasi ni mwana ziara mzuri kuliko ntanzi😂😂😂😂

  • @philipolugoma3796
    @philipolugoma3796 3 місяці тому +10

    Clam hana mpinzani kwa sasa kama unaamini gonga like za kutosha kumspoati mwamba wetu🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Mukansconstruction
    @Mukansconstruction 3 місяці тому +47

    Since Steven kanumba passed away, Bongo movies never had a best movie like this one ,please guys we need to support this guy because I can't get bored with it

  • @Zanzibar324
    @Zanzibar324 3 місяці тому +24

    Wa kwanza leo

  • @ibrahjokes5055
    @ibrahjokes5055 3 місяці тому +61

    Mm siombi like bali nasuport kaz za clam na support yangu n kuangalia tu au kuna mtu anambinu nyingine anipe😢🎉🎉🎉

  • @rehemasumuley-yv3wh
    @rehemasumuley-yv3wh 3 місяці тому +13

    Hongera Sana clam KAZI nzuri Sana Ila unachelewesha sana

  • @SarahWanjiru-d5w
    @SarahWanjiru-d5w 3 місяці тому +11

    Nani hajaamini mtanzi atamezwa na chifu kama mimi,mbona naona kama ni ndoto team Clamvevo mpo❤❤❤

  • @muddyramadhan3255
    @muddyramadhan3255 3 місяці тому +78

    Hivi mbn watu wamezd kuomba like zinawasaidia nini badala kutoa maon kila mtu naombn like ase day

  • @JamesReuben-gt8up
    @JamesReuben-gt8up 3 місяці тому +48

    Huyu chief wa himayaa ya nyoka ni balaa sana yupo tayare kuuwa kisa madaraka

  • @IBRAHIMOFFICIAL-k1c
    @IBRAHIMOFFICIAL-k1c 3 місяці тому +16

    Waliousubiri mwezi wa 7w@snake bigg bosssssss ginga chuma tunakitazamia apa sasaaaaaa😮😮😮😮😮😂😂😂

  • @OthmanAbdallah-y4v
    @OthmanAbdallah-y4v 3 місяці тому +14

    Clam ushakuwa unazinguwa sasa. Filamu gani hii ya mwaka mzima. Usichoshe watu, mwisho watu watapunguka katika kukuunga mkono, huu ni mfumo m'baya sana wa kibiashara.

  • @EvodiaAdam
    @EvodiaAdam 3 місяці тому +5

    Jaman ntanzi yupo mbona hajamezwa lakin alirudi labdah kama kamezwa huku mwishon nakama kamezwa bas ni ndoto😊

  • @ZahraAlly-wq4ku
    @ZahraAlly-wq4ku 3 місяці тому +211

    Haya wazee wa kuomba Like typing...😂😂😂😂

    • @mohamedcharming7432
      @mohamedcharming7432 3 місяці тому +2

      😂😂😂😂

    • @omarsalum4052
      @omarsalum4052 3 місяці тому +1

      😂

    • @LuluByams
      @LuluByams 3 місяці тому +3

      Kutaka like tuh Kuoga Haaa

    • @ZahraAlly-wq4ku
      @ZahraAlly-wq4ku 3 місяці тому +2

      @@LuluByams 😂😂😂

    • @RashidRashid-wv9ud
      @RashidRashid-wv9ud 3 місяці тому +6

      Wewe kama unachukia Sisi wa kuomba like kazi unayo leo mimi wa 500 lakini bado nahitaji like zote zije kwanu

  • @Better0world
    @Better0world 3 місяці тому +31

    Leo wakwanza nipewe likes zanguu

  • @maryamsylivester8662
    @maryamsylivester8662 3 місяці тому +98

    Jamani tuwe tunatoa maoni na kujadiliana kuhusu hii tamthilia pambe ya Nyoka anategemea Maoni na ushauri kutoka kwetu watazamaji lkn kila saa ni kuomba like tu 😢

    • @maylucson001
      @maylucson001 3 місяці тому +1

      Kabisa yani❤

    • @SarahIbrahim-e7n
      @SarahIbrahim-e7n 3 місяці тому +1

      Hapa umesema ukweli

    • @medaicetz
      @medaicetz 3 місяці тому

      Maon tujitahd kupambania teknolojia mana bado tuko nyuma simulz nzur ila hamna watu wanaezacreate nyoka na kuonesha anavomla mtu kama zlvo movie za nje hata za miaka ya 70 yan ukiandk movie za snake au anakonda za nje za zaman unaon jins nyok anavotendew haki ila sisi bado
      Ko madirector na maeditor wasilizike waende nje kujifunza tuko 2024 ila bado ktk edting creation tukubal bado ila kwa uigzaj na story tunqjitahd

    • @Kib-jsanley
      @Kib-jsanley 3 місяці тому

      Like🎉neo Geo

    • @EmeryNkurunziza-dd5iq
      @EmeryNkurunziza-dd5iq 3 місяці тому

      ❤❤

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 3 місяці тому +10

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi kaka mkubwa tupia like zangu apo❤

  • @MahadyaKibwana
    @MahadyaKibwana 3 місяці тому +5

    kaz nzur sana clam endelea kupambna hvhv unalirudisha soko la filamu apa nnchn

  • @EnfridaManyama-xs5ub
    @EnfridaManyama-xs5ub 3 місяці тому +47

    Wanaoamini kuwa ntanzi anaota like hapa

  • @MohamedKalivata-qr6sr
    @MohamedKalivata-qr6sr 3 місяці тому +90

    Haya wazee like mbilii tu zina tosha kwa snake boy

  • @Chrismamesofficiel
    @Chrismamesofficiel 3 місяці тому +46

    Usinipe like atakama mimi wa kwanza lakini like clam kazi alio ifanya na uni follow na mimi

  • @whitebraysonwhitecode6756
    @whitebraysonwhitecode6756 3 місяці тому +8

    Mimi naona hii tamthilia nikali sana napia tunafurahi sana kupata kitu kizuri ❤❤🎉🎉🎉

  • @mwendiyycomedy2433
    @mwendiyycomedy2433 3 місяці тому +3

    Hii simena imeanza kuudhi sasa..Tunao wategemea kwa ukombozi wanazidi kuuliwa..upuziiii...

  • @RashidRashid-wv9ud
    @RashidRashid-wv9ud 3 місяці тому +117

    Jamani mimi sichoki kuhitaji like kwani kuna watu wanaumia sana humu leo nakosowa kidogo hapo nyoka kummeza huyo farasi mapema hii

    • @joharibenard9179
      @joharibenard9179 3 місяці тому +2

      Hata mm sijapenda kwakweli

    • @tausifautini407
      @tausifautini407 3 місяці тому

      ​@@joharibenard9179hapo wamechemka

    • @benjaandea32
      @benjaandea32 3 місяці тому +2

      hawa ndo wameanza kufeli tayar farasi ni mganga mkubwa sana xi wakumezwa kilahisi ivo

    • @aishasalum3372
      @aishasalum3372 3 місяці тому

      Na mtanzi je kamezwa jamani

    • @ashrakswaleh2116
      @ashrakswaleh2116 3 місяці тому

      Hvi niwaulize Ilo joka mnalichkuliaj

  • @SarahMutale-bk8op
    @SarahMutale-bk8op 3 місяці тому +9

    Congratulations,kwamawazo yangu chif atakwendaku mutapika mbele ya watu wanao muamini ntanzi nawaki mutapika njoatoke na nguvuzake kwasababu usijivunie kisitchokuatchako kamamumesoma munijibu

    • @EtihadBega
      @EtihadBega 3 місяці тому

      Unaweza ikawa hvo,,lkn piah unaweza kuwa ndoto kwa ntanz au mwasi

    • @bakunduwukizebenithe7888
      @bakunduwukizebenithe7888 3 місяці тому

      😂😂😂 ​@@EtihadBega

  • @ashurahamiss
    @ashurahamiss 3 місяці тому +24

    Here we go again na again kaz nzur kama Jana na Leo 🎉🎉🎉af c mnipe izo like jmn 😒 hamjui znaleta utajir 🤧😁taratibu jmn mcnigombeze kiustarab tyuu😘😂❤🎉🎉🎉

  • @anoldkavishe9223
    @anoldkavishe9223 3 місяці тому +6

    Wazee wa kuomba like wapo chap😮😮😮

  • @hghh6056
    @hghh6056 3 місяці тому +11

    Aki ooo si mbwela siupeane guvu za nitanzi aki chaef ndie anameza watu mungu wangu 😢😢😢 much love from kenya 🇰🇪 napenda saana snake boy uuumwaa 💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋💋

  • @sirngetich1815
    @sirngetich1815 3 місяці тому +132

    Kenyans in the house let's gather here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤

  • @merinazyd0532
    @merinazyd0532 3 місяці тому +39

    Namkubali mwasi kinyama yaani huyu dada yupo sirias sanaa

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie 3 місяці тому +79

    Wapi likes za mbio wazeeee wamekimbia watching from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @kiprotichpeter1386
      @kiprotichpeter1386 3 місяці тому +2

      Nilikua nafikiria mie wa kwanza toka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 but...👍

    • @DamarisDammie
      @DamarisDammie 3 місяці тому +1

      @@kiprotichpeter1386 😂😂😂😂 team wifi hatuchelewi kamwe

  • @djnizoh
    @djnizoh 3 місяці тому +3

    Unakuta mtu yuko bize kabisa anasoma comment yangu badala ya kuandika ya kwake😂😂😂

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 3 місяці тому +6

    Jamani kazi ninzuli sana hongereni sanah pia mabolesha nimuhim zaidi mana tamsiliya hii Niya viwango kama inge kua inatafsiliwa kwa kigeleza hapo chini inje ya Africa 🌍 ingependeza wegi mwisho kazi isiwe inachelewa sana jamani pa 1 Mungu awatie nguvu❤❤❤❤❤❤

  • @IrenePhoenix-vv6pe
    @IrenePhoenix-vv6pe 3 місяці тому +14

    Wafanye tu kama legend of the seeker! Azaliwe ntanzi mwingine huyu anasababisha watu wanakufa

  • @NuhuMwita
    @NuhuMwita 3 місяці тому +142

    Kama unamkubali mwasi gonga like hapa

    • @ummialey6391
      @ummialey6391 3 місяці тому +1

      Na mchezo umeisha mastreng wesha liwa na nyoka mnalo la kutueleza

    • @NuhuMetson-mt1vc
      @NuhuMetson-mt1vc 3 місяці тому +1

      ​@@ummialey6391 stering kipara😂😂

    • @aishasalum3372
      @aishasalum3372 3 місяці тому +1

      Ni kweli mna na wao wanataka kuwa wahindi kili siku nguvu zake hazirudi tu😂

    • @RuthOmollo-e7y
      @RuthOmollo-e7y 3 місяці тому +2

      Kazi nzuri sana

    • @NuhuMwita
      @NuhuMwita 3 місяці тому +2

      Episode ya 27 ndy mtajua sterling hafi😂😂

  • @annaki318
    @annaki318 3 місяці тому +48

    Kuomba like tu kusifia kuhusu snake 🐍 boy aaaaaaah😂😂😂

  • @NorbTzofficial
    @NorbTzofficial 3 місяці тому +13

    Best series trending in bongo right now gonga like kama unaikubali hii series ❤❤❤❤

  • @LaurenciaKahimbula-ni1pp
    @LaurenciaKahimbula-ni1pp 3 місяці тому +4

    Kam mtanzi kamezwa hakun movie hapa, hay muwe na mwendelez mwema mm nimeishia hapa

  • @iddimbilinyi8332
    @iddimbilinyi8332 3 місяці тому +14

    Huyu mtoto wa abigeli mbona kama anafanana sana na kipara ilifaa awe mwanae 😅 halafu na huyo kipara ni fundi wa kujitetea pale anapobananishwa na wadau 😂😂😂

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 3 місяці тому +75

    Tafadhali ukiomba like 👍 kumbuka kutwambiya ulipo ziwekaaa😎🤏🤣🫵🫵🫵🫵au mna semajee team snake 🐍

  • @GENzRevolution-s2u
    @GENzRevolution-s2u 3 місяці тому +48

    Kwa niaba ya GEN Z nimiminishieni likes
    Naomba tafadhali...

  • @dominamabebe6691
    @dominamabebe6691 3 місяці тому +9

    Kipara ni msaliti wa himaya anatakiwa kuchukuliwa hatua kali sana kwa niaba ya wasaliti wote na umbea wake mxiuuu

  • @CarolyneSimiyu-xq7qk
    @CarolyneSimiyu-xq7qk 3 місяці тому +7

    Napenda sana ujasiri wa mwasi na maongezi ya chief ya upole kutoka mwanzo

  • @ThomasMangale-yv5mk
    @ThomasMangale-yv5mk 3 місяці тому +14

    aaaah nyiny mmeanza kutoboo sasa .sasa umemezwa tena .sasa sisi tunataka tusonge mbele nyinyi mwaturudisha nyuma kila saa .naona hii move imekosa mwendelezo

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 3 місяці тому +1

      Jisemee wewe na sio wengine.

    • @AnthoniaIsdory
      @AnthoniaIsdory 3 місяці тому

      ​@@GeorgeAkasha-zx2rjkwakweli

    • @EvanceSilayo
      @EvanceSilayo 3 місяці тому

      Ukweli clam kuna vitu apunguze mambo mengi yale yale yeye anatesekaga tu ajawai simama au ndio yale yakuja kuwa star mwishoni kwa dakika moja

    • @AnthoniaIsdory
      @AnthoniaIsdory 3 місяці тому

      @@EvanceSilayo ndio maana yake

  • @aganzeroger
    @aganzeroger 3 місяці тому +39

    Wa kwanza Leo kutoka Congo goma nipe like zangu asheni ushoyo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @barakamachard1944
    @barakamachard1944 3 місяці тому +12

    Watu wema wanapitia magumu sana kwenye hii movie kama yalivyo maisha ya kawaida tu watu Wema wanateseka

  • @yvettempawenimana7111
    @yvettempawenimana7111 3 місяці тому +2

    Jamani chifu mbona atawamaliza wote jamani ❤❤❤❤❤❤❤

  • @ddaddytz
    @ddaddytz 3 місяці тому +2

    Kuanzia dk28 mpka 30....
    Hicho kipande kina hisia mno huyo dada anae muomba msamaha mchizi Kauwa saaaana🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @YusuphAl-Marzouq
    @YusuphAl-Marzouq 3 місяці тому +22

    Shukraan kwenu nyote mlioshiriki katika movie hii hakika mnahitaji pongezi sana 🤝🤝🤝

    • @AhmadKanasa
      @AhmadKanasa 3 місяці тому

      Nipen nami like zenu jaman

    • @YusuphAl-Marzouq
      @YusuphAl-Marzouq 3 місяці тому

      @@AhmadKanasa Hizo like unataka uzifanyie nini, au zinauzwa na kama ni dili tuambizane maana watu wengi utasikia nipeni like jamani 😁😁😁

  • @davihkk2011
    @davihkk2011 3 місяці тому +11

    Jamani nawaombeni likes leo.
    Kazi mzuri wana Snake boy season two

  • @BiisheBugao
    @BiisheBugao 3 місяці тому +7

    Aaaah siamini kma Ntanzi kamezwa😢 nimeona mawengee mawenge😂

  • @FestoKambona
    @FestoKambona 2 місяці тому +5

    Kama kwelii wanatakana hawa mbona wanangaliana tia like kama unatak kakoso awe mpenz wa mwamba pale

  • @ZABRIFASHION
    @ZABRIFASHION 3 місяці тому +3

    Kakoso kunajambo mashabiki tunaona aliko sawa, ya ww kuua uhusika wa watu 2, farasi na clam, unatupashida kuwaza

  • @nellymujinga
    @nellymujinga 3 місяці тому +37

    Mnipeni ata like 5 jameni from drc

  • @mudhakkirhemed
    @mudhakkirhemed 3 місяці тому +11

    Watu wa like mupooo 😅mana so kw kuomba like hvyo 😂 au like munachenjisha zinakuaga hela 😅

  • @NuhuMwita
    @NuhuMwita 3 місяці тому +21

    Like 10 zinanitosha kwa leo

  • @JohnBwija-xg5pf
    @JohnBwija-xg5pf 3 місяці тому +5

    Clam vevo ni mwamba sana anajuwa sana

  • @saidrashid1047
    @saidrashid1047 3 місяці тому +4

    Yaani hii move inanitesa kinoma jitahidini kuwahisha muendelezo jaman

  • @ferouzmasoud3104
    @ferouzmasoud3104 3 місяці тому +17

    Oi wa kwanza naombeni like zangu jmn 🤣😂😂
    Timu VEVO mnajua sanaaa Hadi kero saruti kwenu ❤

  • @gersonissa9124
    @gersonissa9124 3 місяці тому +48

    Wa kwanza Léo nipe like zangu Toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @emilywambui9920
    @emilywambui9920 3 місяці тому +41

    Nimechelewa tu kidogo naomba like kutoka kenya bravo clam vevo ❤

  • @MastungaGs
    @MastungaGs 3 місяці тому +4

    Leo naomba like jamani, mimi niko msobiji🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇹🇿🎉

  • @Kib-jsanley
    @Kib-jsanley 3 місяці тому +1

    Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤝usipite bila kunipa like 🎉🎉

  • @AirtelThesmartphone
    @AirtelThesmartphone 3 місяці тому +23

    Leo nimewah jaman 😂😂😂😂 nipen like na mim🎉🎉

  • @charitychadrek
    @charitychadrek 3 місяці тому +17

    Haya lisa limoja nam reo nimewahi siwezi kuomba like lkn nakupa hongera cram kwa kaz mzuri unayofanya congratulations 🎉

  • @JeseeJeseemuthomi-vj4qc
    @JeseeJeseemuthomi-vj4qc 3 місяці тому +81

    Please leo wakwanza naomba muni gongeye like 10 tu😢

  • @ngoshanangi8629
    @ngoshanangi8629 3 місяці тому +3

    Nakubali sana kaka Yangu mwana Cris nikiwa pande za shinyanga, kahama Mjini

  • @RamboMcMzawa
    @RamboMcMzawa 3 місяці тому +3

    Daaah!! Ntanz maskini ya mungu imaya inakutegemea ona Sasa unamezwaa kizembee hivii😢😢najiuwaa mimi

  • @JoyceRashidi-e7l
    @JoyceRashidi-e7l 3 місяці тому +27

    Wakwanza from Burundi 🇧🇮🇧🇮 nipeni like zangu 🙏🙏🙏

  • @yussufdarus
    @yussufdarus 3 місяці тому +7

    Hat me naamin nindot t ila cjamuelew maan ameanza dadali za usalit na uoga Ntanzi

  • @bensonmusyoki7827
    @bensonmusyoki7827 3 місяці тому +21

    Mapema dio best wapi likes za kutoka kenya

  • @brighton3693
    @brighton3693 3 місяці тому +4

    me siwezi kufanya kazi ya kuomba like kila muda badala ya kussuppot watu wanao fanya kazi nzr

  • @hamzaamry6251
    @hamzaamry6251 3 місяці тому +2

    Kwajinsi alivyo kunja mgongo mwinyi mkuu yaani chili huwez kujua kama anambio kias kile😅😅😅

  • @dshow6363
    @dshow6363 3 місяці тому +21

    Wa kwanza jaman nipen likes kwa clam vevo

  • @Barnizeboy
    @Barnizeboy 3 місяці тому +60

    Leo nime chelewa kidogo naomba like mbili tu 🔥🔥🔥

  • @colineycharles3185
    @colineycharles3185 3 місяці тому +46

    Leo me wakwanza nipate like zangu

  • @Prem_Rich
    @Prem_Rich 3 місяці тому +2

    Hapo Clam Vevo, angemeza kila mtu hata wasio na hatia, bora huyo mwamba anaji control

  • @HassanMshaur
    @HassanMshaur 3 місяці тому +2

    Mbona kila mmoja anasema wakwanza MH