- 321
- 317 348
SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Приєднався 16 лип 2023
Hii ni chaneli rasmi ya Sheikh Shafii Basalim Al-salimy yenye madhumuni ya kuuelimisha umma mafunzo ya Uislamu sahihi na jamii na maadili mema na kupambana na fikra potovu na za ushadidifu, karibuni sana.
Відео
RADDI ADABISHI KWA MZUSHI JAAFAR AL-BEIDH _JE NIKWELI WASHIA WALIKUWA WEZI WA VIATU WAKATI WA MTUME?
Переглядів 6322 години тому
RADDI ADABISHI KWA MZUSHI JAAFAR AL-BEIDH _JE NIKWELI WASHIA WALIKUWA WEZI WA VIATU WAKATI WA MTUME?
EP (2) JE #OTHMAN MAALIM NI MWANACHUONI KWA MIZANI YA KIELIMU? SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 3052 години тому
EP (2) JE #OTHMAN MAALIM NI MWANACHUONI KWA MIZANI YA KIELIMU? SHAFII BASALIM AL-SALIMY
DAWRA YA MASHEIKH _ HAKUNA KUTOKA MOTONI KWA WALIO KUFA NA DHAMBI KUBWA HATAKAMA NI MUISLAMU!!
Переглядів 8297 годин тому
DAWRA YA MASHEIKH _ HAKUNA KUTOKA MOTONI KWA WALIO KUFA NA DHAMBI KUBWA HATAKAMA NI MUISLAMU!!
DAWRA YA MASHEIKH MOROGORO _MISINGI YA TWARIQA YA BAA'LAWY_ #SHAFII BASALIM, 25/11/2024
Переглядів 3487 годин тому
DAWRA YA MASHEIKH MOROGORO _MISINGI YA TWARIQA YA BAA'LAWY_ #SHAFII BASALIM, 25/11/2024
KISHA ANAKUJA MZIBUA MITARO MKOJA OOH HUNA SANAD..TIZAMA MAPOKEZI YETU YA ELIMU🤣🤣
Переглядів 65716 годин тому
KISHA ANAKUJA MZIBUA MITARO MKOJA OOH HUNA SANAD..TIZAMA MAPOKEZI YETU YA ELIMU🤣🤣
MTU AKIZUNGUMZA PUMBA TUTAMPIGA RADDI TUU HATAKAMA AKIWA NANI!! SHAFII BASALIM
Переглядів 30321 годину тому
MTU AKIZUNGUMZA PUMBA TUTAMPIGA RADDI TUU HATAKAMA AKIWA NANI!! SHAFII BASALIM
SEMINA YA KIELIMU KWA MASHEIKH NA MAKHATWIB _KUKHITALIFIANA NA KUISHI PAMOJA_ 17/11/2024 Dar...
Переглядів 88621 годину тому
SEMINA YA KIELIMU KWA MASHEIKH NA MAKHATWIB _KUKHITALIFIANA NA KUISHI PAMOJA_ 17/11/2024 Dar...
RADDI KWA WAPUMBAVU WALIO MDHALILISHA BACHU KTK MJADALA WA MOMBASA KENYA!! SHAFII BASALIM
Переглядів 2,9 тис.21 годину тому
RADDI KWA WAPUMBAVU WALIO MDHALILISHA BACHU KTK MJADALA WA MOMBASA KENYA!! SHAFII BASALIM
JITU LA BID'A LIKIKUULIZA ALLAH YUKO WAPI?? LIJIBU HIVI.....SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 1,5 тис.День тому
JITU LA BID'A LIKIKUULIZA ALLAH YUKO WAPI?? LIJIBU HIVI.....SHAFII BASALIM AL-SALIMY
HUU NDIO SAYYID HASSAN BIN ALLY AS-SAGGAF _ALLAH AMUHIFADHI_
Переглядів 452День тому
HUU NDIO SAYYID HASSAN BIN ALLY AS-SAGGAF _ALLAH AMUHIFADHI_
UKIZUNGUMZA TU WATU WENYE AKILI HUWA TUSHAKUFAHAMU TUKUWEKE WAPI!!?? SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 173День тому
UKIZUNGUMZA TU WATU WENYE AKILI HUWA TUSHAKUFAHAMU TUKUWEKE WAPI!!?? SHAFII BASALIM AL-SALIMY
RADDI KWA WAPUMBAVU WANAOJIFANYA MASUFI!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 1,3 тис.День тому
RADDI KWA WAPUMBAVU WANAOJIFANYA MASUFI!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY
EP(1) JE #OTHMAN MAALIM NI MWANACHUONI KWA VIPIMO VYA ELIMU?? SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 1,5 тис.День тому
EP(1) JE #OTHMAN MAALIM NI MWANACHUONI KWA VIPIMO VYA ELIMU?? SHAFII BASALIM AL-SALIMY
RADDI ADABISHI KWA JAAHIL LA KIWAHABI QASSIM MAFUTA! _JE NIKWELI MAKAFIRI WANA TAWHIID RUBUUBIYAH?_
Переглядів 1,6 тис.14 днів тому
RADDI ADABISHI KWA JAAHIL LA KIWAHABI QASSIM MAFUTA! _JE NIKWELI MAKAFIRI WANA TAWHIID RUBUUBIYAH?_
EP (15) DARSA YA SHEREHE YA "لامية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 10814 днів тому
EP (15) DARSA YA SHEREHE YA "لامية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
RADDI ADABISHI KWA WAPAMBE NA WANAOMTETEA #OTHMAN MAALIM KTK UPOTOSHAJI WA TAWHIID!! SHAFII BASALIM
Переглядів 2,7 тис.14 днів тому
RADDI ADABISHI KWA WAPAMBE NA WANAOMTETEA #OTHMAN MAALIM KTK UPOTOSHAJI WA TAWHIID!! SHAFII BASALIM
RADDI ADABISHI KWA SHEIKH OTHMAN MAALIM, ACHA KUENEZA ITIKADI MBOVU!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 6 тис.14 днів тому
RADDI ADABISHI KWA SHEIKH OTHMAN MAALIM, ACHA KUENEZA ITIKADI MBOVU!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY
KAMA HUWEZI KUSEMA HAQQI BASI USIIPIGIE MAKOFI BATILI!! LUSHOTO TANGA DAAWA TRIP 2024
Переглядів 8514 днів тому
KAMA HUWEZI KUSEMA HAQQI BASI USIIPIGIE MAKOFI BATILI!! LUSHOTO TANGA DAAWA TRIP 2024
Shukran kwa watu wa Lushoto kwa kuungana nasisi kuitangaza haqqi!! Shafii Basalim Al-salimy
Переглядів 13214 днів тому
Shukran kwa watu wa Lushoto kwa kuungana nasisi kuitangaza haqqi!! Shafii Basalim Al-salimy
HATUSHINDANI NA PUNDA MWENDO WETU NI WA FARASI!! _LUSHOTO TANGA DAAWA TRIP 2024_
Переглядів 13014 днів тому
HATUSHINDANI NA PUNDA MWENDO WETU NI WA FARASI!! _LUSHOTO TANGA DAAWA TRIP 2024_
FANYA HIVI ILI UWEZE KUHIFADHI HARAKA NA USIWEZE KUSAHAU!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 17314 днів тому
FANYA HIVI ILI UWEZE KUHIFADHI HARAKA NA USIWEZE KUSAHAU!! SHAFII BASALIM AL-SALIMY
EP (14) DARSA YA SHEREHE YA "لامية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 4314 днів тому
EP (14) DARSA YA SHEREHE YA "لامية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
EP (13) DARSA YA SHEREHE YA "لامية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 4414 днів тому
EP (13) DARSA YA SHEREHE YA "لامية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
EP (12) DARSA YA SHEREHE YA "لامية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 3714 днів тому
EP (12) DARSA YA SHEREHE YA "لامية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
EP (11) DARSA YA SHEREHE YA "لا مية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 5014 днів тому
EP (11) DARSA YA SHEREHE YA "لا مية ابن الوردي" SHAFII BASALIM AL-SALIMY
MICHEZO MICHAFU YA MAWAHABI!! MASUFI ZINDUKENI TWARIQA HAITOSIMAMA KWA MATWARI NA PILAU!! BASALIM
Переглядів 74321 день тому
MICHEZO MICHAFU YA MAWAHABI!! MASUFI ZINDUKENI TWARIQA HAITOSIMAMA KWA MATWARI NA PILAU!! BASALIM
EP (2) DARSA YA KUPINGA VIGAWANYO VYA TAWHIID, KITABU "التنديد بمن عدد التوحيد" SHAFII BASALIM
Переглядів 37621 день тому
EP (2) DARSA YA KUPINGA VIGAWANYO VYA TAWHIID, KITABU "التنديد بمن عدد التوحيد" SHAFII BASALIM
SHEIKH NASOMA LAKINI MARA NYINGI NASAHAU NIFANYE NINI?? SHAFII BASALIM AL-SALIMY
Переглядів 79321 день тому
SHEIKH NASOMA LAKINI MARA NYINGI NASAHAU NIFANYE NINI?? SHAFII BASALIM AL-SALIMY
MUME AMEMUACHA MKE NA HAKUMWAMBIA ISIPOKUWA BAADA YA MIAKA 4 JEE EDA IMEISHA AMA BADO?
Переглядів 13021 день тому
MUME AMEMUACHA MKE NA HAKUMWAMBIA ISIPOKUWA BAADA YA MIAKA 4 JEE EDA IMEISHA AMA BADO?
Zama za mashekhe wasio na adabu
Huyo ndio Imaam mkubwa Zanzibar, ni Mtafiti wa Uislamu, sio Mtafiti wa Waislamu tu! Hapana! Yeye ni Mtafiti wa Uislamu haswa: yaani yeye huo Uislam kwake yeye ni kama nyumba anatoa atakacho. Kiburi ndio vazi lake, kujisomea mwenyewe ndio msaidizi wake
Hebu usitushghulishe nini maaan ya hvyo vidoleee
Halafu kumbe ukisikiliza hii video hao anaongea nao kumbe wooote ni wajinga Na ww unatumia akili yako na matusi kuwalaghai watu Mola atakupatiliza tuu ila urudi katika haqqi kwa kutubia
Ww kijana shafy kama kweli huo mfumo wako ni wa sahihi hebu tupe walau list ya wanachuoni kumi tuuu kwenye kila karne ambao wamepita mapito yako Maana ww unachukuwa mambo kwa vifungu fungu unavyotaka mwenyew tuuu Wala huna sanad katika hilo Wala hautompta mwanachuoni hata mmoja anaekwenda mapito hayo Maana ww kumbe ni mpotoshaji wa ummah wala si mlinganiaji wa kwenye haqqi
hio video umefunga comment baada umemtukan sayyid jaafar al bid, umjua umfnya makosa nd ukaziba, hun heshima, huna adabu jee hvy ndo watu hukosoana
Au hiyo ni sehemu ya ibada
Nini maana ya hivyo vidole?
Huyu anatufa Kiki anajiona ako na ilimu zaidi ataka kuzungumza kila anachokiona katika kitabu na kumkosowa kila anamtaka
ALHAMDHULLILLAH 😊 LEO JAHIL MUR'RAKAB LIMESHINDWA KUJIZUIA NA KUFANYA UTAQIYAH😂😂😂 TULISEMA TANGU ULIPOJIDHIHIRI WEWE NI SHIA RAFIDHII NYINYI NI MAKAFIRI WALA HAMUNA ITIQADI KATIKA UISLAMU...LAANATULLAHI ALAA RAFIDHII ... ALLAH AWALAANI MASHIA RAFIDHI NA ASIWAAJALIE NGUVU BALI WADIDIMIZWE KAMA QAARUN.MBN UFUNGE COMMENT 😂😂😂 UNAOGOPA KUITWA HIZBU LENU LAKIKAFIRI😂😂
Saggaaf ni jaahil hakuna shaka kwa kila muislamu mwenye kujishughulisha na elimu
Nakuomba usiropokwe kwa usio mjua.
@hilalkhalfan1452 labda kama wewe umemjua leo, Saggaaf ni jaahil sio AALIM , bali ni Jaahil murakkab Dhaallun mudhillun
@@alkashaaiy9722 mh ukisimama mbele za Mungu siku hio ikisha ikawa uliomsema Sio, utaumia sana.
Iyo challenge yako imejibiwa na hadith za mtume😂😂😂😂 au wewe nibora wakuijua kuran kuliko mtume .aljunuuunu funuunu
je sharifu mwenye baba amefikia hio darja au hajafikia
Hiyo ni itikad ya shia na ibadhi lakn sisi ahlu sunna hatuna itikaq hiyo dogo watu wapo wataingia moton na watatoka kwa shifaa ya mtume swalallahu alayhi wasalama
Kisha umeomba aya katika qur aan; { رُّبَمَا یَوَدُّ ٱلَّذِینَ كَفَرُوا۟ لَوۡ كَانُوا۟ مُسۡلِمِینَ } [Surah Al-Ḥijr Aya ya 2]. tunaomba uwabainishie watu "Sababu ya makafiri kutamani kuwa waislamu" Kisha wabainishie maana ya aya katika vitabu vya tafsiri za wanachuoni. Shukraan.
Hadithi ni Sahihi sio dhaifu
  الموسوعة الحديثية الرئيسة الموسوعة الحديثية شروح الأحاديث روابط مهمة البحث الموضوعي خدمات - شفاعتي لأَهلِ الْكبائرِ من أمَّتي الراوي : - | المحدث : ابن تيمية | المصدر : شرح حديث جبريل | الصفحة أو الرقم : 358 | خلاصة حكم المحدث : صحيح شفاعتي لأهلِ الكبائرِ مِن أمتي. الراوي : أنس بن مالك | المحدث : الألباني | المصدر : صحيح أبي داود الصفحة أو الرقم: 4739 | خلاصة حكم المحدث : صحيح التخريج : أخرجه أبو داود (4739)، والترمذي (2435)، وأحمد (13222) تَفضَّل اللهُ سُبحانَه على أُمَّةِ الإسلامِ بشَفاعةِ النبيِّ صلَّى اللهُ عليهِ وسلَّم لهم يَومَ القيامةِ، وقدْ جاءتِ الآثارُ الَّتي بلَغتْ بِمجْموعِها حَدَّ التواتُرِ بصِحَّةِ الشَّفاعةِ في الآخِرةِ. وفي هذا الحديثِ يَقولُ النبيُّ صلَّى اللهُ عليهِ وسلَّم: "شَفاعَتي"، أي: يَقبلُ اللهُ عزَّ وجلَّ مِنِّي الشَّفاعةَ في الآخِرةِ "لأَهلِ الكَبائرِ مِن أُمَّتي"، أي: مِن الذينَ قالُوا: لا إِلهَ إلا اللهُ فلا يَدخلونَ بها النارَ، ومَنْ دخلَها فإنَّه سيخرُجُ بِتلكَ الشَّفاعةِ، والمقصودُ مِن الكَبائرِ: الذُّنوبُ العَظيمةُ، وهيَ كلُّ ذَنبٍ أُطْلِقَ عليهِ في القُرآنِ أو السُّنَّةِ الصَّحيحةِ، أو الإجماعِ أنَّه كَبيرةٌ، أو أنَّه ذَنبٌ عَظيمٌ، أو أُخْبِر فيه بشِدَّةِ العقابِ، أو كانَ فيه حَدٌّ، أو شُدِّدَ النَّكيرُ على فاعلِه، أو ورَد فيه لَعْنُ فاعلِه. وقيلَ: الكبائِرُ هي كلُّ فِعلٍ قَبيحٍ شَدَّدَ الشَّرْعُ في النَّهيِ عنه، وأعْظَمَ أمْرَه.
Wewe jahili unajua kuliko mtume صلى الله عليه وسلم,waumini,waislam hawatakaa motoni milele!!
😊Madamu twamini mungu wetu ni mmoja na mohd( saw)ni mtume wetu hakuna mkamilifu na hakuna asiekosea inshallah Allah atatuingiza jannah kwa rehma zake
Huyu bora ya nguruwe
Barakallahu fikum sheikh kwa hayo
Dini sii kwa dhana wala fikra dini ni adilah qala llah qala rrasuuli 3alaafahami ssalafil ummah
Hiyo ni itqadi baatwila si sawa hakika nikwamba mtu mwenywe madhambi yupo ktkt mashia ya Allaah huenda Allah akamuadhibu au akamsaameh
Kama unakataa shafaa kwa madhambi makubwa kisha unakubaki shafaa kwa madhambi madogo na wewe lete aya moja yakuonesha kuna shafaa ya madhambi madogo
Pia naona ni ajabu munasema eti hii ni itikadi ya Mayahudi na haipo katika Uislamu: Mumeshawakafirisha Maimamu wangapi kwa hilo?! Yaani rabda ibaki kuwa Muislamu ni wewe na Mu'tazila wenzako. Hivi unavyofanya Shaafi ni kuvuka mpaka wako: na Mwenye kujipandisha juu ya cheo chake hurudishwa kwa udhalili kama hivi, kila siku umekuwa unaleta mambo mapya kwa kufuata makundi mapotevu mbali mbali na kutafsiri aya na hadithi pamoja na kuhukumu kwa rai yako, fanya urudi bado ni mdogo wewe kielimu
Pia kusema hakuna aya na je kama kuna hadithi utakataa kwa sababu haina aya yake? Haya mafahiim umeyatoa wapi. Pili, kusema kuwa bora ushikilie kuwa hamtatoka motoni kwa maombezi makubwa ya Mtume saww pia ndio utakuwa safe hilo pia ni kuwa na shaka na Mtume saww na Allah amesema atakayemshakia Mtume saww baaada ya uongofu kuwekwa wazi kwake na akafuata njia isiyo ya waumini , tutamuelekezea huko anakoelekea na kumuingiza motoni nayo ni makazi mabaya ya mtu kukaa
Kuna tofauti gani ya kusema خلدين فيها ابد na خلدين فبها ابد مخلد فيها
Wao wayahudi hawana hiyo Ahadi kutoka kwa Allah bali waislamu wanayo ahadi hiyo kutoka kwa Mtume saww. Pili, kuna tofauti gani ya kafiri anakaa milele motoni na mwislamu mwenye baadhi ya madhambi na mema kisha wakae milele what is the difference? Kuna dalili za hadithi sasa zivunje kihoja si kukataa tu
Yaani Mtu anajiona yeye ni Swahaba yaani, Ahlusunnah wooote ni wapotevu, kwanini?! Kwa sababu Mtafiti wa uislamu kasema wameenda kinyume na Qur-aani. Eti mtafiti wa uislamu! Jina mahala sio pake
Ajabu unajitiya katika twariqa ya Alu ba alawiy lakini unalingania na kufundisha yasokuwemo wala kukubaliwa na twariqa hii
Haki kwa dalili mashallah
Tatizo linaanza kwenye kujisomea vitabu mwenyeo: hebhu taja tunzi tuone zisipokuwa za Mu'tazila
Unajua huyu jamaa Ana kitu nyuma ya pazia tulidhania hapo nyuma kuwa ni ahli sunna waljamaah Ila kumbe ni munafiq Sasa kama lengo lake ni kuupotosha ummah kwa kuweka bango la usunny Allaah atamfedhehesha na wala hatompa nguvu
Na ni vipi kuhusu zile hadithi alizopokea Imaam Bukhaariy na wengineo: يخرج من النار من قال لا إله إلا الله وفي قلبه وزن ذرة من الإيمان Utasema pia ni dhaifu hazijaswihi?!
Bukhari na Muslim wote inabidi kwenye Quran baba, Quran first then hadeeth 😂😂😂
@MohammedSaid-zk7yg Kwamba Mtume ameenda kinyume na Qur-aani?! Na umeijuaje Qur-aani bila ya hao Wanazuoni wewe?! Kijana wewe unachupa mipaka
@@salmaanfaqiih jifunze kuelewa basi kama bukhari kaandika hadeeth za uongo hao waliomletea hizo hadeeth ni waong
@MohammedSaid-zk7yg Shika mkia wako vizuri kwanza, sio Bukhari, ni Imaam Bukhaariy. Then Imaam Bukhaariy na Wanazuoni wengine wameona ni sahihi halafu wewe na huyu Mwalimu wako Shaafi mumekuja mwisho wa zama mukapewa Elimu nyingi na mukahifadhi hadithi zaidi ya 100000 na sanadi zake n.k mukajua wapi na wapi wamekosea maimamu na ndio munaiweka sawa dini sasa au sio?! Shikeni mikia yenu vizuri, then muache kiburi.
@salmaanfaqiih ikiwa unamaanisha kila kilicho kwenye bukhari ni sahihi halafu Quran tuitafutie tafseer ya kufit hadeeth za bukhari si ndio Acheni ujinga nyinyi,Quran first then bukhari na Muslim if bukhari na Muslim goes against Quran we throw away their narrations bottom line
Sadaqta...
Hiyo aya inawahusu Mayahudi sio waislamu
😂😂kwahiyo waislam wamerukhusiwa wao kuwa na akida waliyokatazwa mayahudi kuwa nayo?😂 Haiingii akilini Allah mtukufu awakemee mayahudi kwa akida hiyo halafu awarukhusu waislam waifuate..
@abdulwahidel-abry5007 Mayahudi wamekufuru: wakahukumiwa kuingia Motoni na wakakemewa kwa kudai kutoka motoni ilhali ni makafiri. Wamekemewa kusema hivyo kwa sababu wao ni makafiri, ama Waislamu wameingiaje hapo?!
Ndiyo lakini tujitahid mimi na wewe na kumuomba Allah (s.w) atuingize peponi bila ya hesabu tusiwe miongoni mwaawo watakao ingizwa motoni na kutolewa...maanayake sisi hatuna uwezo wa kuvumiliya adhabu za Allah ata kwa dakika moja
@@salmaanfaqiih ni kufuru ipi waliyokufuru mayahudi mpaka wakahukumiwa moto wa milele?
@@abdulwahidel-abry5007 Kukufuru kwao Aya za ALLAH, kuwauwa kwao Mitume, kumkanusha Bwana wetu Muhammad, kuambudu asie kuwa ALLAH na dhulma,Kuwa kwao na ujuzi pasi na kuufanyia kazi.
Ujinga mwingi Kurudisha hadithi ilimradi kufuata itikadi ya Mu'tazila
Mlinganizi katika kilango ya moto Allah ayaangamize aliyokujanayo
Shuran Sheikh wangu
Morogoro semu gani?
ابن باز وصالح بن عثيمين وغيرهم لعنة الله عليهم هؤلاء كفار
Wivu au wewe uwe mpokezi teua hadith mwishoرواه ابا سالم
Mbn humuachi amalizee