BAHATI BUKUKU AFUNGUKA MAMBO MAZITO SANA SHUHUDIA MWENYEWE | NINASAUTI NZURI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 135

  • @nascmpiri3492
    @nascmpiri3492 Рік тому +2

    Wah mama yetu usitumie neno watanzania juu tunakutambua sana kenya na dunia nzima kwa kweli❤❤❤❤❤❤ from kenya

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 3 роки тому +5

    Huyu mama njinsi ninavyo mkubali
    Mungu tu ndie anae juwa mungu akupe maisha marefu

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 3 роки тому +8

    Dimpoz zake na mwanya masha'allah. Aki anapendeza nimurembo Sana😘😘😘😘

  • @fabfab9310
    @fabfab9310 2 роки тому +1

    Bahati Bukuku; I just love this woman of God, her songs are so encouraging, inspiring & uplifting.

  • @salomelisence316
    @salomelisence316 3 роки тому +12

    Wakenya twazipenda nyimbo zako🇰🇪

  • @neemamasimba2981
    @neemamasimba2981 3 роки тому +12

    Bahati ,bahati bahati ,Mungu Ni mwema kwako ,nakupenda Sana dada Bahati, una busara Sana ,na unastahili kuitwa Mchungaji ,kwa kweli ukiwafundisha watu kuvumilia Kama ulivyovumilia, wasalimie dada Neema na Amina Debora

  • @godfreymathew7870
    @godfreymathew7870 3 роки тому +3

    Mimi naomba mtumikieni sana mungu katika kweli maana wachungaji wengi wanamtumia mungu kwa njia ya kujipatia vipato kama biashara bahat mungu akubatiki

  • @Thefavouredelsa
    @Thefavouredelsa 3 роки тому +2

    Napenda jinsi mama bahati bukuku anajibu maswali yake kwa njia ya uastarabu na Hekima zaidi.. Mungu akubariki sana mama

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 роки тому +6

    Hata mimi naupenda huo wimbo #WARAKA WA HAMAN. Barikiwa sana Bukuku.

  • @ashuraalli1561
    @ashuraalli1561 3 роки тому +2

    Waraka uliooandikwa wayahudi wauawe, Waraka uliootangazwa modikaye anyongwe,,,, Ester akiwa kwenye nyumba ya mfalme,,, Ester akiwa ni malikia 👍👍👍😁😁 Ndipo modikaye,,,, aliralua mavazi yake.... 👍👍😂😂tatzo hajatoa kingiio 💃💃💃I, m Islamic but I love so much ur song......

  • @koigathungu6770
    @koigathungu6770 3 роки тому +1

    I love bahati bukuku from Kenya

  • @twendythomas7072
    @twendythomas7072 3 роки тому +9

    Watu wanamtania sana Mungu wamemgeuza Mungu fursa haya siku ya hukumu ije upesi

  • @pretty_witney8124
    @pretty_witney8124 3 роки тому +9

    Nampenda sana

  • @ReverendKanguTv
    @ReverendKanguTv 3 роки тому +1

    Bukuku nalupenda sana kwa nyimbo zako. wanitia nguvu kwenye huduma sana kila nnapozisikoa nyimbo zako. Naomba siku moja nikuone macho kwa macho hapa Kisumu Kenya. Ubarikiwe sana

  • @estherkikwaya6408
    @estherkikwaya6408 Рік тому

    Merci kwanyimbo maman bahati

  • @peninahmaina8785
    @peninahmaina8785 Рік тому

    Nakupenda bure bukuku dada bahati...God bless and keep you long

  • @deborasamweli8362
    @deborasamweli8362 3 роки тому +1

    Mama barikiwa saana na mungu aliye hai kwa kazi nzuri unyoifanya

  • @MildredNabwireolunga.
    @MildredNabwireolunga. Рік тому

    I like your encouragement.

  • @alubetmwamtombe608
    @alubetmwamtombe608 Рік тому

    Sister Safi sana nimekuona Ongera

  • @uwayisabachantal8474
    @uwayisabachantal8474 3 роки тому +1

    Bahati l love you so much

  • @lorinemulumba7793
    @lorinemulumba7793 3 роки тому +3

    My roll model i loooove you mama🙌🙏😘🌹💞

  • @mimie254official8
    @mimie254official8 3 роки тому +2

    Exactly my sister well said

  • @bellah7467
    @bellah7467 3 роки тому +3

    Nakupenda sana mamake mungu aku jalie maisha mema🙏🙏

  • @marierichard3074
    @marierichard3074 3 роки тому +8

    Mungu awahurumie nyinyi watumishi wa sikuzamwisho

    • @hadijaomary2000
      @hadijaomary2000 3 роки тому

      Hahahaaa 🙆

    • @lepadrechief4642
      @lepadrechief4642 3 роки тому

      Kweli maana wanajichubua,kucha kupaka rangi,rangi za mdomo...mawigi hahaha dini biashara siku izi.

  • @julliejullieirash1727
    @julliejullieirash1727 3 роки тому +1

    Nakupenda sana mama bahati bukuku tangu udogo wangu nilitamani kuwa kama wewe au hata kukuona but no huwa nakuona tu kwa tv au cd huwa unanijenga sana ,natamani maishani mwangu niwe mjengaji kama wewe In Kenya

  • @Evah-c4z
    @Evah-c4z Місяць тому

    Tunapenda nyimbo zako 🇰🇪

  • @evevalentine6764
    @evevalentine6764 3 роки тому +2

    Mama ahsante. I admired you and God has graced me to join in Gospel music ministry

  • @rizikiruwa7116
    @rizikiruwa7116 2 роки тому +1

    Mama na kushukuru sana. Umenifungua macho

  • @jenipherkavusha1661
    @jenipherkavusha1661 3 роки тому +1

    Yuko vzr da Bahati tumekumis nyimbo zako

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 роки тому +3

    Jah kipez bahati upoooo

  • @hatungimanagilberte3414
    @hatungimanagilberte3414 2 роки тому

    Na mimi nakupenda sana ♥️

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 3 роки тому +19

    Bahati bukuku anaongea sauti yake kama mama Rwakatale' kama umeona hilo nipe like

  • @lovethildah7340
    @lovethildah7340 3 роки тому +1

    Nakupenda San'a Bahati.
    Endelea Mama,, Baado safali bado...inaendelea.

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 3 роки тому +1

    Mungu hazihakiwi

  • @selinakioko3085
    @selinakioko3085 3 роки тому +2

    My mantor love u mamaaaa

  • @zabibuluvuno9891
    @zabibuluvuno9891 3 роки тому +2

    Nyimbo songambele naipenda

  • @Semenimussa-i7x
    @Semenimussa-i7x 7 місяців тому

    Kweli

  • @sadasalum8778
    @sadasalum8778 3 роки тому +1

    Nice

  • @emaklathamichael-sg6vy
    @emaklathamichael-sg6vy Рік тому

    Nic sana

  • @harmonizemusic5896
    @harmonizemusic5896 3 роки тому +5

    Mina mupendaka sana uyu mama!! Je l'aimé beaucoup elle mon artistes préfère, de puis Lubumbashi rdc

  • @rosekadzokadzo1401
    @rosekadzokadzo1401 3 роки тому +1

    Twaisubiri kwa hamu.. Album..

  • @samsonezekiel9232
    @samsonezekiel9232 3 роки тому +4

    Mgendi namkubali

  • @christowajamtinda8667
    @christowajamtinda8667 2 роки тому

    😂😂😂😂😂😂😂😂kweli umewazidi wote mpendwa.
    Wewe ni mama jasiri sana. Mungu akutunze!

  • @Wangjuelaoshi
    @Wangjuelaoshi 3 роки тому +3

    Nampenda sana bahati bukuku mungu aendelee kukubaliki kila wakat na saa mungu awe pamoja na ww

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 3 роки тому +2

    Yes Kila mtu amepewa neema yake

  • @dianajoseph6673
    @dianajoseph6673 3 роки тому +1

    Namiss sana sauti yako nasubiri wimbo mpya Dada yangu kipenzi

  • @zabibuluvuno9891
    @zabibuluvuno9891 3 роки тому +1

    Naipenda hekimazako maman

  • @sophiezakaria
    @sophiezakaria 3 роки тому +4

    Some questions are personal, and confidential. Mbona watu mnakerwa na bahati, asipo disclose biashara yake?

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 3 роки тому +1

    Mama nampendaga Sana uyu

  • @estherwafula6932
    @estherwafula6932 3 роки тому +3

    Amen amen mama wetu

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 3 роки тому +1

    Pesapesa ni mbaya sana uwii mungu tuhurumie jamani tunamchezea sana mungu

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 роки тому +1

      Magugu na ngano vinaruhusiwa kukua pamoja

  • @agneskadzo9087
    @agneskadzo9087 3 роки тому +2

    Amen 🙏🏾

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 3 роки тому +9

    Ni Wa Mbea Kweli, Hata Biashara Yuaficha Jamani.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 3 роки тому +1

    Eti sasa amekua ni mtumishi wa mungu so alikuaga Ni mtumish wa Nan shka adabu yako mwandishi, huyu Ni bahat bukuku tumpendae mtumishi wa mungu

  • @marykamau6760
    @marykamau6760 3 роки тому

    Kujipaka.... Jezebel

  • @maayiwachoffuri3925
    @maayiwachoffuri3925 3 роки тому

    Nakupenda buree tu

  • @joshuamwambene9516
    @joshuamwambene9516 3 роки тому

    Hongerakwahuduma

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 роки тому +1

    Kwani uligeuza rangi yako Bahati Bukuku. Mbona ulikuwa na rangi nzuri sana!!!

  • @florahemmanuel8323
    @florahemmanuel8323 3 роки тому +2

    Walipo legeza waongeze hahaha,nimependa mama

  • @uwayisabachantal8474
    @uwayisabachantal8474 3 роки тому

    I'm from Rwanda

  • @kadogogibore5435
    @kadogogibore5435 3 роки тому

    This woman i like her than normal

  • @jamilasalimvilog6752
    @jamilasalimvilog6752 3 роки тому +2

    🙏🙏

  • @easternyiha7407
    @easternyiha7407 3 роки тому +3

    There's just one thing about Rose Muhando and Bahati Bukuku's speech👏

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 3 роки тому +3

    Makanisa yamekua biashara mungu anawaona"

  • @andersonmasala5741
    @andersonmasala5741 2 роки тому +1

    Love you bahat bukuku

  • @priscaomolo126
    @priscaomolo126 3 роки тому +1

    Kanisa na biashara ya siri ninayojua Yesu ana okoa na ana badilisha life style ya dunia lazima tue tofauti na dunia

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 2 роки тому +1

    Bahati bukuku ameshukuru wa tanza nia ila sisi wa Congo tunaenda sana nyimbo nzako ila nyimbo za mwanzo hapo ulikuwa umeimba mungu ila leo umeimba sababu ya napitatu sisemi kitu

  • @janetnafula6963
    @janetnafula6963 2 роки тому

    G9goodjob

  • @peaceboyke
    @peaceboyke 3 роки тому +1

    mama ulienda wapi umepotew sana

  • @Owuor-gg4so
    @Owuor-gg4so Рік тому

    ❤😂🎉

  • @justinlosa1575
    @justinlosa1575 3 роки тому +1

    Je suis bien OK ok

  • @saranasser542
    @saranasser542 3 роки тому +2

    Mwaka rombo kiukweli limekupendeza mnoo

  • @AbayaMAMa
    @AbayaMAMa 3 роки тому +2

    Ongerakwauduma

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 3 роки тому +3

    👀👀

  • @aishamsemo5154
    @aishamsemo5154 3 роки тому +1

    Anajua Sanaa❤️❤️

  • @hussainsajin9915
    @hussainsajin9915 3 роки тому

    Mbona ujamtaja Matha dada anaomba vizr

  • @naamohamed1042
    @naamohamed1042 3 роки тому +7

    Kalombo umetulia hapo

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 3 роки тому +1

    ✌✌✌✌

  • @sheillhamarow8371
    @sheillhamarow8371 3 роки тому +4

    Sasa mnataka kujua biashara yake kwani lazima 😅ili mgundue nn mengine n private

    • @christianchando7041
      @christianchando7041 3 роки тому

      Mchungaji hawezi akafanya biashara, asiyoweza kushirikisha wengine

  • @masalakulwa7601
    @masalakulwa7601 3 роки тому +1

    Mumewe alikua malayaa...mwe..sijui kama mzima yule Dany

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 3 роки тому

    Hahahahahaha penda San ma bahati bukuku

  • @marierichard3074
    @marierichard3074 3 роки тому +5

    Mchungajii wa kuficha biashara?mungu akusamee

  • @Werema3760
    @Werema3760 3 роки тому

    Muss u sana

  • @emmanuelmajele9681
    @emmanuelmajele9681 3 роки тому

    Sasa hivi amekuwa mtumishi wa Mungu kwan Alikuwa mtumishi wanan mtanga zaji

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 3 роки тому

    Kafufuka simlisema amefariki jamani

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 3 роки тому +3

    Mwakalombo 😅😅😅😅

  • @pieremchome5202
    @pieremchome5202 3 роки тому

    Kweli pesa ndo kila kitu,zamani wakati Bahati anaanza kuimba alikuwa ana kidevu kirefu,pia alikuwa mweusi,.lakini sasa hivi sioni kidevu,wala weusi hakuna .mmh dunia simama mi nishuke

    • @neimaweigolo4613
      @neimaweigolo4613 3 роки тому

      Hahahaaa kumbe naww umemuona nimweupe zaid saivi nikajua mimi

    • @beautyibrahim8428
      @beautyibrahim8428 3 роки тому

      😂😂😂😂Hauwez kushuka acha tuendeleee na safari tu my dear

  • @nrwawanndeny7394
    @nrwawanndeny7394 3 роки тому +2

    Hiyo biashara ya nje ya kamera ni ya kuuza papa nini!

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 роки тому

    Ni mjamzito nini?.

  • @gloryisaac1477
    @gloryisaac1477 3 роки тому

    Umesha kuwa tapel SKU hizi

  • @azmedmtwana8135
    @azmedmtwana8135 3 роки тому +1

    Mchungaj unaficha biashara yako hutaki watu wajue roho mbayaaa

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 3 роки тому

    Mbona hataki kutuambia kuhusu biashara kwani ni mihadarati.

  • @happynyamwanji4563
    @happynyamwanji4563 3 роки тому

    Pacha wa neema,Neema yuwapi?

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 3 роки тому

    Dadadume

  • @lovenessibrahimu6730
    @lovenessibrahimu6730 3 роки тому +1

    Mwakalombo

  • @clementinajory7927
    @clementinajory7927 2 роки тому

    JENNIFER MGENDI

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 3 роки тому

    Nabii prophet shillah.......???

  • @karrolleschon3986
    @karrolleschon3986 3 роки тому +2

    🇰🇪🙏

  • @mkosakuumbwamwendazake4254
    @mkosakuumbwamwendazake4254 3 роки тому +3

    Hana uchungaji hana ukwaju kwan mchungaj haez ficha jmbo ilo bure kbx heri ungeimba tu

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 3 роки тому +2

    Huyu Mama niaje' anapata fursa yakujitangaza biashara' analeta mbwembwe

    • @highvoltages4169
      @highvoltages4169 3 роки тому

      TRA waanze kumfuatiliiiia kabla ya kamtaji hakajakomaa
      By the way ni kuandaa movies GOSPEL MOVIES

    • @lawrencehezronmwakalebela2738
      @lawrencehezronmwakalebela2738 3 роки тому

      Mmh mchungaji gani sasa huyo muongo tu. Biashara matangazo ye anaficha