Kazi mzuri man ... lakini mbona mgeni wa kijiji hatokei mara nyingi kwa kipindi na pia mganga baisa tunataka kuskiza sauti yake coz huyo jamaa anajua kuigiza part yake kabisa...❤❤❤❤ Much love from Kenya...
Boncena vp mbona atuiyelewi mgeni wa kijiji na tuliachia Boncena ushampata mganga baisa ambae ni kakako mbona saii ni tofauti ama nyie wenzangu mnaelewa😢
Mimi sijawai pewa like bonsina
Utamu wa movie ndio ushaanza, nipeeni likes zangu wakenya na tumsupport mkono boncina
Kenya tunabambika man tulikuw tunasubiri lkn hatimaye ishafika❤❤❤
Nuch love mugrni wakijiji mama vidume TikTok from USA ❤🎉😂
et akili zangu kama matako ahahah😅😅😅😅
kali sana
Asa movie ndio imefikia patamu sana asa musituache njia panda tena😂😂😂😂😂
Nimechekewa lakini sio sana🎉🎉
Nawapenda Sana wapendwa Allah awazidishie sana ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Boncena hii filamu tamu sana❤❤❤🎉🎉🎉
Team fulusi hapa nawapenda nyote wadau wa mgeni wa kijiji 🇰🇪🇸🇦
Number one from Asia 🥳🥳🥳🥳🥳🥳
Hujambo
Uko poa
Yaaaah kuna utam na una utam tena,,, sasa uu utam tena,,
.maajabu ya mganga kapona hoyeeeeeeeeee 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤rosi hapo vp
Namkubari sana mwanangu kobelo big up sana
Wakwanza Leo kutoka mbalizi
Wamwisho jamani😂😂❤❤❤🎉🎉kobero kaoa😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Kazi mzuri man ... lakini mbona mgeni wa kijiji hatokei mara nyingi kwa kipindi na pia mganga baisa tunataka kuskiza sauti yake coz huyo jamaa anajua kuigiza part yake kabisa...❤❤❤❤ Much love from Kenya...
Kobero ndevu zishagima😂😂😂
To much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🎉🎉
Wow mlikua wapi mda wote twawamisi😊
Leo wapili jamani naombeni like zenu
Weuuuu leo pia naomba likes kenya, team strong❤
🎉🎉🎉
@@officialphoebe2 hugs
Hapa ni 🔥 I think naipenda❤❤
Mekuwa wa kumi Leo naombeni hata like kumi tu
Halafu cjapenda ivyo mnavyo ita wake zenu (mama)sio poa😢 ila hongereni kwa kazi nzuri
Unyago nzur ila unazingua mwendelezo 🎉🎉
Niwakwanza naomba like zangu 500 tu jaman
Kali Kali sana jitaindini msituachize kama ili ingine .iii tunaiitaji add mwisho kabisa
Kama Wendy kafika ❤nitegemeye piya kumuona belina ❤❤ much love from Congo 🇨🇩
Hatari sana kobelo 😂😂😂
Wazembe muhusika mkuuuu mnampa mkia
wow Amazing❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hii ya leo imenoga dana .hadi mis docta yupo😮
Bonsina washa moto❤❤🎉🎉
Mautam yanazidi.unajitahidi boncena unawahi kutoa mashaallah❤❤❤❤❤.ila kobelo we kiboko yani unaongea kambe ulimeza memory😂😂😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤yaaan mwatupa Raha kweli hongereni saana 👏👏👏👏👍👍👍❤️❤️
Nilimisi kobelo kkkkk yani anani flaisha sana nikimuonatu sio kicheko watching from Europe
Kazi ni nzuri mno hii,Hongereni sana ❤❤❤
Munayicelesha sana iyi muvi
❤❤ unapendeza saana
Mariam from Malawi
Nice job 💪🇧🇮🇧🇮
Gumbwa uwache tamaa 😂😂
Kz safi sna🎉🎉
SIJAMUONA MGANGA SIKUYANGU HAIJAWA POWHA ILA NAJUA ANAKUJA NA KITU CHA MOTO KAMA UNAMKUBALI MGANGA GONGA LIKE APA 🇰🇪🇰🇪💯💯
Congratulation ❤❤❤🎉🎉🎉
Mnipe like zang
Poa sana but inakuja polepole
Kopero akupenda sana congratulations
❤❤❤❤sharifa dady from Oman nawapenda sanaaa mnajitahidi ile mbayaaaaaa
Kumekucha bony hebu mpe kitu kizito
naisubiria part 4
😂😂😂😂kobole ulitoa mahari mdizi 😂😂😂🎉❤
😂😂😂ila kobelo jamaniii 🥰
Kwan unyago iliisha nimeimis kanjimbo kale😂😂😂
Kobero nahitaji mimba mganga wawenye hawazai mm nahitaji bac😂😂😂
Utuletee na unyago pia mkubwa
😂😂😂😂😂😂kobelo is in love😂😂
Wangapi tunaona mgeni wa kijiji imekosa ladha tuloizoea?😢
Kabisa
Much love from saudi
Boncena vp mbona atuiyelewi mgeni wa kijiji na tuliachia Boncena ushampata mganga baisa ambae ni kakako mbona saii ni tofauti ama nyie wenzangu mnaelewa😢
Angalie ep 01 seson 03 ndugu utaelewq
❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂 very nice one say hi to kobelo
Cjachelewa San ,,from saudia
Ongereni sana
Eps ya ovyo kuliko zote
Congratulations 🎉🎉🎉
Ni nzuri kiukweli
Kobelo bhna so pw
Leteni episode 4 🙏🙏🙏👍👍
Kobeloooo 😂😂😂😂mahaba ndindindi
Vitu vikali sana
Naipenda San filam yako bosina
Kazi nzuri❤
Rose umekua kazuri shavu dodo
Hatari sana
❤❤❤🎉🎉🎉
Mungeni ninani❤❤
Kobelo 😂😂😂🎉🎉
Kama vile rose ako na kobero ntafutilia hii series paka mwisho
Hatariiiiii
Much love from DRC 🇨🇩
Nyooo umaraly y to gumbwa
Fanyeni baasi hata vipande vitatu angalau
Kwan hii movie ni ya kobelo?????? anabooo story mingi bonicena kuwa active
Kobelo nakuzoom tu 😂😂😂😂
Love one ni poa sana
Wa kwanza kutoka Kuma Moto jjapan
Wa kwanza naombeni like zangu guys ❤❤❤😂😂😢😢❤❤❤🎉🎉
Murch love
Watu washafika kitambo huku😅😅
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hivi sawa maliza moja fata ingine
Noma Sana
Ivi likes ni za nn ???? Alf boncina ana talent show au
Kali,sana
Fireeeeeeeeeeeeeeee 🔥 🔥 🔥 🔥
Mambo ni moto😊
I'm not late all the kisii beautifuls gather here
Dugu Sabi huyokobelo n wanyumban