HELLO MR RIGHT S06E06 FULL SHOW HIGHLIGHTS | JAMAA AKATALIWA KISA TATOO | ANAYECHEZA MCHEZO AULA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лют 2025
  • ►Instagram / stbongotv
    ►TikTok / stbongotv.tz
    ►Facebook / stbongotv
    ►Twitter / stbongotv
    ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

КОМЕНТАРІ • 94

  • @NeemaMartin-om1cz
    @NeemaMartin-om1cz Місяць тому +6

    Sijawah kucoment kpnd hk lakn niseme tuu Aliya leo umependeza sana Mashallah

  • @edwardstima4208
    @edwardstima4208 Місяць тому +39

    Kama mnashindwa kupost kipande kimoja kwa kila mr right sisi tunajifunza nini,, msilolijua ni kwamba kuna watu hatuna ving'amuzi kwahiy tunafuatilia you tube kama hivi

    • @Yangaone-h8j
      @Yangaone-h8j Місяць тому +1

      Umeniwakilisha vilivyo🙏

    • @EmJesho
      @EmJesho Місяць тому +2

      Et jamani sisi tunafatilia kwenye simu

    • @ElizabethMbonea
      @ElizabethMbonea Місяць тому

      Kwer kabisa hatuna ving'amuzi na hatujui tutapata lini sasa wanavyo fanya hivi ni kutukosa sasa sisi wengine

    • @ANDREATZ222
      @ANDREATZ222 Місяць тому

      mimi nauliza shoo yao uwa ni lin

  • @elsiekendi1792
    @elsiekendi1792 Місяць тому +5

    Napenda hii show kwa sababu yake kumbuka

  • @AsiaSiraji-ud9ju
    @AsiaSiraji-ud9ju Місяць тому +6

    Sanaaaa uwe unavaa ivo Aliyah ❤

  • @SantaJumaa
    @SantaJumaa Місяць тому +2

    Mashaaallah Aaaliy ukivaa ivo ndo unapendeza kuliko nguo zako za uchi

  • @MaryanMaryam-lc1et
    @MaryanMaryam-lc1et Місяць тому

    Mashallah da aliya umependeza san

  • @PatrickMathias-cs9qc
    @PatrickMathias-cs9qc Місяць тому +1

    Atakaye muoa huyo johari basi atakuwa amevaa bomu litamlipukia

  • @Hamisahemedi-h2q
    @Hamisahemedi-h2q Місяць тому +1

    Maashaallah aaliah leo umependeza sana my sst ❤

  • @FistonNgoy-o9m
    @FistonNgoy-o9m Місяць тому

    Mwasi kitoko mwana mboka 🇨🇩❤❤❤

  • @EmJesho
    @EmJesho Місяць тому +6

    Watangazaji wambea wanasengenya sana mnawateta sana punguzeni midomo

  • @EmJesho
    @EmJesho Місяць тому +2

    Aliya tisha sana❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @aika3024
    @aika3024 10 днів тому

    Johari bhanaaa😅, ila jamani hawa Mrs Right🙌🏻

  • @Jackline-el9gt
    @Jackline-el9gt 28 днів тому

    kaka unajua kuchamba askari kidole waaaa😂😂😂😂😂

  • @TatuRashid-d6t
    @TatuRashid-d6t Місяць тому

    Aliya hiyo nguondio vazi la umri wako umependrza❤❤❤

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 Місяць тому +2

    mashallah aliya kapendeza

  • @IddiWillie
    @IddiWillie Місяць тому +1

    Tatizo wachumba mmewabadilishia vinywaji mmewaekea bia 😂😂

  • @AshaAlly-t1z
    @AshaAlly-t1z Місяць тому +2

    Mashaallah dada Aalya umependeza vibaya mnooh,,,nakupenda sana,,mmmwaaah ❤❤❤

  • @HalimaLikele
    @HalimaLikele Місяць тому

    Nawapenda sana jmn ila garab mbona mwanzo ulikuwa mkali awo wadada uwatoe km mwanzo ❤❤🎉🎉

  • @MsobiAmos
    @MsobiAmos Місяць тому +3

    Leo umependeza sana Aliya

  • @dadyyao9894
    @dadyyao9894 12 днів тому

    Mm dada zitowaachi umalaya😅😅😅😅

  • @RaiyaanRasheedRay
    @RaiyaanRasheedRay Місяць тому +1

    Mashaallah leo dada Aaliyah umependeza

  • @allymtunge5530
    @allymtunge5530 Місяць тому +1

    Aliyah kavaa vizuri adi mm nijisikia vizur

  • @Matunzo_Classic
    @Matunzo_Classic Місяць тому

    Johar lenyewe libaaaaaaayaaaaa

  • @MaryNsenye
    @MaryNsenye Місяць тому

    Aliya Leo umependeza sana shoga angu hongera Kwa kupendeza

  • @NURIANATV
    @NURIANATV Місяць тому +4

    Jamani hii iwe mnaweka live au kama haiwezekani badi muwe mnapost full episode kwa mara moja tu....unaangalia Mr right no.1 ukitafuta wapili hupati unapata introduction yake tu

  • @PaulinaSemindu-ob3de
    @PaulinaSemindu-ob3de Місяць тому +1

    Ila kumbuka😂😂😂 et midole yako kama vile ngadu Askari kidole khaaa ww kaka ww unanivunjaga mbavu Sana nataman siku tukutane nichekee

  • @janethnyigo5925
    @janethnyigo5925 Місяць тому +3

    Aliya kumbe ukivaa nguo za heshim unapendeza ❤❤ so much

  • @josiahomondi
    @josiahomondi Місяць тому

    Walai leo Aliya amevaa smart tu sana I like it

  • @edwardstima4208
    @edwardstima4208 Місяць тому

    Pia hongereni kwa kuongeza microphone kuwapa urahisi mr & Mrs right

  • @Ahmad-yo9pk
    @Ahmad-yo9pk Місяць тому

    Alichokisema kumbuka nikweli kuna baadhi ya wanaume tunaamini kuwa tunaweza mpata mwanamke yoyote tunaemtaka kutokana na mianeakano yetu 🎉

  • @Eldivoofficial
    @Eldivoofficial Місяць тому +1

    Tryssi na johari and Masha watazehekeya apo 😂

  • @EmJesho
    @EmJesho Місяць тому +1

    Jamani muwe mnaweka vipande vyote wengine atupo Tanzanian tunafatilia kwenye cm

  • @dariusshukuru8490
    @dariusshukuru8490 Місяць тому

    Nikiwa Drcongo Lubumbashi
    Yeah kuna Mudaa navutiwa sana na kipindi hiki,ila tatizo naona madada wengi wakitanzania bado hawadja kuwa na ile Memory ya kukalili mtu ambaye yupo Free tena mwenye vision iliyo juu

  • @jotoentertainment9225
    @jotoentertainment9225 Місяць тому

    Mmh huyo annipher mwugizaji hapo alpo mnauhakka haigizi kwel😂😂😂

  • @EnezerMarithanga-ks6rv
    @EnezerMarithanga-ks6rv Місяць тому +1

    hawa mr right wa leo mbona kama wamedata hiv

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz Місяць тому

    Jaman sania heee😂😂

  • @AnjelinaDaudy
    @AnjelinaDaudy Місяць тому

    hee makubwa😂😂

  • @emmanueltwite542
    @emmanueltwite542 Місяць тому

    Naomba wawe wanaingia ma Mr right wawili at once

  • @EmsonSambo
    @EmsonSambo 24 дні тому

    Ngara b simielewi leo kawa kama kogoo anamuwinda mtetea

  • @SaimonLinza-nf4zo
    @SaimonLinza-nf4zo Місяць тому

    sema saivi mnawekaa kipande kifupi sana simfanye kama mwanzo mlivyo kuwa mnaweka sasa mnaweka highlight ata atuelewi inaendajee mnatuacha sana Wengine hatuna uwezo wa vifurushi ndo maana tunafatilia you tube?????

  • @ChrestinaTina-jl9cs
    @ChrestinaTina-jl9cs Місяць тому

    Jamani hanipha sania wa housger jaman

  • @MaisaraySufiani
    @MaisaraySufiani Місяць тому

    Kwann mnashindwa kuweka full

  • @roselinasandi6509
    @roselinasandi6509 Місяць тому

    Askari kidole mara vidole kama ngadu hahaha

  • @NafsahRajah
    @NafsahRajah Місяць тому

    kwan mmeshindwa kutupostia moja moja?

  • @MiriamHope-dp2wx
    @MiriamHope-dp2wx Місяць тому

    Ivi nyie vichwa kaa fenensi mnaonaga mkivaa uchi ndo mtaguliwa au waone vile 😏😏😏basi tu kusonya haiwezekani🙌

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa Місяць тому

    Umependeza aliyah

  • @sajjaddaffa
    @sajjaddaffa Місяць тому

    Hawa ma mr right hawapo serious wanatuzalilisha

  • @evodiibrahimu255
    @evodiibrahimu255 Місяць тому

    wanafiki sana

  • @sheeqassim6274
    @sheeqassim6274 Місяць тому

    Kaxi mwahasamisha zina nyote muko na mafungu ya madhambi

  • @MarthaSimoni-x1y
    @MarthaSimoni-x1y Місяць тому

    Kumbuka ,,,,jwakwer msi.mtoe kwasab anawapausha wadada hawajielew

  • @abdulyamiri3546
    @abdulyamiri3546 Місяць тому +1

    Huyo dem maharage ya mbeya

  • @kephathicke9452
    @kephathicke9452 Місяць тому

    sio kila mtu ana kingamuzi au kilamtu ana uwezo wakulipia kingamuzi, tunaomba mtuwekee vipande vizima sio nuzunuzu

  • @ZuwenaSiwa
    @ZuwenaSiwa Місяць тому

    @alya jamani ilo dira la msomali ukilichoka naliomba mie yanyzwaga sh 300k nayapenda ila sina ela tuu ya kununua

  • @IsackWilliam-s4r
    @IsackWilliam-s4r Місяць тому

    Ten ni mkundu uyoo johari

  • @omarisaidiMwakivuko
    @omarisaidiMwakivuko 25 днів тому

    hawa ni malaya tu hiv kwel kbsa mtu mwenye akili zake aje kutafuta mwanamke apo au aje kutafuta wa kutomba tu

  • @SalumMusafiri
    @SalumMusafiri Місяць тому

    This girl she's right she looking husband she dont want love boy guy

  • @abdallahmwambeyu-rb2ol
    @abdallahmwambeyu-rb2ol Місяць тому

    Wamekuja fashion show ama kutafuta waume?

  • @mariammilanzi9161
    @mariammilanzi9161 Місяць тому

    Johari kumprrekea kwa cheka t

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa Місяць тому

    Ila kumbuka 😅eti midole Kama ngadu

  • @rebecamsigwa7216
    @rebecamsigwa7216 Місяць тому

    Jamani huyu si SANIA yupo kwenye tamthilia ya house girl

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly Місяць тому

    Huyu triss n mrahisi kwa wanaume khaaa

  • @FainesGeofrey-h6d
    @FainesGeofrey-h6d Місяць тому

    Jamn huyu si sania😳😳😳

  • @AishaShaban-e7y
    @AishaShaban-e7y Місяць тому

    Ila wadad wanqjidhauw mhm

  • @EmJesho
    @EmJesho Місяць тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂sania

  • @abdallahmwambeyu-rb2ol
    @abdallahmwambeyu-rb2ol Місяць тому

    Wamekuja fashion show ama kutafuta waume manake sio Kwa nguo izo walizo vaa

  • @عزيزه-ر1ه
    @عزيزه-ر1ه Місяць тому

    Kumbuka unanpa raha jaman midole km ngadu😂😂

  • @AffectionateFountainPen-kk1mx
    @AffectionateFountainPen-kk1mx Місяць тому

    Ivi uku umnataft wanaume au wavulana..????😂

  • @AminaAhmad-m8t
    @AminaAhmad-m8t Місяць тому

    Jamani huyu thissi sauti yake kama ya husna sajeti

  • @AngoseSusan
    @AngoseSusan Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤

  • @jotoentertainment9225
    @jotoentertainment9225 Місяць тому

    Huyo demu wa kulia mwenye pink yupoa sema bc tyu

  • @cholomasaga2806
    @cholomasaga2806 Місяць тому

    Johari mwehu

  • @lemeboyofficial
    @lemeboyofficial Місяць тому

    Kuna wa kuzeekea hapo sema hamuwajui

  • @BenjaminDida
    @BenjaminDida Місяць тому

    TRISSY

  • @IsackWilliam-s4r
    @IsackWilliam-s4r Місяць тому

    Johari ni takoo

  • @NeemaShilinde
    @NeemaShilinde Місяць тому

    Hebu muache kutuletea watu hawaeleweki tutayashusha madishi yenu make kipindi mumeanza kukichafua

  • @user-bn1ml9dw4h
    @user-bn1ml9dw4h Місяць тому

    Leo dada Aaliyah ame vaakama mtoto wamtu

  • @sajjaddaffa
    @sajjaddaffa Місяць тому

    Aliya huoni kuwa umependeza kuliko unavyokaaga uchi

  • @CHARLESJUMANNE-d3m
    @CHARLESJUMANNE-d3m Місяць тому

    We k kwel ety hutak mwanaum mweup

  • @vanviccatv9977
    @vanviccatv9977 Місяць тому

    NAMTAKA JOHARI

  • @naswiruzaharan
    @naswiruzaharan Місяць тому

    Mnazingua siku izi

  • @christinakomba689
    @christinakomba689 Місяць тому

    😅😅😅😅😅😅

  • @albtstanislaus4319
    @albtstanislaus4319 Місяць тому +2

    Sania na wewe unatafuta bwana,ukiwa uchi

  • @kephathicke9452
    @kephathicke9452 Місяць тому

    sioshuk

  • @AlfredyTarimo
    @AlfredyTarimo Місяць тому

    Kuna choko apo

  • @esterbaraka1164
    @esterbaraka1164 Місяць тому

    😂😂😂😂