NIT: NJOONI MTIMIZE NDOTO ZENU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 лип 2023
  • Chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT, kimeshiriki kwenye maonyesho ya 47 ya biashara ya kimataifa maarufu nchini tanzania kama sabasaba, katika maonyesho hayo ambayomaelfu ya watazamaji walifanikiwa kupita kwenye banda la chuo cha taifa cha usafirishaji na kujipatia taarifa mbalimbali ikiwepo tafiti mbalimbali za masuala ya usafirishajizilizo fanywa na wanafunzi pamoja wa wakufunzi wa chuo hicho

КОМЕНТАРІ •