TUFUNUWE KITABU (SILSILA 12): Revolution in Zanzibar cha John Okello

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Maandishi rasmi ya historia ya Zanzibar yanampuuzia sana John Okello, lakini mwenyewe aliwahi kuandika kwa maneno yake mwenyewe jinsi ushiriki wake kwenye Mapinduzi ya Januari 1964. Leo Ismail Jussa anatupitisha kwenye kurasa za kitabu cha REVOLUTION IN ZANZIBAR chake Okello.

КОМЕНТАРІ • 41

  • @ferouzferouz22
    @ferouzferouz22 2 роки тому +8

    M/Mungu akipeni afya njema na maisha marefu ndugu yangu Moh'd na ndugu Jussa ilimuendeleze vvipindi kama hivi vya kuelimisha Wazanzibari na wasio Wazanzibari kwa ujumla

  • @shaqsyonlinetv3669
    @shaqsyonlinetv3669 2 роки тому +4

    Such a fantastic programme .. kuna mingi ya kujifunza ndani yake .. Shukran Sh Mohamed

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 роки тому +4

    Ahsante sana kwa maelezo mazuri nimepata kujua mengi kutoka kwenu Allah akupeni afya njema

  • @LilacAlm
    @LilacAlm 2 роки тому +4

    John Okello ndio alikua sura ya maasi ya mapinduzi ya Zanzibar 1964,lakini behind yake walikua kina Karume na Babu,kwa upande wa haki wangemlipa pesa kwa kazi alioifamya alafu wangemwambia aondoke.
    Mr Jussa😁,my deepest admiration to you for emphasising the people of Zanzibar/Tanzania to live and work together to achive a common goal.
    God bless us all🙏🙏

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 роки тому +3

    Hebu semeni kweli from kibarua au muashi kuongoza mapinduzi hebu mkiambiwa jiambieni

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 2 роки тому +3

    Ahsante saana kwa kuendelea kutupa elmu Allah awabariki Mh jussa na my brother Moh'd

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 2 роки тому +5

    Inaonesha nimuongo huyo ukelo Allah hafichi mnafik Allah ahatamucha kwa ubaya alioufanya

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 роки тому +6

    Kuna haja ya mjadala wa kitaifa juu ya uhalali wa mapinduz ya Zanzibar Maana kila tunapotathmin mapinduz ya zanbar tunahis yameigawa zanzibar na kuacha makovu makubwa

    • @Jefa_Adili
      @Jefa_Adili 2 роки тому

      Ni mjadala wa muhimu ila ni mjadala mgumu sana huu ,wengine wayaita Mapinduzi matukufu ... Wengine waoona ni uasi usio na uhalali ... Kuwaleta pamoja makundi hayo mawili ni kazi ngumu sana

    • @rastafare878
      @rastafare878 2 роки тому

      Msabah Ali , 👍👍👍👍👍

  • @nailamohd7693
    @nailamohd7693 2 роки тому +3

    Viongozi wetu wa zamani nao wamekua km hawana akili vizur km mazuzu mtu anakuandikia barua tuu ya mapinduzi unakubali John okelo Allah atakulipa kwa unayostahili kulipwa.

    • @abdulmwita2395
      @abdulmwita2395 2 роки тому +1

      Okelo alitumiwa tu ukikumbuka siasa ilio endeshwa wakati wa mapinduzi ilikuwa ya kishosalist nani alikuwa na Idea hiyo?

  • @suleimanalsubhi1924
    @suleimanalsubhi1924 2 роки тому +1

    Ahsanteni sana shaikh Mohammed na Jussa kwa video yenu kujuwa hostoria ya mapinduzi

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 роки тому +4

    Inakuwaje kiongozi anaondolewa baada ya kazi kufanikiwa semeni bosy wake alikuwa Nani aliemkabidhi kazi

  • @slimtaley1759
    @slimtaley1759 2 роки тому

    Hongera Sana Jussa Pia Hongera Ghassani kwa Kutuelimisha haya yanoyo Mkhusu Okelo Laa'natullah Aley Ila YoumiLkiyama.

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 2 роки тому

    Maa shaa Allahu
    Brother Muhammad tunafaidi sana kwa juhudi zenu zote Allahu subhanahu wataalah atulinde na atupe umri mrefu na WINGI WA Amali njema na mwisho mwema
    Shukran

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 2 роки тому +5

    Nizuri kujuwa history ya nchi yako lakini mshiriki mkuu wa mapinduzi ya zanzibar ni muengereza

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman5935 2 роки тому +4

    Okello mwenyewe wapi alipata au alisoma mbinu za kimapinduzi

    • @alijuma7882
      @alijuma7882 2 роки тому

      Waingereza ndio wasaliti wakubwa
      Walifanya njama askari wazalendo wasiwe na silaha funguo za armoury walizichukuwa
      Ndio maana kukawa hakuna counter attack
      Ikawa wenye silaha kuwahujumu wasio Nazo majumbani

  • @rwechunguraissa1394
    @rwechunguraissa1394 2 роки тому +1

    Walau Okello alipaswa kulipwa mema hata Kama hakukubalika na wenye nchi yao.

  • @mwalimuali1850
    @mwalimuali1850 2 роки тому +1

    Zanzibar kwanza hivyo Allah atufanyie wepesi

  • @simbomart6186
    @simbomart6186 2 роки тому

    Ila mimi kwa hisia zangu nalaani mapinduzi ya Zanzibar japokuwa ninasema ni mapinduzi matukufu...
    Imesababisha Zanzibar ibaki visiwa wakati Zanzibar ilikuwa ni kubwa kuanzia pwani ya Somalia mpaka pwani ya Msumbiji ila imekatwa na maeneo yao waliyo kodisha yote yamedhulumiwa
    Zanzibar ilikuwa ni nchi kubwa sana sana Afika mashabiki na kati lakini sasa imebaki visiwa viwili....
    Eti Mzanzibar akienda Mombasa aende na anadaiwa paspoti wakati ilikuwa ni nchi yake!!!
    Alafu mujue hayo mapinduzi ni mpango uliyo sababisha baadhi ya maeneo ya Zanzibar yaliyo kodishwa ya sahaulike yasidaiwe tena..

  • @salyali7807
    @salyali7807 2 роки тому +2

    Kama alivyofanya nayeye kafanyiwa... katumiliwa kuua watu ikisha katemwa

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 2 роки тому +2

    Malipo ni duniani okello alitumika kama kindom tu alipomaliza haja ya mauwaji alitelekezwa

  • @HafidhOmar-rs4ty
    @HafidhOmar-rs4ty 10 місяців тому

    Hyumuandishi wa hki kitabunmuongo kma okelo

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 роки тому

    OKELO alijipa jina la Mungu wa Africa dhulma mbaya ametumika kutoa uhai watu hatimae amefukuzwa hata pesa hajapewa Allah hutoa hukumu hapa hapa duniani 👊👊👊

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 2 роки тому

    Na kwa uchache wangu wa kufuatilia Gumzo inaonesha zanzibar tulipinduliliwa kwa Husda Dhulma nakuonewa kwa sababu Tuwaislamu

  • @abubakarsuleman1983
    @abubakarsuleman1983 8 місяців тому

    Kweli kalitafuta kalipata, hafai kanisani hafai msikitini, kwaakili yangu sikubali kua Okello alikua mtu mwepesi naamini aliandaliwa kimafunzo licha kua sio mtu mwenye akili.

  • @rastafare878
    @rastafare878 2 роки тому

    Maadui wa Zanzibar wengi wametoka nje ya Zanzibar then wakajifanya Na wao ni wazanzibari

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz 2 роки тому

    Hii inaonesha aliongoza kwa mauaji, wazanzibari hawana roho za kuuwana kama mbwa lakini wote walofanya mauwaji makubwa walikuwa wageni

  • @mohamedbilalngoli6291
    @mohamedbilalngoli6291 2 роки тому +1

    Huyu John Okello mafunzo ya kijeshi aliyapata wapi mpaka awe kama tunavyosikia maana sikusikia sehemu yoyote kwenye mazungumzo haya kama alifunzwa masuala ya kijeshi. Hali hii inaniletea mashaka kuhusu yeye: na kuhusu 'yeye' ni nani bado kwangu halijatimilika. Kivipi mtu wa kawaida na amabye historia yake haimuoneshi yeye kama alikuwa na mafungamano ya kisiasa/vuguvugu la ukombozi tena ambaye ni mgeni tu wa takriban miaka mitano (5) Visiwani aweze kuiangusha serikali kimapinduzi?

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 2 роки тому

    WaAllahu aalamu

  • @azizamri1522
    @azizamri1522 2 роки тому +1

    Mimi nina suali moja tu. Huyu Okello alikuwa na umombo wa Kingereza wa kuandika kitabu hiki?

    • @GumzolaGhassani
      @GumzolaGhassani  2 роки тому +1

      Kwenye Utangulizi wake (Prologue), Ukurasa wa 20 wa kitabu, John Okello anaandika akiwa Gereza la Kamiti, Kenya mwezi June, 1966:
      "It has not been easy to complete this book especially with such problems facing me as financial insecurity and travel restrictions between Uganda and Kenya, to say nothing of my imprisonment. I have to thank Mr. Peter Bala, my secretary, for helping me translate my thoughts from Acholi and Swahili into English and for typing the manuscript. I must also thank Mr. Richard Wakohozi for his help with the English manuscript and the East African Publishing House for undertaking to publish my book, even though they may not agree with what I have to say."
      Kwa hivyo, yeye mwenyewe anakiri kusaidiwa kuandika kitabu hicho.

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 5 місяців тому

    jamaaa alikua ni mpembaaa mbona mnapotosha

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 5 місяців тому

    Walifanyaa mistake sanaa mtu muhimu kama huyu ndo maana hata alie muaa karume ajulikani itakuaa alirudi kikomando kumalizaa

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 2 роки тому

    Jusa nakupongeza sana unaongea ukweli bila kuficha

  • @historizantv
    @historizantv 2 роки тому

    Bado mimi ninakisubiria hicho kitabu cha Maalim sijui kitatoka lini?

  • @hafidhali3020
    @hafidhali3020 2 роки тому

    Yalimkuta ni saiz yake aĺiona raha alipoakiuwa wazee wetu