Mwanafunzi adaiwa kudhulumiwa Nairobi School

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 32

  • @mohamedahmed-wc5te
    @mohamedahmed-wc5te 5 років тому +2

    Day school is best option for our kids.

  • @waqooaarero5136
    @waqooaarero5136 5 років тому +1

    Waziri wa elimu ajui kazi

  • @stevekio5510
    @stevekio5510 5 років тому +5

    Ata jela siku hizi ni afadhali kuliko shule..........Huwa wanagoma kuongezewa mishahara wapate nguvu za kuchapa wanafunzi .............wanajua thamana ya mtoto kwali........laana kwenu.

    • @faisalboy301
      @faisalboy301 5 років тому

      Sema tena.
      Na hii case ya kuchapa watoi kama punda shule haijakoma.
      Juzi tumeshuudia walimu wa chogoria boys in Tharaka Nithi wakichapa watoto kichapo cha umbwa na kuwalaza nje na watchman.
      Kama mzazi na mfanyi kazi niliumwa Sababu hata kama mtoto ako na makosa hiyo si haki.
      Na pia kuwabebesha kila kitu chao waondoke nacho hapa shuleni hili hali walikuwa na maumivu na kulazwa nje.
      Serikali zingatieni mambo zingine tafadhali.
      Inauma sana.
      Tena sio mwalimu mmoja kuchapa mtoto.
      I'm still in that pain.

  • @maggynowak3555
    @maggynowak3555 5 років тому +1

    Day school is better option

  • @bettygakii8373
    @bettygakii8373 5 років тому +2

    I cover my daughter with blood of Jesus Christ

  • @ngisian
    @ngisian 5 років тому

    This not something to ignore. Citizen TV take this matter to the ABLE CS. We thank God the Boy was picked before the worst happened. Mr Alai had hinted there is a problem in that school.

  • @vivianwanini5906
    @vivianwanini5906 5 років тому

    Very sad😔😔 Mungu ameyaona yote yale mnayo yafanyia watoto mashuleni velaja hawa .ya ndunia ni nduniani tu kwake mola twa waachia

  • @Ladypeace12312
    @Ladypeace12312 5 років тому

    Oh God 😢😢😢

  • @karimabdul3928
    @karimabdul3928 5 років тому +1

    Kwani hawa wanaona watu ni wajinga? Mpaka shule ikuitie mtoto si inamana alikua hayuko Sawana tatizo lake shule isingeliweza kulishuhulikia. Sa huyo mwalimu mkuu akisema mtoto alitoka shule akiwa Sawa mi Naona hayuko timamu. Na hivyo pia no kuendelea kuficha uovu ambao ameshindwa kuuzuia hapo shuleni

  • @prisillakimani3590
    @prisillakimani3590 5 років тому

    With such stories the ministry of education should look into it make teachers responsible and the prefects should be surmoned

  • @tishna9414
    @tishna9414 Рік тому

    Nairobi school is condusive environment for learning

  • @clarionphilips2556
    @clarionphilips2556 5 років тому

    Funzo kwa wazazi wale wajifanya wenye pesa

  • @vickynicho9521
    @vickynicho9521 5 років тому +1

    Wakatae lakini wajue tu hakufi atapona na ataeleza kila kitu.

  • @maggynish4341
    @maggynish4341 5 років тому

    Better day school

  • @ladyshakorros7049
    @ladyshakorros7049 5 років тому

    Oooh my God,

  • @gracekamau4413
    @gracekamau4413 5 років тому

    Tutawacha lupeleka watoto boarding scul

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 5 років тому

    Siku hizi shule zimekua nikama hell chenye watoto wanapitia wallai ni mungu kwanza form one

  • @maryambarayan7599
    @maryambarayan7599 5 років тому +2

    I will never take my kid to boarding school. If it's not abiting then its homosexuality. It's scary

  • @elpinarichard1884
    @elpinarichard1884 5 років тому

    Duh! Qr

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 років тому

    Nilikua nategemea kumpeleka boding baada ya kumaliza 8, lkn kwa ule ujinga uko na hawa watoto wa Matiangi afadhali aende day school

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 років тому

    SUBHANNALLAH

  • @Surfcom1839
    @Surfcom1839 5 років тому

    I can only take my Boy to the skul that i went, Such cases are alien

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 5 років тому +1

    Ata binti wa rafiki wanghu amenyanghanywa simu yake kwajili ya karo mpaka alipe karo ndiyo atarudishiwa simu yake nauliza hi ni sheriya gani?

    • @sharonshillah3561
      @sharonshillah3561 5 років тому

      Heri Kupokonywa 4n thn mtoi kupigwa na wanafunzi wenzake hadi kuumizwa hvo...Na hta hvo hakuna sheria yakubali mtoi aende na 4n shuleni ni hatia.

    • @mahbubdawood2909
      @mahbubdawood2909 5 років тому

      @@sharonshillah3561 Ni kweli kabisa naelewa wanafunzi hawaruhusiwi kuenda na simu katika shule kwaajili yaku google majibu,na ata wengine wameanza mtindo yakuanghaliya sinema chafu(porn videos)Naku piga picha za karatasi za mtiani tumetoka shule sasa hivi na tume maliza hiyo kesi ya simu mschana amekubali makosa yake kwambha mwalimu alitanghaza wanafunzi fulani waende na simu kwaajili walikuwa na trip ili waweze kuwasiliana na wazazi wao na huyu mschanana wetu akafikiri kwambha ata yeye ameambiwa kuenda na simu shuleni na huenda ata huyu mwanafunzi kijana wa Nairobi School amepigwa na wanafunzi lakini asinghizia walimu pole sana

    • @mahbubdawood2909
      @mahbubdawood2909 5 років тому

      @@sharonshillah3561 Shule ilikuwa inadaisha pesa kwaajili ya mtiani na mschana na baba wake wakafikria ni hizo pesa ni kwaajili ya simu(misunderstanding)

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 років тому

    Hawa wanafunzi wa cku hizi Bangi ndo inawasumbua. Ujinga unawasumbua.

  • @j.wkamae6936
    @j.wkamae6936 5 років тому +2

    Cursed generation😓😓😓😓

    • @katewambui4834
      @katewambui4834 5 років тому

      Why should the prefects be given mandate to punish their fellow students physically, what is the work of the Admistration in the school. Headteachers can u wake up and be responsible, this cases are becoming too much and our kids are suffering. You hv left everything to the prefects. This is very sad. Schools should be a safe place to our kids but they hv become hell.

  • @marynjengah2771
    @marynjengah2771 5 років тому

    Boarding schools are scary now
    Afadhali day schools
    The culprits do they expect to ever be in peace