😂😂😂😂hata kama Kiswahili chako kibovu jmn hata mtu asiye kifahamu,hiki kipo qwenye kamusi iipiii?maiti tangu lini ikauwawa?😅😅😅sema Felix kaamua kutuchanganyia maneno humu ili tuache kuulizia gobole la uridhi maana imekuwa km wimbo wa Taifa kwenye kila simulizi lzm tuulizie
Hii imeaxa vibaya ya Rais kafaa mapema nani kaua AMA mtoto wakaranjaa?ama ngesa davina hapana hawa naona watakuja kulipa kisasi naona wameamua kumuua rais ili Walete mtuwao wazidi kukandamizaa inchh
Haya mauaji ya Rai's qweli master planner so makamu wa Rai's qweli?🤷🤷acha nisikilze mpaka mwisho nijue chanzo ila namhisi tu maana alikuwa mshirika wa karanje na hata hivyo alikuwa amefurahia kifo cha mhe Rai's qwa ndege 😭😭rest easy Benjamin
Hii simulizi nikama inakuja ikitoka ama nimm nimezeeka?huyu isaac sio yule alieuliwa hotelini na secretary wake wameenda kuchunguzaa wauaji waraisi kisha wakajisahau kuvunja amri yasitas🏃♂️🏃♂️sinauhakika lkn kama nikweli wacha tuone mbeleni kukojee...halafuu kufak kifo tumeregea Kule Kule nilikufa ilikumuokoa rais mwisho mkewandoa aliolewaa na mzungu yy akaoa mwanamke mwingine mana haingewexekana mke kuamini kama mume hakufa hata mm nisingekubali kwaza ningekimbia.ila sasa humu ndani huyu Ngesa mke wake akiamua kuolewaa naona ngesa atakuja kumtoa kwahiyoo ndoa🤣🤣 ...
Haya nione hizo likes Leo zaenda wapi
Mtatuambia hixi likes Duka lake liko Kenya kwa mwaa AMA tz kwa mangi sio kwakuziomba huku jamani
😊😊😊
Hapo Kenya qwa mwaa itabidi ni Google ni pajue 😂😂😂😂🇰🇪my mother land
Ok.imewadia sasa ...Im no.1 thanks SMIX
Ooh my God thanks soo kaka Felix thanks simulizi mix ❤❤❤🎉
Watu munalala humu ndani
😂😂😂😂 Mimi natamani nipewe na kitanda hapa hapa sio kwa huu musimulizi jamani
Me wa kwanza, kosa nione mtu anasema kua yeye ndie wa Kwanza nauwa mtu hapa 😠😠😠😠😡😡😂😂😂
Kitu hichoo 🔥
🔥🔥🔥🔥
Hongera kwa ngesa japo hujamuona mtoto wako
Asate mix👏
Davina is tyipi......
Ok kumbe muendelezo❤
I'm the first
Watyuuu mnalala kwa felix jaaaaman 🎉🎉🎉
Hapo kaka Felix
Wamwisho eti asante sana bro Felix 🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤ngesa in the building 🏫😂
📻📻🔥
Mwandishi ni nani sasa mbona Felix mwenda husemi
Mtunzi n yup ss..hamsemii
Hapa bado kaz ipo😂😂😂 Ngesa na Davina ndani ya nyumba,,much love Felix mwenda
Weeee kitu hichooo
Hahaha tupo tena huku kutoka kwa Davina & Ngesa❤❤
At least ngesa n baba sasa hata gaa hajaona mtoto
Mr mwenda umebarikiwa na sauti listening 🎧 from Kenya 🇰🇪 much more love
Waooooooo kk felix aminia bbbaake upo juu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉
:Maiti nyengine Tatu zilikuwa zimeuwawa"😂😂😂😂😂I like that though mm sio mzuri sana wa kishwahili.anyway kazi nzuri sana❤❤
😂😂😂😂hata kama Kiswahili chako kibovu jmn hata mtu asiye kifahamu,hiki kipo qwenye kamusi iipiii?maiti tangu lini ikauwawa?😅😅😅sema Felix kaamua kutuchanganyia maneno humu ili tuache kuulizia gobole la uridhi maana imekuwa km wimbo wa Taifa kwenye kila simulizi lzm tuulizie
@Pretty22750 imagine, killing a dead body!!😂😂.by the way ,umefanya vizuri sana kunikumbusha gobole pretty,let them bring back gobole la urithi
@@beautyafrica254 😂😂😂sure
🔥🔥🔥😇
N
Asante kaka felix mwenda japo nimechelewa ila nimewahi 😊
Mashaallah baby girl ngesa mashallah dasitani mwabie mke wa ngesa masikini
Kwani hakuna mwedelezo wa GOBOLE la URITHI 😢😢😢😢😢
Nasubili na mimi
Hata Mimi najiuliza why hawa upload mwendelezo tena?
Pole raisi
Yap yap shukuran Sana kwa mtunzi wa simulizi hii
Kumekucha 🔥🔥🔥 Ngoma nzito
watu mnalala hum ndani ama
Nice
Asante sana kwa muendelezo..hv simulizi ya GOBOLE LA URITHI ndo bac tena 😢
Mapigo ya bio yawa
Oyoooo❤
Kwani mwalala humu ndani ama vp mbn nikisema nimewai najidanganya😂😂😂
Mhhhh dahhh Leo wamwishoooo
Daaaa, Hassan ukwaju, Hilo Jina limenikumbusha rafiki yangu nilisoma nae 😂😂
Ngesa wapi hiyo❤❤❤
To be continued
Shukran sana Felix Mwenda ila hujatuambia nan ni mwandishi
Mmeshaambiwa ni mtunzi wa Simulizi ya Davina
Ata kwa davina hawakutajaa ..ama ww wajua utuambiee
Au ngesa karud nn
Wow jina la mtunzi ni nani?
😅😅😅 Felix anatutania Sana anasema vizuri mtunzi ndo yule wa Davina na wkt hakututambulisha
Kwann ss umefoma gobole la uridhi😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Tumemiss za kichawio jmn
Nimechelewa😂
Hii imeaxa vibaya ya Rais kafaa mapema nani kaua AMA mtoto wakaranjaa?ama ngesa davina hapana hawa naona watakuja kulipa kisasi naona wameamua kumuua rais ili Walete mtuwao wazidi kukandamizaa inchh
Kaka gobole vp kaka
Masikini magigi msa8die
😀😀😀hayo mapigo yake ya mbio qweli yalikuwa 120speed per minute
Gobole la urith imeishia wapi jamani
Mtunzi Ni nani
Gobole la ulisi vp imepotelea wap kaka
Haya mauaji ya Rai's qweli master planner so makamu wa Rai's qweli?🤷🤷acha nisikilze mpaka mwisho nijue chanzo ila namhisi tu maana alikuwa mshirika wa karanje na hata hivyo alikuwa amefurahia kifo cha mhe Rai's qwa ndege 😭😭rest easy Benjamin
Msiniambie mumeniachia uwanja
Enjoy uwanja ni wako 😂😂😂
Hii simulizi nikama inakuja ikitoka ama nimm nimezeeka?huyu isaac sio yule alieuliwa hotelini na secretary wake wameenda kuchunguzaa wauaji waraisi kisha wakajisahau kuvunja amri yasitas🏃♂️🏃♂️sinauhakika lkn kama nikweli wacha tuone mbeleni kukojee...halafuu kufak kifo tumeregea Kule Kule nilikufa ilikumuokoa rais mwisho mkewandoa aliolewaa na mzungu yy akaoa mwanamke mwingine mana haingewexekana mke kuamini kama mume hakufa hata mm nisingekubali kwaza ningekimbia.ila sasa humu ndani huyu
Ngesa mke wake akiamua kuolewaa naona ngesa atakuja kumtoa kwahiyoo ndoa🤣🤣 ...