Amen Man of God! SOMO hili nilimenifumbua macho ya rohoni na mwili ni jinsi gani ya kuomba na faida za kuomba. Kuanzia sasa Mungu wa Major one asimame na kunitetea. Hakika kwa uwezo wa Mungu na Roho Mtakatifu ninafanya. Amen
Apostle Bibi yangu Sophia anaumwa,amechanganyikiwa,miguu imejikunja ,ana maumivu makali sana.Naomba Tushirikiane baba kumuombea katika uzee wake wa miaka 91 awe na amani,afya na asiteseke .Mungu amhurumieeee.Anaumia mnoo!!Tunatamani tumuone akiwa hana maumivu baba!
Natamani sana nione ile preaching yenye utafanya yakutubu. Napenda vile unasisitiza kwa ukali n putting facts n the confidence in Jesus is brilliant 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 injili ya Bwana ienee kwa wingi
@@nansynansy4595Mungu ni mwema sana na anatupenda ndo maana anatufundisha kupitia mtumishi wake ,hatuna budi kuwa serious na mafundisho yote ya appostle
Ameeen,Apostle.Barikiwa sana na Bwana.Unatujengea msuri wa maombi. Unatueleza ukweli(Yani nomanya kutugambila amazima).I love it,God bless you man of God.
Hili ni somo ambalo kila mara ninapolisikiliza napata nguvu zaidi na hamu na shauku ya kuomba. Hata pale ambapo najihisi sina nguvu za kuomba ninasikiliza na kuangalia somo hili huwa ile shahuku ya maombi inarudi tena Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Mtalemwa
Sipo kwenye kanisa hili lakini wewe ni zaidi ya mwalimu baba kiongozi wa kiroho ndani yangu hakika mungu wa mbinguni amekutumia kunijenga na kunibadilisha
Haleluyah!!!!yani najiona nimepata kitu kikubwa sana ,ntakifanyia kazi naamini ntapata matokeo makubwa Mungu anisaidie kupitia roho mtakatifu amen
This is a must watch... asante sana Apostle
Who else is revisiting this teaching?? Somo zuri sana,Ahsante Apostle 🙏🙏
Amen
Que Dieu m’aide à comprendre sa parole quand je lit la bible au nom puissant de Jesus Christ notre Seigneur et Sauveur. Amen
Naomba Rehema na Neema Ili nikaribie kiti cha enzi
Pour la vie....
Amen,Asante Mungu kwa ajili ya mtumishi wako.Zidi kumpaka mafuta.ili nasi tupone kiroho,kimwili na kinafsi.iyee!!!
Mungu akubariki mtumishi wa🔥🔥🔥 BWANA🔥🔥🔥 WETU YESU KRISTO 🔥🔥🔥🙏🙏🙏
That's why I like you for the way you express the word of God but most pastors they are after miracles I receive from kenya Amen Amen
Me2
Ameen 👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
Ee Bwana Yesu nipe uwezo wa kuomba mda mrefu
Niombee baba familia yng na mimi kupata kazi na mdogo wng afanye vzr katika masomo yake AMEN
Praise God , Apostle mafunzo yako yamenibandilisha ,God bless u always.
Amen Man of God! SOMO hili nilimenifumbua macho ya rohoni na mwili ni jinsi gani ya kuomba na faida za kuomba. Kuanzia sasa Mungu wa Major one asimame na kunitetea. Hakika kwa uwezo wa Mungu na Roho Mtakatifu ninafanya. Amen
Apostle Bibi yangu Sophia anaumwa,amechanganyikiwa,miguu imejikunja ,ana maumivu makali sana.Naomba Tushirikiane baba kumuombea katika uzee wake wa miaka 91 awe na amani,afya na asiteseke .Mungu amhurumieeee.Anaumia mnoo!!Tunatamani tumuone akiwa hana maumivu baba!
Appostle uko vizuri Mungu amekupa neema ya revelation doctrine
Natamani sana nione ile preaching yenye utafanya yakutubu. Napenda vile unasisitiza kwa ukali n putting facts n the confidence in Jesus is brilliant 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 injili ya Bwana ienee kwa wingi
Huu ni ukweli mchungu, Mungu nisaidie nipe nguvu ya kuomba zaidi. Asante mtumishi wa Mungu kwa somo zuri.
Mungu akubariki sana mtumishi kwa kunifrudisha jinsi ya kujitenga wakati wa maombi
Hallelujah
Powerful teaching Apostle God bless you
Amen . Ubarikiwe sana kwa neno nzuri lenye kujenga n'a kutia nguvu .
Ameeen!! Mtumishi wa Mungu, napenda sana mafundisho yako yanatia moyo sana, ubarikiwe sana
Nimekuelewa sana apostle,God bless you
Nime jifunza man of God
@@nansynansy4595Mungu ni mwema sana na anatupenda ndo maana anatufundisha kupitia mtumishi wake ,hatuna budi kuwa serious na mafundisho yote ya appostle
Amen and amen
Umenikumbusha jambo kubwa apostle najua kweli kuna mahali nililost hii
Naanza upya!
Asante kwa somo hili
🙏🙏🙏
Powerful teaching Apostle. Thank you.
Amen hallelujah nimejifuza kitu daddy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏
P
Ameeen,Apostle.Barikiwa sana na Bwana.Unatujengea msuri wa maombi.
Unatueleza ukweli(Yani nomanya kutugambila amazima).I love it,God bless you man of God.
Amennnnn 🔥💯 💥🙏🏼 ubarikiwe apostle
Amen Apostle
Nimekuelewa
God bless you Apostle
Hallelujah hallelujah indeed when i follow you on your sermon i feel blessed
I glorify your Holy name Jesus Christ
Kizazi hiki kinahitaji kuambiwa Siri Kama hizi ili tufike tunako takiwa kufika Ubarikiwe sana Sana Apostle
Asante Mwalimu apostle mtalamwa... Kweli nimefaidika.
Be blessed and may God continue to protect you for all of us. Amen.
Nimebarikiwa, in Jesus name, amen napokea
Wow nimependa iyo fundisho sana na nitaweka kwa matendo nikiwa hapa Kenya barikiwa sana
Utukufu uwe kwa Mungu.Asante kwa mafundisho yenye hekima ya Mungu
Amen,ubaikiwe sana mtumishi wa Mungu nimejifunza mengi sana juu ya kuwa karibu na Mungu 🙏🏿
eee Yesu naomba neema niweze kusoma bibilia
Hallelujah barikiwa mtumish nimejifunza nisiyoyajua.. Nimebarikiwa nikiwa 254
Haya mafunzo yana nguvu sana Apostle...Mungu anipe neema
Amen God bless you Apostle
Asanteee pastor kwa somo la maombi.nimegundua kuwa Kuna vitu sipati kwa sababu Sina muda wa kujitenga na kuomba
Feel blessed by your sermon prophet
Thanks for the English Translation. Kenya
Ubarkiwe tufundishe Baba
Amen Amen
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu natamani j.pili hii nije uko nabarikiwa na wewe sana nipo Morogoro
Powerful teaching Apostle
Amen Mtumishi najifunza mengi kupitia hii channel Mungu na akuzidishie hekima
Tuongoze mwalimu
Amen and Amen man of God more Grace and blessing son of Major1
Ameen,nmepata langu nitajitahidi kujitenga,eMungu nisaidie
Amen. May Almighty God bless you the CHOSEN.
Ameen
Pastor Ubarikiwe sana utupe mafunzo zaidi hili tusimame na mausia ya mungu bila akili zetu
Praise God Apostle,nimebarikiwa na mahubiri yako na nimejifunza mengi kutoka kwakwo ..I am from kenya ..nitakua nafuatilia ibada yako🙏🙏
Hili ni somo ambalo kila mara ninapolisikiliza napata nguvu zaidi na hamu na shauku ya kuomba. Hata pale ambapo najihisi sina nguvu za kuomba ninasikiliza na kuangalia somo hili huwa ile shahuku ya maombi inarudi tena
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu Mtalemwa
AMEN AMEN Ahsante sana Apostle 🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Ameen 🙏 Ubarikiwe sana Apostle nimekuelewa sana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Mungu atusahidie kabisa
Amen chief powerful teaching nakuelewa sana
Amen amen mtumwa wa Bwana
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu
Ee Mungu nisaidie
Sipo kwenye kanisa hili lakini wewe ni zaidi ya mwalimu baba kiongozi wa kiroho ndani yangu hakika mungu wa mbinguni amekutumia kunijenga na kunibadilisha
AMEN
Blessed pastor talking meaning.
Ameeen
AMEN 🙏
Mtumishi ww ni mwalimu mzuri na nimekupenda
Apostle tunakuelewa,mtumishi wa Mungu.
Ameeen ameeen and ameeeeen🙏🙏🙏
👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Amen
Thanks me pastor jm
Jamani naona Mutumishi wa bwana jameni la siyo kila mtu anahufahamu kama wako haya mafundisho niya Roho mutakatifu ubarikiwe sana
AMEEN Ahsante sana baba angu wa kiroho
Ubarikiwe sana
Ameeen Mungu akubariki sana
Amen amen
Nimejitambua kupitia mafundisho haya barikiwa Sana mtumishi
Shalom Mtumishi samahani kanisa lako lipo sehemu gan
Sio rahisi kukaribia Mungu na Mwanga wake
UBARIKIWE SANAA
Amen Apostle
Amen, naanza practice
AMEN !! NIMEKIFUNZA KITU...MUNGU NISAIDIE..
Amina
Ubarikiwe sana mchungaji nabarikiwa sana na mafundisho natamani sana siku nije sijui kanisa liko wapi
Glory to God
Amen Mutumishi
Fact sana MUNGU AKUBARIKI SANA
Amina mtumishi
Asante apostle. Powerful teachings. Haleluya haleluya
Amen chief
Asante kwa kunipa ufaham nimefarijika sana .kwani nilikuwa sijui
Asante sana Mtumishi wa MUNGU
😯 thank you Jesus
Asante chief apostle, nimeerevuka hakika!!!!
Amen 🙏🏿🙏🏿
Nimeelewa sana
Amen
amen
Hallelujah 🙏 Amen