Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Me too nahitaji memory card yangu ifutwe
Mungu akubariki sana wewe na familia Yako Neema ijae nyumbani mwako
Mungu atufunike kwa neema yake sisi wazazi ili tuwe mfano mwema kwa watoto waige mwenendo mwema.
Namkabidhi Yesu
God bless you and all your family ❤
Aksante sana pastor kwa kuendelea kutonyoosha kuelekea njia impasayo Mungu.u
AMEN PASTOR.... SITAKATA TAMAA....NAMTANGAZIA SHETANI KUWA AMESHINDWA NEW JINA LA YESU
Ubarikiwe sana pasita
Ubarikiwe pasta
MUNGU nisamehe kweli nichunge watoto wangu vema
Amina pastor
Yaan umenisema mimi pastor 😢 natamani kusahau mambo niliyofanyiwa nikiwa utotoni
Amina hata mimi nahitaji hio memory card yangu ifutwe Katika Kristo mwana wa Pendo amina
pr Asante nabarikiwa nikiwa Zambia bwana habarikiwe kwajina ra yesu kristo
😍💖🙏🙏
Mchg usinishangae naomba kutumiwa voice mail ya wimbo wenye chorus ya"kimbilio taabuni..."Moyo wangu unakiu nao.Asanteni
Amen pastor!kumbe ndo maana kuna watu wana roho kama ya shetani kila siku ni kuwasema watu vibaya
😄😄😄
niko na mtoto kama huyo Mungu tupe moyo wa uvumilivu na upendo