Kitu nimependa Mtangazaji inaonekana unamfahamu dnkob wew nifan wake na ulipenda kujua vitukadhaa nimeipenda hyo intaviu naomba pia unsaidie namba za mchungaji Dnkob❤❤
Rafiki yangu wa karibu sana wakati huo tukisoma wote jitegemee high school (a' level). Nakumbuka akiandaa mpaka kurekodi 'Usiniache' akimshirikisha Mez b tukiwa form v
Huyu ndo mjanja sasa maana katika dunia hii ya mzungu yenye kila aina zohari ujanja nikujisalimisha kwa yesu kwa ss wa kristo na ambaye siye mkristo mfno mwislamu ajisalimishe kwa imani yke maana dunia aina maana
Dknob umebarikiwa sana Wokovu ni Faida Na Umependeza Sana kweli Yesu ni Mwamba
Bad man
Neno linasema nalikujua toka tumbon mwa mama ako,Amina ubarikiwe mtumishi
nakukubali
Much respect Brother D knob by the way ipo haja na Mimi ku change asee maana hii Kali asee
Na DKnob enzi hizo namkubali sana huyu kamanda. Msomi huyoooooo
Kitu nimependa Mtangazaji inaonekana unamfahamu dnkob wew nifan wake na ulipenda kujua vitukadhaa nimeipenda hyo intaviu naomba pia unsaidie namba za mchungaji Dnkob❤❤
Tucheki kwenye Instagram
Nimefurah sanaa uhaaaaaaa wow❤❤❤❤❤❤
Rafiki yangu wa karibu sana wakati huo tukisoma wote jitegemee high school (a' level).
Nakumbuka akiandaa mpaka kurekodi 'Usiniache' akimshirikisha Mez b tukiwa form v
Pamoja sana! Shukrani kwa support...Hii hapa part 2: ua-cam.com/video/83WyGJTGpFA/v-deo.htmlsi=XU6ZXShYhlIg0mc4
DKnob alikuwa Yuko sawa kwenye lugha daaaaa sijui ilikuwaje
Mr Sahani
D Knob🎉
Legend D knob All the best
All time best rapper in Tz
Sauti ya gharama
Mitaani most wanted
Bad man Dknob
Mtoto wa nyumbani kabisa Ukonga
💯
Saluti Kwa kutuletea d knob
Shukrani na kwako pia kwa support
Kila la kheri kaka! Aisee!
Mitaani most wanted
Safi sana
Yesuu juuuuuuuuu
Kazi nzuri brother hongera kutuletea d knob
Pamoja sana
❤❤❤❤
Aiiiii.... Huhaaaa
D,knob mtoto waa kiwalani kwa gude huyo saluti
Huyu ndo mjanja sasa maana katika dunia hii ya mzungu yenye kila aina zohari ujanja nikujisalimisha kwa yesu kwa ss wa kristo na ambaye siye mkristo mfno mwislamu ajisalimishe kwa imani yke maana dunia aina maana
Samahani, ujisalimishe kwa Yesu au kwa Mungu?
@@TBCLINICKYELA Kwa mzimu ya kwenu
Kaka ulikuwa kichwa sana kama ungemaliza elimu yako saa hii ungekiwa mbali sana
Mitaan most wanted...broo wapi mike mwamba
Mika Mwamba alirudi Nchini kwao, kama sikosei
Inamaana aina pat 2 kaka
Part 2 ni hii: ua-cam.com/video/83WyGJTGpFA/v-deo.htmlsi=XU6ZXShYhlIg0mc4 na Part 3 hii hapa: ua-cam.com/video/lavMwCgreus/v-deo.html
Watoto wa 2000 awawezi kuelewa
Kabisa kabisa
AVC amana vijana center
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌.
Midevu
C ulisema atatia maguu biz man, ako wapi sasa
Anakuja bobu…tuna kazi mbili tatu zilitangulia
@@bongo_project pa1 Sanaaaaa
Musa tagalile
mtangazaji jifunze jinsi ya kumuhoji mtu bwana alafu kabla msome kwanza alafu muulz maswal
Mwamba ulitaka maswali yapi yaulizwe?
@@bongo_project Aya bwana Fanya kumleta crazy GK
@@SabanaSipemba Pamoja. Atakuja
Uchungaji wa ngombe ama
Wa kondoo
Mbona unadharau choko wewe
Kuma wewe acha zarau
@@KudrahPembe kondoo wa mungu