Siku zote nimesema watanzania hakika tuna shida/ugonjwa. Ugonjwa huo ni kusahau. Mhe. bunge huyu ndiye siku za nyuma kidogo aliibuka na hoja ya kwamba rais Samia ni rais asiue mfano, mchapa kazi nk. na hivyo inafaa sasa tumuenzi kwa kuweka picha yake kwenye fedha yetu ya tanzania! Loh, hoja ya huyu mama ilizua taharuki hususani mitandaoni ambapo wengi walimlaani kwa kumuita chawa na wengine hadi kumtusi yasiyofaa mimi kuyataja. Leo amekuja na hoja ya ajira, tayari watu (comments) wamemsifu kupindukia hadi kwamba anafaa kuwa rais! Watanzania naomba sana tujitafakari na ugonjwa huu wa kusahau na ndo unatutafuna sana na kusababisha tunapoteza mwelekeo katika masuala yetu mbalimbali binafsi na kitaifa.
Mungu akuonekanie mbunge kijana./Ukizingatia vijana wengi wapo mtaani wengine wana miaka 6.7- 10.Umri wa ajira utasimama pale pale?Kwa hiyo utaona kwamba ajira nyingi ni za watoto wa wanasiasa Viongozi.
Hongera Mh Spika umetoa ufafanuzi mzuri na naomba hili mlifanyie kazi na hapa wabunge onyesheni sasa uwakilishi wenu kwa wananchi, sio kupiga makofi tu. Umri wananchi wenu wanakosa fursa kwa kigezo cha umri. Lakini saivi kila idara mwisho miaka 29 sijui 30 ,
Daaa hatimae Jambo ambalo nimekuwa nikilisema kila siku Mh Rais aliangalie ni hili la umri, Sasa angalau Sasa limefika bungeni jmn, hongera Sana Mh mbunge kwa kulifikisha. Tunaomba serikali ifute hiki kigezo cha umri. Sio uongezwe ufute kbsa. Lilirudi kama zamani umri wa kuajiriwa uwe miaka 45 ndivyo ilivyo kuwa Lkni kuna watu wakishiba madaraka wanaanza kutunga sheria zao.
Huyu Mbunge anafaa sana kuwa kiongozi mkubwa kabisa hata kwa nafasi ya waziri. She is very smart on top of her beauty. Taifa libadilike sasa. Mimi sijaona umuhimu wa kuweka umri huo mdogo. Watu wanafanya mazoezi na hata wakiwa na miaka 40 na zaidi tuache kuweka urasimu kwenye ajira za serikali tunajiangamiza wenyewe tusikalili mambo.
Mimi huwa nashindwa kuelewa wakati mwingine kwamba nchi ni yetu watanzania lkn ajira zinakuwa za kubagua watanzania why, kwa nini usiwaruhusu waombe hadi miaka 35 then wakienda wakashindwe wenyewe na kuondolewa, sisi wakati furani tulikuwa na mtu ana umri mkubwa kuliko wote lkn alikuwa sharp kuliko vijana wote, alikuwa very smart kwa kila kitu, wapeni nafasi tusibaguane.
Sababu alizotoa Simbachawene hazina mashiko tuna watumishi wenye umri wa miaka 45 na kuendelea ambawo basi wasingeweza kupambana na mikiki ya hzo kazi au anataka kutuambia ugumu ni mafunzo lkn kazi hakuna au ni rahic na haithitaji matumizi ya hayo mafunzo kwahyo wanaweza tumika had miaka ya hamsini
Hata yeye simba cha wene ana umuri wa miaka mingapi??? Kama umri ni kigezo cha kushindwa kazi serikalini basi wote wario zidi umri waachie ngazi vijana wapige kazi mbona wapo tu kazini unajua ndgu wa Tanzania ukiwa nacho huwezi jua shida ya mwenzio lakini ukikoswa ndo utajuta kusikia ebu vigezo vya umri ni vya binadam?? Au ni vya mwenyezi mungu???? Taifa likianza kua na vigezo kama hivyo kwenye kutoa ajira ujuwe ni kumukosea mungu kwani tunaona wazee wenye umri wa miaka 60 hadi 70 wapo kwenye nyazifa mbali mbali katika taifa hiri lakini kazi zinakwenda vizuri tu leo unamunyima kijana mwenye umri wa miaka 30 hadi 45 kazi lakini meneja ariopo katika kitengo hicho ana miaka 60 na kazi za umeneja zinakwenda vizuri tu 🤔🤔🤔je ivi mkaguzi wa hesabu za serikali kuna siku alikwisha baini ya kwamba umuli wa miaka 30 hadi 45 ni hasara kubwa serikalini???? Je??na kama ni hasara kwa nini sasa wenye miaka 50, 60, 70 bado wako na majukumu mbali mbali katika taifa hiri 🤔🤔🤔🤔🤔umri so dhambi toka kwa mungu ngoja tuwashauli serikali kigezo kikuu muweke Afya njema tu basi kijana wa kitanzania akiwa na Afya njema apate ajira apige kazi bira kujari umri maana wazee bado wapo wengi kazini reo kijana wa miaka 40 munamunyima kazi wakati 70 ipo kazini inadunda tai shingoni gari baani bia kwa kwenda mbere mitotozi tunanyakuwana bira kujari tena wazee wa miaka 70 ndo wanao ongoza kutunyang,anya watoto wazuri mitaani naishia hapo inauma sana hata jeshini vita haibagui umri eti miaka 18 hadi 22 no isonge mbele tu harafu 50 60 isisonge weeeehehehe rakini kwenye ajra ndo yanajitokeza hayo sijui kwa nini tu yaaani
Natamani kujua jina la mbunge pls maana kuna shirika liliwaondoa watu katika ajira kisa wakidai umri wao umezidi 25 na wamesha ajiriwa sasa unawaondoa wakajiriwaje tena wakati umri umeisha hii nchi tunakosa viongozi wa aina hii well done mbunge + spika
Binti ana hoja. Umri unapokuwa kigezo na mfumo wa elimu nchini ulivyo kuna kupishana kama watoa ajira bila kuzingatia muda kamili wa kumaliza elimu na mafunzo.
Hoja ya msingi Kuna nafasi hapo wamesema watu wanamiaka mpaka 40 wamesoma hizo kozi zao na hawajawahi kupata ajira Wala kuajiriwa ,Sasa 21 means ? Kuna watu labda waliingia mlango ule wa form 4 kisha ,kwenda Huko Kwa mujibu ,kisha wakaingia kwenye upande wa ajira ,so hoja ya mbunge inamashiko
Sasa tambueni kwamba 2025 tuwachague wabunge Vijana wasomi tupu wakatuwakilishe bungeni mtu kama Simbachawene huyo waziri sio watu wa kurudisha bungeni tena hao akili imeshachoka
Mheshimiwa Speaker naona ni kama vile hana idea kabisa na maswala ya Kijeshi . Hata awe dereva lazima afanye mafunzo ya kijeshi yote. Dereva anapaswa kujua medani za kivita
Wapo wanoweza wenye umri 35 huko jeshini na wapo wasoweza tena wanakimbia kabisaa wenye umri miaka 18 tuliona jkt wadogo wengine wanashindwa wakubwa wengine wanaweza mnazingua nyie
Nguvu KAZI bado kijana anaweza kufanya kazi Zaid ya kinda ,so nafasi ziwe fair , ajira nyingi sana kwenye eneo gani ??? Mmmm watu wamalize Zaid ya LAKI 1 alafu uajiri watu chini ya 30,000 bada ya miaka 7 mmmmm not fair serikali leteni kozi na mfumo wenu wa elimu ubadilike kuweni inclusive na leteni kozi zenye tija , na umri hauzuii as long as ni kijana anahitajika hawana haja ya kusema 25 age waende even 40 watu watapambana na watafanya vyema
Majibu hayajitoshelezi. Kijana wa miaka 25 - 30 hawezi kushindwa mafunzo ya kijeshi yanayoambatana na ulinzi wa mali asili. Labda awe ni kijana aliye lelewa kama kioo. Warekebishe mfumo wao wa ajira.
Sasa, nini maana ya kusoma? Basi ajira hizo zingalitoka kila mwaka. Ila uzoefu utatoka wapi na muda nimfupi? Anamaliza akiwa na miaka 24, ajira inahitaji asizidi miaka 25! Uzoefu awe na mwaka 1au zaidi! Huo uzoefu anaupata saa ngapi? Unapofanya kazi zinazohusu watu, tumia akili na usijiangalie wewe tu, angalia na upande wa mwenzio. Jiweke ktk nafasi zote mbili uone kama mzani umebalansi.
Mbunge huyu kijana ni Zaidi ya Almasi kwetu❤❤..Bora Hata wewe mwaya unatufikiria vijana wenzako ❤
Hoja iliyoshiba.tunataka wabunge wa Namna hii.
Hongera Sana Mh. Mbunge kwa kuwasilisha Hoja hiyo
Siku zote nimesema watanzania hakika tuna shida/ugonjwa. Ugonjwa huo ni kusahau. Mhe. bunge huyu ndiye siku za nyuma kidogo aliibuka na hoja ya kwamba rais Samia ni rais asiue mfano, mchapa kazi nk. na hivyo inafaa sasa tumuenzi kwa kuweka picha yake kwenye fedha yetu ya tanzania! Loh, hoja ya huyu mama ilizua taharuki hususani mitandaoni ambapo wengi walimlaani kwa kumuita chawa na wengine hadi kumtusi yasiyofaa mimi kuyataja. Leo amekuja na hoja ya ajira, tayari watu (comments) wamemsifu kupindukia hadi kwamba anafaa kuwa rais! Watanzania naomba sana tujitafakari na ugonjwa huu wa kusahau na ndo unatutafuna sana na kusababisha tunapoteza mwelekeo katika masuala yetu mbalimbali binafsi na kitaifa.
ccm ina wabunge wa hovyooo hawajui hata nini wanafanya
Mungu akuonekanie mbunge kijana./Ukizingatia vijana wengi wapo mtaani wengine wana miaka 6.7- 10.Umri wa ajira utasimama pale pale?Kwa hiyo utaona kwamba ajira nyingi ni za watoto wa wanasiasa Viongozi.
Mwenye namba ya huyu mbunge anayewakilisha kundi la vijana msaada please
Huyu kijana ana akili nzuri sana na ni mwakilishi nzuri wa vijana anayejua wajibu wake bungeni.
Binti mdogo hongera Sana, umewazidi vizee cya miaka mingi Bungeni,miaka mingi
Hongela sana dada wewe inatisha sana
Huyu Binti nimemuelewa na anajua kujenga hoja.ila utetezi wa Waziri sijaulewa kabisa
Waoh thank you mdogo hongera pia spika kwa usikifu huo kujadili vigezo vya umri
Huyu waziri naye aache uwaziri ili vijana wawe mawaziri
Hili lina zarula utekaji hauna dharula
sijui kama vijana mmefahamu kuwa ni wabunge wa aina gani inatakiwa tuwachague ili kutuwakilisha bungeni.
Wewe ni rais wa miaka ijayo kwanza kijana anamaliza anakaa miaka kumi bila ajira af hii inakuwa nikukomoana jamn Asante mwasilishaji
Hongera Mh Spika umetoa ufafanuzi mzuri na naomba hili mlifanyie kazi na hapa wabunge onyesheni sasa uwakilishi wenu kwa wananchi, sio kupiga makofi tu. Umri wananchi wenu wanakosa fursa kwa kigezo cha umri. Lakini saivi kila idara mwisho miaka 29 sijui 30 ,
Safi sana Muheshimiwa
❤hongera mh Ng'was
Mbunge munguakubalikisana unauchungu navijanawenzako
WAZIRII KABLAA HUJAJIBU TAFAKARI KWANZAAA
Majibu ya Waziri ni mepesi sana kwa hoja ya mbunge.
Yani mimi sijasikia jibu nimesikia maelezo tu ajila nyingi ziko wapi ?
tunata pia kigezo hicho kiende kwa wabunge
Serikal ajira gani inatoa mnashiba tunateseke fundisha watt kuuza karanga tu maana hata wakisoma ajira hawapati mnasema wajiajiri na nyie mmeshindwa kujiajil mkaomba ubunge
Hoja nzuri sana. Ni vema ijadiliwe kwa kina.
Hoja nzuri ndio lakini wakujadili ndio tumekosaa
Smart kabsa
Daaa hatimae Jambo ambalo nimekuwa nikilisema kila siku Mh Rais aliangalie ni hili la umri, Sasa angalau Sasa limefika bungeni jmn, hongera Sana Mh mbunge kwa kulifikisha. Tunaomba serikali ifute hiki kigezo cha umri. Sio uongezwe ufute kbsa. Lilirudi kama zamani umri wa kuajiriwa uwe miaka 45 ndivyo ilivyo kuwa Lkni kuna watu wakishiba madaraka wanaanza kutunga sheria zao.
Mmmm jeshini kwahio wenye umri wa miaka 30+ ni wazeeeee jaman jaman uzee umeshaa tufikia sasa.
Naungumzia maisha ya wengine sasa tunahitaji ukomo wa wabunge viwe vipindi 2 tu mnajisahau mnoo
Senk!you simbachawene my fedhe
Viti vipo wazi bungeni
NA WABUNGE WOOOTE WAZEE MARUFUKU KUINGIA BUNGENI .. NI NA KUOMBA KURA KWA WANANCHI.
😂😂😂😂😂 hiii sheria ipitishwe
Hao ndio walisi wa wakina halima wakina buraya
Kweli ww unawakirisha vijana big up
Itakapo fikia hatua vijana wakawa mawaziri basi mambo yatachangamka
Hii nchiii 😂😂😂😂 watu aiseee sio kweliii miaka 25 hapanaaa waongezeeee jeshini miaka 3 zaidiii
Bado mhe: ujajibu hoja vzr kama vile sijakusikia ....ungesoma forest ungeshuhudia mateso yetu .
hizo elimu kwanza zifutweee kama elimu ya maliasili ,mazingira ni hovyooo
Lakini hii si sawa ina maana graduate aliyekosa ajira mpaka kufikisha miaka 45 hana haki ya kufaidi keki ya taifa hili?!
Siku zote wasukuma wako smart sana kichwan
Huyu Mbunge anafaa sana kuwa kiongozi mkubwa kabisa hata kwa nafasi ya waziri. She is very smart on top of her beauty. Taifa libadilike sasa. Mimi sijaona umuhimu wa kuweka umri huo mdogo. Watu wanafanya mazoezi na hata wakiwa na miaka 40 na zaidi tuache kuweka urasimu kwenye ajira za serikali tunajiangamiza wenyewe tusikalili mambo.
Nadhani muda wa kuwa bungeni iwe ni vipindi viwili maana watu wanazoea nafasi na hawana wanachofanya
Mimi huwa nashindwa kuelewa wakati mwingine kwamba nchi ni yetu watanzania lkn ajira zinakuwa za kubagua watanzania why, kwa nini usiwaruhusu waombe hadi miaka 35 then wakienda wakashindwe wenyewe na kuondolewa, sisi wakati furani tulikuwa na mtu ana umri mkubwa kuliko wote lkn alikuwa sharp kuliko vijana wote, alikuwa very smart kwa kila kitu, wapeni nafasi tusibaguane.
Sababu alizotoa Simbachawene hazina mashiko tuna watumishi wenye umri wa miaka 45 na kuendelea ambawo basi wasingeweza kupambana na mikiki ya hzo kazi au anataka kutuambia ugumu ni mafunzo lkn kazi hakuna au ni rahic na haithitaji matumizi ya hayo mafunzo kwahyo wanaweza tumika had miaka ya hamsini
Hata yeye simba cha wene ana umuri wa miaka mingapi??? Kama umri ni kigezo cha kushindwa kazi serikalini basi wote wario zidi umri waachie ngazi vijana wapige kazi mbona wapo tu kazini unajua ndgu wa Tanzania ukiwa nacho huwezi jua shida ya mwenzio lakini ukikoswa ndo utajuta kusikia ebu vigezo vya umri ni vya binadam?? Au ni vya mwenyezi mungu???? Taifa likianza kua na vigezo kama hivyo kwenye kutoa ajira ujuwe ni kumukosea mungu kwani tunaona wazee wenye umri wa miaka 60 hadi 70 wapo kwenye nyazifa mbali mbali katika taifa hiri lakini kazi zinakwenda vizuri tu leo unamunyima kijana mwenye umri wa miaka 30 hadi 45 kazi lakini meneja ariopo katika kitengo hicho ana miaka 60 na kazi za umeneja zinakwenda vizuri tu 🤔🤔🤔je ivi mkaguzi wa hesabu za serikali kuna siku alikwisha baini ya kwamba umuli wa miaka 30 hadi 45 ni hasara kubwa serikalini???? Je??na kama ni hasara kwa nini sasa wenye miaka 50, 60, 70 bado wako na majukumu mbali mbali katika taifa hiri 🤔🤔🤔🤔🤔umri so dhambi toka kwa mungu ngoja tuwashauli serikali kigezo kikuu muweke Afya njema tu basi kijana wa kitanzania akiwa na Afya njema apate ajira apige kazi bira kujari umri maana wazee bado wapo wengi kazini reo kijana wa miaka 40 munamunyima kazi wakati 70 ipo kazini inadunda tai shingoni gari baani bia kwa kwenda mbere mitotozi tunanyakuwana bira kujari tena wazee wa miaka 70 ndo wanao ongoza kutunyang,anya watoto wazuri mitaani naishia hapo inauma sana hata jeshini vita haibagui umri eti miaka 18 hadi 22 no isonge mbele tu harafu 50 60 isisonge weeeehehehe rakini kwenye ajra ndo yanajitokeza hayo sijui kwa nini tu yaaani
Alafu basi kama niivo wapunguze muda wa kutaafu ili wawapishe wengine kwama akuna mtu anataka musoma au kusomesha mtoto alafu asipate ajila
Sio thelathin hata mpaka arobaini
DOCTOR TURIA SASA SAFII SANA, NAKUPENDA SANA, UPO VIZUR SANA, POKEA BARAKA ZA KUINULIWA SANA KWA JINA LAKE YESU.
Nakushauri ukapime utimam wako
@MasterPetro-oj1fd HEBU KWANZA KABLA YA YOTE SEMA IVI, DOCTOR TULIA ACKSON ,DOCTOR TULIA ACKSON ,AFU UTAPATA BARAKA.
@@Paradisomwagala BARAKA ZA MUNGU ZINAKUJA KWA MTU ASIYEMCHUKIA MWINGINE
@@SmilingApron-zw6newewe nae umetokea wapi tena?????
Hoja nzur sana mbunge
TULIAA MAMA MUNGU AKULINDEEEE
kila mtu ni kazi ajira ni uongo
Natamani kujua jina la mbunge pls maana kuna shirika liliwaondoa watu katika ajira kisa wakidai umri wao umezidi 25 na wamesha ajiriwa sasa unawaondoa wakajiriwaje tena wakati umri umeisha hii nchi tunakosa viongozi wa aina hii well done mbunge + spika
Wabunge wa bila kupngwa😂
Mh waziri sio kweli karibia ajira zote ziko na kigezo cha umri hata kada nyingine nazo saivi umri wanasema kwa ngazi za degree ni miaka 29
Wanawekewa umri mdogo kuaplay alafu umri,wakusoma unachukua mda
Wakikuunga mkono niko pale
Anaejua atusaidie hutu mtetezi wetu ana Miaka mingapi
Kwanini ww ndo usingekuwa speaker wa bunge
Huyu ndo anajua hali ya vijana
Binti ana hoja. Umri unapokuwa kigezo na mfumo wa elimu nchini ulivyo kuna kupishana kama watoa ajira bila kuzingatia muda kamili wa kumaliza elimu na mafunzo.
Good
Wanajehi vitambi tu saiv mwanajeshi c umri, atilisti30,35 bado nguvu kaz anayo
Hoja ya msingi Kuna nafasi hapo wamesema watu wanamiaka mpaka 40 wamesoma hizo kozi zao na hawajawahi kupata ajira Wala kuajiriwa ,Sasa 21 means ? Kuna watu labda waliingia mlango ule wa form 4 kisha ,kwenda Huko Kwa mujibu ,kisha wakaingia kwenye upande wa ajira ,so hoja ya mbunge inamashiko
Sijui kaolewa huyu mdada. Bright hadi raha😂😂😂
Huna majibu,bali umekariri angekuwepo magu leo hii ungetumbuliwa
😅😅😅😅 mh.unamtakaa?
Hoja ya kawaida kabisa.
Sikia hilo taahira,kila kitu muongozo
Sasa tambueni kwamba 2025 tuwachague wabunge Vijana wasomi tupu wakatuwakilishe bungeni mtu kama Simbachawene huyo waziri sio watu wa kurudisha bungeni tena hao akili imeshachoka
Mbuge mwenye umur 45 aut wabakibwenye 20,35 mwisho
Kwann msitupe ajira pale tunapomaliza
Na Vita vikitokea wale miaka 25 ndio watakwenda?
.
Serikari hii ina mambo.
Mimi mbona nilikosa? Mpaka pesa nililipia mpaka leo Rst ya malipo ipo mpaka leo.
Huyu ndio mbunge mwenye akili kijana hawa wazee wamesha choka akili wana lala tu bungeni.
Kiswahili cha Mheshimiwa sasa!
Sukuma girl from Busega
wanatangazagatu kama bosheni wana watu wao
Kwani jeshi la akiba mbona Hadi wazee wa miaka 50 wanayaweza
Mheshimiwa Speaker naona ni kama vile hana idea kabisa na maswala ya Kijeshi . Hata awe dereva lazima afanye mafunzo ya kijeshi yote. Dereva anapaswa kujua medani za kivita
Mbunge umemwaga points!
Hata Mpira huezi Chukua Mzee...Mazoezi yanategemea na Umrii
Uchaguzi 2025,hatuhitaji wazee bungeni,hao ambao wanakosa nafasi za ajira kwa sababu ya umri,muwape majimbo ili twende sawa
Wapo wanoweza wenye umri 35 huko jeshini na wapo wasoweza tena wanakimbia kabisaa wenye umri miaka 18 tuliona jkt wadogo wengine wanashindwa wakubwa wengine wanaweza mnazingua nyie
Mnajadili umri za watu kama jambo la dharura badala ya kujadili kutengeneza nafasi nying za ajira
Sasa si waende wanajeshi ?
Speaker hajibu hoja.
Sasa na hao wazee ambao umri umetoshea kukaa humo badala yake wanasinzia tu muwaondoe waingie damu changa wenye uwezo wa kuhoji
1:59
5:36
Hivi na mabuuge mengine duniani yako hivi?. Mbona hatuonagi .mhuuuuuu?
Spika anajikuta anajua sana huyu mama ananikera kila siku
Ngoja tusikie wachangiaji tuone mawazo
@@TumainiNyari😂😂😂😂
Akili kubwa ni kubwa tu
Wazir wa mchongo wewe
Mbona wachache sana,wameenda kuwaonan wazee,(uchaguzi)
Naunga MKONO hoja
2:21
Mbn wabunge wachache
😂😂labda wako Ku saini posho😂😂
Ukakamavu hautegemei umri.
JE HAO WAFANYAKAZI WALIOPO KWENYE TAASISI HIYO JE NI KWERI WAPO WENY UMRI WA MIAKA 25 TUU? JE AKUNA MIBABA KAMA MIMI KWERI?
Hana lolote huyo mbunge pekee anayetetea watanzania ni mpina pekee
HILI TANGAZO LINA NAFASI KUJADILI LAKINI WATU KUTEKWA HAIWEZEKANI
😂
Discrimination 😮
Not "lecords" but records. Please, pay attention to pronunciation and intonation.