Ukame umezidi kwa maasi yao wrngine tumekimbilia kuosha vyoo vya waarabu twafa twateseka tunahangaika ajira hamna kwenye nchi yetu tunaumia tunajikomboa lakin wamegagania wanataka tuuwane sis kwa sisi hatusubutu mtakufa nyie kwanza na wafuasi wenu zulumati nyii sheni na kaumu yoko
❤ dah nikikumbuka nalia sanaa 😭
Kumbe hii nyimbo ya zamani ... very nice
Katika maisha yang yote huuuu ndio mwaka pekeeee niliona siasa zanzibar
Safi sana vijana
Huu mwaka huu sijui km utatokea kwa siasa za upinzani visiwani zanzibar.
Hauwezi kutokea tena
Nakumbuka tinavo teswa na mckar utawala wa shen na sefu sli idi
love you tatapambana kadri tutapo fika tuwazidishie zambi za kutuzulumu
Ukame umezidi kwa maasi yao wrngine tumekimbilia kuosha vyoo vya waarabu twafa twateseka tunahangaika ajira hamna kwenye nchi yetu tunaumia tunajikomboa lakin wamegagania wanataka tuuwane sis kwa sisi hatusubutu mtakufa nyie kwanza na wafuasi wenu zulumati nyii sheni na kaumu yoko
i love this because i am swhill
😢😢😢
aloweka dislike punda wa sisiyemu mazalimu loo