Darassa ft Jux - Leo (Official Music Video) Sms SKIZA 9048058 to 811
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- Watch and Share New darassa's Brand New Video "Leo" featuring JUX. Audio By Abbah Process and Video Directed By Hanscana.
For Booking: Contact +255786175484
Email: darasa.clasic@gmail.com / geoffaya@gmail.com
Also Listen WorldWide on
backl.ink/1959347
Follow Me on:
Instagram: / darassacmg255
Twitter: / darassa_cmg
#darassa #jux #leo
Wenye wanerudia ku watch video na kuskiza ngoma zaidi ya mara moja na kukimbia kwenye comments gonga like twende Sawa
#much love from Kenya 🇰🇪
Manze darasa kama ulifanya muziki Ikakuwa anthem kenya for an year mbona nisiskie leo, wapi likes majama. Msinipite tafathali
Pole kwa kuchelewa kwenye comment section si unajua foleni 🔥🔥🔥 Love from
+254🇰🇪
Sijalalaaa....kama ni mzuka pandisha!....you know now
Oyoooooooooooooo! Kama ......limechanika.............kama ni kishindo tingishaaa...kama ni mzuka amshaaa....kama ni mnazi katkaaa
Ma fans wa darassa wacha tuwahesabu kwa idadi ya likes....... Jamen darassa anaweza na hakosei +254 much love
Imeweza hadi huku +254🇰🇪💯💯...nasubiria likes za Darasa na African Boy👌👊
Umefika tayari kijana
@@febamohammed2989 si unajua jana si leo #leo_ni_leo
good sana brother like kwa sana
From kenya..nipeni likes kama tano za huu wimbo mtam
Sweet likes
ua-cam.com/video/4d4SqGGQgSg/v-deo.html Rayvanny upole wako
Rose Gathoni Welcome new artists from Africa -traditional songs ua-cam.com/video/X0pJz5hFg8o/v-deo.html
Welcome new artists from Africa -traditional songs ua-cam.com/video/X0pJz5hFg8o/v-deo.html
kwani wee ndo umeimba....ufala
Mamama si hii ngoma ni moto..nipeni likes mbili tu juu hii ngoma ni 🔥🔥🔥
Hezekiel Mwadime
Nimekukubali sana darasa song la ukweli
😂😂mwadime🔥🔥
Nice song
Mazungumzo baada ya habari...,cheza mbali maana hali sio shwari..💯.....no one like DaraSsa👊........hatuwezi zuiaa wimbo zako wacha zingonge🎼🎧
If he's not the best new generation rap king Then I honestly want to meet the real one now💯💯🔥🔥🔥
Kama ulijua cheche imekuwa kasheshe,, hauwezi kuzuia mvua acha inyeshe.🎼🎼🎼🎤 Darasa nakuelewa sana Like nyingi kwake
Itasumbua kama ile ya maisha na muziki? Kama ndiyo gonga like twende sawa
nakubali darasa bado na sikiliza
Hatr na nusu
Wa kwanza kukoment
Kama unamkubal darasa like zake hapaa 🔥🔥✅✅
ua-cam.com/video/tcPtATk88Nc/v-deo.html
ngma kali
Good
Darasa is underrated, one of the best rappers in EA, respect from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
My fev rapper in East Africa
Who told you he is underrated we love his music and we support him.
Bullshit.the best ever
True
Totally!!! 🔥🔥
Ah!ah!ah! Hii ya leo kali...hili beat, la kuchimbika... darassa badest Afro bongo boy on the planet
Wa kwanza kutoka Kenya
Aisee nipeni likes ndugu zangu
kaka Isaack
Ungepambanaga na class uwe wakwanza usingekua hapo ulipo leo
Darasani nilikua wa kwanza braza
Kama umeirudia mara 4 hii video twende sawa,, boge la nyimbo
Mimi nizaidi ya marakumi huu ni uhondo wa ngoma
Kwann usome comment bila kugonga LIKE,kiukwel Darasa kaja na amaizing style,Big Up kamanda w2🙌🙌
Nc song
nicholaus peter uku ndan ndo kumekucha vunja mifupa usiulize nan kaachiwa butcher.
"Pole kwa kuchelewa, si unajua foleni....!!!" Viiiibe!!
Duh nikwel CMG kaachia hit song!!!! Km umeelewa like twende sawa
Huyu ndiye darasa tunayemfahamu ss na hii kwangu ningoma kali kuliko kutoka kwenye nyimbo zako3 ulizotambulisha... good music...🤘🏽☝🏽👏🏾👏🏾
Saf
Mr burudani haaaa hii ya moto sana like kama zote wajanja hizi ndio ngoma zenyewe jichanganye kama kachumbali chumvi mpaka kwenye chai haaa unahalibu
Xana
Kama umezikubali ngoma zote tatu gonga like ni relax kisha nipotee leo
Htr
Darasa don't give up, keep moving plzzzz. Nyorosha wao, bwaga bwaga wao wote, we love you man !! Salute you.
Darassa is the king of rhymes...and who has noticed that he only does 2 rap verses in his songs and he kills it?
Osama mwenyewe💯💥
Huku Kenya tunasema hii ngoma ni Ngoriii!!! Yaani Noma Sana!
TONY BEST SENIOR hahahahaa kiazi kwel ngori ni nzuri muliz khaligraph fresh og ww jmaa lishe
@@onestkasmir4297 Kabisa bro
From kenya 🇰🇪 tumeikubali hii collabo 🔥🔥👍👍
"kichwa sijabeba Kama pambo " Darassa kweli you are class.
From outerspace nmekuja duniani kuhudhuria DARASA twende sawa kwa likes hapa
Dah nyimbo hii ndo unanitulizaga😍
254 kama mnangoja colabo ya darassa na nyashiski likes zooote zipitie hapa
Walio Irudia zaidi Ya Mara Moja Tujuane
Mm
Kuangalia mara moja mziki wa hv ni kudhurumu nafsi ya burudani....
Mziki mnene huu
Hii ngoma itafika far sana jama katulia sanaa
😂😂
Ni darasa baba Lao.jux big up man,I saw how proud you are for you're brother!Mungu akulipe kwa hiyo 🤲yaani nyinyi wawili mkiform partnership wengi tutajiuliza "wasafi ni akina nani?"think about that please⭐⭐⭐⭐⭐
We ni sheeeda nakukubali Tz yote we msaani wa kwanza ninae kukubal darasa all the best
Welcome back to class (Darassa) homework well done 💯💯na usichelewe tena tumeku miss🔥🔥🔥🔥
From Congo: Weka like yako tujuane
Team darassa
Iyoooo
Atiii nini 🤔🤔🤣
Nyimbo kaliii ,nzuri sana ❤❤
Darassa atabaki kuwa juu 👆👆
M pa konprann loll
Kabisa
Amisa Florence yooo lazina watii
🔥🔥🔥🔥haikatai baba la baba bongee la kazii dadeq kityuu wiu wiuu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Darasa and Abba Prosses full champions...tuna tulizia chini..
Fundiiiiii jux na brother darasa wameuaaaaa
ukitaka kazi ya jeshi don't forget hakuna wa kukupetipeti daaah bro umeuwa
Nice song ngoma hatari
Duuuuh, ckuwa nmeinasa hiyo, KWELI HUJABEBA KICHWA KM PAMBO
Duuuh Tatu?kwa siku Moja! Halafu zote Kali!
Ww ndo darasa kwel lazima uwafundishe mzee baba gud 💟💟💟
Woooooow nyimbo tam video tam bas rahaaaaaaaaaaa
Jux kama alikuwa na mzuka hivi na kaupandisha kinoma...good chemistr asee ngoma kali sana..big up Darasa
Back to class..DARASSA 💥💥
🇰🇪🇰🇪 +254 thumbs up!!!
Alikiba
Bonge La song skills za maana beat kuntu
Nc
+225
Karibuni darasani mwalimu ni darassa🔥🔥🔥👏👏👏💯
Darassa atabaki kua juu
nyimbo Kali itabaki mawinguni ...........
Shida siku na miaka zinaend haraka saaana hadi nikama ni ya jana tu naipata leo..bonge hili!
Naona mzee baba karudi vizuri sasa safi sana darasa hayo ndo mambo tunayotaka sasa!!😘😘😙😙
Utauwawa bure cjalala nmeficha tu makucha,,,,,#darasa always mistari yako iko top bro
Darassa & jux!;;; namba mbaya!!!!!
Dooh ngoma kali kishenzi
+254 locked in.... Loving it. Na huyo ni @pendo nimeona looking mwaahhh
kwani hii ngoma si imeachiwa LEO
kweli leo ni leo
mistari ya darasa🤭🤭 always on point 🔥🔥
darasa ni darasa anahitaji darasa kweli noma sana
wewe jamaa bana unajua hadi hasira
huku kwetu mambo yote ni leo
Eti kichwa sijabeba kama pambo!!hii ndio mziki imeenda shule kweli.
Darassa big up!jina lake kweli linafaa,anawarudisha kwenye Darassa marapper
Darasa kachafua Hali ya hewa, nyi zingueni tu!! jamaa katisha, proud of you bro, Genius +254
Bust down down Jux !!! Chuvi mpaka kwenye chaI ☕️❤️💯
Kazi nzuri sana kutoka bongo hadi. +39 ITALI.
Kwa kweli hamna msanie wa mziki kama darassa kwa kweli tulimmiss sana
Yeebaba umetisha kaka ngoma kali sana wenye wivu wajinyonge
Mr. Burundani...kichwa sijabeba kama pambo
aaah jaman nipen heshma ya darasa gonga like hapoo bac
Kichwa sijaibeba kama pambo....+254 twakuenzi vishenzi...gongeni like wangwana
Unajua sana mwanangu... sema nini achana na poda ujunki haujawah kumuacha mtu salama... muulize chid benz.
Darassa oya uko juu mwana....mia fil mia..fully bro...mad respect 🙏
Sema nao
Oyeeee huku Darasa yupo kwa air
FYI: Darasa is Class! 🇰🇪
Kenya is in full attendance!
wewe ni kichwa aisee😍😍😍nakupenda aisee unaimba vizuri sana unahitaji sifa👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽✌🏽🇩🇪🇹🇿
@@ramaaboytz7606 unawazimu ww tatizo wabongo akili zenu umeziinamisha chini🙄ndio mana amuendelei kimaisha....pambana na africa yenu huko..Scheiße Mann
BONIFACE
Boniface
Okavango
Jamaa namuelewaga na nyimbo zake zinaeleweka....... wale jamaa zenu wamatusi wambie wajifunze kwa hiki kichwa
Hio cheza ya kinyamweziiii #jux
Dah imegusa broo huwa Sipendi kukoment ila Leo 👏👏
#nimetaka kachumbl
duuuuu hii Ya leo kali mana chumvi mpaka kwenye CHAI!!!
@darassa utabk kuwa juu juuu zaidi!!!!!
#kama umeirudia kuichk hee ngoma kama mm plz lik3 zenu now!!?
Hatalee daraxa wape mixtal
TrecY eddie woow
Salute from +254🇰🇪🔥👌
ua-cam.com/video/tcPtATk88Nc/v-deo.html
utabaki kuwajuu daraassa
Hello its me again,
Mr burudani, take away the pain,
pole kwa kuchelewa si unajua folen,
nawapa vidonge kutuliza complain
kichwa, sijabeba kama pambo,
Akili, nimetega kwenye chambo,
Fulu, chaji na full bando,
ukileta, soo unawekwa kando,
Anamaseke au kitete muulize,
Ila kama mapepe mtulize
sema naye...
ooooh aeeeee....
Kama ulijua cheche imekua kasheshe, huezi kumzuia #darrasa kuimba wacha aimbe...#Darrassa don't forgetI
Tunabapenda burundi gonga hapa
Jean callixte Kwizera poll
Jean callixte Kwizera kweli kk
Mwny Game yake karudiiii
Kichwa Sijabeba kama Pambo.!
From USA🇺🇸 , Darassa is on 🔥. Drop like
kwa dawa za kukuza uume na kuongeza nguvu za kiume kwa njia ya dawa asili +255673200051
Nyimbo ya Leo, Darasa ft jux, imefunika kinoma bongo its amezy.
My East Africa Number one Star besides Kalamashaka Crew.
The sky isnt the limit for DDDDDraaassssaaaaa.. Salute
*Kurudia kuitazama* naruhusiwa mwisho Mara ngapi et!?😁💥💥💨🔥🔥🔥
1m bro
As long as una fulu bando hakuna limit😁😁
Infinity
Bando lako 2
ha ha haaa, as may as possible
Iki kchwa sina hakika kama n mtanzania USA shikamoo leo NIMEKUBALI
+254 checked. Bonge la zigo💥💥🔥
Hyo jux sasa ni baalaaaaaaaa kama ni mnazi katika leoooo leooo
Noma sana hii traki, me nataka Joh Makini na Darassa. Bring it on.
Ngoma tatu kwa siku mojaaa. Wowww!! Brotherrrrr
Kama una mkubali darasa kauwa gonga like
Gonga like twende sawa
Mysterious man,disappeared..came back like u never left..good one
Aiseee,darassa hujawahi kosea,ngoma Kali sanaaaaa
uyu bwana ana fanya vizuri sana nani ame bisha aka ji nyonge
Mr Burudani awakuwezi kweli Legend himself 2019🇹🇿🌎🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Here before 1M views
Team 254 🇰🇪 wapi likes zenu
Darassa bamkubwa au sio if 👍👍👍 gonga like hapa
utauawa bure sijalala nmeficha tu makucha🙌🏽
Mmetisha wanangu noma sanaaaa nakukubali xna jux tupe vitu
Nani kaona cmg akipika chapoo 🤣😂 salute all de way from Qatar