Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

RC CHALAMILA USO KWA USO NA WAFANYABIASHARA WA K/KOO WALIOANDAMANA HADI CCM, "TUMEANZA UHAKIKI TENA"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лип 2024

КОМЕНТАРІ • 10

  • @user-ry8xf1no2s
    @user-ry8xf1no2s 25 днів тому

    Ongela sana mueshimiwa chalamila

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 25 днів тому +1

    SERIKALI INAFANYA KAZI KUBWA MNO KUTENGENEZA MAZINGIRA YA BIASHARA NA SISI NI JUU YETU KUPIGA KAZI NA KUACHANA NA POROJO.
    MPIGE MARUFUKO KWA WENYE HOTELI KUTUMIA MKAA NA KUNI ILI WASILETE TENA MAJANGA NA UHARIBIFU WA MAZINGIRA, NA BIASHARA YA MBOGA NA MATUNDA PIA IFANYWE KISASA SIO KURUNDIKA TU VITU HOVYO.

  • @devangandhl2255
    @devangandhl2255 25 днів тому

    Tupo na uongozi wa kwenda kulalamika kwa wakati huu.tuutumie vizuri

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 25 днів тому

    Kaongea ukweli and Uhakika huo vipi mtu mmja maduka zaidi ya moja na wengine mpka wanakosa not good kabisa

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 25 днів тому

    Fremu ndio bei inapaa mara mbili. Wanyonge tutaeza pango kweli

  • @whatisthetruth.8793
    @whatisthetruth.8793 25 днів тому

    Nchi anaendeshwa kibanafai

  • @dizzosukariyaoSukariyao
    @dizzosukariyaoSukariyao 25 днів тому

    Habari za Chadema sijaziona huku chombo cha habari kinabagua sijui kwann

    • @MnubiMm
      @MnubiMm 25 днів тому

      Zinakujaje humu habari za chadema humu hawaongelei Biashara ya siasa hebu acha siasa katika Maisha ya watu

    • @dizzosukariyaoSukariyao
      @dizzosukariyaoSukariyao 24 дні тому

      ​@@MnubiMmAcha ushabiki kwenye office za CCM wameenda kuchukua nn tumia akili hiyo nisiasa Kobe wewe