MAHUBIRI : GEUZA MAUMIVU YAKO KUWA HEKIMA NA MAABUDU... BY ALBERT BYENDA
Вставка
- Опубліковано 13 жов 2024
- Nina moyo wa shukrani kwakila anaepitia youtube channel yangu.
hataka munapata vitu vyakuwasaidia, lakini namimi munanisaidia pia kwenda mbele tena.
basi usichoke kutoa hata sadaka yako
+243999382898 airtel money
italeta Jina Byenda Albert.
lakini pia hio ndio whatsap yangu.
kumbuka ku share nawengine.
nakuji abonner.
alafu pia commenti yako ni muhimu saana.
Asante 🙏🏿
Amen amen amen🔥🔥🔥 iko kweli baba
❤❤❤❤❤Napenda sana mafundisho hii
Pastor nakufatilia toka nyamongo tarime mara Tanzania mahari ulipokuja kutoa huduma ya neno la mungu kwa siku tano u ubariikiwe sana mtumish na pia karibu tema
Mungu anijaliye nifanye bidii kweli kweli
Ubarikiwe mutumishi wa mungu
Amina ubarikiwe sana mtumishi Mungu akuinue zaidi
somo zuri sana
Mwenyezi Mungu akuchunge kwa ajili yetu baba
Ubarikiwe sana
Amen Mzee wangu Mungu atuwezeshe...
Hapoo sawa
Hii mahubiri ni ajabu ' natumiya watu 100.ubarikiwe sana
Asante kwa mafundisho mazuri baba
Iyo ni kweli kabisa.asante kwa mafundisho
Huwa.nakuelewa.sana
Baba naheshimu
Mungu akubariki baba
Shukrani baba.inanijenga kiukweli
ni kweli tume chunga iyi mahubiri Mungu awa zidishiye
Daddy, maubiri kuhusu "Conflit". Nangoja kwa hamu
Mungu akuinue saana mzee wangu
Bien saana Mwalimu
Barikiwa sana mwalimu ,, ume ni bariki sana Mungu aku ongezeye maisha marafu baba 🔥🔥🔥🔥🔥🔥very deeper may the Lord continue to anoint you
Asante kwa iyi mafundisho baba mze wetu
Aksanti saana baba yangu pacha,,❤️
Aksanti kwa mafundisho baba, may God bless
Amen amen,iyi ni funzo kabisa maumivu yangu igeuzwa hekima na maabudu.shukrani mze
Umeongeza sehemu kubwa ndani ya kile nilikuwa sikujui, kweli Jéhovah akubariki sana na ukuongezee maisha marefu mzée. Maadui zako wafezeheshwe kabisa kila iitwae leo. Siku umefanya inje ya Congo tumehomba zaidi sababu ya ba contre évolution yako. Vraiment bashindwe katika jina la yesu kristo !
Eh Mungu nisaidiye na ku nifunza ku HIGEUZA MAUMIVU YANGU KUWA HEKIMA NA MAABUDU Mu maisha yangu😢 Amen 🙌
Thank you Dr Albert Bwenda
Kweli inanijenga
Amen baba
Nimebarikiwa
😢 kweli baba ulenitiya moyo tena mtumishi wa Mungu 👏👏 Songa mbele zaidi
AMEN
Ameeen
tunakukumbuka mtumishi
😢 kweli kbs 👏
Amen 🙌
Amen
Asante sana
Nimesha tanguliya You tube Mzee
❤❤❤❤❤ congratulations
hili nalielewa kwelo
hili neohalichoshiasee
Nilikuwa nimekata tamaa kwa mambo mengine sana ,lakini kupitiya mahubiri ihi nasikiya tena moto imerudia ,pia inanijenga sana kiroho zaidi pia nakimwili ! MUNGU akutiye nguvu babaynagu,maisha marefu kwako
❤🙏
Asante
Kweli kabisa mon Dr Kila madhabahu ina matumikiyo yake MUNGU akutiye nguvu nimekwisha kufata naile mafundisho ya somo la salle de tente
Kweli kabisa Baba yangu ila MUNGU akutiye nguvu nakukulinda
Kabisa umenibariki mwalimu
Ndugu yangu mupendwa ubarikiwe na subiria kwa shauku kuu mahubiri juu ya kuchanganyikiwa...
Conflit
jambo yenu mwanagu uko mzima habari ya wajukuu
@@rehemamusa8199 wajukuu wako wanatulia mum, fanya siku moja uje uwaone
Nani ana chinda Dady "hakuna anaweza kumuchina baba yangu
Dady una nipandisha tena katika ki roho na mafundicho,Mungu a bariki Dady ALBERT
MUNGU anisaidiye nisibakiye mtoto mu byenye nikoamo
Ameeen
Amen