IKIWA ARAFA YENU HAINA SIFA HIZI BASI TUSHINDIKIZENI SISI WENYE ARAFA YETU || Muhammad Bachu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 313

  • @jafarimalesi3872
    @jafarimalesi3872 2 місяці тому +34

    Nilikua naikosa Arafa kisa kupotoshwa tuu, Alhamdulillah for tuday nimeijua ukweli na nikafunga,Bachu may Allah reward you for these knowledge jazzak Allah kheir

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 2 місяці тому +3

      Bachu anawapotosha

    • @jafarimalesi3872
      @jafarimalesi3872 2 місяці тому +6

      @@saba-gv3mj kwani pia wewe ukona Arafa yakoo?

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 місяці тому +3

      ​@@saba-gv3mjViwanja vya saba saba hakuna Arafa.

    • @saba-gv3mj
      @saba-gv3mj 2 місяці тому

      @@Sheba4651 ahh maswali yakisenge wauliza arafa makkah utauliza vp saba saba ama ww koko

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 місяці тому

      Maneno kama hii ndio inaudhi masufi....may Allah guide them

  • @sierabravo848
    @sierabravo848 2 місяці тому +10

    Ma Sha allah ma shaa allah ma sha allah hawa ndio maustadh wanaotakikana katika jamii ya saii.ametufafanulia Kila kitu hata cc amabao hatukusoma tumepata faida alhamdulilah.allah akupe afya na nguvu na UMRI mrefu upate kutupa faida.

  • @salimtz6
    @salimtz6 2 місяці тому +17

    Ukiwa humuelewi professor sh Muhammad bachu basi wewe tafuta doctor haraka sana ndugu yangu muislamu

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e 2 місяці тому +1

      Mwanazuoni mkubwa WAKIWAHABI sheik nasrdin Albany kasema haifai kufunga suna siku yajumamosi peke yake,sasa nyie mnapingana na Wanawazuni wenu

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 місяці тому +1

      ​@@user-lp3gi5wd4ekama shetani amekutawala wewe sisi tuko sawa alhamdulillah, wewe poteza fadhila ya jaahil

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e 2 місяці тому +1

      @@mohagurey2214 Labda atakua kakutawala wewe, ndo maana itikadi yenu damu za waislaam wenzenu nihaki kwenu.

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 місяці тому

      @@user-lp3gi5wd4e we funga arafa yako, usijaribu kutuweka wasiwasi wako sisi, and don't change the topic ya Sufi qubuuri

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 2 місяці тому

      Tunayakubali yote hayo Sheikh ni kweli 100%, kwa sisi ambao tuna "access" leo kuwaona waliopo Makka. Swali ni kwamba huu ni mwaka 1445 AH, je waliopita miaka 100 tu iliyopita Masheikh wetu walitekeleza vipi ibada hii. Waliikosea? Walisameheka? Haikuwahusu?

  • @NeemaSaleh-um5hd
    @NeemaSaleh-um5hd 2 місяці тому +15

    Allah amrehem mzee wak hakika amekufanya uwe kijan bora zaid allah akuulinde n akufanye uwe thabit🎉🎉🎉

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 2 місяці тому +6

    ametakasika m/mungu aliye iteremsha quran kwa hakika hakuna mungu anayestahiki kuabudiwa ila yeye ❤❤❤ ametakasika m/mungu aliyemumba Muhammad bachu kwa hakika hakuna mungu ilayeye..
    Muhammad bachu mfalime wa ghutuba

  • @YahyaYahya-vp2pp
    @YahyaYahya-vp2pp 2 місяці тому +7

    MashAllah Huyo ndio bachu sasa.. Hutba imeshiba kabisa

  • @k.kchakua1376
    @k.kchakua1376 2 місяці тому +7

    Wallahi hadi mwili umesisimka..
    Na kuombea Sheikh Allah Akuzidishie Afya na Umri ili uzidi kutufungua macho..
    Unachukiwa sheikh sabb unasema ukweli..
    Na kuombea Allah akulipe kila lakheri na akuhifadhi nakila la shari Aamin
    Wanaopinga hili hatupati ufafanuzi mzuri uliowazi kama huu.

  • @BakariDhadho-ix1zc
    @BakariDhadho-ix1zc 2 місяці тому +11

    Mola akulipe mema sheik

  • @yusufmohdali2617
    @yusufmohdali2617 2 місяці тому +12

    Masha Allah Allah akulinde na shari itakayokuandama

  • @user-pc4qm3ve4v
    @user-pc4qm3ve4v 2 місяці тому +6

    Mulioko Zanzibar na huyu jamaa, mmmh mnaraha sana wallah ❤❤

    • @user-oo1fs7lp6d
      @user-oo1fs7lp6d 2 місяці тому

      Wamemfukuza uyo yupo Kenya sku iz Zanzibar ukiongea ukwel tu huna lako

    • @user-pc4qm3ve4v
      @user-pc4qm3ve4v 2 місяці тому

      @@user-oo1fs7lp6d 🙄🙄🙄

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 2 місяці тому

      Wamemfukuza washenz wa ccm

    • @saadasaleh3177
      @saadasaleh3177 Місяць тому

      Assalam Alaykum jaman Sheikh Muhammad hajafukuzwa Zanzibar ila amefungiwa asitoe mawaidha kwa miaka 3 cjui 2 km ivo lkn hajafukuzwa kaondoka coz mda mwingi huo kukaa bila ya kufanya daawaah lkn kurud cjui vepe

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 2 місяці тому +4

    Maashaa Allaah, lete bayana Shekhe Allaah akuweke na akuzidishie maarifa na istiqaamah

  • @KubwaKuliko-dk4bm
    @KubwaKuliko-dk4bm 2 місяці тому +11

    Kwamaelezo haya mtu akaikosa siku hii kafanya kusudi nakama hajaelewa ndio akaikosa baada kusikia haya allah atufahamishe atusamehe

  • @salimtz6
    @salimtz6 2 місяці тому +4

    Masha-allah Shehe na mwalimu wangu

  • @abouhafswa5580
    @abouhafswa5580 2 місяці тому +5

    Allah azidi kukuthibitisha na kukupa nguvu na tazkiatu nafsi zaidi tunafaidi na tunasoma maasha Allah

  • @mustafamaduwa
    @mustafamaduwa 2 місяці тому +2

    maasha allhs shekh muhammadi nassor bachu allha akilipe kila la kheri

  • @sumaisabu9816
    @sumaisabu9816 2 місяці тому

    Watu kama hawa duniani Allah anawaleta wachache tu alianza sh nasoro bachu kaja msellem bin aly sasaiv kuna muhhamad bachu

  • @user-ei6zg3us5s
    @user-ei6zg3us5s 2 місяці тому +1

    Allahumma ghufrahu warhamni.wasikana firjanna..ALLAH Alifanye kabur lako liwe firdaus inshaallah

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b 2 місяці тому +4

    Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh asiekuwa kwahili niwale masufi sisi inatutosha

  • @kanzucentre3468
    @kanzucentre3468 2 місяці тому +3

    Hakika tunaelimika wengi na wale wasiotaka hawalazimishwi kwa sbb kuongoka yategemea mtu mwenyewe

  • @muu_hijama_tz
    @muu_hijama_tz 2 місяці тому

    Jazaak Allaahu khayran sheykh Muhammad bachu.

  • @user-ug8hc4yh5k
    @user-ug8hc4yh5k 2 місяці тому

    Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho
    Wambie watu wa bidah
    Watu wa bidah wanataka harafu ziwe mbali lakini Ijumaa iwe moja duniani
    Nawashangaa

  • @SwaumuSwaumumtongori
    @SwaumuSwaumumtongori 2 місяці тому +1

    Allah akupe umri mrefu

  • @halimamathew285
    @halimamathew285 2 місяці тому +3

    Shukrani.sana.shekhe
    Bachu.Allah.atakulipa.ijira.wako.

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 2 місяці тому

    ❤❤😂.wagonge tu..Bachu mmojatu..ipo siku watatuambia hija ipo jamaika...tunakuelewa shekh..,,,tatizo milio ya madufu inatusumbua vichwani..na damu ya minyama tunayoimwaga kwa vichinjo vya maulidi.❤

  • @user-ho8yh9lq9f
    @user-ho8yh9lq9f 2 місяці тому

    Wewe dunia haiko hivyo dunia imepishana saa na nyakati masalafi mambumbumbu kweli dunia iko tofauti kuna wengine mchana wengine wako usiku hata arafa inazingatiwa machomozo acha kudanganya hawa wafuasi wako.zingatia dunia imetofautiana hiyo aya inaonyesha mtiririko wa nguzo za wiislam si kama unavyoelewa bachu acha kukurupuka. 12:47

  • @SuleimanHemed
    @SuleimanHemed 2 місяці тому +1

    بارك الله فيك❤❤❤❤

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 2 місяці тому

    Allah akulipe maana kila anayetangaza dini sawasawa lazima atapata wapinzani watakaokuwa wanataka iwe vile waavyotamani wao na hayo ni matamanio ya nafsi. ushabiki sio.mzuri haki itatusaidia wenyewe bali ushabiki utaishia kutukana watu nankupata dhambi na kubaki huwezi kuiona haki. alhamdulillaahi watu wanaamka kila siku na miakaya juzi juzi tulikuwa tunanyanyasika leo alhamdulillaah tunaeleweka katka daawa yetu.

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 2 місяці тому +1

    Ajabu KUBWA SANA WAISLAMU katika Mas ala ya kama haya kuwekeana chuki Wakati ktk Misingi Ya Sharia Tunakubaliana
    Ajabu sana WALAAHY

    • @mkalifanny4555
      @mkalifanny4555 2 місяці тому +1

      Usiwaze chuki shekh cha msingi sikiliza hoja za pande mbili halafu tia kwenye mzani na utapata kitu bora

    • @abdulkhaliqmuhammed456
      @abdulkhaliqmuhammed456 2 місяці тому

      @@mkalifanny4555 kasome kitabu cha ibn rushd Alqurtubiy al anndalusy mujelled wa 2 akizungumzia mas asal hayo akisema yana ikhtilaaf ala wewe ndo upime kwenye mizani utapata kitu bora zaidi. Shukraan

  • @abdulbandari1551
    @abdulbandari1551 2 місяці тому

    Mwenyezimungu amrehemu sheikh Nasoro Bachu nami pia anijahlie mtoto mwenye elimu kama Mohammed Bachu.

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 2 місяці тому +1

    Wewe muhammad machu ni mjingaa tu huna elimu kama ungekuwa na elimu basi ungefunga domo lako kazi kutumia membar za misikiti kudanganya waislamu huna jengine,yaani tokea wake Hawa masalafi imekuwa keroo . Yaani hoja zako za kipuuzi hasaa

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 2 місяці тому

      Pia wewe mjinga mkubwa,hoja zipo wazi huelewi zombi wewe

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 2 місяці тому

      @@SoudShuraim hoja gani alotoaa yenye maaana hapoo ? Nyinyi munawasema watu wa maulidi ni wazushi Sasa na nyinyi hilii mulilolizushaa la mwezi wa kimatifa mumetoa wapi ?? Nyinyi ni wapuuzi tu hoja zenu za kitoto ,kama kweli basi leteni dalili ya wazi inayosema mtume lifuata mwezi wa mataifaa !

    • @ABUUALLY-ch5jr
      @ABUUALLY-ch5jr 2 місяці тому

      @@SoudShuraim kazi kuburuzwaa tuu nyinyi ni wanafik hamuna dini mojaa kazi kuvaa vikanzu vifupi mutfikiri munavuka mto hamuna jengine

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 Місяць тому

    Maashaa Allah Maashaa Allah ❤

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 2 місяці тому +6

    Arafa nimojatu mutake msitaka arafa nipale wanaposimama mahujjaj ktk viwanja vya arafa bas mutake mustaka

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 2 місяці тому

      Acha kudanganyika arafa ni tarehe 10 hijiria ko inategemea na muandamo wa mwezi na muandamo wa mwezi unatakiwa uushuhudie katika aga la nchi yako, mm Niko Imani Tena karibu na saudia lakini arafa tunafunga jumamosi sababu mwezi ulichelewa kuandama tofauti na saudia. If you know you know

    • @rawahy
      @rawahy 2 місяці тому

      Arafat ni moja lakini saimu ya Arafa ni mwezi tisa.

    • @mussakhamis3070
      @mussakhamis3070 2 місяці тому

      @@TreasureMagumba hakuna hadithi wala aya inayosema mwezi uonekanwe katika nchi yako, kwanza uislamu haukuwa unatambua nchi hizi zilizokatwa na wazungu, uislamu unatambua miji mfano Makka, Kismayoo au Daressalam

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 2 місяці тому

      @@mussakhamis3070 kasome Tena🤣🤣🤣

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 2 місяці тому

      @@mussakhamis3070 Mimi Niko Oman, mwaka jana mwezi uliandama sawasawa na saudia so arafa ilikuwa siku moja lkn mwaka huu Oman mwezi ulichelewa kuandama so tumefunga Leo funga ya arafa nchi nzima ya Oman kesho jumatatu Eid so ukitumia akili hata ya kuzaliwa utaelewa tu

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 2 місяці тому

    Wamezusha siku nyingi sana ukweli unabainika sasa alhamdulillah tunajua allah mlinde shekhe watu bacho

  • @AyshaMakame
    @AyshaMakame 2 місяці тому +1

    Mashaallah Allah akuongoze shekh

  • @user-wd7vl2df8u
    @user-wd7vl2df8u 2 місяці тому

    Ewe Allah mrhemu baba yake kwa malezi bora Sasa utumikia humma ee mola😢ee mzidishie elimu na hekima na mwisho mwema na uwajalie yeye na wazazi wake jannatulfidaus

  • @hassanabuu6
    @hassanabuu6 2 місяці тому +2

    Allah bless you 🙏🏽

  • @KASSIMABDULLA-wm7bn
    @KASSIMABDULLA-wm7bn 2 місяці тому

    Hivi , MIMI tu namuelewa huyu mwalimu au Kuna na wenzangu , MAAANA HUA NIKI MSIKILIZA AKILI YANGU HUA INA SEMA FACT FACT FACT Mashallah

  • @user-pc4qm3ve4v
    @user-pc4qm3ve4v 2 місяці тому

    ❤❤❤ Allah akupe nguvu nying na afya tele inshallah,,

  • @user-su7eu5yn6q
    @user-su7eu5yn6q 2 місяці тому

    Mungu akubaliki sana akuzidishie elimu na umli

  • @user-wk5ju8kd3u
    @user-wk5ju8kd3u 2 місяці тому +2

    Masha Allah

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 2 місяці тому

    Shekhe wangu uyo anathema cheche😂😂

  • @abdelazizmuombwa4714
    @abdelazizmuombwa4714 2 місяці тому

    Allah akuzidishie Elimu.
    Arafa ni Ile siku wanayosimm mahujaj,kisha Allah awasamehe hali kua wanarudi makwao hawana madhambi,kumbe ndio siku huo nasi twatakiwa kufunga?
    Kweli sheikh umetofautisha baina ya tarehe zetu Tz na siku hio.

  • @vacanceserengetisafaris6529
    @vacanceserengetisafaris6529 2 місяці тому

    Allha akuhifadhi undele kugonga sapana watu wa bida wana haribu dini

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 2 місяці тому +1

    Kwanza tv kharaaaam ,"alisikika jamaa mmoja hivi"

  • @w4058
    @w4058 2 місяці тому

    Haha Allah ndie ajuwae zaidi nani mpotishaji Zaid fuateni bachu muwaache waliokuwa wakweli kwa mujibu wa khadithi za Mtume SAW taabu kuwa na elimu ndogo na kuwafahamisha walokuwa hawana hata msingi wa hiyo elimu ndogo Subhanallah Mtume SAW katahadharisha sana wate wenye elimu ndogo katikati wakati wa akheer dunia Allah atunusuru na kufuata uwongo tukaacha ukweli fateni bachu na akina bachu kwa ushabiki na tutawafuata Masheikh wetu wanaowakariri Maulamaa waliotangulia kama kina Ibnu Taymia Bin Baaz na hata Sheikh Ahmed Bin Khaliliy na wao Masheikh wa Makkah Mukarama wanaosema ukweli kutokana na khadithi zao sahihi kuwa Mtume SAW akifunga mwezi tisa kabla kuja hija ila ukiwa unapenda utukufu wa duniani Allah atakupa wafuasi wengi waso umakini na wale wanaotaka Akhera yao Allah atawasalitisha na wanaofafanuwa kwa umakini sio kuvamia wazayuni wamewaweza kuzidisha kutengana Waislam kwa Waislam katika Ibada za Sunna na sio faradhi Allah atunusuru na siku ya malipo

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud 2 місяці тому +2

    ❤❤❤❤nice

  • @hameidseif7083
    @hameidseif7083 2 місяці тому +2

    Mashallah

  • @user-dl1mg2qf4n
    @user-dl1mg2qf4n 2 місяці тому +1

    Sisi wanadamu wa zama hizi tumekuwa tunajua zaidi technology sio Dini ya Allah, utandawazi umekuja kuongeza vitu vingi ambavyo ni msiba kwa waislam 😢 Swali, Je Iddy al adha Haikuwepo kabla Ya Hijja? 😢 mwenye ufahamu anijuze hapa?

  • @user-vl8ks7ps6l
    @user-vl8ks7ps6l 2 місяці тому +3

    Asalam alaikum warahmatullah wabarakatu
    Mimi sijapenda kichwa cha habari kinajenga chuki na kutugawa waislamu.
    Ikiwa upo sahihi na kichwa cha habari kipo sawa thibitisha kua nyie ni waislamu sisi sio waislamu ni makafiri.
    Sheikh Mohammed bachu nakuheshimu ila kwa Leo umeonyesha dhahiri kua wewe ni mtu wa kuwatenga waislamu tena kwenye ibada Kama hii
    Allah akuongoze ila ukweli haujengi umma bali unaubomoa nilikua mfuatiliaji mzuri wa mawaidha yako ila kwa Leo umeonyesha dhahiri kua wewe si mwema na wala mwadilifu tena mwenye kuleta kutengana waislamu kwa waislamu.
    Ikiwa unahitaji mawaidha yako yawe yanafutiliwa basi usitumie vichwa vya habari kama hiki.
    Shikamaneni katika dini ya Allah wala msitengane.
    Wallah a'lam.

    • @madhuru2554
      @madhuru2554 2 місяці тому

      Ingekuwa mtume Swallahu Alaihi Wasalaam yuko hai makkah au madina ungelimuasi? we waangalia kichwa au miguu swali hilo.

    • @user-vl8ks7ps6l
      @user-vl8ks7ps6l 2 місяці тому +2

      Nisingemuasi Mtume s.a.w ningemfuata ila kwasasa Mtume hayupo tunapata mafundisho kutoka kwa wanazuoni wanatuelekezaje
      Rasul alituelekeza tuwafuate wanazuoni kwasababu
      Wanazuoni ni warithi wa Mitume.

    • @AbuuKhafswa
      @AbuuKhafswa 2 місяці тому

      Hicho kichwa cha habari msimlaumu bachu nu tatuzo ni watu wa midia ndio wakorofi

    • @SalumNassoro-gs2ph
      @SalumNassoro-gs2ph 2 місяці тому

      Anachokifanya sheikh bachu ni kuelimisha imma ufuate usahihi ktk dini sio kuwagawa waislam wewe umemuelewa vibaya

    • @rommyshabby3959
      @rommyshabby3959 2 місяці тому

      Yaan nawe kichwa cha hbr unamlaumu bachu dah kweli tuna safari ndefu sana

  • @mwailajuya6624
    @mwailajuya6624 2 місяці тому

    Asante🙏

  • @user-vg6xd1ln9b
    @user-vg6xd1ln9b 2 місяці тому +1

    MashaAllah alhabiby

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6op 2 місяці тому +2

    Yaani maelezo yote hayo makhurafi hawaelewi yaani mpaka unashangaa kitu gani kinawafanya wasielewe mpaka wanashika dhalat za wanachuoni

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e 2 місяці тому

      We MUHABI hujielewi!, Kamsome sheik Albany amabae ni mwanazuoni wakiwahabi anasema nini kuhusu kufunga jumamosi suna pekeyake,Hujitambui wewe.

    • @mussakhamis3070
      @mussakhamis3070 2 місяці тому

      watu wana malengo yao

  • @MambaSeifu
    @MambaSeifu 2 місяці тому

    😂sasa kwanini waswe kwaotu mungu angefika

  • @KibwanaMohammed
    @KibwanaMohammed 2 місяці тому +1

    Sheikh mkosa adabu

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 2 місяці тому

      Mkosa adabu ni wewe na wazazi wako

  • @KhamisHaroub-uj5ci
    @KhamisHaroub-uj5ci 2 місяці тому +1

    Simba wa Allah ❤️❤️❤️ well said # Masha Allah

    • @Farouq-yh9qh
      @Farouq-yh9qh 2 місяці тому

      Huyu vitina tu ukatae ukubali
      Sasa tukana maana ndio madheheb yenu

  • @zulekhaa6817
    @zulekhaa6817 2 місяці тому

    Aliokuwa hataki kufahamu na akatae tu.
    Kila kitu kipobwazi
    Hadithi imetolewa ya Mtume Muhammad swalla llahu alyhi inasema wazi .
    Ww tafuta Arafa yako ambayo haina ushahidi

  • @ShaibmbaroukHemed-mi5rf
    @ShaibmbaroukHemed-mi5rf 2 місяці тому

    Waelimishe shk wanapotosha lkn wengi wanafahamu Arafa nimoja ati wao wana arafa jpili poleni sana mutakwenda kuulizwa muoneshe arafa yenu

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr 2 місяці тому

    Na mukitaka kujua kama Hawa masalafi ni wamichongo tu basi angalia kwenye mwezi wa ramadhani hawatoi raadi Kwa sababu ni waongoo hatari wnogopa funga zao zisibatilike 😂😂😂

  • @hasaniSwalehe
    @hasaniSwalehe 2 місяці тому +1

    Hakuna watu ninao wachukia kuliko masufi na makhurafi shida inayowasumbua ni njaa tu si kwamba hawajui wanajua jumapli ndo idi ya kiislamu hiyo ya jumatatu ni marudio tu

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому +1

    Kuna watu wanatusindikiza kufunga arafa si tunapata hiyo fadhila wenyew wanasubiri arafa ya peke yao mtihani kweli

    • @user-dl1mg2qf4n
      @user-dl1mg2qf4n 2 місяці тому

      Ulipata Il ham kutoka kwa Mungu? 😢 dini sio mtu bali ni Mungu mwenyewe,

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@user-dl1mg2qf4n alopotea huwezi muongoza ww isipokuwa allah na mtu akichaguwa upotevu hawezi kuona kweli na akaikubali hata akiona hii ndo hakki atapinga kwavile wa kumuongoza mtu ni Allah hta mtume aliambiwa na allah hutoweza kuwaongoa walopotea ww wafikishie habari ya kuongoa mtu ni ya mwenyezi mungu akikupa tawfiki utaongoka akikucha kupotea hata uone haki kweupe utaipinga tuuh! Huoni wakristo wana kuambia Yesu ni mungu pamoja tunawabainishia issa ni mtume bado wanakaidi na wanaona ile alipo ndo hakki na ubiisha kabisa ndo hata kwetu huku kunawatu hakki wanaiona kweupe kabisa hawataki kufata watajenga hoja zisizo na msingi ili apinge tuu

    • @NassirAli-ol8fm
      @NassirAli-ol8fm 2 місяці тому

      Una uhakika wa Hilo . Soma sana ndugu

    • @user-yj5on8cz3e
      @user-yj5on8cz3e 2 місяці тому

      @@NassirAli-ol8fm nifate bidaa ndo utajuwa nimesoma au utakufa na bidaa zako

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 місяці тому

      Kulazimisha kufunga saumu ya arafa kufata makka ni bidaa. Wapi mtume alikuwa akiulizia mwezi wa makka kabla yakufunga madina?

  • @muniraally4091
    @muniraally4091 2 місяці тому +1

    Wanajitoa fahamu tuuu

  • @dullahbatuf9223
    @dullahbatuf9223 2 місяці тому

    Km utakua unasima comment sheikh Muhammad nisaidie swali langu huu mwezi kuitwa dhul hijja ,hii ilikuwepo kabla ya kufaradhishwa hijja unaitwa dhulhijja au baada ya kufaradhishwa

  • @binseif2216
    @binseif2216 2 місяці тому +1

    Masalafy lazma wataunga mkono upotofu

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 2 місяці тому

    Shekh swali linalotusumbua ni hili;-siku za nyuma hakukua na mawasiliano ya vyombo vya habari. Mfano muislam yuko porini au baharini tangu mwezi mosi mawingu yametanda mvua inanyesha hadi mwezi kumi dhull hija, utaratibu gani utatumika kuifunga siku ya Arafa na kuswali Idd.

    • @dullahbatuf9223
      @dullahbatuf9223 2 місяці тому

      Swali jepesi ilo sababu kabal mawasiliano ata Tanzania moja watafunga arafa tatu cz kuna mikoa wataona kuna mikoa hawatoona Tanzania hii hii ,hat juzi Tanzania mwezi haukuonekana umeonekan kenya ssa bl mawasiliano Tanzania tusingejua kitu shekh

  • @SalumNassoro-gs2ph
    @SalumNassoro-gs2ph 2 місяці тому +4

    Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,ndg zang tuache ushabiki ktk dini ya Allah,ikiwa hoja ni kila watu kufuata muandamo wao bas ndan ya Tanzania yenyewe huko nyuma kabla ya maendeleo ya sayans na teknolojia miji yetu ilitofautiana kulingana na tofaut za kuonekana mwez bas kipi kilichosababisha leo iwe taarifa ya mtu mmoja iwe sababu ya miji yote tanzania kufuata na kuacha asili ilivyokua???

    • @salumharuna5872
      @salumharuna5872 2 місяці тому +4

      Umeuliza swali la kiakili sana ila nasikitika huwezi pata jibu la maana, dini tumeifanya kama vilabu vya mpira kuwa mimi Simba wewe Yanga kwahiyo kila mtu anatetea upande wake hata kama haki imedhihirkika

    • @binuqaasha675
      @binuqaasha675 2 місяці тому +1

      Mbona siku ya wanawake duniani Dunia nzima mumeifanya moja tu? Kwann siku ya wazee ni moja? Kwanin siku ya wafanya kazi ni moja tu? Kwann siku ya watoto ni moja tu? Kwann masherehe yenu ya mapinduzi siku ni moja tu? Kwann dini ya Allah muichezee nyinyi wahuni wa dini? Hii ni dini moja na Eid ni moja tu acheni uhuni masufi

    • @mkalifanny4555
      @mkalifanny4555 2 місяці тому +2

      Hakunq ushabiki katikq dini bali tunafuata dini jinsi inataka,,umetolea mfano siku za nyuma ambayo watu wengi hatukua na elimu wengi aiku hizi watu wengi wameingia darasan na wakajua haki so acha watu watoe elimu kwa qadri Allah amewajaalia cha msingi wew ni kusikiliza kila pande halafu utachuja hoja na utaelewa nin ufanye

    • @SalumNassoro-gs2ph
      @SalumNassoro-gs2ph 2 місяці тому

      Mimi Allah amenijaalia kufanya uchunguz kias nilichofanya nathubutu kusema baadhi ya masheikh si waadilifu wanafanya ushabiki mkubwa unaopelekea watu kuacha haki na kushika batili

    • @TreasureMagumba
      @TreasureMagumba 2 місяці тому

      ​@@binuqaasha675Yani we zero brain ko unaifananisha siku ya arafa na vitu vya ajabu😂😂😂 eti siku ya wanawake ni moja

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 2 місяці тому

    Mashekhe wengi wanaigawa dini ni wazushi sana

  • @suuahmed71
    @suuahmed71 2 місяці тому

    MTUME s.a.w alisema tufunge yaumu Arafa. Hakusema tufunge Yaumu wuquf yaumu Arafa.. so Yaumu Arafa ni 9 Dhulhijja. Na MTUME s.a.w alisema kila mtu atizame muandamo wake. So Arafa yetu Sunday na IDD yetu Monday

    • @abdulfatahumarsaideazamo2654
      @abdulfatahumarsaideazamo2654 2 місяці тому

      Sasa wewe nduguyangu unafikiri kwamba wale watu ambaye wanafanya wuquufi pale Arafa, wanafanya sikuzi gani?

  • @kassimshomari1033
    @kassimshomari1033 2 місяці тому

    good

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 2 місяці тому

    Yani mawahabi majahili kweli. Yani bachu mda wote alozungumza lkn hana point hata moja.kama ni fadhila za siku ya arafa kila muislam anazijua ndiyo maana tuna funga. Swali lililopo ni hiyo arafani lini? Ni tarehe 9 pale ulipo au ni tarehe tisa makkak? Na hilo bachu kashindwa kulijibu. Kazunguka tu na porojo nyingi. Sisi tunajua kisisimamo cha arafa ni tarehe 9 ya saudia lkn saumu ya arafa ni tarehe ya pale ulipo.

  • @user-fz9ir4nj1y
    @user-fz9ir4nj1y 2 місяці тому

    Nyi masalafi mnafata teknolojia iyo ni bidaa funga inafungw Kwa kuwandama mwezi na sio mitandani acheni bidaa

  • @DhaharanMussa
    @DhaharanMussa 2 місяці тому

    Mnaopongezana nyote ni mawahabi na nyote mola amewanyima ufahamu,poleni sana

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 місяці тому

      Wewe funga arafa yako na ngoja majuto

    • @mohammadswaleh6900
      @mohammadswaleh6900 2 місяці тому +1

      Hawa masufi nyoyo zao Zina maradhi Allah Awaondolee waijue hakki

  • @KibwanaMohammed
    @KibwanaMohammed 2 місяці тому

    Doctor gani kashidwa kwao zanzibar.....rudi usome lugha yenyew kaikosa pia kwenye ii hutba ...😅😅😅😅😂

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 2 місяці тому

      Chuki sisi tunamuelewa mbuzi wewe

  • @aminahassani-jh5rp
    @aminahassani-jh5rp 2 місяці тому

    Siku ya arafa ni moja tu mbona ramadhani ni moja hii dini mnaigawa makundi kwa uzushi wenu na kujifanya wabunifu kwenye dini sisi tunamwangalia mtume labda mna mtume wetu

    • @aminahassani-jh5rp
      @aminahassani-jh5rp 2 місяці тому

      Labda MNA mtume wenu nyie wapinzani wa mtume tumfuate mtume sisi Shekhe bacho tumekuelewa sana

  • @bakaribakari6444
    @bakaribakari6444 2 місяці тому +1

    Haha😂na vip watu wa australia ambao wako mbele ya saudia kwa hiyo wamekosa hiyo arafa?

    • @w4058
      @w4058 2 місяці тому +1

      Hapo ndio penye suala hawalioni hilo wao wako katika kushabikia ubinafsi badala ya kwenda kusoma kwa Masheikh mbali mbali haijhusiana kisimamo cha matendo na ukhalisia wa ibada ilofanywa na Mtume SAW kabla ya hija tunawaombea vijana wanaoshabikia bachu kwa kuwa ni kijana mwenzao na hata watu wazima walokuwa ufahamu wao finyu Allah awape Ilhaam ya kutafuta haki na awatoe kwenye batili

    • @bakaribakari6444
      @bakaribakari6444 2 місяці тому

      @@w4058 allahuma amiin

  • @britishsaid1700
    @britishsaid1700 2 місяці тому

    Mm haunidanganyi wala haunishawishi

  • @user-xv7mo8tw7c
    @user-xv7mo8tw7c 2 місяці тому

    Kwakwel hawa jamaa walkuwa wa buruzawatu san na ukiwa skilza kwa kwel hawana hoj zto kuhusu hja ndo man kila mwaka twa wakimbia wapo masuf weng walkula idi sku ya juma2 kuonesha kama wamejuwa hak ipo wap

  • @kitosio
    @kitosio 2 місяці тому

    Kuna watu wa2 WA3 ndio husema Wana ARAFA Yao na Viwanja vyao ARAFA. SASA watuoneshe Viwanja vyao na Sisi tukasimame huko. Ama mara hii wameishiwa na kila kitu. Hadithi hawazitaki tena wanaziogopa. Yule kofia nyekundu alizikwepa, na huyu hapa mmoja Zanzibar Mwarab Naona hajui hata anachokizungunza

    • @NassirAli-ol8fm
      @NassirAli-ol8fm 2 місяці тому

      Hivi nikulize suali ...ww ukiwa zanz unasimama arafa na ww hua hata kama unafuata saudia .???

  • @hasaniSwalehe
    @hasaniSwalehe 2 місяці тому +1

    Yaani masufi ni wajinga sana Bora nimsikilize mbwa kuliko kumsikiliza mtu wa bidaa sheikh muhammad Allah atakulipa mashllah

    • @vuaikitwana2752
      @vuaikitwana2752 2 місяці тому

      Allah akuongoze katika haki na uongofu!!!

  • @mattarkhalef8345
    @mattarkhalef8345 2 місяці тому

    Mm nahisi bachu bora utulize akili yako vzr,,Allah wakati anashuka watu wa marekani ni usiku wao hawataki msamaha wa Allah

    • @husseinally6699
      @husseinally6699 2 місяці тому +2

      Mmeambiwa usiku muake mfanye ibada hata kidogo sasa unalalaje kama petro au jacob

    • @mussakhamis3070
      @mussakhamis3070 2 місяці тому

      siku inakuwa ni ileile, hakuna nchi hata moja yenye tofauti ya siku nzima (24 hrs)

  • @tumowote8879
    @tumowote8879 2 місяці тому

    Sheikh vipi kwa ndugu zetu ambao wakati mahujaji wamesimama kwao niusiku inakuwa vipi?

  • @hasaniSwalehe
    @hasaniSwalehe 2 місяці тому +1

    Masufi elimu hawana kwakweli zaidi ya vitabu vyakulia ubwabwa tu na vitabu vya shirki ndo elimu walio nayo

    • @user-lp3gi5wd4e
      @user-lp3gi5wd4e 2 місяці тому

      We MUHABI hapo ulipo unawaza KUJILIPUA tu,Huo ubwabwa nani asiekula.

  • @user-wf3rx7ft7b
    @user-wf3rx7ft7b 2 місяці тому

    Naona umehama Zanzibar kwemaaa amii

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 2 місяці тому

      Wamemfukuza ccm kwsbb anastrong fact

  • @binseif2216
    @binseif2216 2 місяці тому +1

    Akinijibu hapa muwahabi ntampa zawadi ikiwa China saa Saba usku na saudia waneamkia ARAFA hawa wa china inakuwaje kwao?

    • @kanzucentre3468
      @kanzucentre3468 2 місяці тому

      Ikiwa utofauti ni masaa , je Saudia akiswali swala ya Adhuhur China hataswali ?

    • @binseif2216
      @binseif2216 2 місяці тому

      @kanzucentre3468 Atasubiri kwake imfikie Adhuhur ndo aswali kwahiyo kwa akili yko unamaanisha saudia akiswali Adhuhur na nchi zilizo usku au asbh wasaswali kisa saudia anasali huo muda🤣🤣

    • @salimsaleh9354
      @salimsaleh9354 2 місяці тому

      ​@@binseif2216 Hakuna nchi duniani inayopishana kwa masaa 24 ,bali zinapishana kwa masaa kadhaa lakini siku zinakutana tu , hoja yako kwasababu nchi zimepishana kwa masaa kadhaa nyie mukaona bora musifunge kabisa muanze siku nyengine

    • @salimsaleh9354
      @salimsaleh9354 2 місяці тому

      ​@@binseif2216niambie wewe upo china au tanzania, je tanzania na saudia zimepishana kwa masaa mangapi ? kwanini wewe usifunge sawa na saudia hakiyakua wewe hupo china upo Tanzania

    • @binseif2216
      @binseif2216 2 місяці тому

      @salimsaleh9354 Nyoosha maelezo usilete kigezo cha kuweko TZ nyie mshasema mwezi wa kimataifa manake hata walokuwa usku kwao inawahusu arafa muda huo Ndomana nikasema mkiweza kujibu hili swali ntatoa na zawadi

  • @abdulkhaliqmuhammed456
    @abdulkhaliqmuhammed456 2 місяці тому +1

    Bachu mwaka jana umezungimzia Afara mwaka huu Arafa na mwaka ujao Arafa Sasa ktk kuzungumza kwako huko yapi ya kuchukuliwa yapi ya kuachwa. Au maneno yako yana تناقضات?

    • @saidimkwinzu9106
      @saidimkwinzu9106 2 місяці тому

      Mbona hao wengine pia wanazungumzia arafa Kila mwaka huwaoni?

    • @fatumajuma592
      @fatumajuma592 2 місяці тому

      Ww una yako machu atazungumza mpaka atakapo athimika upo

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 2 місяці тому

    YOTE KWA YOTE WAISLAAM WALIOKUA WANAISHI NJE YA MAKA KIPINDI HAKUNA MAWASILIANO KAMA LEO,JE WALIKUA WANAJUAJE LEO WATU WAPO VIWANJA VYA AARAFA!?

  • @TreasureMagumba
    @TreasureMagumba 2 місяці тому

    Swali la msingi la kujiuliza kwa wenye akili timamu wasio fata mkombo au ushabiki ni wakati ibada ya hija inaanza kutekelezwa walikuwa wanaitekeleza kwa kuzingatia vigezo gani??? Anayefahamu aje ajibu kwa hoja na sio ushabiki wa kidini na mihemko

  • @kitosio
    @kitosio 2 місяці тому

    Shekhe Wetu Farid Naona hajatambuwa kuwa funga ya siku ya ARAFA haina Khitilafu ktk Vitabu. Labda ya Ramadhani. SASA Akasome tena ibada zenye Ikhtilafi. Sio ARAFA. Na hapa sio yeye Tu Wapo wingi kama yeye

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 місяці тому

      Yani mawahabi vichwa mchunga hawaelewi kitu masikini. Unasema funga ya arafa haina hitilafu soma fatwa ya uthaymeen utaona watu waangalie mwezi wa mji wako

  • @JRN2612
    @JRN2612 2 місяці тому +1

    Babu mimi kwenye maulid nakubali umewakalisha jamaa, na nimeacha maulid. Lakini kwa ishu ya mwandamo wa mwezi na funga ya Arafa, hauna hoja za msingi. Hujajibu hata hoja moja zinazotolewa.

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi 2 місяці тому +2

      Hahaha ww utaelewa kdg kdg tu km ktk maulid umeeliwa bx na ktk arafa pia utaelewa

    • @khalifa_kuchi
      @khalifa_kuchi 2 місяці тому +3

      Lkn swal la kujiuliza ni moja tu ikiwa arafa ipo makka na ikiwa lengo la finga ni kupata ujira kw ajl ya kuwakilisha waliofunga bx ni waz arafa ni 1 tu isipokua wengine wao hawafung arafa bali wanafunga mwez 9 kw iyo sisi tushakuelewen vzr tu na ndio maana hamutupi tabu mutaelewa kdg kdg tu...

    • @albayaanmschool8451
      @albayaanmschool8451 2 місяці тому +1

      Unafaa tukuite kitatange😂

    • @jamalabdillahi3575
      @jamalabdillahi3575 2 місяці тому +1

      Mimi pia....maulid amesema kweli lakini ya Arafat sikubali bado

    • @Abuunuwayra
      @Abuunuwayra 2 місяці тому +1

      Kaka Umechemka Sana Hapa Kwa Arafa wallhy

  • @albayaanmschool8451
    @albayaanmschool8451 2 місяці тому

    Ukkishakuwa na hoja za msingi tu wala hulaszimishwi

  • @abubakarwazir5572
    @abubakarwazir5572 2 місяці тому +1

    mashallah, kama una D NA F HUWEZI KUELEWA

    • @MbaroukAmour-fs8hb
      @MbaroukAmour-fs8hb 2 місяці тому

      Mche Allah

    • @MbaroukAmour-fs8hb
      @MbaroukAmour-fs8hb 2 місяці тому +1

      Binafsi Niko na F na D nimeelewa haswa......lkn pia naishi na watu Wana A nyingi na B kidogo Bado hawajaelewa hili

    • @abdulkarimjuma78
      @abdulkarimjuma78 2 місяці тому

      maashaAllah ​@@MbaroukAmour-fs8hb

  • @Farouq-yh9qh
    @Farouq-yh9qh 2 місяці тому +1

    Huyu sio sheikh

    • @abdurashidinasorodini
      @abdurashidinasorodini 2 місяці тому +1

      sawa basi babako tumpe usheikh ili atufundishe

    • @Farouq-yh9qh
      @Farouq-yh9qh 2 місяці тому

      @@abdurashidinasorodini in shaa Allah
      Ila Allah amrehemu Babangu aliko ktk maisha ya barzakh

    • @Farouq-yh9qh
      @Farouq-yh9qh 2 місяці тому +1

      @@abdurashidinasorodini nimependa sana wazo lako akhuy Abdulrashidinasorodini

    • @omarchaijefwa729
      @omarchaijefwa729 2 місяці тому

      Shekh ni ww na hatukuoni

    • @omarchaijefwa729
      @omarchaijefwa729 2 місяці тому

      Nyinyi ndio wale ALLAH ANASEMA SUMUH BHUKMUN HUM LAYARIJUN...MIOYO YENU ISHAPIGWA MIHURI NA KUWEKWA VIZIBO HAMUONI NA HAMSIKIII , SUBHANALLAH

  • @user-lp3gi5wd4e
    @user-lp3gi5wd4e 2 місяці тому

    Sheik kweli we ni mjanja,Leo hi unasema wanawazuoni wamepishana kauli kwenye siku ya aarafa,Lakini kwenye makala zako unalazimisha watu wawafuate mahujaji kule maka!.

  • @fauznuhu9981
    @fauznuhu9981 2 місяці тому

    Kumbe arafa nisiku siyo kitendo kkk ufaham pia nirizk

    • @abdulmohd6880
      @abdulmohd6880 2 місяці тому +1

      Kamckilize Mbaraka Awesu Arafa n sehemu, Arafa n kitendo arafa n funga nenda kamckilize

  • @SalumNassoro-gs2ph
    @SalumNassoro-gs2ph 2 місяці тому +1

    Naomba niwakumbushe wale wenye mtazamo kuwa kwa maneno haya sheikh bachu na mashekhe wengine wenye ulinganiaji sawa na yeye kuhusu siku ya arafa kuwa et wanawagawa waislam laaa!bali waislam tushagawanyika mda mrefu na sababu kuu ni kutokubaliana na muongozo wa qur an na sunnah.leo kuna waislam kwao ni bora kumfuata sheikh flan hata kama anachosema kimekhalifu qur aaan na sunnah.mfano kuna Hadith swahihi ukisoma katika kitabu riyaadh swalihiin mtume swallallahu alayhi wasallaam amekataza waislam kuomba kupewa uongoz lkn mbna baadhi ya masheikh hili wanatia figisu figisu na kuwaaminisha watu kuomba uongoz inafaa,je huu si upotoshaji wa wazi

  • @user-po9fr6jd6t
    @user-po9fr6jd6t 2 місяці тому

    Hawa jamaa washangaza..hivi itaitwaje siku ya Arafa kisha iwe sio siku ambayo mahujaj wasmama arafah?!

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 2 місяці тому

      Siku ya arafa ilikuweko kabla ya haji kufaradhwiwa

  • @maryammbwana1193
    @maryammbwana1193 2 місяці тому

    Bachu kakosa elmu na hekma pia ila balbala nyingi TU ndugu zangu kaeni kitako musome businabaishwe na bachu

    • @SoudShuraim
      @SoudShuraim 2 місяці тому

      Wewe umesoma wapi?kasimame kwenye membar km unaweza

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 2 місяці тому

    Mpotoshaji mkubwaa

  • @BofuMlanzi
    @BofuMlanzi 2 місяці тому

    She

  • @HemedAbdullaSuleiman
    @HemedAbdullaSuleiman 2 місяці тому

    Bachuu bado hajatoa hoja kwa nn Arafa iwe Jumamos...Na wala hakuna hadithi inayosema kwamba sisi tufunge kwa kuwaunga mahujaji... Haya maneno Mtume hajawi kusema

    • @mahatmamgenge
      @mahatmamgenge 2 місяці тому

      The sun does not rise or set upon a day that is more virtuous than it.
      Hadith | Tirmidhi

    • @mohagurey2214
      @mohagurey2214 2 місяці тому

      You must be blind, may Allah guide you kama umeandikiwa maongofu

  • @user-ho8yh9lq9f
    @user-ho8yh9lq9f 2 місяці тому

    Balegh ya elim kweli