Khatibu Wa Vetenari (Kishki) ....... Amkufurisha Sheikh Nabahany

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @YusufMatianyi1388
    @YusufMatianyi1388 Рік тому +1

    Jazakallahu kheyra Shiekh letu kwa Urekebishaji upotovu wa Mawahabi

  • @sabrajuma859
    @sabrajuma859 7 років тому +4

    safi sana sheikh mohamed al hatimy kwa kutuweka sawa na endelea na moyo huohuo

  • @abasialiy4647
    @abasialiy4647 7 років тому +4

    kishki bado mdogo sana kwenye watu wenye elimu muacheni arekibishwe waislamu tusomeni tusifuate mkumbo,mungu akuzidishie elimu na akuruzuku ufahamu shekh

  • @abdula4014
    @abdula4014 2 роки тому +1

    Maasha Allah sheikh Muhammad. Nimeelewa Kuna wanazuoni waliosoma na wenye ilm, na wengine hawajasoma nawamejaaliwa ilm, na wale waliosoma lakini hawana ilm.

  • @omarisimba8864
    @omarisimba8864 Рік тому +1

    MashaAllah Allah azidi kukupa muongozo Shekh Alhatimy

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi5638 5 років тому +3

    Allah Akbar Allah tuongoze sheikh wangu wa kenya maneno yako mazuri

  • @juma6454
    @juma6454 Рік тому

    Mashalh wasomi wapo kenya .na mungu kuzidishie elimu na kutusomesha ktka hili n mengine

  • @hamidmaulid5232
    @hamidmaulid5232 8 років тому +1

    ndugi yangu fatma buyusuf sheikh al hady yuko sahihi hata allah shahidi wa hilo MANA NI MARA YA TATU MTU MMOJA YY KUTOLEWA MAKOSA MBONA KUNA MASHEIKH WINGI TANZANIA MA YY SHEIKH AL HADY HAJAWAFANYIA RADIY allah akulinde na kila hasidi sheikh alhady Amiin

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +1

    Mashaallah ustadh Mohamed umejibu vizuri hata kama umeelekezwa na masheikh zako ujibu hivyo.Kinachoniudhi mimi marudio ya nurdin kishki ni mengi Sana na yanachosha sana.majibu umemjibu vizuri na jibu lake ni ndani ya dakika tano tu

  • @Fredrickmarinya
    @Fredrickmarinya 7 років тому +1

    Shekh Alhatym kadri Mwenyezi Mungu anavyokuwezesha mrekebishe ipasavyo hawezi wakufurisha Mashekh wetu kiasi hicho.

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +2

    Laula muhammadun maujudun makunna muhtadina Wala baqina alal hidaya( s.a.w)

  • @lamarwazza4323
    @lamarwazza4323 8 років тому +1

    sheikh al hatimy ahsante sana wallah... E'limu za ujanja ujanja hazina nafasi tena. sheikh kishki ludi sheikh darasani

  • @kakamama5104
    @kakamama5104 Рік тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤mashaalaah shekhewangu alihtimiy

  • @manishbishar882
    @manishbishar882 3 роки тому +2

    Weh sheikh una wivu bona husema hivo sheikh nurdin kishki ako sawa kwa maneno yake basi tupe tafsiri

  • @nganzirashidi1463
    @nganzirashidi1463 6 років тому +2

    Huyu sheikh nimemuelewa vzur sana. Huyu sheikh Elimu yake kubwa sana.
    kishki Ukasome zaidi

  • @nassormohamedmwarizo4433
    @nassormohamedmwarizo4433 6 років тому +12

    Kwa mwenye kufikiri atajua kweli Kishki amekosea. Huyu sheikh anatoa hoja kielimu sana. Mimi pia nilikua nna ufahamu huo wa Kishki lakini huyu sheikh kanishibisha.

    • @luuqmanabdi6052
      @luuqmanabdi6052 4 роки тому +3

      Nassor Mohamed Mwarizo ..nko Pamoja nawe kiukweli kishk kakosea sna.ila mungu ndie mjuz wa yote

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому

    Unarudia Sana kauli za sheikh kishki na kupoteza muda mpaka inatuchosha Sana .Dakika 30 nzima unarudia maneno yake.Bora ungerudia mara moja tu.Ungejibu tuhuma moja kwa moja ingependeza Sana.Afwan

  • @user412
    @user412 6 років тому

    Dah alhadiy unamkosoa kishk wakati wewe mwenyewe kiswahili haukijui.... ebu fahamu hutba ya kishk... hakumkufurisha sheikh nabahaniy..

    • @salaamclinicoftraditionalm3641
      @salaamclinicoftraditionalm3641 6 років тому

      Khattab Khamis ila kafanyaje???

    • @user412
      @user412 6 років тому

      Mohamed Alli Omari kiufupi Nenda kasome tawhiid utalipata jawabu lakn ukiulizia kwa mashekhe watakwambia ya kuwa hapa hakumkufurisha sheikh kama tunavyoona...
      Sikatai kuwa kishk amekosea lakini ndugu uyo anaekosea naye ana udhaifu wa kibinadamu na pia unaipima elimu yake ikoje ila ndugu nikusturiana na kutumia njia nzur Katika kukosoana......

  • @razaqwalulu530
    @razaqwalulu530 7 років тому +1

    ungemwendea tu kishki mwenyew bila cc kujua lakini sikukatakata maneno yake nakuyakosoa .shekh naona wapenda sana sifa .mche Allah shekh

    • @omariomari3393
      @omariomari3393 3 роки тому

      Angeanza kwanza kishk kuwaendea wasomaji wa kitabu hiki kabla hajawakufurisha waislam

  • @fettykhalfan7337
    @fettykhalfan7337 6 років тому

    wa sema shekhe kishki kakufurisha watu kwenye mimbar nawe wamkufurisha kwenye mitandoao inna lilahi

    • @aliabdalla9297
      @aliabdalla9297 6 років тому

      Fetty Khalfan hajakurishwa kishki hapa

  • @hamidmaulid5232
    @hamidmaulid5232 8 років тому +4

    mashallah sheikh muhammad alhady mungu akuzidishie elimu yenye manufaa ya kutufaa sote ni kuutoa umma ktk giza mungu akupe umri mrefu na akulinde na kila balaa amiin jazaka llahul khayri

  • @amishcadey8806
    @amishcadey8806 6 років тому

    namu penda sheikh kishki Allah amuhifathi

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      HAKUNA ALOMCHUKIYA KISHKI LAKINI ANAKOSEYA LAZIMA AKA SOME KWAUTULIVU

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      Hakuna aliye mchuki ana koseya sababu yaku koseya ni kuwa hana ilimu

  • @najibfatma5476
    @najibfatma5476 6 років тому

    Subunallah nadhani ungemfuata pembeni au ungetuelimisha kuhusu kitabu sio kumtaja jina

  • @saadjahadhmy103
    @saadjahadhmy103 6 років тому +6

    Mawahabi muna shida sanaa . Hamuezi kukubali ukweli . Na mukielimishwa mwatuita wanafki

    • @alhamudesser758
      @alhamudesser758 3 роки тому

      Ukweli Gani shekhe wenu nipimbi Hatoi dalili.dini niyanyanyake

  • @allymbasha8794
    @allymbasha8794 2 роки тому

    Ufafnuzi juu ya mstari huo wa kufuru sheikh tuelimike

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 роки тому

    Shekhe wa kenya nimekuelewa Allah akuhifadhi alkamalu llah yy ni mtu na kukoseya ni kawaida fadhakr

  • @kitotaabdillahi4609
    @kitotaabdillahi4609 5 років тому +2

    Kishki yupo sahihi. Hicho kitabu kina shirki ndanimo. Usituletee upumbavu hapa.

    • @sefuidi4535
      @sefuidi4535 5 років тому

      We nirashaia

    • @khalidmuhammed2903
      @khalidmuhammed2903 5 років тому

      Kitota Abdillahi unajua watu wanafuata mkumbo tu hawafanyi utafiti ila kina makosa kweli

  • @suleymanhureyn7013
    @suleymanhureyn7013 5 років тому

    ya sheikh Allah akuoneye huruma wallah na asikuazibu kwa husda yako , ayo mawaidha amekua anaeleza wenye husda ,

  • @mustafaabdullah9124
    @mustafaabdullah9124 4 роки тому +1

    watu wamatwariqa mtabaki huko mliko nasi masalaf tutabaki tuliko.Nakuheshimu sheikh lakini pia katika ukosoaji wako umejichanganya,pole...

  • @nooraallahuakibarumwenyeez3079
    @nooraallahuakibarumwenyeez3079 3 роки тому

    Kishiki unanichekesha na hizo nyimbo zako hhhhhh shekhe wee du

  • @hamzashaaban6942
    @hamzashaaban6942 2 роки тому

    Mashekhe wetu nyote tunawapenda lkitokea kosa ktika dini basi elezaneni kwa uslubu mzuri .dini haijaeleza mkoseaji akosolewe kwa njia ya hasira sote ni binaadam na kila mmoja nimkoseaji kosoananeni kiheshima.tunajua nyote mna uchungu na dini Nyote Allah atawalipa kwa nia zenu msigombane jamani .

  • @nadeemadams-mr3bs
    @nadeemadams-mr3bs 5 місяців тому

    Mashallah Al-Habib.

  • @ahmedmohamed-wm5ec
    @ahmedmohamed-wm5ec 6 років тому

    Shekh ahsante sn upo sahihi Jamaa aka some huyo huwez kumkosoa mwanazuoni kw matakwa yko mwenyewe watu wamejitahid ktk din wametung vitab zaid ya 50 uje ww ulosom miaka saba ujitie ujanja ktk dini asante shekh wasiilat shafy haijui undan wake yule angejua asinge sema hajawahipo kutokea mwanazuon ht mmoja akakosoa wasilat shafy wamepita vigogo wngp aje yy shekh wa juzi amkosoe ulamaa dah kweli kiama kipo karibu aombe msamaha huyo

  • @sulaimsameer2668
    @sulaimsameer2668 7 років тому +1

    Weww na kishki ni vitu viwili tofauti hata baada ya 10 years Huwezi kumkuta Nurdin kishki ...Qur'an yenyewe hujui kosoma

  • @abdurashidi4534
    @abdurashidi4534 5 років тому +2

    Kichiki Namba Wani Allah Akbaru Mungu Amuhifaz Chekhi Nurudini Kichiki

  • @sadikiyahaya6325
    @sadikiyahaya6325 6 років тому

    shekhe uko swa ila ungemuita,ungemfuta au ungempgia hta cmu mana nikpindi cha utandawazi.ila umejipanga kuja kumzihaki mwenzio wote nia ni moja kuilingania din ya hki na jua ndomana yy hajakujibu na kusema yy anamabomu ya nyuklia alisema .Jua hkuna anae ijua dini ila watu wanpishana kielimu kwa uwezo wake Allah aweke amani juu yenu.

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 6 років тому

    uko sahihi kijana, kaweke sawa hako kashehe ubwabwa, yeye no bingwa wa bongo flavour tu.

  • @abdulhalimmohamed3643
    @abdulhalimmohamed3643 6 років тому +4

    poleni wapenzi wa Kishki. vumilieni tu. Shekhe lenu amewekwa sawa. nothing personal.

  • @lydianasike2629
    @lydianasike2629 3 роки тому +1

    Nimekisoma sana Kwa kweli tulipokuwa madrasa kila asubuhi tukiingia madrasa

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 6 років тому

    Allahu ya Allahu ya Allahu ya majaalkasidi ya ghathau iko hiyo tangu zamani

  • @msramadhan2810
    @msramadhan2810 3 роки тому

    Hata kama nikweli kakosea lkn sio vzr kukosoana mitandaoni

  • @allychambale3242
    @allychambale3242 5 років тому

    Mimi sijapenda mambo hayo tumezoea kuyaona kwa wanabongo move wasanii wa muzik sasa mpaka mashekh mbona hawawasio na muongozo sahihi viongoz wao hawafany malumbano mitandaon

  • @mwajumahassan5877
    @mwajumahassan5877 6 років тому +1

    Nampen6a sana shekh kishki

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      UNA MPENDA HATU KATAI LAKINI HANA ILIMU HIBU MWABIYE AKASOME KWA MASHARIFU

  • @fahadhilal7887
    @fahadhilal7887 6 років тому +4

    Kishki Ako juu
    ....from kenya

  • @abdallahathman7013
    @abdallahathman7013 7 років тому +2

    asalam aleikum sheikh una wazo zuri masha Allah walakin unachofanya kumjibu kwenye mtandao ni makosa. kila muumin hukosa na akikosa unamrekebisha walakin si kwa video

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 роки тому +1

    صلى الله عليه وسلم

  • @abdulahrasambi235
    @abdulahrasambi235 8 років тому

    tofauti na Huyu Hatton.. hata kwa dawa kishk awezi mfikaa she ismail nabahanii kielimu doo kishhk Omba msamahaa tafadhali

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      Kabise aombe msamah kwa mngu na kwa shekh wetu

  • @ahmedalmahrooqi9542
    @ahmedalmahrooqi9542 8 років тому +2

    Mnamuonea donge tu ,nenda mbele uko na husda zako ,Kishki yupo juu

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      TWASIKITIKA HANA ILIMU

    • @zubeeihamisi8439
      @zubeeihamisi8439 6 років тому

      Wehamed wacha upumbavu mtoto mdogo sana unawezakufananisha elimu ya kishki na SHEKH mohamad

  • @khatibujuma2080
    @khatibujuma2080 6 років тому

    unasaut mzur kwakutanhaza mpira

  • @bintsalim759
    @bintsalim759 8 років тому +1

    ukitaka kujua uwazi wa Hasama hizi search 'kishki awake wazi'

    • @hashimiddi4789
      @hashimiddi4789 4 роки тому

      We shekhe huna hoja kishki kasema kweli

  • @aishakinia4957
    @aishakinia4957 4 роки тому

    Ungemtafta private mukachambua vitabu lkn sio kwa hali hii.... Subhanaallah lzm mushikamane ndio umma upate elmu. Kama kakosea mtafteni pravate hakuna mkamilifu

    • @salimlutfimohamed832
      @salimlutfimohamed832 4 роки тому

      Amesema mwnywe aje ajibiwe na yeyote angemfuata private ungeelimika vp

  • @hawamusa2451
    @hawamusa2451 7 років тому

    Huna lolote unamuonea wivu sheikh kishki , unatafuta umaarufu Kwa kumchafua mwezio acha chuki sheikh kishki ypo juu,,,Allah kashampandisha daraja ww huwez kumshusha ,,,roho mbaya inakusumbua ,,,lione vile ovyoo

  • @leluuomar221
    @leluuomar221 8 років тому +14

    Hana lolote anachuki tu juu ya sheikh wetu KISHKI

    • @abdulahrasambi235
      @abdulahrasambi235 8 років тому +2

      apo nielimu2 arekebisha kishk. kweli amfiki ismail nabahani kabisaaa

    • @rsmadhanisala4466
      @rsmadhanisala4466 8 років тому

      kishk pumbavu

    • @fatmaomar6286
      @fatmaomar6286 7 років тому

      Rsmadhani Sala سباب المسلم فسوق وقتاله كفر
      hadithi ya mtume hii yasema kumtukana muislamu ni dhambi na kumuua ni kufr.
      chunga ulimi wako

    • @ibrahimkhatib2154
      @ibrahimkhatib2154 7 років тому +1

      unao akili timamu?? vipi wamtukana muislamu mwenzako

    • @rsmadhanisala4466
      @rsmadhanisala4466 7 років тому

      Kishki anapotosha watu sana hasa wale wasio ijua dini

  • @ibrahimabdulrahman4301
    @ibrahimabdulrahman4301 8 років тому +1

    Shekhe Alhady watoto wa kitwarika wenyewe wasema kuwa hzo raddi zko zte waandkiwa na fatha na kasra watiliwa na mwanafunzi wa mambrui. kuwa na ikhlasw kaa uchuwe!!!

  • @mohamedumri4176
    @mohamedumri4176 2 роки тому

    Sheikh Muhammad waislam wanakutegemea, Sheikh Kishk tunanawategemea Elmu haina tofauti na bahri tunaomba barka za elmu zenu musidhalilishe uislam. Uislam unamaanisha Amani

  • @fatmabayusuf595
    @fatmabayusuf595 8 років тому +15

    punguza ushindani kama mwenzio amekosa unamfuata private.ukimstiri muislam mwenzako na ALLAH atakustiri.kama hoja yako kua kishki amewakufurisha watu kwenye mimbar basi ww na yy una tofauti gani? ?

    • @hamaddede464
      @hamaddede464 8 років тому +1

      elimu haifati ila inafatwa hlo la kusema afatwe ni kosa kubwa

    • @fatmabayusuf595
      @fatmabayusuf595 8 років тому +4

      +Hamad Dede hapo ni sawa. iloniudhi ni vile anavyoongea.ukimtoa mwenzako makosa kwa uzuri hata alokosa atakufahamu zaidi na wengine wanaoskiza pia.

    • @oyay2821
      @oyay2821 7 років тому +2

      amekashif hadharani na yeye arekubishwe haradharani

    • @neemaabdi4791
      @neemaabdi4791 6 років тому

      Fatma Bayusuf ,hiyo hana lolote ,Ni kutaka kumdhoofisha tu nurdin

    • @salumkawa7333
      @salumkawa7333 6 років тому

      kwann yy alisema private au kwenye member

  • @shifaa3327
    @shifaa3327 6 років тому

    Abdi rogo sijawahi kumsikia akijisifu.Othman maalim sijawahi msikia kujisifu hv.sheikh samir,sheikh ibrahim,bachu n.k sijawahi sikia

  • @salimmohamed694
    @salimmohamed694 6 років тому

    Unatafuta kiki na followers ... mnafiki ww

  • @allymswaki6422
    @allymswaki6422 6 років тому

    Weweni nnafiki usinsengenye shehekishik haunahoja

    • @allymswaki6422
      @allymswaki6422 6 років тому

      Wewe no npuzi naninshari hauna hazikatika waisilam haufai kuishi katika dunia kamaunawivu mwambiakufundishe hautojulikana walahaunahaya

  • @Fredrickmarinya
    @Fredrickmarinya 8 років тому +4

    Ni swahihi kabisa maamuma wanatakiwa kuelimishwa lakini kabla mtu hajapanda juu ya Mimbari ni vyema ukaaliza kitu ambacho huna uhakika nacho au hujaelewa vizuri Mkoa wa Dar Es Salaam kuna wasomi wakubwa saaana achilia mbali mkoa wa Tanga, Kigoma na Kisiwa cha Zanzibar ni kweli alikosa Shekh wa kumfata akamuuliza uhakika wa Shekh YUsuph Ismail Nabahany, masikitiko makubwa saaaaana.

  • @abdulshakurabdilah2588
    @abdulshakurabdilah2588 6 років тому +1

    Na izo ibara hujamfahamu weye

  • @abdirahmanvideos555
    @abdirahmanvideos555 7 років тому +1

    am sry for u sheikh.may Allah gaide us.kumsisitizia makosa kwa mtu asiye kuwa na makosa si vizuri.

  • @jailanirazack3074
    @jailanirazack3074 4 роки тому

    Njoo nikusomeshe lugha

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 6 років тому

    Hahaha akitowa mawaidha haha atowa utendi haha ajifanya sana

  • @razaqwalulu530
    @razaqwalulu530 7 років тому

    Huna lengo lakumrekebisha kishki Bali unatafuta kiki tu shekh wangu nalemba lako kubwa kweli

  • @mohamudyaya8278
    @mohamudyaya8278 8 років тому +1

    Wewe sheikh mbona iyo video unaikatakata

  • @shifaa3327
    @shifaa3327 6 років тому

    Mm nawapenda mashekhe wt ela mt nikiona makelele meng hw simtizami tena

  • @safari34410
    @safari34410 8 років тому

    Acheni kushindana waislam

  • @sheikhabdulrahim7740
    @sheikhabdulrahim7740 5 років тому

    Mbona wajirejelea rejelea

  • @shkjumaa7270
    @shkjumaa7270 4 роки тому

    huyu ni shehena siyo sheikh

  • @gogodorama5600
    @gogodorama5600 7 років тому

    Mm Sijui ila hekima inahitajika zaidi kwa aliekosea kurebishwa njia uliyotumia sio sahihi ungelimuita ukamrekebisha na yy kwa hekma alizonazo angelirudi tena vetenar kujisawazisha

    • @omariomari3393
      @omariomari3393 3 роки тому

      Alipaswa yeye kishk kabla ya kupanda ktk membari angewaendelea wenye kusoma hicho kitabu awaulize

  • @husseinshebe4823
    @husseinshebe4823 9 років тому +1

    ikiwa mashekhe hugombana jee sisi wafuadi tutaelimika vipi

    • @hamaddede464
      @hamaddede464 8 років тому

      anarekebishwa huyu na wala hawabishani .....................coz kizuri kipi kwamba aendelee kukufurisha masheikh wakubwa hata walomfundisha yy hawafiki ama arekebishwe

    • @bintsalimalbimany9373
      @bintsalimalbimany9373 7 років тому

      Na mimi ndio najiuliza hapa Yarabistara tu

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      wewe msikize muhamad

  • @sizasaidi6715
    @sizasaidi6715 2 роки тому

    Bd anaufahamu vizuli ao mawahabi niwauwaji kwaiyo tumsamehe bure sioakiliyake

  • @meyramahir9055
    @meyramahir9055 6 років тому +1

    Sheikh kishki mungu ampe umri mrefu enye baraka. But wewe sheikh mwengine tafadhali wacha wivu

  • @hamzadaud3074
    @hamzadaud3074 8 років тому +1

    (Kishki) hawezi kumfikia Sheikh Nabahany kwa elim hata kidogo

  • @abuahmad1206
    @abuahmad1206 6 років тому +1

    Ww kweli wamfikia kishki katafute elmu

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 6 років тому +2

    Mukitaka musitake Kishki hana ilimu aende madarasa

  • @hawraymuncw9893
    @hawraymuncw9893 4 роки тому +2

    مشكلة الوهبية لا يفتهمون لأن في قلوبهم أقفال

  • @TheNgalawa
    @TheNgalawa 3 роки тому

    Huyu Jamaa Pumba kweli, mana mi ata simuiti shehe, mana hakuna ushehe kama huu

  • @amirikhatbu3850
    @amirikhatbu3850 7 років тому

    Wewenikiboko wawa habi

  • @abdulrazaq212
    @abdulrazaq212 6 років тому +3

    Hawawez kuku elewa shekh muhamad elimuzao ni ndogo wenyewe wanafata matamanio kwakua wanampenda kishki hiyo tunaita elmu bahari hawa wezi kukuelewa

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      Hwataelewa HAO NI WA POTOFU Kishki hana ilimu huyo nabahero

    • @khalidmuhammed2903
      @khalidmuhammed2903 5 років тому

      Sasa musiambiwe ukweli hem nenda kaangalie icho kitabu maneno ya shirki hayapo kweli

    • @nin-geed-saaran
      @nin-geed-saaran 5 років тому

      "Elmu bahari" subhanallah

  • @sammo6090
    @sammo6090 5 років тому +1

    Kwaiyo tumeletwa na Allah kwa lengo gani hata useme hatujaumbwa kwa lengo na husda zako moyoni

  • @achiwaachiwa3425
    @achiwaachiwa3425 7 років тому +7

    sheikh kwa njia kama hii ya utoaji wa mawaidha hujengi dini na ni dalili ya unafiki na ugombaninashaji wa waislam.... wewe kama umeona Sheikh Kishky amekosea huna haja ya kutoa cd mfate mwenyewe ukamrekebishe... Tuwache unafiki waislam utatufikisha pabaya

  • @omaryshafii50
    @omaryshafii50 6 років тому

    Jamani 2chunge ndimi ze2 co kila 2naloliona au kulickia tulitolee fatwa! Hata comment ze2 2ziangalie 2we na hikhma. kuna haja ya masheghe we2 hasa wanao2100 kiswahili kuwa makini wakat wa kutoa fatwa kwa7bu CD zinackilizwa na kuangaliwa na waislam wengi xana na hata wasiokuwa "WAUMINI " Allahu yaalamu..

  • @mzeemwamguno9367
    @mzeemwamguno9367 5 років тому

    kauli zako sio zakurekebisha mtu niza kashfa, kauli zako zafanya watu kumtukana shekhe kishki jukumu lako kwa allah

  • @nassrajape2280
    @nassrajape2280 6 років тому +1

    Kosa la sheikh kishk ni kwamba hajauliza kabla kusema ,angeuliza hapa kuna mania gan

  • @khaulatmohammed3765
    @khaulatmohammed3765 5 років тому +1

    Acha ujinga weee nyama wee kujifanya unajua kwan huyo shekh kishki kajiumba Hakuna binaadam dhaifu umenikera sana

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 6 років тому

    katika masheikh wapuuzi nisiowapenda dawa zao ni kishki, anapenda misifa mno, ya dini hayasimamii yuko pamoja na matwaghuti, hana inshu.

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      Mpelekeni huyo kishki madrasa riadhwa ajifanya sana hata hajuwi kuzunmza hata kidogo

  • @khamissalum9285
    @khamissalum9285 5 років тому

    Nyimbo.zake yeye kapewa.wahayy

  • @yasminhussein4402
    @yasminhussein4402 6 років тому +1

    imefika waislamu kwa waislimu wagomba da! mnatufundi nini sisi wanafunzi wakesho dunia inaisha my Allah protect us all

  • @RekhaRekha-es8br
    @RekhaRekha-es8br 6 років тому

    Asalmu alekum kabisa ajifanya sana akizungumza kama yeye ni yeye hakuna shekh mungine nimashiaa hao usi stop edeleya kuwa faha misha shekh weto mungu akuweke ndiomana akapigwa huyo bahero huyo na huyo rafiki yaki kishki

  • @adamjutto7893
    @adamjutto7893 5 років тому

    Mwanaume wao qaasim mafuta,nawashauri wote wakasome kwake

  • @rahmamohammed2016
    @rahmamohammed2016 8 років тому

    Tuchunge sana ndimi zetu cc tunao Komment

  • @shifaa3327
    @shifaa3327 6 років тому

    Mm nisiseme uwongo kishik khutba zk hata sizifahamu hasaaa rabda atowe kisa kidogo hw namuelewa

  • @idrissam.kassim8620
    @idrissam.kassim8620 8 років тому +1

    bora asa alivokoselewa maana anajifnya uyo kishki

    • @dullafire3562
      @dullafire3562 6 років тому

      Idrissa M. Kassim arudi madarasa

  • @alishariff8657
    @alishariff8657 6 років тому +2

    Huyu kishki anajiona anaelimu sana mpaka sauti yake zinasikika ndani bar.bure kabisa!!!!

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      Anajifanya sana ati yeye ni shekh shekh hajifanyi hivo

    • @alishariff8657
      @alishariff8657 6 років тому

      Rekha Rekha that's true kishki ni show off. Bure kabisa

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      ANA TOWA UTENDI TENA ANA VUTIAAAA SHEKH WAKI FAKHARI WALA HANA ILIMU HUYO KISHKI

    • @RekhaRekha-es8br
      @RekhaRekha-es8br 6 років тому

      Ali asalam alekum huyu kishk anaudhi anaharibu dini

    • @alishariff8657
      @alishariff8657 6 років тому

      Rekha Rekha wallahi tena

  • @abuaminmadi9911
    @abuaminmadi9911 2 роки тому

    Nyote wawili sio wasome ispokua muna punzi za kunguzungumza

  • @mohamudyaya8278
    @mohamudyaya8278 8 років тому

    Wacha mungu hua hawashindani lakini duh kweli ni ustadh wa kujimba video ya kish hujamalizia mpka mwisho sijui una maana gani Allah knows best

  • @ahmadchitanda6149
    @ahmadchitanda6149 5 років тому +3

    Una lolote unatafuta kiki mpumbavu

  • @Officialmasaikhan
    @Officialmasaikhan 7 років тому

    Mwenye zimungu amese ma man satara musaliman satara llahu youmal qiyamah

    • @salaamclinicoftraditionalm3641
      @salaamclinicoftraditionalm3641 7 років тому

      Hadithi hiyo hapo siyo sehemu yake
      Haihusiani kabisaaa
      Maana kama Muhabiya wewe ni mkweli nasiye Munaafiq bac ungemwambia Kishki amstiri Sheykh Nnabahaan kama yeye kaona kuwa kakosea
      Lakini waapi...!