BABA MANARA AFUNGUKA “MWANANGU ALIDHALILISHWA SANA, ALILAZWA POLISI”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 92

  • @joycemagessa350
    @joycemagessa350 3 роки тому +12

    Ni kweli kabisa Manara kajitoa sana .Ila wivu wa Mwamedi na barba chuki wakitaka kumshusha ila Mungu.Amemwinua na atazidi kumtetea

  • @saidhamza6390
    @saidhamza6390 3 роки тому +19

    Ka mzee majuto!

  • @pendocoster4170
    @pendocoster4170 3 роки тому +5

    Sasa na huyo moo ndio ataisoma alidhan ana mkomoa kumbe ame muongezea safari karib sana haji tazama sasahiv unafuraha sana god bless you broo🙏🙏🙏

  • @luqmanmbwambwa7127
    @luqmanmbwambwa7127 3 роки тому +10

    Saut zinafanaa duh

  • @mwana4599
    @mwana4599 3 роки тому +8

    Masikini Mzazi kwa mtoto
    Acha kabisa.

  • @generozakatima5849
    @generozakatima5849 3 роки тому +1

    Kwakwel umeongea point safi sana hasa kwakuisemea nafasi ya gori kipa hahitaji kuizoea tim yeye kazi yake ni kudaka safi sana baba Haji

  • @dietrichoswald39
    @dietrichoswald39 3 роки тому

    Mzee wa hekima
    Ni mfano wa baba mwema anayeheshimu utashi wa mtoto aliye kiswahili kuwa mtu mzima. Mwisho wa siku matarajio yake yametimia, kwa Mungu mwenyewe kumsaidia haji kutambua kuwa "mapenzi" bila "hekima" ni kifungo cha maumivu ambacho mwisho wake ni kufeli maisha.
    Pia mzee Sunday Manara ulitupa raja want yanga ukiwa kila na. Naomba Uongozi mpeni nafasi ktk msimu huu wa Return of Champions a endelea kutupa raha kwa michango yake ya hekima na mkakati ya ushindi kama nafasi kuwajenga wachezaji kisaikologia kwa ajili ya ushindi. Kwa maoni yangu itapendeza zaidi .

  • @abubakarnabahani4994
    @abubakarnabahani4994 3 роки тому +1

    Yani watu ni wawili wawili kwakweli anafanana na Mzee Majuto !!.

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 3 роки тому +6

    Yani uumefanana na mzee majoto Jamani

  • @kellyngogo3319
    @kellyngogo3319 3 роки тому +7

    Ukiwa chumba Cha pili sauti utafikiri anaongea Haji!!

  • @frankjohn1053
    @frankjohn1053 3 роки тому +2

    Mimi ni Simba umeongea vizuli Mzee

  • @binmakka8693
    @binmakka8693 3 роки тому +3

    Mo hana hisani ila bora mbuzi utamla mchuzi bali mo amesahau wema wa Hajj alipaza sauti sanaa FREE MO mpaka akatiwa ndani ameijenga simba kwa kutumia mbwembwe zake za kuhamasisha ila kahama na watu wake wote YANGA1

  • @nadhilizuber488
    @nadhilizuber488 3 роки тому +3

    Ulokoment unamwita mzee mnafiki we mwamedi uyo bilama babako acha upumbavu kua na adabu sikiliza kwanza uolewe ndo ukoment ata akienda nisawa timu zote nitanzania kwani kaenda tim ya bulundi mbona mimi nimetoka simba na nitaenda yanga moyo ndo umeamua so mie kua na adabu

  • @mussabulugu6319
    @mussabulugu6319 3 роки тому +2

    Lakn mzeee cku moja alihojiwa na redio moja kasema hataki kabisa haji awe yanga leo vp sasa

  • @azizasaid5255
    @azizasaid5255 3 роки тому +1

    Mmefanana kasoro mwanao mzungu. Mama yake mzungu,

  • @waziriwaziri8271
    @waziriwaziri8271 5 місяців тому

    Mzee sema ukweli mwanao alipewa zawadi ya simu na babra kumbe imeunganishwa bila yeye kujuwa hiyo simu ndiyo imesema kilakitu hakuonewa mwanao nimsaliti

  • @azizshedrack5269
    @azizshedrack5269 3 роки тому +1

    Wew mzee acha unafki hapo ulipo fikia swali urudi kwa mungu uongo Wa uzeeni ni noma maana baada yakutubu ndo unazidisha tumechoka kuwaona mitandaoni jamani

    • @Myplusbee
      @Myplusbee 3 роки тому +1

      Unafiki wake ni upi?!

    • @seremanikimbwene1075
      @seremanikimbwene1075 3 роки тому +1

      Kama hutaki kuwaona watu mtandaoni, C Ww Utoke mtandaoni?

  • @hashimsaid5546
    @hashimsaid5546 3 роки тому

    Farouk na shikalo mwandishi unafeli wapi?

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia9921 3 роки тому

    Manara alitaka awe zaidi ya Mo iyo haiwezekani

  • @dietrichoswald39
    @dietrichoswald39 3 роки тому

    aliyekwisha kuwa mtumzima...

  • @bobjulieoneheartband
    @bobjulieoneheartband 3 роки тому

    Hahahahahahaaaa huyu mzee Bendera Fuata upepoooo, tafuteni humu alishakataa na kusema haji asikanyage yanga. Akija nitaondoka yanga, Abaki huko huko Simba, hahahahaaaaa

  • @adamchambo12
    @adamchambo12 3 роки тому

    Huyu Mzee Kwa kauli yake alisema anafurahia Sana migogoro ambao mwanawe aliuanzisha Simba,ukiangalia Kwa jicho la mbali utaona na kugundua hila za kuihujumu Simba ni mpango mikakati uliopangwa ili kuvuruga uongozi wa Simba na mafanikio yaliopatikana,adui siku zote hatoki mbali alitumiwa Haji ambae alikua ndani ya club.nawapongeza viongizi Kwa utulivu pia wanachama na mashabi,Simba Nguvu moja

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 3 роки тому +2

    Tumeshuhudia shoo Mbovu kabisa maishani mwangu ya coffi olemide

  • @petertemu7136
    @petertemu7136 3 роки тому

    KWA hio ulitaka Huyo mwanao awe mkubwa kuliko Simba?

  • @naomibarnabas7863
    @naomibarnabas7863 3 роки тому

    💛💚💛💚💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚

  • @abdallahkhamis2199
    @abdallahkhamis2199 3 роки тому

    Nakumbuka kusikia sauti yako umefurahi kusikia upande wa pili unavurugana sasa mpira umegaukia kwenu kati yenu Antonio nigaz type kauli yako na nyinyi kuko shuwari kwanu

  • @khamisinyandikila7199
    @khamisinyandikila7199 3 роки тому +1

    Mbona uyu mzee amefanana na zito kabwe

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 роки тому

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍✌

  • @geofreyanania1108
    @geofreyanania1108 3 роки тому

    Faruku na shikalo

  • @mohamedmariano3558
    @mohamedmariano3558 3 роки тому +2

    Kumbe unafki upo kwenye family mzima ya Haji. Huyu mzee alisemaga hataki Haji aje yanga abaki huko uko leo anageuza maneno amakweli nyoka azai kenge

    • @joliteboy545
      @joliteboy545 3 роки тому +2

      Kherewa kitu Mzee anaongea akupenda kumpangia mwanahe 💛💚🙏👍

    • @Myplusbee
      @Myplusbee 3 роки тому +1

      Acha ujinga wewe! Umemsikiliza vizuri?! Hadi kwenye hii intavyuu amerudia kwamba hakupenda aje Yanga; sasa unadhani kama Hajji alishaamua, na uongozi wa Yanga umeamua; ulitarajia amzuie wakati Hajj ni mtu mzima?!

  • @richardmakene7780
    @richardmakene7780 3 роки тому

    Ongerea timu yenu kwa sasa achaneni na kuigusagusa smba sasa amedhalilisha na nan xx aende zke na mmepigwa na mwanao Leo

  • @joh7282
    @joh7282 3 роки тому +1

    Fala uyu mzee alilazwa police na nan

    • @pendojoseph6528
      @pendojoseph6528 3 роки тому +12

      Wa kwanza mzee wako heshim mzazi wa mwenzio pimbi wee

    • @mwantumujuma8960
      @mwantumujuma8960 3 роки тому

      Ilah jiulize alilazwa kwa ajir ya nani

    • @mwantumujuma8960
      @mwantumujuma8960 3 роки тому +8

      Acha kutuc wazaz wewe mzaz hatukanwi

    • @bakariamour6024
      @bakariamour6024 3 роки тому +7

      Skiliza vizuri halafu ndio utukane, kenge wewe uyu Mzee ni sawa na baba ako boya mkubwa wewe

    • @danieljs4285
      @danieljs4285 3 роки тому +6

      Daah acha matux kwa wat wazma

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 роки тому

    Kwani mpaka hao yanga kumpenda na kumchukua ni kwa kua alitaarishwa vyema na simba na hakufukuzwa ila alifanya visivo ndio mana akatoka ila haya tuombe uhai na uzm kwa tabia za haji na yanga hatokaaa

    • @Myplusbee
      @Myplusbee 3 роки тому +1

      Alitayarishwa vema na Simba kama alivyowahi kutayarishwa nani?! Usisahau Hajji alishawahi kuwa Katibu Mwenezi wa CCM; kwahiyo ni mzoefu wa kupiga mdomo kabla hajaenda Simba!

    • @yahyahamad1802
      @yahyahamad1802 3 роки тому

      @@Myplusbee oh ahsante kwa ukumbusho sawa mi namtakia kazi njrma ila atuachie mo wetu

    • @Myplusbee
      @Myplusbee 3 роки тому

      ​ @yahya hamad Haji ni kinyago mlichokichonga wewe, na ule msemo wa kinyago ulichokichonga mwenyewe hakiwezi kukutisha, leo naona inakuwa kinyume chake!
      Wakati anadhalilisha wengine enzi yupo Simba mlikuwa mnamshangilia tu! Hao GSM walisalimika na udhalilishaji wa Haji kwa sababu tu alikuwa chawa wao, vinginevyo hata wao ingekuwa yamewakuta anavyomfanyia Mo hivi sasa!!

  • @justinmgohele6798
    @justinmgohele6798 3 роки тому +1

    Mwanao gan mbona wee nimweus

    • @manyakuulaompondelo4419
      @manyakuulaompondelo4419 3 роки тому +14

      Kwa hiyo wewe tukisema mama yako siyo mama yako kwa sababu yeye mwanamke na wewe mwanaume nadhani ndo utaelewa somo. Mambo mengine ukihoji unadhihirisha tu hujaenda shule. 😂😂😂😂😂😂😂😂 TZ sihami

    • @asichou9251
      @asichou9251 3 роки тому +2

      🤣🤣🤣🤣

    • @gazatv12
      @gazatv12 3 роки тому +3

      Soma utajua sababu za kuwa albino

    • @frankvianey3890
      @frankvianey3890 3 роки тому +3

      Ama kweli ujinga ni mzigo,rudi shulen ukautoe

    • @kibalabibisha6778
      @kibalabibisha6778 3 роки тому +2

      @@manyakuulaompondelo4419 😭🇰🇪