Sunbella wewe ni mwalimu mzuri. Mungu akubariki na akuze huduma yako. Siku nyingine tusikie unakuja Arusha. Umenielewesha nikajua kwa nini tunahitaji ukombozi wa mwili na nafsi
Pastor mara nyingi watoto waliofiwa na wazazi au kutekelezwa na wazazi katika umri mdogo , mara nyingi wakipata nafasi ya kujiendeleza huwa wanafanikiwa sana, kwa nini ? Je wazazi wake waoto hao je nikisema ni adui amesababisha mtoto huyo kukosa wazazi katika umri ndogo ni ili kupoteza kusudi je nipo sawa? Je wazazi nyenye kubeba kitu kikubwa chenye destine huwa wanachelewa sana kupata mwana. mfano samweli, samson, yohana ni kwa nini huchelewa? je hiyo baraka mtoto mwenye destine inatoka katika upande upi? inatoka kwa baba au mama? KAma ni kwa baba je Ndoa inapokuwa NGumu na Kusababisha NDoa kuvunjika je huyo m=baba akioa mke mwingine atampata yule mtoto wa kusudi? au mama aliyefukuza kwa sababu ya kukosa uzao ataondoka na mtoto mwenye kusudi? Je kama Mungu anachelewa huyo mtoto mwenye destine je Mungu huwa anataka tufanye nini? je anakusudia tueendelee kuomba ili kumwandae huyo mtoto mazingira? yaani mtoa baraka Watoto wenye destine nao hukumbwa na shida nyingi katika umri wa kukuwa kwao, Je nini hasa kusudi la Mungu? na kama ni Shetani nini ni kusudila Shetani? Mfanoo tumemuona yusuph, Daudi je kama mzazi afanye nini? maana tunafundishwaga mara nyingi yule mtoto aliyepata changamoto mfano ya ukichaa, au utaia, au chochote cha kumtofaututisha na watoto wengi wasema mara nying huyu ndiye mtoto mwenye baraka ila shetani humuwahi na kumwarikia kusudi. je ni sawa.
Mungu anisaidie, naungana na haya madhabau Kwa Jina la Yesu Kristo.
Amen nimekuelewa Pastor ubarikiwe sana una mafundisho mazuri sana
Asante Mungu kwa hili neno🙏. Nimejifunza mengi juu ya damu. Ubarikiwe mchungaji sunbella
Sunbella wewe ni mwalimu mzuri. Mungu akubariki na akuze huduma yako. Siku nyingine tusikie unakuja Arusha.
Umenielewesha nikajua kwa nini tunahitaji ukombozi wa mwili na nafsi
Ahsante Yesu kwa ajili ya Mtumishi wako
Amina baba
MUNGU ani rehemu saana😭
Mungu atabaki kuwa Mungu, nabarikiwa na huduma yako mtumish Sanbella
Uko vizuri Songa mbele na MUNGU.nimebarikiwa sana zaidi.
Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA
Ni kweli
Asante Mungu kwa ufunuo huu! Najiona ninavyopona. Mungu awabariki sana kwa kuwekavideo hizi. Amen!
Ni mda wangu kuweka nukuta kwa kuwa nimefahamu siri ilojificha
What a revelation
Eeeh Mungu nitoe kwenye rahana
Ninatoka kwenye laana kwa jina la yesu
Nilibarikiwa sana
Amen 🙏
Amen
Kasoro namba mliyoweka imekuwa ngumu kujibiwa japo text zinaonekana kufika.
Laaana inayonifatilia naifuta leo ktk jina layesu
Pastor mara nyingi watoto waliofiwa na wazazi au kutekelezwa na wazazi katika umri mdogo , mara nyingi wakipata nafasi ya kujiendeleza huwa wanafanikiwa sana, kwa nini ?
Je wazazi wake waoto hao je nikisema ni adui amesababisha mtoto huyo kukosa wazazi katika umri ndogo ni ili kupoteza kusudi je nipo sawa?
Je wazazi nyenye kubeba kitu kikubwa chenye destine huwa wanachelewa sana kupata mwana. mfano samweli, samson, yohana ni kwa nini huchelewa?
je hiyo baraka mtoto mwenye destine inatoka katika upande upi? inatoka kwa baba au mama?
KAma ni kwa baba je Ndoa inapokuwa NGumu na Kusababisha NDoa kuvunjika je huyo m=baba akioa mke mwingine atampata yule mtoto wa kusudi? au mama aliyefukuza kwa sababu ya kukosa uzao ataondoka na mtoto mwenye kusudi?
Je kama Mungu anachelewa huyo mtoto mwenye destine je Mungu huwa anataka tufanye nini? je anakusudia tueendelee kuomba ili kumwandae huyo mtoto mazingira? yaani mtoa baraka
Watoto wenye destine nao hukumbwa na shida nyingi katika umri wa kukuwa kwao, Je nini hasa kusudi la Mungu? na kama ni Shetani nini ni kusudila Shetani? Mfanoo tumemuona yusuph, Daudi je kama mzazi afanye nini? maana tunafundishwaga mara nyingi yule mtoto aliyepata changamoto mfano ya ukichaa, au utaia, au chochote cha kumtofaututisha na watoto wengi wasema mara nying huyu ndiye mtoto mwenye baraka ila shetani humuwahi na kumwarikia kusudi. je ni sawa.
MUNGU ani rehemu saana😭
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen