MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah mungu nifanyie wepesi na mie tumbo langu litoe aina ya mtoto kama huyu walahi mungu nifanikishe katika Hawa watoto uliyonijalia Mimi wewe na imani kama ilivyo Kwa mtoto huyu inshaAllah nilindie wanangu na Dua njema namuombea mtoto huyu na wazazi wake inshaAllah Aishi miaka mingi ili tufaidi ulicho mjalia inshaAllah
MASHA ALLAN SHEIKH RAMATHANI MWENYEZI MUNGU AMPE MAISHA marefu inshallah huyo mtoto ndio alinifanya mpaka nikaamini nanikaengia dini ya kiislam sababu hufikiria umri alionao kwahakika nimudogo sana naanaongea maneno mazito wewe kama unamusikiliza kwauhakika utajua kwamba huyu mutoto ana tumiwa namwenyezi Mungu
MASHALLAH MASHALLAH.ALLAH AMLINDE HUYU MTOTO NA MAADUI NA FITINA ZA WALIMWENGU NA HUSDA ALLAH ADHIDI KUKUONGOZA MTOTO WETU MUNGU ATUJAALIE NA SS VIZAZI VYENYE MAADIRI YA DINI NA VIPAJI KAMA HIVI INSHALLAH NA ALLAH AWAJAALIE WAZAZI WAKE MWISHO MWEMA INSHALLAH NA PEPO YA YAKE ALLAH NA NA VIZAZI VYAO INSHALLAH
Masha Alloh sy bangga seorang dai cilik sangat cerdas dawah nya mudah-mudahan bisa hadir ceramah di indonesia. Amin yarobal alamin. Sukse selalu dan tambah cerdas.
Wakristo wamefika vipi hapo Sheikh? Kwani Ukristo ni giza? Tumia mafundisho ya dini kumtafuta Mungu na si kushambulia imani nyingine. Wakristo na Waislamu wote wapo kwa ajili ya kuabudu Mungu. Binadamu safi ni yule mwenye matendo mazuri ya kumpendeza Mungu. Dini haimpatii mtu haki mbele ya Mungu kama huyo mtu ni mtenda maovu.
Mtume anasema ukitaka dunia iso isome Quran na ukitaka akhera isome Quran na ukitaka vyote dunia na akhera basi isome Quran Quran inawainua watu wa quruan
Ma sha allah
Allah akubariki na akuhifadhi
Sheikh ramadhani
Allah atujaalie wtt wema
MashaAllah Allah akujalie umri mrefu nami Allah anijalie mtoto mwema
MashaAllah MashaAllah MashaAllah MashaAllah mungu nifanyie wepesi na mie tumbo langu litoe aina ya mtoto kama huyu walahi mungu nifanikishe katika Hawa watoto uliyonijalia Mimi wewe na imani kama ilivyo Kwa mtoto huyu inshaAllah nilindie wanangu na Dua njema namuombea mtoto huyu na wazazi wake inshaAllah Aishi miaka mingi ili tufaidi ulicho mjalia inshaAllah
Mashallah sheikh ramadhan mungu akulinde na shari za walimwengu
Mashallah tabarakallah ❤
Masha Allah sheikh mkubwa Mungu akuzidhishie ilmu ya kheir.Yani nampenda huyu kijana
Mungu akupe maisha marefu
MASHA ALLAN SHEIKH RAMATHANI MWENYEZI MUNGU AMPE MAISHA marefu inshallah huyo mtoto ndio alinifanya mpaka nikaamini nanikaengia dini ya kiislam sababu hufikiria umri alionao kwahakika nimudogo sana naanaongea maneno mazito wewe kama unamusikiliza kwauhakika utajua kwamba huyu mutoto ana tumiwa namwenyezi Mungu
Assalam alaykum warahmaturah wabarakatuh JazzakaAllah khayran Allah akuzidishiee kheli n'a umburi muref ❤❤❤❤❤❤
Amiin
MASHALLAH MASHALLAH.ALLAH AMLINDE HUYU MTOTO NA MAADUI NA FITINA ZA WALIMWENGU NA HUSDA ALLAH ADHIDI KUKUONGOZA MTOTO WETU MUNGU ATUJAALIE NA SS VIZAZI VYENYE MAADIRI YA DINI NA VIPAJI KAMA HIVI INSHALLAH NA ALLAH AWAJAALIE WAZAZI WAKE MWISHO MWEMA INSHALLAH NA PEPO YA YAKE ALLAH NA NA VIZAZI VYAO INSHALLAH
Jamani wazazi wamtot huyu wanahisi nini mie natamani nipate watot mfano kama huyumtot amin 🙏 ♥️ ❤️
Mashaa Allah mungu anisaidie na me npate mtt kama huyu jamon
صل الله عليه وسلم نعم صحيح والله
Masha Alloh sy bangga seorang dai cilik sangat cerdas dawah nya mudah-mudahan bisa hadir ceramah di indonesia. Amin yarobal alamin. Sukse selalu dan tambah cerdas.
Manshallah habibi ramadhani
Yarabi utujalie uma wako
tuwe wa nyenyekivu kwako miongoni mwa kizazi chetu
Mashallah Allah anijalie na mm nizae mtoto kama huyu
Aamin
Mashaalla mungu akupe umri murefu akulide na hasadi ishaallah
Ameen Ameen
Allah akujalie umri mulefu na akupekilakakheri
Mashallah 🤩🤩🤩
Maashaallah Allah akuhifadhi inshaallah akukinge na hasadi za walimwengu
Amin
Alláhu Akbar
Takibiiiiri allahu Akbar 🙏🙏🙏😂😂💯💯💯💯💯FACT
mashaallah,Allah havijaalie vizazi vyetu kwa mifano miziri km huu
ManshaaAllah Mungu akuzidishie
Hongera kwa wa tanzania kuwa huo mtoto hio ni ajabu ni muujiza au aya kwa wale usio silimu
Mashaallh🙏
Mansha allaah wa alxamdulillaah
Innallaaha calaa kulli shay,in
Qadiir waa wax kuqaata
Yeah Allah tujaalie watot wema
Mashannlah mungu akuweke
الحمد لله🤲 الحمدلله🤲 الحمدلله🤲
Mashaallah mashaallah 🙏
Asalam alykum www ivi wakristo awaoni kama wislam ni nuru 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Wakristo wamefika vipi hapo Sheikh? Kwani Ukristo ni giza? Tumia mafundisho ya dini kumtafuta Mungu na si kushambulia imani nyingine. Wakristo na Waislamu wote wapo kwa ajili ya kuabudu Mungu. Binadamu safi ni yule mwenye matendo mazuri ya kumpendeza Mungu. Dini haimpatii mtu haki mbele ya Mungu kama huyo mtu ni mtenda maovu.
Mashallah
MashaAllah Allahumduallah
Masha Allah
Mingus akubaliki
Mahasha llah
Asalam alaikum warahmatullahi wa barakatuh maashaallah Maashaallah Maashaallah
Walaikum salam warhamatullhahi wabarakatu
@@sheikhramadhanbarakatv9532quruan na tafisri yake
Asallam alaikum warahmatullah wabrakatuh
Nasi tunaomba Allah atujalie watoto kama hawa
Jazzakallahu kheri
Duuuuuh ikali wallah
Allahumamin ❤
Mashaallah
sawa
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Shukran sana lakin pia katka tafsiri pamoja na kisomo tunashauri walim zake wamshulikie
Nandomana anatoa mawaidha bila kumkazania asingefika hapo akuna mkamilifu katika mwanaadam
M.a
Djazakoumou الله
Mwenyezimungu akuongoze kilalakhery
Kijana yupo vizuri mashaallah lakini nashauri walim zake wamkazanie Sana Aya anakosea kuzisoma awahiwe bado mapema ili badae awe mfaswaha
Mkamilifu ni allha
Alifundishwa NA nani mtoto mdogo hio elimu aliye nayo ni hali ya juu sana NA elimu yake hakuna mtu ye yote atamkosesha mambo yote ni sahihi
Maashaallah
Aya ya quran ywazisoma makosa huyu dogo
Allah akuhifadh asee,hivi lakini umesoma lini?nakufikiria sipati majibu na kwann mm siko kama ww?au mm sipo duniani Bado?
Allah akuking navijico vyahusda mtoto wetu mung akulind
Icho ni Kipaji cha kuzaliwa ni uwezo ambao Allah(S.W)kampa na Allah yeye ndo humpa amtakae na humnyima amtakae
Nivizuri kwanza afundishwe dini kanza uyo mtoto jamani
Wewe unaijua dini
Acha hasadi
Hatusemi kua tunamhusudu lakini bado kabisa huyo mtoto
Wendo tayari mfundishe mwanao kama nirahisi
Watoto wote wakiisilam dunian wanatakiwa wamtangaze allha
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
wajanja wanaokula kupitia dini wamehamia huku,,,maskini wanampotezea umri kijana wa watu
Unamaanisha Nini unavyosema hivyo
Muache mtoto alinganie dini
Namashogaje wamepoteza Nini
Mtume anasema ukitaka dunia iso isome Quran na ukitaka akhera isome Quran na ukitaka vyote dunia na akhera basi isome Quran Quran inawainua watu wa quruan
Kwanza hajui Quraan kabisa quran haisomwi ivo jamani
Tusomee wewe mwenyekujua acha kufata mkumbo kwaiyo anaimba mziki
Mti wenyematunda ndio wenyekupigwa mawe ata mtume waallha majahili walimpinga iyo kawaida TU kwawajawema kupigwa mawe na kupingwa
SY PENASARAN AP KAH DIA IN HALFAH, SARIPUDIN YG VIRAL ANK, DARI ORG AFRIKA IBUNYA NASRANI PADA WAKTU ITU, SEBELUM ISLAM, DIA TAK MAU DIBAPTIS
Masha ALLAH
Mashallah
Mahasha llah