Tunasimama na othman wakati wwte na popote akiendeleza msimamo wake tunahitaji viongozi kama othman masoud zanzibar hatutaki mijitu isiokuwa na imani na vizazi vyao na tutapambanao inshallah mpaka tone la mwisho la damu yetu inshallah
Tatizo la znz kuna mapandikizi mengisana ndio yanayopata nyazifa za juu znz waznz wenye uchungu na nchiyao hawapati nafas odhman pekeake ndio kaonesha misimamo hao wapuuzi hawana uchungu na kwao
Haya majamaa ni ma zuzu hayajui yatendalo na hivo ndivo ilvo kuwa hata kwa maalim seif Amepgania hak na maslah ya majitu haya haya lkn yalikuwa yaki mbeza na kumkashifu na matusi ya kla aina et leo ni marehemu ndo wana mcfia shenzi sana
Wapinzan musijione kwamb nyiny ndo mnauchung w nchi.endepo kiongoz kakosea niwajibu wake kukosokewa.kw hili ndugu Masoud alikosea n alipaswa kuwemo katika kujadil ay mamb lkn alijitoa.alktakiw ashirik atoe hoja zake.cuf,ccm wote nao ni wazanzibar km nyiny iv hawana akili ety kuangamiz nchi Yao.
Wa kweli prof Othman shujaa hafilisiki mwenye kuacha jambo kwa ajili ya Allah basi Allah humpa kubwa na bora kuliko hilo
Ama kweli ukitetea haki lazima allah atukuweka juu tu.
Alizomewa leo anapigiwa saluti na hao walio mzomea .
Chapa kazi mheshimwa othman
Hao waliosema hafai hawapo leo na wanajuta mwenzao apigiwa salute ccm Zanzíbar wao walikuwa bora tumbo hawatizami maslahi ya nchi na vizazi vijavyo
Hili lina mikoti na kofia hana hata Cha kusema.
Safi sana Othman Masoud.Mungu atakulinda na Allah atakupa nguvu uepukane na unafiki.
Kafuata Nyayo Wolfgang Dourado, Mwanasheria Mkuu wa Rais Abeid Karume🙏👍
Hongera mh othman👍👍💪💪💪💪💞💞💞💞💃💃💃💃💃👌👌👌👌
Mashallah
Sijawah kijitia katika siasa tokea nizaliwe ila baada ya kuona clip hii nasimama na OMO inshallah Tunahitaj viongozi km hawa
Mulitegemea nayeye awemo ili mutuzamishe wazanzibar yeye katumilia elimu kaikataa katiba haifai nyinyi munatumilia chama🤣🤣🤣🤣
Mwenyezi mungu akulaze mahali pema peponi mungu akulaze mahali pema peponi
Namkubali sana mh.OMO
Zanzibar I've independent hatutaki kitu. Hakuna kariba wala tiba.
Jembe hili
Huyo ni mzanzibar halisi .. nyinyi mlifikiri kuwa na pandikiz la Tanganyika..mumenowa😂😂😂😂😂
Duh kumbe ni wanafik wote waliozidi kushangiria hawakujielewa
Siku hii OMO kwa uwezo wa Alla aliinusuru Zanzibar dhidi ya maadui wa Zanzibar
Wa Tanzania ni waoga sana. Othman anajiamini.
Wazanzinar ndio waliharibu katiba mpya hawakukujua Kama OMO alikuwa sahihi
We wanna to make this nation great again
Anatufaa sanaaaa
Maadui wakubwa wa Zanzibar ni viongozi wa CCM Zanzibar
👊👍✌.
Tuna mpenda sanaaa othman Masud
Huyu Kassim ndio typically wazanzibari walivyo. Hawajui wanachokitafuta. Wanatafuta Tonge. Nchi inaibiwa wao wanapiga makofi. Hatari sana.
Tunasimama na othman wakati wwte na popote akiendeleza msimamo wake tunahitaji viongozi kama othman masoud zanzibar hatutaki mijitu isiokuwa na imani na vizazi vyao na tutapambanao inshallah mpaka tone la mwisho la damu yetu inshallah
Sasa wamemuelewa
Othman masoud alikosea wapi yeye ?
Wabongo wacheka wakistia mapono yajinyonga yenyewe
Tatizo la znz kuna mapandikizi mengisana ndio yanayopata nyazifa za juu znz waznz wenye uchungu na nchiyao hawapati nafas odhman pekeake ndio kaonesha misimamo hao wapuuzi hawana uchungu na kwao
Wazanzibari ni binadamu wanafiki
Hamna kitu,,,
Wewe mzee kenge mwenye miwani mbaya kama Makalio ya mama yako umeshakataliwa UROA na sasa unauza mwani UROA.
Ukitukana mama za watu na wako atatukanwa tu
@@almarwazyalhaythamiy5554 tukana tu
Huyo yahaya nimzee mjinga nahajui uwamuzi wamtu zanzibar 1
Othman Masud ulipo tupo mwanzo mwisho hatuutakiiii. Mzeee mwanga weweee
Haya majamaa ni ma zuzu hayajui yatendalo na hivo ndivo ilvo kuwa hata kwa maalim seif
Amepgania hak na maslah ya majitu haya haya lkn yalikuwa yaki mbeza na kumkashifu na matusi ya kla aina et leo ni marehemu ndo wana mcfia shenzi sana
Nashangaa et mpaka kitab
Haki itabaki kuwa haki
Yaani watu wote wana comment vizuri kuhusu upinzani sasa hawa CCM wapo wapi
Yeye katizama maslahi ya wananchi wa zanzibar sio maslahi ya ccm
Asili y wazanzibar san unguja n ujinga 2
Chezea mpemba we
Waliompinga huyu tatizo wamesoma ila hawakufahamu
Bon cine
Mei mossi
Wee babu mwehu nini? Hata kama nchi inazama akubali tu?
Ndio matatizo ya kumchukuwa mtu kwenye kibanda cha karata, anakuwa ni maskini wa msupa wake wa akili unapitia tumboni.
Kitwana mashuzi yamemshika
Hivi nauliza kwanini babu sheni alimfukuza kazi
Shein mwenyewe hamna kitu huyu Othman ni mzalendo wa kweli na anaipenda nchi yake leo yuko wp huyo mbunge wa Chwaka aliembeza kwa kuitetea nchi yake
Hakumfukuza yeye ni bwana zake waliomuweka
Wapinzan musijione kwamb nyiny ndo mnauchung w nchi.endepo kiongoz kakosea niwajibu wake kukosokewa.kw hili ndugu Masoud alikosea n alipaswa kuwemo katika kujadil ay mamb lkn alijitoa.alktakiw ashirik atoe hoja zake.cuf,ccm wote nao ni wazanzibar km nyiny iv hawana akili ety kuangamiz nchi Yao.