Kilichonikera kwa Kaligraph ni kudhihaki jami Ya waswahili ila nilichokipenda ni kwamba kawaasha wabongo maana wabongo walikuwa wamejisahau sana hadi Fid Q kuingia mapiano
Ata huyo rosa Ree sijui rasa Ree mi namjua baada ya hii battle kuanza ila marapper wa Tanzania mi nawalinganisha na upcoming rapping artist wa Kenya wanaopiga freestyle kwenye street, na wanachana kuchana,
@@stanleynyale2755 Ndio muache kum Disrespect coz she knows where to hit hard, ona vyenye Omollo ame humble instead of diss amekam na inspirational hit 🤣🤣🤣🤣🤣
@@alimwema Haimbi kama mkenya ila kwenye hio diss track ameimba ivo ili wakenya wamuelewe koz the diss iko directed kwao, enda sikuliza her other hits uone she doesn't use Sheng
Khaligraph ni msanii zaidi ya wasanii maana ana Sanaa pia ya kuwakumbusha majukumu waliolala. Big up kwake ila hii batle nimelifuatilia nilipomskiliza mama ommolo 😂
Hakuna msanii amewahi kulala just coz hufuatilii hip hop haimaanishi rappers wamelala si juzi tu Young Lunya aliamshana na Young Kila?? Before that kulikua na Rapcha vs Dizasta Vina... sikilizeni hiphop mjue kinachoendelea
Hahha OG kaamsha game. Afu maua yake tumpe manake ni rapper mkali no one can bet on that ila kiukweli East Africa wapo wakali zaidi yake. Tuanzie UG kuna kina Navio, kina Keko, Tz Kuna kina Fid, FA, Stamina, Rwanda wapo pia kina Riderman. Labda atafunika kiulahisi huku kwetu Burundi ndo naona HipHop sio big deal. Ila kujiProclaim easily hivo sidhani ni ok!!!
Kaligraph kazungumza ukweli kabisa,wabongo tunapoteza ualisia wa mziki wa bongo flaver kwa kupenda kuiga vya watu bila kuwa wabunifu kwenye mziki wao,hip hop bongo imebaki kuwa history now days hakuna hip hop wabongo tukubali na tupokee challenges tunarudi nyuma kwa kupenda kuiga vya watu
Rapper kujibiwa na mwanamke nidharau sana mazee,wanaume wamempa mwanamke means nilevel yake Kaligraph,but Kaligraph Johns nimwamba kaamsha rap muzik maana ilikuwa imelala
In my own opinion I think this is a set up between diamond & Khali. Mbona diamond wakati Khali alivyo Anza kuwashambuli wasani wa hip hop wa bongo , diamond alimsalute na Khali alivyo toa hii Ngoma yake ya bongo fleva ambayo ni new diss yake anamsifia sana diamond why if it's not set up!?
Huyo sijui bullshit Rosa (rasa) Ree hajafanya kitu kwa hiyo mnaita diss track. Khaligraph shouldn't respond to her ila Femione or Ssaru wa Manyaru amjibu. Peace.
I'm kenyan but Rosa rea really killed it
Kilichonikera kwa Kaligraph ni kudhihaki jami Ya waswahili ila nilichokipenda ni kwamba kawaasha wabongo maana wabongo walikuwa wamejisahau sana hadi Fid Q kuingia mapiano
Rose Ree kaua mbayaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ila Mama.Omollo kaua..khali amerudi studio kuandika ngoma.nyingine
Kwani yeye Ni mwamamke
@alimwema give her credit, she responded to a snippet.Soon as her name was called out,she bombed first On wax too.
@@ray45king84 I salute her but khaligraph don't have to reply
My Edwin hamuwezii.🎉
Kenya ❤ 🎉
Omolloooo 🔥🔥🔥🔥
Katishaa
Noma sana
Dah Rosa ree ameshamaliza nakina Stamina hawaja ingia studio bado
Mi ni mkenya lakini rosaree kaua sana,,, for that I crown rosaree the queen of rap in tanzania hao wanaume wa tz wote waliogopa
Ww kwenda uko mbona unajipendekeza kuwa mkenya na ww si mkenya
😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimechek sana
Wewe sio mkenya na hakuna siku utakuwa mkenya ,😂Wacha kutumia Jina Kenya ,Wewe ni mtanzania khaligraph ni moto🔥🔥wa kuotea Mbali Kaywa Rosa ree 😂😂😂
Nice Rosa ree Ila bdo Sana ume yakanyaga ....sikilizia
Kaligraph OG🔥🔥
Wadau wa Tanzania mmeona chuma Cha Dada yetu
Amenyoosha sana ,,the goddess
Ata huyo rosa Ree sijui rasa Ree mi namjua baada ya hii battle kuanza ila marapper wa Tanzania mi nawalinganisha na upcoming rapping artist wa Kenya wanaopiga freestyle kwenye street, na wanachana kuchana,
Wew bado hujaiva kufwatilia hip hop ya bongo
Kabisa huyu dem ndio amejulikana jana kwa hii battle...
Wee mpuuzi sana Kenya tofauti na Dada Omollo Kuna rapper gani
Wewe ndo ulikua humujui ila tunamjua sanaa
@@FemaleDirector sema alikua anajulikana Tz pekee ila huku sisi hatumjui
Bado rose hajafika mboga
Riseee wewe noooma 😊😮😮
sikoliza ngoma ya DOGO DEE nayo noma...
Ww npo nae hap rose ree ni noma ngoma nikali atulizeee wenge
Akunakitu apo Tanzania🥱😴😴👎👎
@@Alex-zq6inmwambieni omollo arudi studio🤣🤣🤣the goddess is goddess
Nasema kila siku ikitokea international beef Rosa Ree ndio mtetezi wetu
Anaimba Kama mkenya
*Kurap
Rosa ree tumemlea wakenya
@@stanleynyale2755 Ndio muache kum Disrespect coz she knows where to hit hard, ona vyenye Omollo ame humble instead of diss amekam na inspirational hit 🤣🤣🤣🤣🤣
@@alimwema Haimbi kama mkenya ila kwenye hio diss track ameimba ivo ili wakenya wamuelewe koz the diss iko directed kwao, enda sikuliza her other hits uone she doesn't use Sheng
Kiukweli OG ameregesha wabongo kwa game😅😅
toka kenya ila nmekubali rosa ree amefanya jambo linalokubalika
Hii kiswahili si ya mkenya
😂😂😂😂😂😂😂😂jmn
Wewe ni mtanzania wacheni kutumia Jina Kenya,ila khaligraph ni moto wa kuotea Mbali🔥🔥🔥🔥💯
Waaaaapi ... Skiliza disstrack ya Jones kwa black bones ndo utajua rosaree ni kuhurumiwa tu ... Ktoka atokwe na kenzo Amna hit Yule
ROSA REEE AMETUHESHIMISHA SANAAA
Roza Ni King nani qween
I call trio mio
Kwa hio Tz inaongozwa na wanawake ndio maana
Bila mwanamke usingekuwepo wewe fala
@RonnieBertin Fala ni wewe Mwenye imekuuma kumamako mkundu wewe
Mom omollo mbaya sana ila dah msodokiiiiiiiii wapiii
Khaligraph ni msanii zaidi ya wasanii maana ana Sanaa pia ya kuwakumbusha majukumu waliolala. Big up kwake ila hii batle nimelifuatilia nilipomskiliza mama ommolo 😂
Hakuna msanii amewahi kulala just coz hufuatilii hip hop haimaanishi rappers wamelala si juzi tu Young Lunya aliamshana na Young Kila?? Before that kulikua na Rapcha vs Dizasta Vina... sikilizeni hiphop mjue kinachoendelea
Hahha OG kaamsha game. Afu maua yake tumpe manake ni rapper mkali no one can bet on that ila kiukweli East Africa wapo wakali zaidi yake. Tuanzie UG kuna kina Navio, kina Keko, Tz Kuna kina Fid, FA, Stamina, Rwanda wapo pia kina Riderman. Labda atafunika kiulahisi huku kwetu Burundi ndo naona HipHop sio big deal. Ila kujiProclaim easily hivo sidhani ni ok!!!
Motra the future, has better diss
Baada ya kuumiza kichwa nini I wafanye wanakurupuka kujibu ujinga mwamba kawachalenji
Kaligraph kazungumza ukweli kabisa,wabongo tunapoteza ualisia wa mziki wa bongo flaver kwa kupenda kuiga vya watu bila kuwa wabunifu kwenye mziki wao,hip hop bongo imebaki kuwa history now days hakuna hip hop wabongo tukubali na tupokee challenges tunarudi nyuma kwa kupenda kuiga vya watu
Rapper kujibiwa na mwanamke nidharau sana mazee,wanaume wamempa mwanamke means nilevel yake Kaligraph,but Kaligraph Johns nimwamba kaamsha rap muzik maana ilikuwa imelala
Na hao waume wote wamejibu pia n wanawake?😂
Na hao waume wote wamejibu pia n wanawake?😂
Muongee kiswahili sisi watu wa nairobi tutaelewa
Rosa ana flow ya OG
Rossaree amefunika
In my own opinion I think this is a set up between diamond & Khali. Mbona diamond wakati Khali alivyo Anza kuwashambuli wasani wa hip hop wa bongo , diamond alimsalute na Khali alivyo toa hii Ngoma yake ya bongo fleva ambayo ni new diss yake anamsifia sana diamond why if it's not set up!?
Mama omolo ni jibu tosha
Nipitie nifike 1000subscribers tafadhali
Exactly
Kayakanyaga mawaya wacha apigwe na cheche, sio poa. ROSE REE tu kakukalisha.
KALIGRAPH MTU sahihi Sana walikuwa WAP kufanya kabla hajaongea WABONGO chuma kimelalia Ukingo wa Reli.
This time Tz mtatii na Rap game.
hamna any hapo...mchongoano tu...ngoja OG arudishe uzito mtatii
huyo kaligraph ameyakanyaga..
Mtu mmoja Zaid ya watu hamsin
Nipitie nifike 1000subscribers tafadhali bwana.
Kina breeder wako 😅
Endeleen kushinda inst na vichambo mwenzen anatoa Ngoma kal
Jamaa kayakanyaga hapa bongo hatuwezi
Ashindane namama yake nadia
TZ munaongozwa na wamama tumejua ss
Oya mama omollo kaua ila makaveli sio poa wazee au hamjasikilixa
Omosh amewasha moto
Huyo sijui bullshit Rosa (rasa) Ree hajafanya kitu kwa hiyo mnaita diss track. Khaligraph shouldn't respond to her ila Femione or Ssaru wa Manyaru amjibu. Peace.
Si alisema Leo ana release mbona kimya hadi sasa karudi kujipanga buddaaahhh 😂😂😂😂
Ajibu si alilitaka mbona mpaka sasa hajatoa nyimbo yake kaenda kuirudia?
@@FemaleDirectoramewacha umbwa zibweke kwanza
Rozza ree ni mtoto mkali
ILA UKWERI RAPPER WA BONGO WANA ZINGUA SANA WAMEACHA RAPP WAMEINGIA KWENYE MAPIANO RAPPERS NA AMAPIANO WAPI NA WAPI MWANANGU MSODOKI UNAFELI WAPI
Kasabuni alikaminya hako katoto kanajiita goddess, yaan kali ndio baba East Africa
Umemsikia chindo au
Rosa ree amekanyaga pabaya kwa sababu Khaligraph anamrudia
let him come...leeet hiiim comeee.
The question is, are you ready for The ODF, Omollo Defense Force?
ODF watafanya nini kama Omollo mwenyewe ame humble 🤣🤣🤣
Tumekiona chaukwe sana
😂😂
Kwanini amjazungumzia ya chindo hamjaiona au