Masanja Mkandamizaji afanya kufuru angalia mwenyewe

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @mamatuishi-mamatuondoke8822
    @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 років тому +1

    Safi sana masanja maana umeshika chenye nguvu-JINA LA YESU UNG'ALE NDUGU KAMA MCHANGA WA BAHALI

  • @Hassan_Mengi
    @Hassan_Mengi 7 років тому

    Naona watu waliokombolewa kwa damu ya Mwana Kondoo waki-HAVE SOME FUN. Bwana akubarikini sana.

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 7 років тому +1

    wengi mnapenda tukana tukana.
    ila ujanja wa mwanadamu ni pale uzima unapokua ndani yake.
    fahar ya kijana ni kumjua Mungu

  • @godfreykawibesele8545
    @godfreykawibesele8545 4 роки тому

    Akika wamwaminio halisi wanamfifu BWANA katika roho na kweli

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 7 років тому +5

    hakika waniabudio katika roho na kweli wataishi kwa amani na furaha.

  • @valavalajacob6702
    @valavalajacob6702 7 років тому +1

    lmanuel kama kweli umitwa achana na usanii ,huwezi kutumikia mabwana wawili

  • @pendovincent3167
    @pendovincent3167 7 років тому

    😊😊😊tutapita katikati Yao.

  • @adambanda165
    @adambanda165 4 роки тому

    wao wimbo mziri

    • @evansmlalo4049
      @evansmlalo4049 4 роки тому

      Uchaguzi ukipata wasimamizi toka nje CHADEMA itapita katikati ya CCM. Maendeleo ya nchi hii yanaletwa na kodi zetu zinazokusanywa na fedha za ndugu zetu wanaoporwa fedha zao halali na MAGUFULI huku zingine akienda kuzificha RWANDA kwa KAGAME. Huru Magufuli ametufanya Watanzanioa ndondocha huku maendeleo yakielekezwa kwake na kanda ya Ziwa. Anao ubaguzi sana katrika kupitisha miradi ya maendeleo huku matumizi ya miradi mingi hayako wazi. Fedha za Umma zinatumika bila kusimamiwa na wahusika wakiwepo WABUNGE. Rais yuko Ziarani kuna Gari linabeba fedha za kuhonga watu wamchague 2020 alafu anajigamba atamaliza rushwa. Hivi Rushwa itaishaje wakati Magufuli ndie mtoa rushwa mzuri. Anawahonga watu wamuandike vizuri kwenye mitandao. Mfano mziri ni anapowahonga watu kama MUSIBA wamtangaze kwenye vyombo vya habari na kuwatukana viongozi waliopita kuwa hawajanya chochote. Magufuli amekuwa Waziri kwa miaka takribani 20 alishindwa nini kutumia mafungu aliyopewa ya Wizara ya ujenzi kununua ndege au kukarabati reli. Alikuwa anatoa ushauri gani kwa MKAPA na KIKWETE kujenga uchumi kwa kukusanya kodi. Utaona kuwa alikuwa hana msaada wowote kuwashauri wenzake ili avizie kukaa IKULU awaseme. Kila Mtanzania anao uwezo wa kusimamia IKULU asiyeweza anyamaze kimya. Mbona Rais wa Marekani alikuwa Manager wa Mohammed Alli na mcheza Restling na ameweza kusimamia Taifa la Marekani. Asieweza kugombea Urais 2020 anyamaze kimya tunaoweza na kujiamini kuwa tunaweza tutagombea. "TUTAPITA KATIKATI YAO"

  • @chrismassawe326
    @chrismassawe326 7 років тому +1

    hahahaaaa

  • @husnatwaha3911
    @husnatwaha3911 7 років тому

    safii

  • @sureboy45
    @sureboy45 7 років тому

    Wawooo

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 6 років тому

    Anyway i dont charge

  • @zeblufingo8361
    @zeblufingo8361 7 років тому

    NIMEIPENDA HII KANDA SAFI SANA

  • @njendahdehunter3609
    @njendahdehunter3609 7 років тому

    kweli mungu haoni mioyo ya baadhi

  • @jonaselias7729
    @jonaselias7729 7 років тому +3

    hakuna lolote apapita katikati ya nani huyo masanja atapita katikati ya vichaa wenzake

    • @amanidaudi210
      @amanidaudi210 6 років тому +1

      Jonas Elias mbona umepanic mzee?

    • @amanidaudi210
      @amanidaudi210 6 років тому +1

      Jonas Elias vp Kwan ww mzima?

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 4 роки тому

      Wewe m moja wao naoana mahana sio kwa majibu haya mta shirikiana kupita katikati ya hao vicha ulio waona

  • @fridafreward805
    @fridafreward805 7 років тому

    mwansasuuuuu

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 7 років тому +1

    Kama jina la yesu ndo lenye nguvu na tumuone sasa apite katikati yao.....pumbavu zenuuuu

  • @hosealwila4976
    @hosealwila4976 7 років тому

    duuuu

  • @seifbakari8252
    @seifbakari8252 7 років тому +1

    clip ya kihuni, wamejaa wahuni, macho yao ya kiujanja ujanja, nashindwa kutafsiri neno "hela" kuna watu wanapiga hela na wengine wanawapandisha wenzao kileleni, kweli nimeamini wewe masanja ni FULL MAUJANJA