I left my son in Saudi with a mark on his back so I can recognize him | Tuko TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @Tuko
    @Tuko  8 місяців тому +94

    What message do you have for Faith (Zamzam)? You can reach her through her number: 0790580767
    To share your story with us, send a message to our WhatsApp number: 0115106407.
    Or email us through: yvonne.kawira@tuko.co.ke or eucabeth.mukami@tuko.co.ke

    • @aaminahdiallo229
      @aaminahdiallo229 8 місяців тому +6

      Hello what’s the area code for Kenya? I would like to say hello to sister zamzam; she seems to be such a beautiful soul

    • @anitababy6750
      @anitababy6750 8 місяців тому +5

      Why is this woman lying she is also in TikTok hii yote ni uongo

    • @puritykash8928
      @puritykash8928 8 місяців тому +1

      ​@@anitababy6750what ?

    • @janemuthoni723
      @janemuthoni723 8 місяців тому +4

      Nitamtafuta nione kama naeza pata mtoto au waliuza

    • @janemuthoni723
      @janemuthoni723 8 місяців тому

      @@anitababy6750but ukweli kuna vitu amedanganya atii watu wanauwa watoto hiyo uongo,’mara ukizaa unaambiwa uweke alama,hizo ni zake sasa

  • @judychepkirui5313
    @judychepkirui5313 8 місяців тому +37

    Kuna mwingine pale tiktok alikua anasema wenye wanazaa saudii ni Malaya,, sometimes people's goes through hell, if your OK thank God and pray for others, never judge anyone

  • @stacymutheu1025
    @stacymutheu1025 8 місяців тому +74

    As a young muslim i hope i can help this lady,,this is too much yaarabb,Allahu subhanahu wataala akufanyie wepesi na akujaalie subra.naombeni namba yake yenye i will reach her🤗🤗

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 8 місяців тому +3

      Iko hapo juu kwa tuko

    • @harunaotieno2893
      @harunaotieno2893 8 місяців тому +2

      Ameen

    • @eriminahmshai
      @eriminahmshai 8 місяців тому +1

      Pole sana but iko hapo juu wameeweka hapo

    • @janendegwa5462
      @janendegwa5462 8 місяців тому +1

      i saw those kids been fed at the mosque near gikomba some years back then in mombabsa on friday women like this go to get food so i dont get why she has no help

    • @festusmaina-uf5vp
      @festusmaina-uf5vp 8 місяців тому

      SHE IS A CON

  • @eunicekingoo4510
    @eunicekingoo4510 8 місяців тому +79

    Zamzam nimeumwa sana na story yako nitakusaidia vile naweza na tafadhali usijaribu kujiuwa mungu ako na mpango mzuri na maisha yako .

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 8 місяців тому +8

      Allah akubariki dear

    • @eunicekingoo4510
      @eunicekingoo4510 8 місяців тому

      @@chunaabdullah1333you too

    • @florenceatambo2579
      @florenceatambo2579 8 місяців тому +9

      Allah Akbar, may Allah protect and guide you in every situation that you're going through.

    • @josephinebitesigirwe5730
      @josephinebitesigirwe5730 7 місяців тому

      pole dada Zam Mungu huyaone hayo yote na atafanya njia yakutokea hadi utashangaa maisha yana corner nyingi ila mwisho uko karibu.amini ❤

    • @everlynemumbua1005
      @everlynemumbua1005 4 місяці тому

      Hi

  • @Maximilian_5TV
    @Maximilian_5TV 8 місяців тому +117

    The smile on her face from the beginning aki is melting my heart, she's keeping strong😢😢...may her destiny helper locate her. Hugs mamaa🫂🫂🫂❤️❤️❤️

  • @luciamutiso5438
    @luciamutiso5438 8 місяців тому +91

    Hakuna mtu huteseka kama mwanamke AKO na mimba na Hana support yeyote😢😢😢I can relate this

    • @lucywambua1544
      @lucywambua1544 8 місяців тому +2

      ❤❤mama,, am victim it's the worst situation but God heals

    • @ygpwnxd_xd752
      @ygpwnxd_xd752 8 місяців тому

      @@lucywambua1544👎🏿👎🏿
      Use protection and stop cribbing bcz most of you blacks do it for money

    • @elizabethnzioki7627
      @elizabethnzioki7627 8 місяців тому

      Very true I can relate also

    • @marywambui7685
      @marywambui7685 8 місяців тому

      True

    • @Cerahcerah-r6n
      @Cerahcerah-r6n 8 місяців тому

      True

  • @harrietafandi6812
    @harrietafandi6812 8 місяців тому +63

    You're forgiven my dear, NOBODY SHOULD JUDGE YOU!!! IGNORE THE NEGATIVE COMMENTS PLEASE. one day you'll see your son. Just pray

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 8 місяців тому +5

      One day, her son will demand to meet or talk to her mother.
      Naomba hapo, wa kuta
      -ne.

  • @thetribe6391
    @thetribe6391 8 місяців тому +143

    If someone has ever needed help... should be this lady,have never sent money to strangers online but this one i have to do! It's humanity to help in such a case!

  • @LynneHilda
    @LynneHilda 8 місяців тому +49

    This lady is beautiful and I feel sorry for her.
    She is a strong woman.

  • @SueJohn-pi9xq
    @SueJohn-pi9xq 8 місяців тому +166

    By this confession alone ,
    you have been forgiven
    Take heart
    God is with you

    • @Lorinkavai
      @Lorinkavai 8 місяців тому +3

      🥺🥺🥺🥺woiii hakii pole kwa huyu mrembo

    • @Jackie-x9u
      @Jackie-x9u 8 місяців тому +1

      Very true

    • @ygpwnxd_xd752
      @ygpwnxd_xd752 8 місяців тому

      @@Lorinkavai👍👍👍
      ZERO sympathy for such thieves who sell themselves and get pregnant with multiple men

    • @mwikalijosephine5178
      @mwikalijosephine5178 8 місяців тому +2

      Firgiven by Allah there's no forgiveness there if we follow long root .
      Jesus is the only way

    • @Kenyanmama
      @Kenyanmama 8 місяців тому

      The only way of forgiveness is through Christ. ​@@mwikalijosephine5178

  • @blackpearl4716
    @blackpearl4716 8 місяців тому +18

    Faith, she was given that name for a reason. Even after everything she has gone through, her faith in God is amazing. Please do not lose hope. I really pray that someone out there in Kenya can take a chance on her and offer her a job. She has been through a lot. May the almighty have mercy on her.

  • @joycegumbo2732
    @joycegumbo2732 7 місяців тому +7

    This lady is very brilliant, her language is eloquent, she's focused and has matured and is very humble...aki please if anybody can assist her with a job kindly assist her.

  • @chebi5704
    @chebi5704 8 місяців тому +158

    If someone has a restaurant please give this lady a job , and my prayers are that she will be helped to reunite with her kid who's in Saudi

    • @LastEmperor86
      @LastEmperor86 8 місяців тому +4

      Hakuna Cha ku reunite,that's a gone case

    • @atuzariirwejanet8562
      @atuzariirwejanet8562 8 місяців тому

      𝑜ℎ 𝑛𝑜,

    • @atuzariirwejanet8562
      @atuzariirwejanet8562 8 місяців тому

      ​@@LastEmperor86𝑖𝑡𝑠 𝑡𝑟𝑢𝑒 𝑡ℎ𝑒𝑟𝑒 𝑎𝑟𝑒 𝑠𝑜𝑚𝑒 2 𝑝ℎ𝑖𝑙𝑖𝑝𝑖𝑛𝑜 𝑙𝑎𝑑𝑖𝑒𝑠 𝑖 𝑘𝑛𝑜𝑤 𝑤ℎ𝑜 𝑤𝑜𝑟𝑘𝑒𝑑 𝑓𝑜𝑟 𝑡ℎ𝑒 𝑠𝑖𝑠𝑡𝑒𝑟𝑠 𝑜𝑓 𝑚𝑦 𝑏𝑜𝑠𝑠 𝑙𝑎𝑑𝑦 , 𝑡ℎ𝑒𝑦 𝑎𝑙𝑠𝑜 𝑓𝑒𝑙𝑙 𝑖𝑛 𝑙𝑜𝑣𝑒 𝑤𝑖𝑡ℎ 𝑡ℎ𝑒 𝑏𝑟𝑜𝑠 𝑜𝑓 𝑡ℎ𝑒𝑖𝑟 𝑏𝑜𝑠𝑠 𝑛 𝑔𝑎𝑣𝑒 𝑏𝑖𝑟𝑡ℎ 𝑡𝑜 𝑡ℎ𝑒𝑚 𝑏𝑢𝑡 𝑡ℎ𝑒𝑦 𝑎𝑟𝑒 𝑛𝑜𝑡 𝑎𝑙𝑙𝑜𝑤𝑒𝑑 𝑡𝑜 𝑡𝑎𝑘𝑒 𝑡ℎ𝑒𝑖𝑟 𝑐ℎ𝑖𝑙𝑑𝑟𝑒𝑛 𝑡𝑜 𝑡ℎ𝑒𝑖𝑟 𝑐𝑜𝑢𝑛𝑡𝑟𝑦. 𝑖𝑛𝑠𝑡𝑒𝑎𝑑 𝑡ℎ𝑒𝑦 𝑘𝑒𝑝𝑡 𝑤𝑜𝑟𝑘𝑖𝑛𝑔 𝑓𝑜𝑟 𝑡ℎ𝑒𝑚 , 𝑔𝑜 𝑓𝑜𝑟 𝑣𝑎𝑐𝑎𝑡𝑖𝑜𝑛 𝑛 𝑔𝑒𝑡 𝑏𝑎𝑐𝑘 𝑙𝑖𝑘𝑒 𝑡ℎ𝑎𝑡 𝑏𝑢𝑡 𝑛𝑜 𝑤𝑎𝑦 ℎ𝑜𝑤 𝑡ℎ𝑒𝑦 𝑤𝑖𝑙𝑙 𝑡𝑎𝑘𝑒 𝑡ℎ𝑒𝑖𝑟 𝑐ℎ𝑖𝑙𝑑𝑟𝑒𝑛.. 𝑠𝑒𝑒 𝑡ℎ𝑜𝑠𝑒 𝐴𝑠𝑖𝑎𝑛 𝑐𝑜𝑢𝑛𝑡𝑟𝑖𝑒𝑠 ℎ𝑎𝑣𝑒 𝑔𝑜𝑡 𝑔𝑜𝑜𝑑 𝑟𝑢𝑙𝑒𝑠 𝑖𝑛 𝑡ℎ𝑒𝑖𝑟 𝑐𝑜𝑢𝑛𝑡𝑟𝑦 𝑐𝑜𝑚𝑝𝑎𝑟𝑒𝑑 𝑡𝑜 𝐴𝑓𝑟𝑖𝑐𝑎𝑛 .. 𝑆𝑜 𝑤𝑒 𝑜𝑛𝑙𝑦 𝑙𝑒𝑎𝑣𝑒 𝑒𝑣𝑒𝑟𝑦𝑡ℎ𝑖𝑛𝑔 𝑖𝑛 𝑡ℎ𝑒 ℎ𝑎𝑛𝑑𝑠 𝑜𝑓 𝐺𝑜𝑑

    • @chebi5704
      @chebi5704 8 місяців тому +17

      @@LastEmperor86 Are you God to give the final opinion 🤔😏

    • @ygpwnxd_xd752
      @ygpwnxd_xd752 8 місяців тому

      @@chebi5704👎🏿👎🏿👎🏿
      It’s true so accept the bitter truth and teach ur black ladies to work hard instead of selling themselves and making babies with multiple men

  • @Mayellah19
    @Mayellah19 8 місяців тому +48

    Am sure Kenyan women wameacha watoto wengi huko Saudia,But i know a lady who came back with her two kids in Kenya alizaa Saudia but the Arab baby daddy helpt her come back with the babies and built them a house too sahii hata ni wakubwa

    • @VeronicaDunbar
      @VeronicaDunbar 8 місяців тому +2

      At least anauezo. I wis
      -h returnees wote wan
      -gunda chama wasaidi
      -ne. Nakutoa mama km huyu kutoka hii ngori.

    • @kadhyanassor5046
      @kadhyanassor5046 8 місяців тому +3

      Tatizo hawajui tu sheria za kupita na wanakua na uoga ...waarabu hawawezi kukuzuia na mtoto...

    • @Lorinkavai
      @Lorinkavai 8 місяців тому

      Saaaaan saaaana but hope vle kozungu imeanza kifunwa huku one day watajitokeza waseme niwakenya

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 8 місяців тому +1

      Lakini afadhali kupika mandazi na kukaranga mandazi hapa kenya kuliko kuenda Saudi Arabia. Huko ni utumwa, mateso na mauti na mwishoe kaburi 80 kwa 100 ama kurudi nyumbani zero bila chochote

    • @saintmary703
      @saintmary703 8 місяців тому

      Have you ever travelled??
      Jifunze kuvalianga kiatu ya wengine tafadhali...nothing like uoga.​@@kadhyanassor5046

  • @ustadhfarouq7729
    @ustadhfarouq7729 8 місяців тому +79

    Abbas online Tv na Salim Daawah Kenya hebu tafadhali ona hii video waislam watoe msaada tumnusuru kwa ajili ya Allah.

    • @kadhyanassor5046
      @kadhyanassor5046 8 місяців тому +10

      Hata mimi nimefikiria hiyo salim dawaa na ramadhan kurwa kaguo please muunganishe ili apate elimu ya dini na pia apate msaada wa kupata mtoto wake na biashara pia...

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 8 місяців тому

      Lakini afadhali kupika mandazi na kukaranga mandazi hapa kenya kuliko kuenda Saudi Arabia. Huko ni utumwa, mateso na mauti na mwishoe kaburi 80 kwa 100 ama kurudi nyumbani zero bila chochote

    • @akinyinyarjs
      @akinyinyarjs 8 місяців тому +4

      Kwani hau waarabu wa Saudi hawana dini. Wana jifanya ati ni Muslim. Bure kabisa.

    • @harunaotieno2893
      @harunaotieno2893 8 місяців тому

      Ameen in shaa Allah

    • @kadhyanassor5046
      @kadhyanassor5046 8 місяців тому +1

      @@akinyinyarjs mimi silaumu mtu kwa sababu tumesikiliza upande mmoja na hatujui ni kweli au laa kwa sababu huezi kujitumikisha Kingono kisa njaa...any way Allah amemsamehe kwani alifanya wakati wa ujahilia na sasa yeye ni msafi na mtu mwengine...Allah amuongoze ktk dini...

  • @emmahwainaina4851
    @emmahwainaina4851 7 місяців тому +6

    Pleaze Tuko do a follow up on her after some time we want to know kama shes doing well❤Zamzam wewe ni shujaa may your destiny helpers locate you mama,fly high ukona chance ya kumake it bado!all is not lost

  • @leylamahbuub9311
    @leylamahbuub9311 2 місяці тому +1

    Asc zam zam akii hii story imeniliza Sana pole sana mrudie mungu muombe msamaha atakusamehe dnt lose hope...mtihani NI lzm tupitie in diff...ways wenye map walikudhulumu watalipia ...usiwai jiua siz itaisha hii yet kuwa na matarijio Kwa mungu crime na bad friends waache kindly😢

  • @sein.208
    @sein.208 8 місяців тому +16

    Subhana Allah 😭
    Pole sana habibty,,, usihuzunike Allah anaona kila kitu na yeye ni mjuzi zaidi kwa yaliyofichika na yaliyo dhahiri... Yajayo yanafurahisha🤲❤️♥️

  • @leylamahbuub9311
    @leylamahbuub9311 2 місяці тому +1

    Walaii this girl amepitia Sana I feel she's so sincere mungu mfungulie njia zake zote...na hii gavaa ya Kenya inaangusha Sana Raia wake...hii si poa

  • @faithe4063
    @faithe4063 8 місяців тому +15

    YESU kristo ndiye Bwana ni njia ya kweli na usima wa milele, heri mtu yule anaye Amini Yesu kwa maana watauona ufalme wa Mungu

    • @nellydeborah943
      @nellydeborah943 8 місяців тому +1

      Very true my dear

    • @Mwabundusalim5818
      @Mwabundusalim5818 8 місяців тому +4

      I bear witness there's no God worth to worship except Allah and I bear witness that Mohammad is the servant of Allah and last messenger

    • @Kenyanmama
      @Kenyanmama 8 місяців тому +5

      Hapo kwanza hakuna msamaha anapata coz Allah hawezi samehe.. The only way of salvation is in Christ Only

    • @marrieann5278
      @marrieann5278 7 місяців тому

      ​@@Mwabundusalim5818read your Quran very well

    • @gorretkaburi960
      @gorretkaburi960 7 місяців тому +1

      come back to jesus

  • @makenanyakio6
    @makenanyakio6 8 місяців тому +63

    Appreciate that man that takes good care of his child. You are awesome! The government needs to regulate the so called agents to protect Kenyans.

    • @p.be.s
      @p.be.s 8 місяців тому +2

      The government is the same one selling slaves to those countries. Ruto and BiggyG told Kenyans to go there, Kuria and Wajuu are the biggest slave traders, now which government are you talking about?

    • @hannahwanjiku7530
      @hannahwanjiku7530 8 місяців тому

      It's sad

  • @prettymoore6780
    @prettymoore6780 8 місяців тому

    Sad reality 40:54 siku hizi ukitaka kusaidika kufa. May God see you through Zamzam. May God protect and provide your son 😢

  • @judithkavutha3628
    @judithkavutha3628 8 місяців тому +40

    Kila mtu angemtumia 50bob angelipa nyumba❤just a request

    • @carolinewambui146
      @carolinewambui146 8 місяців тому +2

      Sure I will see to it I send her something

    • @GGHH-fu5vs
      @GGHH-fu5vs 8 місяців тому +1

      yes aky tufanye ivo no painful

    • @RachelIllikwel-ei5ui
      @RachelIllikwel-ei5ui 8 місяців тому +3

      Haki we need to help her

    • @sarahwawuda5164
      @sarahwawuda5164 8 місяців тому +2

      Idea poa kila mtu atume

    • @judithkavutha3628
      @judithkavutha3628 8 місяців тому +4

      Mimi nishatuma,nani mwingine,ukituma unanitag, Mungu akubariki mwenye atatuma

  • @paskaliawanyama6606
    @paskaliawanyama6606 6 місяців тому

    Jipe moyo mammy. Mungu wa huruma, anasikia kilio chako. Atajibu maombi Yako. Hauko pekee Yako. Watu wanapitia mengi. Wakati ikifika, mungu atatenda. Je ukijaribu kazi ya nyumba?

  • @leonalee392
    @leonalee392 8 місяців тому +23

    Zamzam you are very honest and your story sounds very genuine....and you have accepted the full accountability without blaming anyone/anybody and without trying to justify yourself.....This is the beginning of a new chapter in your life and it shall be well,..you are FORGIVEN....❤

  • @itsjuliam
    @itsjuliam 8 місяців тому +11

    Only 45 seconds into the video and I'm already in tears from the little I've heard. This is heartbreaking.

  • @queennaymar3728
    @queennaymar3728 8 місяців тому +42

    This is even painful to watch 😢

  • @mosesmauda5718
    @mosesmauda5718 8 місяців тому +231

    The Kenyan government should do something about those kids cause the kids are innocent and they know nothing.

    • @caroline196caro9
      @caroline196caro9 8 місяців тому +4

      True

    • @winicatewainaina4456
      @winicatewainaina4456 8 місяців тому +2

      True

    • @bensonikara8580
      @bensonikara8580 8 місяців тому +4

      Sheria ya Saudi Arabia and they all know that

    • @LornaWekulo
      @LornaWekulo 8 місяців тому +33

      The government of Kenya has no say kwa government ya Saudi wewe kama bado unataka mwanaume kaa Kenya.kazi ndio imekupeleka huko siyo mwanaume

    • @estherwambui8847
      @estherwambui8847 8 місяців тому

      ​@@LornaWekuloyou don know these men..stop being judgemental..hujui what they do..cz hujaifanya na waarabu..she was raped...wa saudi ni wan^^ama.bana

  • @shazzysymon6835
    @shazzysymon6835 8 місяців тому +17

    Ushasamehewa siz hata mbinguni umesamehewa bora ujikubali na ukubali MUNGU aanze na wewe tenaa. MUNGU ni mwaminifu Sana utasimama tena

  • @Rosemary-z5f
    @Rosemary-z5f 2 дні тому

    Sister you're the best, the higher the life challenges and obstacles the better and big your destiny is. Don't worry God has good plans for you. Take heart and be positive you have a pure heart

  • @beticiagold6418
    @beticiagold6418 8 місяців тому +59

    And also Tuko you know pro bono counselling places - this lady needs to go for counselling , she has gone through very traumatic situations that she needs to go for therapy to help her adjust well in life. Then spiritual counselling too.

  • @christinemutinda8300
    @christinemutinda8300 7 місяців тому +1

    I remember uliibia mschana Wa my brother Rhoda 15k , ukiwa Na your sz ,, Rhoda akiwa mgeni Saudia,,Mungu akuone tu

  • @Naima-g1n
    @Naima-g1n 8 місяців тому +12

    Walahi nimelia sanaa jamani pole dadangu waislamu tuko kwa ajili yko tutakusaidia hile kidogo mungu ametujaalia InshaAllah mungu atakufungulia

  • @alyce9494
    @alyce9494 8 місяців тому +7

    Anafanana almost Na chidimma the twins actresses from naija. Pole sana dear 🫂

  • @emilysimelane6376
    @emilysimelane6376 8 місяців тому +34

    Also women in Kenya must unite and march to Saudi Embassy make noise so the world can help. Saudi gov must be held accountable also march to Human Rights offices

    • @rda-gama2567
      @rda-gama2567 8 місяців тому +5

      Yes , the people of Kenya have to protest because the government of Kenya is not doing nothing about the abuse that their citizens are suffering in Saudi Arabia.

    • @faithmurunga3766
      @faithmurunga3766 8 місяців тому +2

      Yes this one I agree with you 💯 👏 we need to do something us migrant returnees good idea 😊

    • @p.be.s
      @p.be.s 8 місяців тому

      Keep dreaming. I would never go protest when Kenyans have been warned against going to slave country. Bebeni msalaba yenu, tuna zetu za kubeba. Mwiba wa kujidunga haina pole. Ati women in Kenya MUST unite and march…. Fala sana wewe.

    • @mungainduta5429
      @mungainduta5429 8 місяців тому

      Protest in which country do u think saudi ni kenya kwenye u do what you want. Advice your sisters to do it see if they will come out alive.if u come here obey the law do what brought u here if u have problems contact others will help u

    • @buyakiwetoyi7329
      @buyakiwetoyi7329 8 місяців тому

      In Saudi my dear utakaa vile wako tu

  • @JaneWairimu-nt3gw
    @JaneWairimu-nt3gw 7 місяців тому +1

    Khai wambo navile unachekaga tukikutana kumbe unapitia hivyo......pole sana jirani yangu

  • @janejanenjeri8350
    @janejanenjeri8350 8 місяців тому +6

    Soooooo painfull,child and mum separation,hugs Zamzam,may God heal your pain

  • @mimsbaibe6mimsgul737
    @mimsbaibe6mimsgul737 8 місяців тому +2

    Ooh sorry for everything sometyms i think av survived by grace of God nlikua nafunguwa but leo nko n funguo mvumilivu hula mbivu lesson to many ukija job focus on job hawa watu hawawezi kupenda if ur own family hawakupendi inabidi kujikaza am 10yrs with same boss

  • @happynesbaemuhappynes8813
    @happynesbaemuhappynes8813 8 місяців тому +3

    Pole sana mpendwa Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi InshaAllah na Anakupenda sana na ndo maana huko hapo endelea kuwa na subra kama anavyokuhusia Mmeo. Allah atatenda InshaAllah

  • @khadijaAthuman-qq7xg
    @khadijaAthuman-qq7xg 8 місяців тому +81

    She's very honest jamani pole Sana Dada zamzam😢😢

  • @susanakinyi6261
    @susanakinyi6261 8 місяців тому +43

    God is faithful ZamZam the fact that this was supposed to harm you but you came out stronger........ don't give up you are a child of God 🙏🏽

    • @monicalewisky4925
      @monicalewisky4925 7 місяців тому

      Allah is not a father dear

    • @moraa6996
      @moraa6996 7 місяців тому

      ​@@monicalewisky4925we become He's adopted children out of His love

    • @loicewasonga1588
      @loicewasonga1588 7 місяців тому

      And that madam is also a Muslim that you chose to be Hakuna Watu wabaya Kama hao Watu I have personally seen what they do to people yet they claim wanajua mungu

  • @crazykids5779
    @crazykids5779 8 місяців тому +1

    Halieda saudi 2014,hali come back home lini?i God akinifungulia njia afungulie faith pia inshallah

  • @pamelamugo9627
    @pamelamugo9627 8 місяців тому +22

    God's grace is always sufficient 🙏. Am sending her healing en love ❤️

  • @alicemucharia6538
    @alicemucharia6538 8 місяців тому +27

    She's honest, GOD is Merciful, He's A GOD of a second chance, He's Faithful, May He make a way for you , you meet your child , He will surely see you through. Challenges are there to overcome. It shall be well🙏 , Never give up .

    • @Lorinkavai
      @Lorinkavai 8 місяців тому +3

      Uchungu yote hiyo ya kuwacha mtoto namhurumia walai 😢

    • @festusmaina-uf5vp
      @festusmaina-uf5vp 7 місяців тому +1

      SHE IS DISHONEST....WEE UNAMJUA AJE?

  • @alicecarenadhiambo6624
    @alicecarenadhiambo6624 8 місяців тому +6

    The more she speaks out the more she speaks she will overcome her fears. But it's so sad, I pray she will reunite with her son.

  • @lysa7201
    @lysa7201 7 місяців тому +1

    ZamZam..You are a blessing to many..Its your inner strength and Forever gratitude and Smile through it all that we must emulate ..Mama ,Be encouraged.

  • @LadyS-02
    @LadyS-02 8 місяців тому +7

    On behalf of Tuko fans kindly mwenye ako na job apatie Zamu so that she can collect her life. May God protect those kids in saudi

  • @StellaMakesh
    @StellaMakesh 6 місяців тому

    Aki pole sana umepitia magumu sana , Kila jambo uwawa na sababu, nakuobea mungu upate jia ya kuendea mtoto Saudi, niuchugu lakini usijali uweka mungu mbele.

  • @monicanderitu7378
    @monicanderitu7378 8 місяців тому +6

    Sina usemi but asiyeskia la mkuu huvunjika guu
    Ungeskia la mmko hungeyapitia shinda zingine nisisi wenyewe hujiletea anyway pole vibarua nimingi hata yakufulia watu nguo na pia minjengo sisi pia tuko natunaishi

    • @AnnJelic
      @AnnJelic 8 місяців тому +2

      Ashajua .....no need to keep reminding her that she was wrong

    • @festusmaina-uf5vp
      @festusmaina-uf5vp 7 місяців тому

      TRUE BUT ANAPENDA TU JABA HUYU MAMA KAZI HAPENDI

    • @anzrahimbaira5321
      @anzrahimbaira5321 3 місяці тому

      Hukuenda shule hujui kutype

  • @mollenaowino5174
    @mollenaowino5174 8 місяців тому +2

    This testimony has brought me tears aki Mungu akupe nguvu dada. Every situation has an end. Aki sometimes the devil can destroy someone's future by giving them a Visa. Always ask God for guidance.

  • @saidaahmedshapi7783
    @saidaahmedshapi7783 8 місяців тому +79

    She can get a birth certificate from Kenya which is children born abroad which is done in Nairobi, than make a passport and get your son through foreign affairs here in Kenya

    • @gloriakitheka7749
      @gloriakitheka7749 8 місяців тому +9

      Kindly help her

    • @saidaahmedshapi7783
      @saidaahmedshapi7783 8 місяців тому

      @@gloriakitheka7749 she has to contact me first cos she can make a passport for her baby from here

    • @Face2face5810
      @Face2face5810 8 місяців тому +5

      Indeed she will need help with all this idea dia, kindly help if you have away to do so🙏🏾

    • @Zazezoo
      @Zazezoo 8 місяців тому +4

      She will
      Also
      Need money!

    • @doreenshii563
      @doreenshii563 8 місяців тому +7

      My dear Saudi embassy isha fanya registration kwa watoi wote na wakafanywa DNA,of which ata hizo birth certificate haziwasaidii kuhome na watoi sijui shinda yao ni gani

  • @manallove1
    @manallove1 8 місяців тому

    Masha'Allah Allah amzidishie umri na baraka that guy who accepted you and married you Instantly zamzam ..walahi mayb you cant see this but kikweli Allah has truly blessed you na dini na ndoa na mtoi Masha'Allah.Allah awasimamie wewe na mume wako

  • @prinzy-cynthia
    @prinzy-cynthia 8 місяців тому +16

    God protect me nimalize contract mzima

    • @Lorinkavai
      @Lorinkavai 8 місяців тому +1

      Hakiii hata naombanga tu kuna kitoto hapa kilikua kimeleta kisirani nlikua nataka kuhepa but mungu akanituliza tu kumbe huko inje nkubaya ivi

  • @TiffaneyWanjiru
    @TiffaneyWanjiru 8 місяців тому

    Watching nikiwa yamama woi may God help us wenye tuko Saudi juu uweh sio rahisi kwanza ukiwa kimboi hawawezi ekewa until you're in that shoe may ALLAH grant her peace

  • @shikowangai
    @shikowangai 8 місяців тому +80

    This woman deserve the very best❤

    • @winicatewainaina4456
      @winicatewainaina4456 8 місяців тому +2

      ❤❤❤

    • @Lorinkavai
      @Lorinkavai 8 місяців тому +1

      🥺🥺hakii saudia

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 8 місяців тому +1

      Lakini afadhali kupika mandazi na kukaranga mandazi hapa kenya kuliko kuenda Saudi Arabia. Huko ni utumwa, mateso na mauti na mwishoe kaburi 80 kwa 100 ama kurudi nyumbani zero bila chochote

    • @ygpwnxd_xd752
      @ygpwnxd_xd752 8 місяців тому

      shikowangai 👎🏿👎🏿👎🏿
      This black deserves what she got bcz she repeatedly kept doing wrong things on purpose. She’s a big hulk in age she knows getting pregnant is very easy as she’s experienced it. ZERO sympathy for her and also she’d told a lot of lies in this video . Looking at her body she’s for sure getting her 3 meals daily .

    • @Devenakenya9-sf9mn
      @Devenakenya9-sf9mn 8 місяців тому

      😂😂😂😂

  • @marywambui4113
    @marywambui4113 8 місяців тому +1

    Yah zam i now the pain ya kucha mtoi mimi pia niko Saudi na pia niko na mtoi hopefully to come home soon hope mtoi ako safe aki 😢hii life ni ngumu but with God everything will be ok trust God he is God of another chance he will make away for you mummy 😊

    • @johnkuma6867
      @johnkuma6867 8 місяців тому

      Lakini afadhali kupika mandazi na kukaranga mandazi hapa kenya kuliko kuenda Saudi Arabia. Huko ni utumwa, kutombwa kila siku kwa nguvu, mateso na mauti na mwishoe kaburi 80 kwa 100 ama kurudi nyumbani zero bila chochote

    • @sharonnyawira575
      @sharonnyawira575 8 місяців тому

      mlienda saudi kazi ama umalaya kuzaa

  • @puritymusau5218
    @puritymusau5218 8 місяців тому +6

    She is so positive. In the midst of everything that sh has and still going through she can afford a smile. My wish is that nobody suffer hunger in the world.

  • @mohamedanubi1283
    @mohamedanubi1283 8 місяців тому +1

    May able brothers and sisters help zam zam . Governor Sonko mama kama huyu anataka uasidizi wa dhati.

  • @Decancy-s9f
    @Decancy-s9f 8 місяців тому +13

    Not me watching and am a kemboi but in good hands.. may God remember you mamah 😢🙏🙏

    • @Muriithitalksfootball
      @Muriithitalksfootball 8 місяців тому +1

      Stay safe out there I visited Saudi Arabia as a tourist an year ago absolute disgusted by the people

    • @wiliminaboke4397
      @wiliminaboke4397 8 місяців тому +1

      Me too dear. I real thanks God to be in safe hand

    • @SleepyAgilityPuppy-wx3wf
      @SleepyAgilityPuppy-wx3wf 8 місяців тому +2

      Am also kemboi two years now in same house I thank God aky

    • @salimmbarak618
      @salimmbarak618 8 місяців тому +2

      God keep you all safe my sisters ❤ ... Niko 10yrs saudia but this stories are scary to listen waah

  • @jamjam8734
    @jamjam8734 8 місяців тому +1

    Mnataka embassy isaidie upuz wenu 😂😂😂 wao pia kina process wanafaa kufata b4 usaidike si ety unataka hio hoo siku usaidiwe .rushen mawen

  • @ritamelle6318
    @ritamelle6318 8 місяців тому +4

    Oh my! This is a very sad story😢😢. Pole sana mamake..I wish to know her personally and assist her na chochote niko nayo..Zamzam you are a very strong woman na Mungu anakupenda sana. So sorry mamaa ..

    • @faithmurunga3766
      @faithmurunga3766 8 місяців тому +2

      I can connect you to her she lives In Njeri please reach out if you may need connection 🙏

    • @JanezKui
      @JanezKui 8 місяців тому

      Her number is pinned apo juu

  • @MumQueen
    @MumQueen 8 місяців тому +1

    I'm 10yrs in saudi wth 6yrs as kemboi but huku inje you live the life you choose to live. No one is tied to prostitution unless they are comfortable wth it coz hawataki kuchoka kazi ya nyumba. 2ndly very many ladies wako na watoto huku na some wamesafiri na watoi wao. Ukitaka kwenda home unajishikisha na kama huna kesi unakuwa deported. Others wanapelekanga watoto daycare wanaenda kufanya kazi wanakuja kuwaona wakiwa off. The story isn't adding up. Honest opinion.Polisi mpakistani🙄au ni customer wa nyanya😄.

  • @MamaMalaika
    @MamaMalaika 8 місяців тому +4

    Ngai, this is so hard 😢leaving your child, how do u even do it😢. Who has the baby boy now? Lord protect him. The thought brought tears to my eyes 😢

  • @jacquelinerayamu3187
    @jacquelinerayamu3187 8 місяців тому +1

    Pole dada Mungu ana sababu upitie haya yte usijilaumu wala mtu asikuhukumu thanks umefunguka kutoa hio mzigo kwa roho it shall be well trust God my dear

  • @emilysimelane6376
    @emilysimelane6376 8 місяців тому +7

    Can you report the toddler's case to UNICEF, just Google am sure they can help to unite the baby with the mother

    • @rda-gama2567
      @rda-gama2567 8 місяців тому

      Report to the red Cross ❌ their are real good, my friend found her lost children because of red Cross.

    • @millicentosaji3565
      @millicentosaji3565 8 місяців тому +2

      Hey kindly reach her and explain to her

    • @emilysimelane6376
      @emilysimelane6376 8 місяців тому

      @@millicentosaji3565 but how do I reach her

  • @aminamahamud9333
    @aminamahamud9333 8 місяців тому +1

    Zamzam pole sana kwa masaibu uliyoyapitia. Kila kitu kina mwisho na waliokucheka one day they'll regret it. Wish you all the best dear

  • @sawara1071
    @sawara1071 8 місяців тому +21

    When we say affordable housing we mean situations like this. Government should build houses that can house people like her at a rate of kes 500. That is the whole point of making us contribute housing levy. May Allah continue to keep you, please stay strong.

    • @Lorinkavai
      @Lorinkavai 8 місяців тому

      True but watu hawatakiii

    • @veronicawanjirushee
      @veronicawanjirushee 8 місяців тому +3

      ​​@@Lorinkavaiwatu hawataki na wanakatwa mshahara...unafikiria rais mtoza ushuru anafikiria kama wewe ama ni wizi tu..kila mtu awachwe amanage pesa yake tu

    • @ruththatcher577
      @ruththatcher577 8 місяців тому

      So tukatwe pesa tena tuuziwe nyumba zenyewe baadaye.Iyo ni affordable aje??🙄🙄
      Toa politics apa

    • @yvonneobote6235
      @yvonneobote6235 8 місяців тому

      This is how it should be but the opposite is the reality

    • @leahwacheke4462
      @leahwacheke4462 8 місяців тому

      Exactly..

  • @annettekaaria-nf5dc
    @annettekaaria-nf5dc 3 місяці тому

    Woooii God please have mercy please for zamzam aki Mungu mwonee huruma ya kipekee

  • @taraking8555
    @taraking8555 8 місяців тому +6

    I have watched a lot of these stories but this one really touched my heart. I would like to help this lady and her family. Anyone knows how i can get her information?

    • @mercyngiria1469
      @mercyngiria1469 8 місяців тому

      Her number is on the comment from tuko

    • @mercyngiria1469
      @mercyngiria1469 8 місяців тому

      Her number is pinned

    • @margymuraya8976
      @margymuraya8976 8 місяців тому +1

      Her number is pinned there,,,but we grew together githurai 45,,primary we attended mwiki primary... Her mother used to cry a lot coz of her bad behavior back then.

  • @leylamahbuub9311
    @leylamahbuub9311 2 місяці тому +1

    Usiogopee ..Zamuu enda restaurant za wasomali Eastleigh au Tao utapata kazi insha'Allah

  • @mariahmilan254
    @mariahmilan254 8 місяців тому +24

    Damaris,if you see this aki please ambia Zamzam kwenye uliacha mtoto wake Milan......i have a son too,same name....i feel bad aki😢😢😢😢😢😢

    • @festusmaina-uf5vp
      @festusmaina-uf5vp 8 місяців тому +2

      ALIMISCARRIAGE JUZI NDO SHIDA INAMPIGA UKWELI BUT AMETUNGA HII STORY...I HAD MARRIED HER JUZI TU
      NAMJUA IN AND OUT

    • @rechomuiruri8399
      @rechomuiruri8399 7 місяців тому +1

      ​@@festusmaina-uf5vpso u mean ni story za Jaba

    • @festusmaina-uf5vp
      @festusmaina-uf5vp 7 місяців тому

      @@rechomuiruri8399 YEAH NI STORY ZA JABA.......WALAI I SWEAR I'VE LIVED WITH HER FOR MONTHS AT MY PLACE KAMA WIFE AKIWA AMEEACHA UISLAMU NA ANAKUA MKRISTU TENA NA HUYO BWANA YAKE PIA AKAMWACHA ...KIDOGO KIDOGO AKANIIBIA NA AKARUDIA BWANA YAKE MKORA KAMA YEYE.ATAUMIA .

    • @festusmaina-uf5vp
      @festusmaina-uf5vp 7 місяців тому

      @@rechomuiruri8399 MTOI NI WA EMPOLYER WAKE BY THEN NA HIZO PICS NI ZA 2014/15 APO AKIWA SAUDI

    • @lynnonie6700
      @lynnonie6700 7 місяців тому

      What do you mean?

  • @susanwanjiru6050
    @susanwanjiru6050 8 місяців тому

    Pole sana ZamZam kwa yenye umepitia,lakini ningekuomba uanze kufikiria maisha positively,maisha ukiipea negative inakupea negative.

  • @awinojoyce3542
    @awinojoyce3542 8 місяців тому +6

    Big up to this man for supporting this lady 😢

  • @otiendeogola9594
    @otiendeogola9594 7 місяців тому

    Zam zam. Muisilamu kutoa nafsi pia ni Dhabi kubwa. Sura huvuta kheri. Pika maandazi. Uza karanga mboga mboga .wewe umechukua upishi cook fried chicken meat anything sale door to door. Insha allha Allah will see you through. Amina

  • @mwikalijosephine5178
    @mwikalijosephine5178 8 місяців тому +22

    Stetani amekutesa sana i pray God to deliver u from this darkness and releases u to ur destiny career in Jesus mighty name Amen

    • @aishawangui-pr4ye
      @aishawangui-pr4ye 8 місяців тому +2

      Allah is enough for us ..we dont fight satan we take refuge from the most powerful almighty Allah

    • @solangemukuna4997
      @solangemukuna4997 8 місяців тому

      Jesus is the only way, the truth and the life. Accept him as your lord and savior and you will be saved, also you will have eternal life for ever.
      Allah did not give his life for you, but Jesus Christ did. @aishawangui-pr 4ye.

    • @samweloreu6106
      @samweloreu6106 8 місяців тому

      @@aishawangui-pr4yeHaram, in Islam we are not thought to be rude, A fake Muslim

    • @Mwabundusalim5818
      @Mwabundusalim5818 8 місяців тому

      I bear witness there's no God worth to be worship and I bear witness that Mohammad is the servant of Allah and last messenger

  • @jacklineachieng1131
    @jacklineachieng1131 8 місяців тому

    Weh!Ogopa wanawake wa Kenya yaani uzae na M 24:37 Saudi wah! Aje?? Ladies kueni serious🙄 mtu aachi tabia zake kule aendako anaenda nayo hivo tu.

  • @jacquelineawad2948
    @jacquelineawad2948 8 місяців тому +4

    God is with you sister. He loves you. You are a survivor❤

  • @soramohamed3146
    @soramohamed3146 6 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤Ilove you girl.. MashaAllah Allah akurahisishie babygirl.... Nakupenda bure.... Ntakutafta mami

  • @gladyswanjiru7737
    @gladyswanjiru7737 8 місяців тому +2

    Hug mama.
    Already forgiven and you are liberated .
    The power of self welfareness.
    May God have mercy.
    More hug mama❤❤❤❤❤❤

  • @PerisWanjiru-xh3jl
    @PerisWanjiru-xh3jl 8 місяців тому

    Unaweza kuwa umefika mwicho Faith
    But Mungu anakuwazia mena JEREMY 29:11 come to Jesus pls Faith maana amekuweka uhai juu anakupenda

  • @lynnfleity3903
    @lynnfleity3903 8 місяців тому +7

    I'm so sorry kwa yote umepitia..😢😢but team strong heri kukemboi kuliko kulala na hawa watu.....it's never too late akii ...ok we have feelings..BT kama the guy is serious to an extend ya kulala na wewe mbona asikuibe basi muende naye country yako...vitu zingine ni za kujitakia...mnatoa wapi hii ngumu ya kulala na Mahamudi 😢😢😢I'm so pissed

  • @Cathy-c3m
    @Cathy-c3m 8 місяців тому

    My heart is shattered to a million pieces. Zamu, wewe ni mwisho - strong, beautiful, courageous - hata siwezi ku describe. You are a powerhouse. Nakupenda kwa ajili ya Allah.

  • @Maddog-g4d
    @Maddog-g4d 8 місяців тому +6

    I understand 😢this lady very well I remember one day I sold my sufurias so that I can get food to eat my God see u through my dear

  • @ReinnleyOkeyo-bo8ru
    @ReinnleyOkeyo-bo8ru 8 місяців тому +1

    Be strong mamaa you are still beautiful don't despise ur self.God will come to your life at the appointed time.And surely you will live to give ur testimony among the living

  • @nimmohkariuki
    @nimmohkariuki 8 місяців тому +3

    @ ERIC OMOMNID ,@ KARANGU MURAYA ,kindly come to the aid of mama Bilal ,this woman has really gone through hell ,but God is still on the throne ,she also needs counseling jamani ,the story is traumatizing

  • @marywangui1029
    @marywangui1029 7 місяців тому +1

    MashaAllah mungu akuhifadhi nitakutafuta tutiane nguvu

  • @beticiagold6418
    @beticiagold6418 8 місяців тому +6

    God will make a way for you Faith , zam zam where there is no way. Don't worry about your buibui take a step and you will get a job. God will change your life because you desire a changed life. The will give you in Jesus Name

    • @Lorinkavai
      @Lorinkavai 8 місяців тому

      🙏🙏🙏🙏

  • @manallove1
    @manallove1 8 місяців тому

    If not for my friend fiona sijui maisha yangu ingekuaje...mungu akubariki fiona you stood with me while i had no one to turn to.yaani kwa vile ulinisaidia siwezi kulipa 😭naye mungu akanirahisishie safari Alhamdulillah am humbled na mum vero pia mungu akubariki for hosting me you all were my guardian angel.i will forever be grateful

  • @RitaKapia
    @RitaKapia 8 місяців тому +44

    What is the point of having an embassy if it's not going to protect and help it's citizens.

  • @aseken510
    @aseken510 3 місяці тому

    am so sorry you had to go through all that. may your doors open moving forward. weuh shida ziko huku nje

  • @euniambu3305
    @euniambu3305 8 місяців тому +8

    Sasa passport ulikuwa unatafuta ya nini na makemboi tulihome na traveling documents hadi watoto..i won't judge but hiyo story kunavile inachanganya😊

    • @gloriekirimi882
      @gloriekirimi882 8 місяців тому

      Hadi Mimi sijaelewa kitu hapa😢

    • @mercycheptoo-w9z
      @mercycheptoo-w9z 8 місяців тому +1

      But she was escaping meaning she left it and she clearly state that her boss had the document,,let's not judge so we can't be judged too,I feel sad😢

    • @priscillawamalwa3643
      @priscillawamalwa3643 8 місяців тому

      Amesema her boss alichukuwa

    • @simongitu7311
      @simongitu7311 8 місяців тому

      Alikuwa anatafuta passport ya mtoto

    • @deddieombuna349
      @deddieombuna349 8 місяців тому

      How did you home dear?please help my cousin

  • @MaryWanjiru-n7x
    @MaryWanjiru-n7x 8 місяців тому

    Wuuii pole dadangu Kwa Yale umepitia may we learn through mistakes you will heal

  • @annmugo5507
    @annmugo5507 8 місяців тому +26

    Niulize?gavaa haiwezi saidia huyu mama apate mtoi wake aki😭😭😭it's very painful.

    • @esthermbuta7729
      @esthermbuta7729 8 місяців тому +4

      Noo huyo ni saudi citizen.Anapelekwa children home akigrow anaingizwa jeshi.Hio ni mali ya kingdom.

    • @annmugo5507
      @annmugo5507 8 місяців тому

      @@esthermbuta7729 woia😭😭😭

    • @GGHH-fu5vs
      @GGHH-fu5vs 8 місяців тому +1

      Saudia ni ngumu niko huko

    • @GGHH-fu5vs
      @GGHH-fu5vs 8 місяців тому

      n even f they do bad for you they don't care

    • @GGHH-fu5vs
      @GGHH-fu5vs 8 місяців тому

      aky umepitia mwana

  • @ndambuki
    @ndambuki 8 місяців тому

    Im just so sorry mwenyezi mungu akupe subra amani..you need peace hope you find peace maskini..this is sad

  • @jennjaja1586
    @jennjaja1586 8 місяців тому +4

    Father, in the mighty name of Jesus, come through for this woman 🙏 Please be strong. There's a light at the end of the tunnel.

  • @JackyMuthoni
    @JackyMuthoni 6 місяців тому +1

    Mungu aki akufungulie mlango wa baraka🙏

  • @judykafusi7338
    @judykafusi7338 8 місяців тому +6

    GOD OF MERCY, help this gal.

  • @EstherNdambuki-o6i
    @EstherNdambuki-o6i 8 місяців тому +11

    ZamzAm every thing will be fine hugs ...ujafanya ukitaka

  • @nxjjfj4923
    @nxjjfj4923 8 місяців тому +2

    Wooye wtu hupitia mengi aki😢😢😢😢😢😢😢 am so sorry

  • @mwendemwende5789
    @mwendemwende5789 8 місяців тому +3

    Mwenyezi mungu akufanyie wepesi usijiue mungu atakubariki