🔴LIVE | SUNDAY SERVICE | IBADA YA JUMAPILI | KANISA LA VUKA YORDANI | 22 SEPTEMBER 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 165

  • @henagemasulu5051
    @henagemasulu5051 2 місяці тому

    Eee!Yesu nakushuru sanaa kwa Neno hili la Ufahamu wa rohoni .Mungu msaaaidie mtumishi wako@ Askofu Ellibariki Sumbe Mafunuo mapyaa kila wakati kwa ajili ya roho za wengi.Amen

  • @wilbardnnko2259
    @wilbardnnko2259 2 місяці тому +2

    Nami naomba Mungu unifungue ufahamu wangu wa rohoni.Amen

  • @serapiaminja3432
    @serapiaminja3432 2 місяці тому

    Ahsante Yesu kwa ufunuo huu. Ktk jina la Yesu nimefunguliwa ufahamu wangu wa rohoni

  • @SyellaSteve
    @SyellaSteve Місяць тому

    Somo ni nzuri mno Asante yesu na umbariki mtumishi wako huyu

  • @adventurio-co4ro
    @adventurio-co4ro 2 місяці тому

    Asante Mungu nafunguliwa ufahamu wa rohoni kwa jina la yesu

  • @jeanineharerimana4298
    @jeanineharerimana4298 2 місяці тому +1

    Emungu baba Asante kwa neno lako mubariki mutumishi wako baba namimi ninaomba unifunguwe ufahamu warohoni Amen

  • @noellaniyonizeye1646
    @noellaniyonizeye1646 2 місяці тому

    Asante Yesu kunigusa kwa leo hii ilikuwa ni siku yangu thank you Lord ❤❤❤
    Mbariki Bishop Elibariki Sumbe na umpe maisha marefu sana ❤❤❤

  • @AreggAregg-u2h
    @AreggAregg-u2h 2 місяці тому +1

    Ee Mungu naomba unifunguwe ufahamu wa rohoni pamoja nafamilia yangu 🙏🙏🙏🙏

  • @andelehsadick8825
    @andelehsadick8825 2 місяці тому +2

    Mungu anisaidie Nami Nipate Ufahamu wa Rohoni Ili Kuwa sawa Katika Ndoa Yangu Pia Nimejifunza Kuusu Nguvu za Ushuuda Bwana Nisaidie

  • @yalalaambobe9528
    @yalalaambobe9528 2 місяці тому +1

    Bwana Yesu kristo uniponye kwa magonjwa ya ufahamu wa rohoni nishinde Mungu wangu

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 2 місяці тому +1

    BWANA asante kwa ufunuo huu ili ufahamu wangu ufunguliwe na kunitolea hofu nipate kudumu uweponi mwako JEHOVAH MUNGU 🎉🎉🎉🎉

  • @NjunaelSwai
    @NjunaelSwai 2 місяці тому +2

    Tayari nimejiunganisha na madhabahu ya vuka yordani amen

  • @chrisskissezzy4898
    @chrisskissezzy4898 2 місяці тому

    🧎‍♀️ Ewemungu wangu mwanao nipoapa baba naomba unifunguwe ufahamu wangu Mimi pamoja na Familia yangu yote katika jina la yesu Christo 🙏🙏🙏👏👏👏

  • @HelenaMbedule-fd9yq
    @HelenaMbedule-fd9yq 2 місяці тому +1

    Mungu naomba nifungue ufahamu wangu wa rohoni

  • @Happy-rm7gs
    @Happy-rm7gs 2 місяці тому +1

    Nakushukuru sana bwana wetu YESU kristo kwakunionekania Siku ya Leo umenitowa pabaa sana sifa nautukufi nizako bwana

  • @millicentrabera
    @millicentrabera 2 місяці тому +1

    MUNGU nifungue ufahamu wa rohoni kuniponya na magonjwa sugu ktk maisha yangu

  • @GetrudeMwemba
    @GetrudeMwemba 2 місяці тому

    Bwana Yesu asante kwa kufungua ufahamu wangu wa Rohoni

  • @FilomenaFernamdo
    @FilomenaFernamdo 2 місяці тому

    Ninoge sana mungu sitaki mdoto zasheitani nataka mdoto zako mungu nisaidie

  • @ClaudeBulambo-s7q
    @ClaudeBulambo-s7q 2 місяці тому

    Amina MUNGU ametenda kwenye maisha yangu.

  • @estherritte591
    @estherritte591 2 місяці тому

    Mungu akubariki sana Baba

  • @JustinaSamuel-zd6rq
    @JustinaSamuel-zd6rq 2 місяці тому +1

    Eee Mungu unifungue ufahamu wa roho nipate uponyaji pamoja na mtoto wangu anae sumbuliwa na tumbo mara kwa mara tukapata uzima kwa jina la yesu

  • @PeninaMlaponi
    @PeninaMlaponi 2 місяці тому

    Nanyenyekea kwako Bwana, nielewe nakuniongoza Kwa sauti Yako, ni Bora nichelewe ili nifike mbali, NAKUSHUKURU Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 2 місяці тому

    Amen asante Yesu mwenye nguvu 🙌🙌🏻👏🏻🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇺🇬

  • @FilomenaFernamdo
    @FilomenaFernamdo 2 місяці тому

    Mungu nisaidie umeme wangu urudi nizidiwe na nyenge samahani mungu 🤰 nisaidie yesu nizae mapasha 2 yonte wanawake

  • @VestinaMwase
    @VestinaMwase 2 місяці тому

    Eee Mungu naomba na mm unifungue na ufaamu warohoni maana nimezungukwa na vifungo vingi naomba kufunguliwa kwa Jina la Yesu wanazaret amen

  • @KM-hx8zy
    @KM-hx8zy 2 місяці тому +1

    Baba Mungu akupe Miaka Mingi ya maisha kabisa, tunapinga kukuchukuwa mbele ya muda...

  • @jeanclaudekashibura3188
    @jeanclaudekashibura3188 2 місяці тому

    Asante Yesu wetu, endelea natuponya.

  • @alfredusayo
    @alfredusayo 2 місяці тому +1

    Amen mungu anifungue ufahamu na anifundishe ufahamu ya rohoni Amen na hofu ondoka katika jina yesu

  • @fredgersimbeye5394
    @fredgersimbeye5394 2 місяці тому

    Sema nami man of God

  • @LuciaNdavalaveVintani
    @LuciaNdavalaveVintani 2 місяці тому +1

    Eee Mungu Naomba unifungue ufahamu wangu wa rohoni

  • @FilomenaFernamdo
    @FilomenaFernamdo 2 місяці тому

    Mwaka hudyao Nataka nisome mungu nisaidie

  • @StellahBenard-dd2fj
    @StellahBenard-dd2fj 2 місяці тому

    Baba mungu wabiguni naitaji ufahamu

  • @BeatriceMshombo
    @BeatriceMshombo 2 місяці тому

    Mungu unifunguwe ufahamu wangu

  • @NancyAtandi
    @NancyAtandi 2 місяці тому

    Aminaaaaaaaaa sana nikiwa namanga

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому +1

    ***MUNGU APEWE SIFA ZOOTE KABISA. ANASTAILI AMEEEN AMEEEN AMEEEN!

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому +1

    ***NASHUKURU SAAANA YESU KRISTO KWA UPONYAJI WAKO AMEEEN AMEEEN AMEEEN!

  • @busimemariefanuel3293
    @busimemariefanuel3293 2 місяці тому

    Asante MUNGU Kwa neno lako

  • @elizabethsimbenga4773
    @elizabethsimbenga4773 2 місяці тому +9

    Hakika Mungu leo mimi nakili kufunguliwa ufahamu wangu na kizazi changu chote

  • @JaneJoseph-l6t
    @JaneJoseph-l6t 2 місяці тому

    Nabarikiwa Sanaa, ❤

  • @FilomenaFernamdo
    @FilomenaFernamdo 2 місяці тому

    Emungu namimi uzazi wangu uwinuke uwe sawa mumewangu anipede sana

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 2 місяці тому

    Ameeeeeeeeeen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @elizabethsimbenga4773
    @elizabethsimbenga4773 2 місяці тому

    Nami nafunguliwa ufahamu wa rohoni.

  • @rehemajayden
    @rehemajayden 2 місяці тому +2

    Wapige upofu wasinione wafunge vinywa wote kwa jina la yesu

  • @NeemaNyari-m8t
    @NeemaNyari-m8t 2 місяці тому

    Mungu ni mwema

  • @StellahBenard-dd2fj
    @StellahBenard-dd2fj 2 місяці тому

    Mungu wangu nipeufahamu

  • @NsabimanaOnesime
    @NsabimanaOnesime 2 місяці тому

    Eee bwana yesu naomba unifunguwe ufahamu wa rohoni

  • @NdayishimiyeLydia-j5o
    @NdayishimiyeLydia-j5o 2 місяці тому

    Nakataa hofu yote ndani ya maisha yangu n'a watoto wangu

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому +1

    ***ASANTE MUNGU KWAKUNIPONYA MAGONJWA MEEEN AMEEEN AMEEEN!

  • @SIAMOLLELMollel
    @SIAMOLLELMollel 2 місяці тому

    Yesu nifunguwe ufahamu wangu

  • @MochaMocha-t2e
    @MochaMocha-t2e 2 місяці тому

    Eeee mungu niodole roho zhamajini haba

  • @rehemajayden
    @rehemajayden 2 місяці тому +3

    Bwana yesu wapige upofu watu wote kazini kwangu wasinione kwa jina la yesu

  • @GHgh-hq3zj
    @GHgh-hq3zj 2 місяці тому

    Amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 2 місяці тому

    Ameeen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @ChristineEketo
    @ChristineEketo 2 місяці тому

    Asante mungu baba 🙏

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 2 місяці тому

    Ameen👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***AMEEEN AMEEEN AMEEEN!

  • @MochaMocha-t2e
    @MochaMocha-t2e 2 місяці тому

    Eeee mungu nifugue nafsi yangu

  • @BeatriceMshombo
    @BeatriceMshombo 2 місяці тому

    Asantesana bb

  • @Fainesfaines
    @Fainesfaines 2 місяці тому

    Amina

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому +1

    ***MAANA, KILICHO SABABISHA KUKOSA MTOTO (KUZAA) NI "UFAHAMU WA ROHONI" AMEEEN AMEEEN AMEEEN!

  • @neemabyaruhanga8220
    @neemabyaruhanga8220 2 місяці тому

    Very true may God help me too

  • @carolinetoto8706
    @carolinetoto8706 2 місяці тому

    Ameen🙏🏻🙏🏻

  • @FilomenaFernamdo
    @FilomenaFernamdo 2 місяці тому

    Nisome sana nione nisikie kila kintu 🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @ElirehemaAnaeli
    @ElirehemaAnaeli 2 місяці тому

    Amen 🎉🎉

  • @LilianKwamboka-k2w
    @LilianKwamboka-k2w 2 місяці тому

    Baba nifungue ufahamu wangu

  • @FilomenaFernamdo
    @FilomenaFernamdo 2 місяці тому

    Mdoto baya sitaki tena kuonta kwazia Léo mungu nisaidie

  • @بسمالله-ه3ت3خ
    @بسمالله-ه3ت3خ 2 місяці тому +2

    Baba uniombee milango ifunguke ,Na niasant juu Sunday tulikua wagojwa watu wa inne Katinka familia Na tulipona ,

  • @gloriam2005
    @gloriam2005 2 місяці тому

    Haleluya 🎉

  • @KingBabaloho
    @KingBabaloho 2 місяці тому

    Jina la yesu libarikiwe

  • @FilomenaFernamdo
    @FilomenaFernamdo 2 місяці тому

    Namimi nikae yusana mumewangu anipede sana anipe ela kabila kusita nipotayar kufukuliwa Mimi Léo mungu na sumbe

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 2 місяці тому

    WOW amen

  • @berrisodhiambo5607
    @berrisodhiambo5607 2 місяці тому

    Amen 🙏🙏

  • @عايشةكينيا-ت4ف
    @عايشةكينيا-ت4ف 2 місяці тому

    🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***BISHOP ELIBARIKI SUMBE NAKUPENDA SANA, USINISAAU!

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***UFAHAMU WA ROHONI!

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    *** "RÉVÉLATION" DE LA PAROLE DE DIEU AMEEEN AMEEEN AMEEEN!

  • @purymumykarisa8863
    @purymumykarisa8863 2 місяці тому

    Amen

  • @NjunaelSwai
    @NjunaelSwai 2 місяці тому

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***BISHOP ELIBARIKI SUMBE, WOTE WALI NEHEMEWA KUWA TANZANIE KARIBU NAWEWE, ICHO TU WASHUKURU MUNGU KABISA!

  • @RoseMudogo
    @RoseMudogo 2 місяці тому

    Mungu naomb usinipite niko hapa bwana

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 2 місяці тому

    Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤❤❤❤😂😂😂❤❤

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***NIKAMA YONA 2: 10 YEYE MWENYEWE KATIKA "UKWELI" AMEEEN AMEEEN AMEEEN!

  • @Brunosebastian-q1s
    @Brunosebastian-q1s 2 місяці тому

    Baba naomba unifungue ufahamu nikuelewe unaposema nikusikie

  • @عايشةكينيا-ت4ف
    @عايشةكينيا-ت4ف 2 місяці тому

    🤚🤚🤚🤚🤚🤚👏👏

  • @FatumamlongoKarisa
    @FatumamlongoKarisa 2 місяці тому

    Ufaham wa rohoni

  • @PaskalinaChaula
    @PaskalinaChaula 2 місяці тому

    Mungu nifungue nipo hapo bwana

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***BISHOP ELIBARIKI SUMBE, UMENIOMBEA IVI NIMEPATA "EKIMA" YA NENO LAKE MUNGU ASANTE!

  • @EsnatiKasasa
    @EsnatiKasasa 2 місяці тому

    Baba naomba nifungue ufahamu

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***WAGANGA WA CHENYEJI NI UONGO (PIRATE) ! AYA DUMU...

  • @NyotaButoni
    @NyotaButoni 2 місяці тому

    Eee mungu nione namimi baba usiniache

  • @عايشةكينيا-ت4ف
    @عايشةكينيا-ت4ف 2 місяці тому

    Aneana

  • @ProsperMbaruku
    @ProsperMbaruku 2 місяці тому

    Bwana YEsu utukumbuke mimi na familiya yangu yote

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***NAELEWA VIZURI SANA 100/100 !

  • @FilomenaFernamdo
    @FilomenaFernamdo 2 місяці тому

    Nipone vidonda viatubo

  • @CosetteNiyinkuru
    @CosetteNiyinkuru 2 місяці тому

    Yesu ni ponye

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***TUKIKOSA UFAHAMU WA ROHONI, NDOA NYINGI ZINAONA BORA ZIENDE KWA WAGANGA WA CHENYEJI!?

  • @ZacharieTwemeremungu-m1n
    @ZacharieTwemeremungu-m1n 2 місяці тому

    ***ASANTE SAAANA KWA MASHAULI YAKO NI MUIMU KWA MAISHA YA ROHO...

  • @FilomenaFernamdo
    @FilomenaFernamdo 2 місяці тому

    Tulangu lipone kunguruma

  • @BeatriceMshombo
    @BeatriceMshombo 2 місяці тому

    Na damillia yangu yote

  • @NjunaelSwai
    @NjunaelSwai 2 місяці тому

    eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeennnnn