HUU NDIO MSIMAMO SAHIHI KUHUSU ARAFA! DALILI HIZI HAPA!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 43

  • @luckmanalbahar204
    @luckmanalbahar204 3 місяці тому

    Shkh shaafi mm Nakukubali kbx 100% Na ninanufaika kwa elimu yko shkh lngu

  • @Mbwera2
    @Mbwera2 3 місяці тому

    Tunakupata vizuri kutoka hapa dubai mashalla habib

  • @hassanrangambo8007
    @hassanrangambo8007 4 місяці тому +1

    Mashaalla leta elimu sheikh tuelimike wanao taka mipasho waache watukane

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 4 місяці тому +2

    Unapoandika HUU NDO MSIMAMO SAHIHI KUHUSU ARAFA, Unamaanisha waliokutangulia waliluwa hawajui msimamo Sahihi wa Afara?

    • @AhmadiKindimbo-gw4pl
      @AhmadiKindimbo-gw4pl 3 місяці тому

      Kwani nyinyi mnapotangaza kinyume na msimamo wake yeye hamsemi kuwa huu ndiyo msimamo sahihi mnasema kuwa hilo jambo Lina khitilafu?

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 4 місяці тому +1

    Wallahi ndugu yangu Abu jaafar umepatia

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 4 місяці тому

    Sub7aanaLLAAH Hao unao hakikisha vitabu vyao wanakhatari, Tunakushauri endelea na shughuli nyengine mambo ya mitandao yawache. Alafu endelea kufundisha watu Masomo hayo ya Tawheed na Sharia. Mengine yaache.

  • @ABDULLAOALI
    @ABDULLAOALI 4 місяці тому

    Rahmatullah, au Rahmahu Allah

  • @RamadhanMgeni-gt1tu
    @RamadhanMgeni-gt1tu 3 місяці тому

    Tuko pamoja mwalim

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 4 місяці тому

    Uko sawa sheikhe letu

  • @KhayratMansour
    @KhayratMansour 3 місяці тому

    Ungejua msimamo sahihi juu ya Arafa kwanza Ushia ungeupisha mbaaali , haiwezekani hata siku moja kuwa Shia kwani Ushia ni upotevu .

  • @amadeomarsaide5023
    @amadeomarsaide5023 4 місяці тому +1

    Ni Kweli ndugu yangu aache ujinga na ajibu hoja tuone ukweli wake uko wapi?😂😂😂 Miongoni mwa watu boxi tupu huyu namba moja

  • @ABUUJAAFAR92
    @ABUUJAAFAR92 4 місяці тому +2

    Watu ni wawili wanaokuradd ,bachu,na abuu allman...ulivyomrongo baada ya kushindwa kujibu hoja unasingia huwezi kujibu watu wengi,,wengi wapi?
    Jibu hoja wacha ujinga

    • @allymahaba3425
      @allymahaba3425 4 місяці тому

      Tafuta ukweli sio ushabiki. Huyo Bachu na mwenzake hawatakusaidia kitu Siku ya Kiama. Acha kufuata mtu kama kipofu.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 4 місяці тому

      @@allymahaba3425 kipofu ni wewe unaefuata huyu mjinga

    • @MB-yq3ty
      @MB-yq3ty 4 місяці тому

      ​@@allymahaba3425
      Wewe unamfuataje huyu kiupofu sasa.

  • @rashidjuma9169
    @rashidjuma9169 4 місяці тому

    Ukitaka kujuwa majibwa wa kiwahabi tunaangalia kwenye kometi zako

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 4 місяці тому

      Na ww pia coment yako watu washakuja wewe ni mtu gani

    • @rashidjuma9169
      @rashidjuma9169 4 місяці тому

      Mawahabi kweli ni mafasiki Kila sampuli ya ufasiki wako nao kama kuwaita waislamu wenzao majina mabaya ikisikiya muislamu ameitwa jina baya juwa Alo mwiita ni waabi

  • @khalidalsinany893
    @khalidalsinany893 4 місяці тому +2

    ولا تزكوا أنفسكم , تدعي أنك تدرس الناس علم العقيدة ، وفي الحقيقة لا تعرف شيئا عن العقيدة، أنت شيعي رافضي بعيدا عن تعليمات النبي صلى الله عليه و سلم.
    Wewe unajificha katika kivuli Cha kuwarradd mahabi, kumbe unafundisha watu ushia.

  • @matendupiterngoge8707
    @matendupiterngoge8707 3 місяці тому

    Hili senge Tena matako makubwa

  • @mohdsheha8295
    @mohdsheha8295 4 місяці тому +1

    Wakati anaongea Mtume kuhusu mwezi 9 alikuwa wapi na kuwaambia nani.
    Ila hakuna alosema arafa ni mwezi 8 au10 mm naona mwlm ungetulia tu sisi tutaendelea kuwaunga mkono kwenye kisimamo kwa kufunga na kuchinja siku moja

    • @Dairy-Mambrui1
      @Dairy-Mambrui1 4 місяці тому +1

      2020 na 2021 wakati wa corona kulikuwa maka hakuna hija jee uliunga mkono mahijaji gani na jee Saum ya Arafa ulifingaa?

    • @Dairy-Mambrui1
      @Dairy-Mambrui1 4 місяці тому +1

      2020 na 2021 wakati wa corona kulikuwa maka hakuna hija jee uliunga mkono mahujaji gani na jee Saum ya Arafa ulifungaa?

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 3 місяці тому

      Fata msimamo wako waache na wengine na misimamo yao na ukitaka pia kuwaunga walioko arafa ungeenda kufungia arafa kisha ukarudi

  • @MajutoRajabu-r9v
    @MajutoRajabu-r9v 4 місяці тому +1

    Mwamba sana huyu jamaa.

    • @ABUUJAAFAR92
      @ABUUJAAFAR92 4 місяці тому

      Jaahil mkubwa hajawahi tokea duniani

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 4 місяці тому

    Kaka kuna watu wakiongelea dini wanapata thawabu kila kitu lakini wewe kila ukiongea basi unajuchima madhambi muogope Allah

  • @mustafahkapopwa-bi7yb
    @mustafahkapopwa-bi7yb 4 місяці тому

    kijana mwenye elimu

  • @BilaliIloko
    @BilaliIloko 3 місяці тому

    😂😂😂 shia umekimbia hoja za mashia wenzako naona sasa umekuja kwenye arafa ili kuwachanganya watu ,,alafu aqida yako ww nini

  • @UB40X1
    @UB40X1 4 місяці тому

    Majusi piya wajua Arafah? 😂😂😂

  • @khatwabhamid9398
    @khatwabhamid9398 4 місяці тому

    Sura yake imekosa nuru angejijua angeufyata

    • @AbdulkasimuDossa
      @AbdulkasimuDossa 3 місяці тому

      غفر الله لك.
      Netanyahu Allah Amlaani, uso wake unang'aa jee yupo kwenye Haki.!

  • @shabanihugo8332
    @shabanihugo8332 4 місяці тому

    Huyo hana elimu

  • @noorululaatv8973
    @noorululaatv8973 4 місяці тому

    Lete vitu Mwamba

  • @MajutoRajabu-r9v
    @MajutoRajabu-r9v 4 місяці тому

    Miwahabi hapo midomo wazi.

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 4 місяці тому

    Kafiri na ARAFA wapinawapi wewee Yahud

  • @MB-yq3ty
    @MB-yq3ty 4 місяці тому

    Unamtaja Abuu Daudi wa nini wakati yeye sio Shia.

  • @ahmadmzoa74
    @ahmadmzoa74 4 місяці тому

    Ndo hivyo tena tuvumiliane. Mtume swalla LLAHU alayhi wassallam kazaliwa Makka,kafariki Madina. Hijja huwa Makka kwa tarehe ya Hijaz na si vinginevyo, ndo Ishakadiriwa,hata kama mtu anaumia avumilie tuuu...Hamna jinsi .Tunapoteza muda,Hijja iko Makka na kwa tarehe za Makka al Mukarrama. Ndo usubiri tena utafanyaje labda uende karbala.

    • @jamalishoo3802
      @jamalishoo3802 4 місяці тому +2

      Sasa kwani kufunga arafa ni kuhiji?