Huyo luc anaujinga sana ex anakupelekeshaje wakat alikuacha yaani hapo kama mbwai na iwe mbwai angemwambia mzee kila kitu kwakua yeye alikua hajui kitu na tayali ana ujauzito yangeisha tu
Pole sana Lucy kwa ulioyapitia Mungu mwenyezi ashukuriwe mno, Lkn siwezi msahau Lucas Lumbas kwa usimuliaji bora unaoelimisha pamoja na utunzi mahiri wa babie Loviee 🎉🎉🎉
Huyu Lucy ni mjinga ni bola angemuweka wazi baba yake na Ex ili ajuwe ukweli ,baba yake na Ex angeumia lakini ukweli unaumiza lakini unamuweka huru mtu kuliko kupelekeshwa na Ex kama gali mbovu.
Dada Lucy wewe ni zaidi ya Taila unawezaje kumuamini dear X km hivyoo km alikuwa wako na miaka 3 ulikaa naye na mwishowe alikuacha bila chochote na akaenda uko mkoani kuoa alafu eti wewe una muamini Lio 😢😢😢😅😅😂😂
Daa!maskini Lucy ulipitishwa ktk magumu sana,pole sana,lakini Mungu ni wa wote, yaani kweli hadi wazazi wanaingia hasara yakufanya maandalizi,mhh 😮 ila hongera sana hatimae Mungu amekupigania na kukushindia ktk hiyo vita
Ila huyo Rio ni mshenzi,kwani angenyamaza angekufa?mbona yeye alimtapeli Lucy bila huruma,kosa la Lucy ni lipi?hana kosa lolote Lucy,ana roho mbaya sana
Asente Sana Lucas lumbasi kwali shatani ni muongo Hana baba Hana mama Hana ndugu wala Dada shatani adui wa watu hongara Dada. Ni mungu na wewe tunampa shurani baba wa binguni
Sasa mtu alikuacha mwenyewe na mmekuwa Kwenye mahusiano na huyo mtu sasa hapo kosa liko wapii😢😢 Tena Kakuacha kwakukufedhehesha Kabisaaa Nyumbani Ushawaambia Una Mchumba Mchumba Mwisho Wa Siku Kakubwaga
Kaka Lucas asante sana simliz nzuli nimeipenda sana inamfunzo meng ndani yake mungu aibalik kazi yamikono yako kaka🙏🙏
Woyooooo anko Lucasi tupumzishe bac 😂😂😂 Yani tumemaloza Roby tuko na simulizi ya mpya ya dada Lucy familia ya Anko Lucasi piga kelele 💃💃💃💃💃💃🎤🎤
Ahsante ndugu Lucas hatimae ❤❤❤❤tnx
Asante lucas kwa simulizi nzuri mashsabiki like zenu ziko wapi🎉🎉
Karibu Rose🌹 😊😊😊😊
😢. 😢😢
😢. 😢😢
😢. 😢😢
kaka naitaji kuwa kama wewe lakini Account yangu na feli broo@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI
Huyo luc anaujinga sana ex anakupelekeshaje wakat alikuacha yaani hapo kama mbwai na iwe mbwai angemwambia mzee kila kitu kwakua yeye alikua hajui kitu na tayali ana ujauzito yangeisha tu
Noma 🔥
Enjoy😊😊
uyo lio ni mjinga sana yani kumuumiza kotee kule alafu leo eti anajifanya wanawivu anasaau yote aliyo mfanyia lucy ❤❤❤
Oooh Lucas big up
Asante sana kaka Lucas Lumbas Allah akulipe kheri Inshaallah
Amen🙏 asante saaaana😊😊😊😊
Amin
Jamani Leo wakwazi naomba like zenu jamani nawapenda sana
Jamani mpaka raha kwa simulizi 🎉🎉🎉🎉🎉 nampenda bure kaka lucas ndugu zangu kwani kupenda ni haramu?
Hatimae chakula kipo mezani ❤❤
Wala hakijazidi chumvi 😊😊😊😊
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI Aweeee na ni kitamu khaswaaaaa❤
Vipi kaka Lucas 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 maua yako hiyo
Wa kwanza Leo ❤❤❤❤jaman let’s enjoy 😊
Wakwanza naombeni like zenu 🎉🎉🎉🎉
Naomba like za kuchelewa❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana Lucas 🎉❤
Wa 20 jomon ❤❤❤
Lete mambo ka lucas ❤❤
Yani watu hamchelewi kah
Pole sana Lucy kwa ulioyapitia Mungu mwenyezi ashukuriwe mno,
Lkn siwezi msahau Lucas Lumbas kwa usimuliaji bora unaoelimisha pamoja na utunzi mahiri wa babie Loviee 🎉🎉🎉
Huyu Lucy ni mjinga ni bola angemuweka wazi baba yake na Ex ili ajuwe ukweli ,baba yake na Ex angeumia lakini ukweli unaumiza lakini unamuweka huru mtu kuliko kupelekeshwa na Ex kama gali mbovu.
Sina ubaya nimewapa like kila mumoja hapo basi gonga hapo kwangu na mm sieti❤🎉🎉🎉
Kwangu bado
Yaaan mm mtu aesi niperekesa ivyo na aliniaja kwa aibu aiseee uyu Lucy naye ako na ufala sana
LUCAS hivi huko kwenu hakuna wazee maana hata mm natafuta MZEE😂😂
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅kwetu wapo
Yaan wanaume woote wanaojua kutunza wanawake wanapatikana kwenye simliz za kaka Lukas ngoja na mim nije huko
🤣🤣watu mnaroho mbaya mbona hamsemi kama mnapanda 🐅🐅fisi jamn 🤪🤪ebu tuwe tunaambiana😂😂😂
😊😊😊
🤣🤣Yani kama ni mm simuachi huyo baba Yani mpaka huyo ex hajute kuniacha 🥰🥰🥰
😂😂😂😂
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI 🤣🤣Yani hawa viumbe wanaoitwa ex niwakuwakomesha sio wakucheka nao
😅😅😅😅
Kabisa,akitaka akatoe maelezo kwa baba kijacho yeye mwenyewe,wala matatizo hayakimbiwi
🤔🤔kwahiyo mtu unabeba mimba kisa umehaidiwa 🚘🏡 akhaa🫤🫤
😊😊😊
Dada Lucy wewe ni zaidi ya Taila unawezaje kumuamini dear X km hivyoo km alikuwa wako na miaka 3 ulikaa naye na mwishowe alikuacha bila chochote na akaenda uko mkoani kuoa alafu eti wewe una muamini Lio 😢😢😢😅😅😂😂
Wa ishirini jamani ❤❤😂
Daa!maskini Lucy ulipitishwa ktk magumu sana,pole sana,lakini Mungu ni wa wote, yaani kweli hadi wazazi wanaingia hasara yakufanya maandalizi,mhh 😮 ila hongera sana hatimae Mungu amekupigania na kukushindia ktk hiyo vita
🎉🎉🎉🎉 hatupoi jaman tunatow kitu tunaweka kitu asant San kak lucas kwa Kaz nzur
Ila huyo Rio ni mshenzi,kwani angenyamaza angekufa?mbona yeye alimtapeli Lucy bila huruma,kosa la Lucy ni lipi?hana kosa lolote Lucy,ana roho mbaya sana
Asente Sana Lucas lumbasi kwali shatani ni muongo Hana baba Hana mama Hana ndugu wala Dada shatani adui wa watu hongara Dada. Ni mungu na wewe tunampa shurani baba wa binguni
Shukrani sana Mungu awatanguriye kwasimurinzi ❤27
Lucasi lumbasi, saiv tunataka season bana,, mtafuta mwandishi wa ant Zena alete tena tam Zaid na isiishe yaan
Inakuja
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI ok
Nice story be blessed ❤❤❤🎉🎉🎉
Asante sana kaka Luc ❤❤❤🎉🎉🎉 hatuwez kwenda 🎉🎉🎉🎉
Sasa mtu alikuacha mwenyewe na mmekuwa Kwenye mahusiano na huyo mtu sasa hapo kosa liko wapii😢😢 Tena Kakuacha kwakukufedhehesha Kabisaaa Nyumbani Ushawaambia Una Mchumba Mchumba Mwisho Wa Siku Kakubwaga
Nakubali sana ❤❤❤
28ans c,est pas grave! Huku Burundi hata 40ans tuna olewe hatu kati tama!
Asante san kaka ila kaka lucas mbn hunitie kweny groupe y watsp namie
Soon litakuwepo 😊😊😊
Saw kaka
Saw kaka natak kuw mmja wenyn familia yak y watsp kbs nakuomb kaka lucas
@@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZIwazo zuri sana
ᶜᵒᵘⁿᵗ ᵐᵉ in😂😂
Lucas mwambie lucy anipe iyo namba ya mganga😂😂
😂😂ukisambaziwa nipe na mm hio number ya mtibabu😅
🎉🎉🙏
Lucy mjinga xn jmn Mimi siondoki hata kwa bunduki anaushaidi Gani kwa babake kua tulikua wapenzi
❤❤❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kwa Kweli wewe Lucy ni zaidi ya fala unaacha Hadi hati ya nyumba na Una ujauzito wa bigdadi?Sikuelewi kabisa
Akikubali kutofunga ndoa mjinga
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Daaah huyo niyangu😢😢😢
ghai kaka Lucas nimechelewa xn🤣 ila c mby acha nienjoy zangu mie mungu akubariki🙏🙏 xn
Jamani makubwa kutoka ex Hadi mamjengo
Kweli ulijipa ujinga kwanini uliamini ex jameni
❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Woow😊❤
😢😢😢🫣
😂😂😂😂
Mm huwa najisemea huezi nifanya kitega uchumi eti nikufaidishee we sijui ndofatuma yamekurudia yani unaharibu rafiki yako kisa pesa lo imekula kwako
❤❤❤❤
Sijawai kuona mtu wakujetesa
Km kuna wanawake wajinga duniani km Lucy basi Mungu awasamehe
Jaman na mimi naomba lick
duuh hongera lukas ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Leo nimekuw.17
🤣🤣🤣tetema
❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Nzur sana
😢😢😢😢
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤
❤
❤❤❤