MR MONEY_EP06

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 358

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 2 місяці тому +36

    Wanaomkubar likoma na watoto wake gonga like

  • @AyshAbdallah
    @AyshAbdallah 2 місяці тому +11

    Weeee zebuu weeee.weeee likomaaaa weeee kisai weeee weeematikisaaaa kp .nawapesa wote leten kingine Cha Saba

  • @AnnaShao
    @AnnaShao 2 місяці тому +9

    Hongereni kwa kazi nzuri kiukweli muna tupa burudani nzuri Sana mashabiki zenu
    Gonga like apa ka una furahia

  • @KhadijaKhadija-v9x
    @KhadijaKhadija-v9x 2 місяці тому +4

    hallafu fundi maji nae.yakamukuta pole sana kisai.kwa uganga wakoo mutakutana n'a dibozi manuva❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 2 місяці тому +56

    Ambao tunaomkubal
    Kp na ,,,,,,,,,,,,,likoma....
    Na zebu..please gonga like..tujuane
    😂😂😂😂❤❤❤

  • @johnmasalu7752
    @johnmasalu7752 2 місяці тому +10

    Kumtaja mandojo legend mmekosea sana, its better mgemtaja kwa mazuri... Hata yeye huwez jua alikumbwa na nini mpaka akajikuta kanisan.

  • @IssaRamadhan-j3f
    @IssaRamadhan-j3f 2 місяці тому +16

    Kwakweli likoma dangote katisha sana maua ako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @KhadijaKhadija-v9x
    @KhadijaKhadija-v9x 2 місяці тому +4

    muze likoma mbona unatowa macho ,mutalamu.wako anakuacha ,kep.zeb sasa wanashanga kwa gisi amewaponyoka eti anaenda kujisaidiya makubwa hayooo❤❤❤😂😂😂😂😂,pole san muze likoma n'a mali zakuzulum 😂😂😂

  • @elidaraphael490
    @elidaraphael490 2 місяці тому +5

    Duuuh😂😂😂😂😂 we kp au likoma kisai mtanivunja mbavu haki, sijawai coment Leo nimewapa makopa yenu❤❤❤❤

  • @LoseryaniLootamitishili
    @LoseryaniLootamitishili 2 місяці тому +8

    Daaah tangu nifuatilie hii movie nikali Sana like yenu❤❤❤

  • @suzybarton
    @suzybarton 2 місяці тому +9

    nawakibar sana ila mnachelewa kitoa mwendelezoo jmnn daah

  • @CarolyneNyanchama-yk1gf
    @CarolyneNyanchama-yk1gf 2 місяці тому +7

    😂😂😂wueee likoma jamani mnanimaliza na kundi lako wueee nawapenda sana

  • @BlessedLady-r8x
    @BlessedLady-r8x 2 місяці тому +10

    ❤❤❤❤❤Kwa kp na zepu na timu yako

  • @luidhaldanjawa
    @luidhaldanjawa 2 місяці тому +6

    Likoma ni best katika kuiza uzeee

  • @AzizaQueen-lr8oz
    @AzizaQueen-lr8oz 2 місяці тому +10

    Guys good job wakubwa zangu naombeni like jmn🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BothainaBothaina-k6c
    @BothainaBothaina-k6c 2 місяці тому +4

    Mzee likoma hazeeki Na huyo muganga wake🎉😂😂😂😂😂❤

  • @paschalnchinga5887
    @paschalnchinga5887 2 місяці тому +5

    Toka move imeanza leo nimecheka hongeren san from TZ

  • @JosephSkybdi
    @JosephSkybdi 2 місяці тому +6

    Nice sana cezeni kama nyie nawapenda Xanax,❤❤❤

  • @Johar903
    @Johar903 2 місяці тому +3

    ❤❤❤❤❤ongera kazi mzuri Mungu akuzidishie kipaji

  • @azizaumutoni7773
    @azizaumutoni7773 2 місяці тому +5

    Iyi movie nzuli ila tu tatizo mnakawia inatuma naceka kweli mpaka nasahau tress za kazi

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 2 місяці тому +3

    Hongera sanaa kp na na zebuu mmenifurahisha sanaa😂😂😂😂

  • @ShidaWilifonsi
    @ShidaWilifonsi 2 місяці тому +19

    Kisai umeyakanyanga kp na zebuu pokeeni maua yenu 🎉🎉🎉

  • @stevensilungwe41
    @stevensilungwe41 2 місяці тому +10

    Kp na zebuu nawapenda
    Zambia 🇿🇲 🇿🇲

  • @linetokari
    @linetokari 2 місяці тому +4

    Aki wanifurahisha nyinyi wote shika maua🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 місяці тому +9

    Likoma umetisha sana

  • @EaupotableMizumbi-s1w
    @EaupotableMizumbi-s1w 2 місяці тому +5

    Napenda sana video zenu lakini Napenda zaidi mumalizie kwanza plan B liko nikuna sasa ku roho. Ni Wasso kutoka Congo DRC

  • @JuliaAyuma-z5w
    @JuliaAyuma-z5w 2 місяці тому +6

    Leo ni mimi wa nane kwa comment asante sana kp pamoja na team yako yote nawapenda kwa kazi freshy

  • @Lidya-e1i
    @Lidya-e1i 2 місяці тому +3

    😂😂😂😂😂😂😂Mr Likoma na Diboz jamani shey shey kaondoka na si yeye,alaf huyu kisai n mlagai

  • @AbduliAziziAzizi
    @AbduliAziziAzizi 2 місяці тому +6

    Mbona huwa mnachelewa sana kutoa muendelezo

  • @abdallahassan6378
    @abdallahassan6378 2 місяці тому +5

    Ivi kuna mtu anacheka kama mm kweli kwaajl ya hii move,likoma kp zebuuu maua yen🎉🎉🎉🎉

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 2 місяці тому +1

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team aquino

  • @NyemboBenjamin
    @NyemboBenjamin 2 місяці тому +4

    kazi nzuri sana from DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @JOLSONSON-t2q
    @JOLSONSON-t2q 2 місяці тому +4

    yani kp na zebun jaman❤❤❤❤

  • @ViolethKambona
    @ViolethKambona 2 місяці тому +12

    Wapili Leo kutoka TANZANIA.

    • @RachelMdao
      @RachelMdao 2 місяці тому

      🇹🇿🇹🇿❤❤❤

  • @Joshmedia-u2y
    @Joshmedia-u2y 2 місяці тому +8

    Kazi nzuri likoma

  • @BeataRafaeli
    @BeataRafaeli 2 місяці тому +6

    Mwiiiiiiiii😂😂😂😂😂😂 naombeni likes zangu jmn❤❤

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 2 місяці тому +4

    Mzee Likoma mjijga sana, ameshaona mganga anapigwa makofi halafu anampeleka ndani eti akapambane na mzim😂😂😂

  • @stitore2388
    @stitore2388 2 місяці тому +5

    Jamani barikiwe sana

  • @RosalineWakina
    @RosalineWakina 2 місяці тому +5

    Mzee likoma kanipa raha kweli

  • @mkanyafamily
    @mkanyafamily 2 місяці тому +2

    Congratulations 🎉🎉🎉 mzee likoma 100K

  • @SHARONKENYATTA-d3h
    @SHARONKENYATTA-d3h 2 місяці тому +2

    Nimejaribu😂,,much love from Kenya💙💙

  • @ibrahimbaraka5262
    @ibrahimbaraka5262 2 місяці тому +12

    IBR macompyut wakwanza kwalikoma dangot❤❤❤❤

  • @ميريالشمري-ح9ب
    @ميريالشمري-ح9ب 2 місяці тому +3

    Mganga leo umefikiwa chukua cumahicho 😂😂😂😅😅😅😅😊😊😊😊😊

  • @elizabethcatherine-jm8fr
    @elizabethcatherine-jm8fr 2 місяці тому +2

    Mm ndo wa mwisho kutoka kenya ila kazi nzuri sana team kp na zebuu nmechekaa 😂😂😂😂😂

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 2 місяці тому +8

    Kp na zebuu, humu mmetisha

  • @Leyla-n6x
    @Leyla-n6x 2 місяці тому +9

    Wa mwisho

  • @BeatusZummo
    @BeatusZummo 2 місяці тому +4

    😂😂😂😂😂😂😂😂aaaah kmmk Leo nimecheka kisengee so kwa walivomfanya mganga

  • @BanzaAbediesrone
    @BanzaAbediesrone Місяць тому +2

    Zebuu mrembo unaniuwa sana

  • @JohnBaraza-xd9er
    @JohnBaraza-xd9er 2 місяці тому +3

    Mzee likoma mm nikukubali kinoma

  • @RachaelKioko-qo7mg
    @RachaelKioko-qo7mg 2 місяці тому +1

    Jameni Mnanichekesha😅😅😅😅Ety mwiziii....mwiiii😅😅😅😅

  • @Azizajangobo
    @Azizajangobo 2 місяці тому +3

    nitaachaje kuwapenda kwa vituko hivii 😂😂😂

  • @SharifaRashid-tg9kx
    @SharifaRashid-tg9kx 2 місяці тому +3

    Waa hamsini na tano leo jaman

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 2 місяці тому +5

    😂😂😂😂 dhulma cio nzuri cku zte😢

  • @SelemaniIddy-nc1n
    @SelemaniIddy-nc1n 2 місяці тому +22

    Mtu anakaa anasubili like ndo nn toa maoni nn wafanye ili tuzidi ku enjoy sio kuomba like tu kuoga aaaaaaah team kp mnajuwa sio pouwa

  • @selinamapunda
    @selinamapunda 2 місяці тому +6

    From Tanzania mnipe like🎉

  • @IssaJuma-e1l
    @IssaJuma-e1l 2 місяці тому +6

    Ware wote watanzania naombeni like zenu wanao ifatilia tamsilia hi!😮😮😮😮

  • @EliasNatwati-g4w
    @EliasNatwati-g4w 2 місяці тому +86

    WA Kwanza Leo kutoka KENYA nipeeni like 20 jamani

  • @NasraFahmy-j9y
    @NasraFahmy-j9y 2 місяці тому +4

    Nimefk mzenj hongra san kaz nzr

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 2 місяці тому +1

    Twende kazi Mzee likoma
    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @PrincesstwiriPrincesstwiri
    @PrincesstwiriPrincesstwiri 2 місяці тому +7

    Lakini watu mnaomba likes kuliko kupongeza kwa kazi nzuri

  • @OmaryMayeye
    @OmaryMayeye 2 місяці тому +6

    Namim naomben like nimewah leo

  • @EvodiaDominic
    @EvodiaDominic 2 місяці тому

    Ila hii Mr. Money Ni full comedy😅😅😅
    Aki kwa hii ote mmekuwa wachekeshaji🎉🎉🎉🎉

  • @زهرةكيني-ث3ل
    @زهرةكيني-ث3ل 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Mzee likoma hii movie nzur sana

  • @user-vt5ug9uu7y
    @user-vt5ug9uu7y 2 місяці тому +3

    Wakwaza Leo nipe2 namm like zangu

  • @LukaSakaya-pg3qy
    @LukaSakaya-pg3qy 2 місяці тому +3

    Jamni na Mimi nip hap naomba ata like 5

  • @RehemaSaid-r4h
    @RehemaSaid-r4h 2 місяці тому +4

    Naomben like jaman 🎉🎉❤❤❤❤

  • @AnnethEfrahim
    @AnnethEfrahim 2 місяці тому +3

    mnacherewesha mno hii movie

  • @khadija2113
    @khadija2113 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂we MZEE LIKOMA 🎉🎉🎉🎉mauwa yako nawapenda sana

  • @kiswaswadu2132
    @kiswaswadu2132 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂hapo kwa mzee likoma nadiboz kuongea kwako kunanifrahisha mnoo❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @LUCYATIENO-t3m
    @LUCYATIENO-t3m 2 місяці тому

    Kisai,,,,Mzee likoma,nimepigwa na nyundo
    Mzee likoma,,,hiyo sio nyundo ni Kofi babaa😅😂😂😂😂

  • @engineerismael2186
    @engineerismael2186 2 місяці тому +1

    Hiv jamn suraj yuko wap nimemmic

  • @JosephineMomanyi-jp8tv
    @JosephineMomanyi-jp8tv 2 місяці тому

    Walae hii ni kali sana 😂😂😂😂❤❤❤❤🎉🎉kp na sebuu enda mbele

  • @MaisaraMasoud
    @MaisaraMasoud 2 місяці тому +4

    Vibwengo kama baba yao

  • @Jiftkomba2
    @Jiftkomba2 2 місяці тому

    Nimekubar movie zenu ila twaomba msichereweshe sana kutoa😍😍😍😍

  • @AboabdulhakimAlfaleh-in7jo
    @AboabdulhakimAlfaleh-in7jo 2 місяці тому

    aki nmecheka yangu yote ......mzee likomaa chukua maua yako❤❤❤❤❤

  • @lucyrif-np8ik
    @lucyrif-np8ik 2 місяці тому

    matikisa tetema😂😂😂😂😂😂😂😂oooh mama tetema akh Mzee llikoma jamani

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 2 місяці тому

    Likoma utakoma,matikisa utatikiswa yani nyie ndumbwi 😂😂😂 eti...ya leo kali😅😊🎉🎉🎉🎉

  • @PrinceAmos-y8t
    @PrinceAmos-y8t 2 місяці тому

    Movie nzuri sana master ❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉😢😢😢😢😢😮😮

  • @BintyAthumani
    @BintyAthumani Місяць тому +1

    Aweeh likoma❤❤

  • @JohnBaraza-xd9er
    @JohnBaraza-xd9er 2 місяці тому +3

    Mm kutoka Kenya pokea yangu like

  • @Thenoiseboy045
    @Thenoiseboy045 2 місяці тому +1

    My money🎉 nice work

  • @BintiMweluhanga
    @BintiMweluhanga 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤kazi nzur mungu akuze vipaji vyenu

  • @Farimorgan
    @Farimorgan 2 місяці тому

    Aki nimecheka leo good job watu wangu❤❤❤

  • @BessyMukami-n7k
    @BessyMukami-n7k 2 місяці тому

    Daah kisai Leo umeyakanyanga kp na zebuu pokeeni maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChakoJuma
    @ChakoJuma 2 місяці тому

    Team kp na zebuu mmetishaaaaaa. Nawapenda sana

  • @halima2382
    @halima2382 Місяць тому

    🤣🤣🤣🤣🙌🙌mgangaaa namechekaa mm likoma kzi unayo babaa❤❤

  • @azizahmohamed3495
    @azizahmohamed3495 2 місяці тому

    😂😂😂😂😂😂😂ya leo kali ni full kucheka mda wote jamani love you so much 😂😂😂 zebuu eti mwiziii 😂😂😂,,,alaf mzee likoma unatabia mbaya kinachomkuta matikisa we unamcheka wkt ww ndo unamponza mwenzio 😂😂😂😂ya leo kali lakini haireweshi unakuwa strong 💪💪💪 Big up team yote

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 2 місяці тому +1

    Kumekuja sasa😂😂😂😂 mganga kayatimba katimba nayo

  • @HUSENIALLY-bp8pk
    @HUSENIALLY-bp8pk 2 місяці тому

    zebu god akibless mcutie❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Fadhila-q3e
    @Fadhila-q3e Місяць тому

    Hongeren San kp &zebuu mumejuwa kunifulahsh haha😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Hadijawashuma
    @Hadijawashuma 2 місяці тому +6

    Ha😅😅😅 jaman Leo nimewah sana naombeni like Zang please jaman

  • @Pascalsmon
    @Pascalsmon Місяць тому

    Jaman hongereni sana mnafanya vizur sana

  • @LilyBeauty-d1t
    @LilyBeauty-d1t Місяць тому

    Mnachelewesha sana aisee tunaboeka bana

  • @ElizabethMedard
    @ElizabethMedard 2 місяці тому

    Ya leo nmeipenda kwa kwel mganga kanichekesha san ahahahah

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 2 місяці тому

    😂😂😂😂mnafurahisha sana kwakweli ila ninamalalamiko zebuu alinikataa

  • @MaryamSafi-vm6or
    @MaryamSafi-vm6or 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂 wapi mzee likoma

  • @RajuShabani
    @RajuShabani 2 місяці тому +5

    Abari kp

  • @reginaIssa-m2j
    @reginaIssa-m2j 2 місяці тому

    ❤❤❤😂😂😂mganga matikisa imetikiawa weee mwisho wasiku umekata moto ohooo😢

  • @vyroneatamarazjohnz6674
    @vyroneatamarazjohnz6674 Місяць тому

    *😂BETRAYAL HOUSE* alwàys funny 😅

  • @PundensianaTango
    @PundensianaTango 2 місяці тому

    Wanaowakubali kp na zebuu gonga luke🎉🎉🎉