Mombasa: Kundi la vijana wanaowanyang'anya wakazi bidhaa lachipuka

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 кві 2024
  • Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

КОМЕНТАРІ • 232

  • @beirut9750
    @beirut9750 21 день тому +55

    Nelson Marwa alikuwa kiboko yao

  • @oseredavis9771
    @oseredavis9771 21 день тому +48

    Their parents are currently watching silently, wakati watafangiwa ile kitu you will see them crying vile watoto wao ni wazuri

  • @sokomoko6757
    @sokomoko6757 21 день тому +74

    Lindeni wananchi wenu hapa Kenya, kisha ndio mufikirie kupeleka Police HAITI.

  • @biryajimmy1329
    @biryajimmy1329 21 день тому +42

    Ukisikia mmoja wao amepigwa risasi wamama wakiswahili watajitokeza kuandamana hii mombasa mbona asiwachiwe marwa

  • @francoodeny891
    @francoodeny891 21 день тому +7

    MOMBASA CITY LOOKS CLEAN AND ORGANIZED GOOD JOB

  • @RAJ-R64
    @RAJ-R64 21 день тому +43

    sijawahi kupenda mob justice lakini kama imefika hapa heri wauliwe tu....MWANAUME KAMA LIFE IMEKUSHINDA KUWA MSENGE

  • @MoMo-qw5mp
    @MoMo-qw5mp 21 день тому +16

    Usiwape chakula walale njaa. They seem strong enough to work

  • @sponsalfathedj8177
    @sponsalfathedj8177 21 день тому +32

    Chapa risasi tuu bure kabisa

  • @carolinewanjiku6610
    @carolinewanjiku6610 21 день тому +17

    Shopping? Njaa!

  • @yusufmohamed4433
    @yusufmohamed4433 21 день тому +21

    Where is our nelson Marwa we miss you alot champion God akuprotect kule uko you made mombasa safe place

  • @rosewanjiru9303
    @rosewanjiru9303 21 день тому +5

    Dawa yao ni risasi tu.

  • @sabrinapogal9463
    @sabrinapogal9463 21 день тому +6

    Wanatakiwa kuwa na patrol kila sehemu mbona uhalifu coast umekuwa mwingi unashangaa kikosi kizima cha polisi kinavamia mtu mmoja lakini maharamia wanavamia wananchia kila kona ya mji ni kama hakuna serikali

  • @cashbilly23
    @cashbilly23 21 день тому +6

    UKIINGIA RAHA, UKITOKA WEZI 🤣🤣🤣 NTV with the headlines 💯😆😆

  • @japhetkahindi4791
    @japhetkahindi4791 21 день тому +12

    Our police in Mombasa katikati ya town wezi wanapora police wako office tu eating bribes

  • @nassernasser1457
    @nassernasser1457 21 день тому +6

    Transfer that commissioner hamna kazi ana fanya, Mombasa has become extremely dangerous hata Nairobi and Nakuru is safer

  • @cloudinhoabdi868
    @cloudinhoabdi868 21 день тому +3

    Eti huko ndiko mnakoita Mombasa raha? Raha gani hiyo sasa? Au wizi na ujambazi ndio raha?

  • @crayonmaze9970
    @crayonmaze9970 21 день тому +3

    Only if Sheria ya kiislam ya kukata mikono wezi ingetumiwa, hakuna atakae thubutu kuiba.

  • @jotonyae-04
    @jotonyae-04 21 день тому +2

    Waaah! Hivi visa vimekuwa vingi sana hapa Kenya

  • @abduratwaha3945
    @abduratwaha3945 21 день тому +10

    Hawa ni chokoraa wenye wanakuja kuomba msaada na wanalala streets

  • @The2000.
    @The2000. 21 день тому +3

    Risasi itembee, mnabembeleza majangili